Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2023
  • IBADA YA JUMAPILI YA KUSIFU NA KUABUDU JAN 8, 2023.
    KICHWA CHA SOMO : MBINGU ZIKUFUNUKIE
    Marko 1:9 - 11
    9 Ikawa siku zile, Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yordani.
    10 Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake;
    11 na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maoni na ushauri:
    Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

КОМЕНТАРІ • 76

  • @annahmutinda1001
    @annahmutinda1001 2 місяці тому +2

    Mbingu zinifunikie pamoja na uzao wa tumbo langu. Kwa Jima la Yesu. Amen

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 День тому

    Saaa inakuja nasasa ipoooooo!!!! Mbingu zinanifungukiaaaaaaaaaaa🙏🙏🙏.

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 Рік тому +1

    Mbingu zinifungukie ktk biashara yangu.

  • @qatarrarre30
    @qatarrarre30 4 дні тому

    Amen in Jesus name

  • @user-hc8kw3yh2v
    @user-hc8kw3yh2v Рік тому +2

    I blessed much pastor with your preaching,, our Lord bless u more to still preaching us 🙏🙏

  • @beatricemsele4844
    @beatricemsele4844 Рік тому +1

    Nimebarikiwaaaa sana. Neno limekua langu hakikaaa vile vilivyoandikwa nitavipataaaa
    🙏🙏🙏 Nitaishii katika andiko la kuyaishii utambulisho 🙏🙏🙏🙏

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    C H A C H U! MBAYAAAA, OOOH , CHACHU , TUJIHADHARI NA WENYE KULETA CHACHU KAMA MASADUKAYO NA MAFARISAYO, MUNGU SIKIA KUOMBA KWANGU JUU YA WENYE CHACHUNKTK FAMILIA.

  • @mariethangoma6317
    @mariethangoma6317 Рік тому +2

    Aba yaaan baba ... tunaendelea kuomba kwa ajili ya jiwe hili la waashi yaan mchungaji kKimario...mtunze mlinde mjalie utukivu siku zoote za maisha kwa kuwa bwana ulimjua tangu tumbon mwa mamae ..eeeh Yesu mfalme wa amani.....mtoe katika matole yooite aliyopwkwa na uelimishaji wake ukamfanye atoke ktk matope hayo .ktk jina la Yesu ...ameen

  • @elisaambise9502
    @elisaambise9502 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu akubariki baba Mchungaji Dr Eliona Kimaro. Asante kwa mahubiri na mafundisho na ufafanuzi mzuri wa neno hili. Baba Mchungaji namuomba Mungu mbingu zako zikufunukie hata kwa mapito haya ya wakati huu.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    Ooooh Leo 9.7.23 DR.ELIONA KIMARO kkkt KIJITONYAMA ametujulisha kanisa kuwa amedhaminiwa na Mchj Maksai KIMARA kwenda Israel wiki ijayo. Na leo ni ushuhuda wa pamoja walikotoka. MUNGU awalindeni WOTE . KIMARA na kiijitonyama. Mpenyo mnao BABA!

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    BANGO KUBWA ANDIKA" ZAMANI ZA PONTIO PILATO" MBINGU ZIMEFUNGUKA, ANWANI IMEBADILIKA, YESU AMEFUFUKA ! USHINDI USHINDI USHINDI.

  • @elisaambise9502
    @elisaambise9502 Рік тому

    Amen baba Mchungaji

  • @janemakoye714
    @janemakoye714 Рік тому +2

    Mubgu akubariki sana Baba yetu mchungaji Kimaro Mungu aendelee kukubariki sana tunakuombea baraka tele

  • @rukiabotto3407
    @rukiabotto3407 Рік тому +2

    Be blessed man of God

  • @claratemba44
    @claratemba44 Місяць тому

    Asante sanaaa

  • @estherchege9074
    @estherchege9074 9 місяців тому

    hivi ndio nimeskiza hii neno la mbingu inifungukie miezi mbili kabla ya huu mwaka kwisha..napokea hii neno Nina imani mbingu inifungukie.. amen

