Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
REV. DR. ELIONA KIMARO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA
Вставка
- Опубліковано 30 лис 2023
- IBADA MAALUMU YA SADAKA YA UJENZI WA KANISA LA ANGLICANA ST. JAMES ARUSHA 19. 11. 2023
SOMO: SADAKA ILIYOBEBA FURSA
(OFFERINGS & OPPORTUNITIES)
Mwanzo 22 : 9 - 18
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Kwa maoni na ushauri:
Smu :+255655516053, +255754516053
UA-cam : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: rev.kimaroe1@gmail.com
Amina baba mtumishi hakika nimebarikiwa sana, Mungu wambinguni akanifunulie macho yangu yaone chemichemi ya uzazi
Asante kwa neno iyo amen amen
Mtumishi Kimaro unanibariki sana. Kindly naomba ruhusa kukuona
Amen Amen Amen
Ubarikiwe saaana Mtumishi, hakika namuona Mungu kupitia mahubiri yako.
Amen
Injili tamu namna hii ila ninachoshangaa watu wamekauka kaa hawaelewi!!
Amina Baba Mchungaji hakika nimebarikiwa sana,. Mungu aendelee kuitunza hiyo neema aliyoiweka kwako
Mungu aku pandishe vi wango kwa viwango mchungaji hakika ni me barikiwa kwa neno la leo. Volonte From DRC Beni
Amen mtumish ninabarikiwa sana
Moyo wangu unamwadhimisha bwana sana kwa ajili ya mtumishi Wake Dr kimaro,matamanio yangu ni kumwoma kwa macho yangu hapa mugumu Serengeti, kiukweli baraka zangu zimesababishwa moja kwa moja na mafundisho ya Dr kimaro, mungu akubariki sana,
Amina mtumishi nimebarikiwa
Nimepata tumaini jipya tena Mungu wa Mbinguni aendelee kukupandisha viwango vya juu zaidi na zaidi.
Mungu akubariki sana azidi kukutumia akupe hekima ya kiMungu
❤❤❤❤
Mungu ni mwema mno
Amen amen amen amen, sifa na utukufu Kwa Mungu Kwa ajili na namna Mungu anavyokutumia mtumishi wake ktk kufundisha maarifa ya Mungu Kwa wanadamu !! Nimebarikiwa mno
Amina
Kiukweli kupitia aya bauiri kunamna ni mepokea
mtumishi nabarikiwa je?naweza kukuona lini?