  • @user-yj4fd5yp6d
    @user-yj4fd5yp6d 6 місяців тому

    God bless you 14:08

  • @Komatatawillson-sz5wb
    @Komatatawillson-sz5wb Рік тому

    Mbingu Zika funuke kwenye Maisha na biashara yangu

  • @josephmuhindo7393
    @josephmuhindo7393 Рік тому +2

    Ameeeeeeeen 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗👏👏👏👏👏👏mwaka huu mbingu zikapasuke juyamaisha yangu namiye

  • @sifafofana7237
    @sifafofana7237 6 місяців тому

    Mbingu zinifungukie Mimi na watoto wangu Ameen Ameen

  • @tumaininoelmlaki8972
    @tumaininoelmlaki8972 Рік тому +1

    Mbingu zikanitambulishe na uzao wangu, ndoa yangu na kila nilichonacho. Amen

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    Saa inakuja, na sasa ipo! POWERFUL! Mbingu zimenifunikia/ kupasukia. Eeeh MUNGU mbingu zimpasukie Allan atoke kwenye mateso. Ameeeen.

  • @user-cg6oj2nn5v
    @user-cg6oj2nn5v 6 місяців тому

    Nanifunuliwe Maisha yangu uzao wangu na familia yangu kwa jina la yesu

  • @yasintakifyasi-kp9hh
    @yasintakifyasi-kp9hh Рік тому

    asante mchungaji unafasili vizuri sana maandiko binafsi na kuelewa kuliko kawaida mungu akufugulie mbingu katika huduma yako natamani nikuone

  • @adelinajoel400
    @adelinajoel400 Рік тому +1

    Ameen

  • @mourinemukitanga1298
    @mourinemukitanga1298 Рік тому +3

    You man of God, you are a blessing to my life 🙏 🙌 pray for me

  • @DorahKijazi-vw9xc
    @DorahKijazi-vw9xc Рік тому

    Mungu ukafunue mbingu kwaajili ya familia yangu

  • @fridahpaul897
    @fridahpaul897 Рік тому

    Amina mbingu zikanifungukie mimi na familia yangu mwaka huu 2023.

  • @josephndugai3598
    @josephndugai3598 Рік тому

    Mbingu zinifunukie 2023 kwa jina la Yesu

  • @mosesgodson9287
    @mosesgodson9287 Рік тому +1

    Amen

  • @josephmuhindo7393
    @josephmuhindo7393 Рік тому

    Ameen Baba yangu kupitiya maombi tuko nafunguliwa vingi Baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @DorahKijazi-vw9xc
    @DorahKijazi-vw9xc Рік тому

    See Mungu mponye mama yangu kwa jina la yesu

  • @swidemashina87
    @swidemashina87 Рік тому

    Amen amen.Nami naomba mbingu zifunguke juu ya wanangu awaonyeshe njia ya mafanikio yao

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 Рік тому

    AMEEEEN AMEEEEN AMEEEEN, MUNGU akubariki kwa ufunuo uhu🤲

  • @lutangilooffice8604
    @lutangilooffice8604 Рік тому

    Ameen Ameen baba nami mbingu zinifunukie

  • @hellenswai3913
    @hellenswai3913 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.

  • @alysaimxxxon863
    @alysaimxxxon863 Рік тому

    Nataka mbingu ikapasuke ee bwana Yesu naomba unilinde na naitaji neema na baraka maishani mwaka huu

  • @rachelmshana6555
    @rachelmshana6555 Рік тому

    Naomba mwaka huu mbingu zinifungikie kwa jina la Yesu Kristo.

  • @adelinacharles3887
    @adelinacharles3887 Рік тому

    Namwomba Mungu Mbingu zifunguke zinipe utambulisho wangu sahii

  • @geraldtemu2685
    @geraldtemu2685 Рік тому +1

    Amina mbingu Zina pasuka kwajina la baba lamwana laroho mtakatifu amenni

  • @pallangyomirisho2845
    @pallangyomirisho2845 Рік тому

    Mbingu zilizo juu ya kichwa changu zilifungwa kwa shaba na ikafunuliwa Yesu alipobatizwa

  • @pallangyomirisho2845
    @pallangyomirisho2845 Рік тому

    Amina mtumishi ubarikiwe. Mbingu zinifunukie nikauone utukufu wa Mungu juu yangu

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 День тому

    Zamani za Huyo ponitio pilato 😂😂😂😂😂😂😂 mwenye masikio naasikie Neno laMungu ambalo Roho anayaambia makanisa.

  • @yakobokipamba2347
    @yakobokipamba2347 Рік тому

    Amen mtumishi wa mungu bwana asifiwe nimefurahia huduma ya maombi yame nibariki 🙏🙏

  • @atuganile08
    @atuganile08 Рік тому

    Hakika Mbingu Mbingu zikufunukie Mchungaji kwa Nguvu na rehema za msalaba wa Yesu MCH Kimaro

  • @josephmuhindo7393
    @josephmuhindo7393 Рік тому

    Ameeeeeen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👐👐👐👐

  • @monicaisuja8917
    @monicaisuja8917 Рік тому

    YESU nataka Imani yangu iiinuke

  • @josephmuhindo7393
    @josephmuhindo7393 Рік тому

    Fitina ya Wayahudi hazita weza🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @marynangole3793
    @marynangole3793 Рік тому +2

    Waaaaah Amazing thank you powerful amen glory to be God bingu ya himefunguka 👏👏👏🙏

  • @neemakasule485
    @neemakasule485 Рік тому

    Mimi ni mshindi in Jesus name

  • @yohanacharlesgumbo678
    @yohanacharlesgumbo678 Рік тому

    🙏 Amina uzidikubarikiwa Dr Rev

  • @eutropiakalutu8617
    @eutropiakalutu8617 Рік тому

    Amina

  • @annasiimapeter8955
    @annasiimapeter8955 Рік тому

    Aminaaaaa hallelujah

  • @oman798
    @oman798 Рік тому

    AMINA

  • @marthamahule3346
    @marthamahule3346 Рік тому

    Oooh!! So Great,

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому

    Ameni Ameni

  • @marthamahule3346
    @marthamahule3346 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣Dah!! Wakatangulia vichaaa! Mlipimwa kwelikweli. Mungu akuzidishie Mtumishi neno limenibariki saaana

  • @tumaininoelmlaki8972
    @tumaininoelmlaki8972 Рік тому

    Amen🙏🙏

  • @neyshao2492
    @neyshao2492 Рік тому

    AMEN AMEN

  • @nancymwake1148
    @nancymwake1148 Рік тому

    Amen 🙏

  • @joanamwatok9798
    @joanamwatok9798 Рік тому

    AMEN

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому

    👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому

    Evaluation personal critical evaluation. Eee mu gu MBINGU zimfunukie Allan na ANGELA.. mpenyo eee mfalme usikie kuomba kwangu juu ya FAMILIA YANGU.

  • @kiswigumsojo2943
    @kiswigumsojo2943 Рік тому

    Mbingu zimenifungukia

  • @josephmuhindo7393
    @josephmuhindo7393 Рік тому

    Zamani za posopilato🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤗🤗👏👏🙌👏😂👏😂

  • @ottirie7412
    @ottirie7412 Рік тому

    Ameen Baba🧎🙏

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 Рік тому

    Mbingu zinifungukie ktk biashara yangu.

  • @ottirie7412
    @ottirie7412 Рік тому

    Ameen

  • @elizabethkimomwe5275
    @elizabethkimomwe5275 Рік тому

    Amen

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому

    Ameni Ameni