Huyu mzee majaliwa nampongeza sana jinsi anavyopambana anastahili kuwa kiongozi bora mana kiongozi bora lazima awajue watu wake wanaishije na wanaendeleaje mungu akuzidishie. allahuma amiin
Yaaan hapo haki za binadamu wako kimya lakin hatua zikichukuliwa dhidi yao wanaibuka eti haki za binadamu Kwa ujinga huu kweli ni nan ataweza kuvumilia.
Baba waziri mkuu Hali ndio hiyoo hakuna Tena kujali Mali za umma watu wanawaza kupiga tuu basi kwanza heshima ya watumishi imepotea Tena sio kama kipindi Cha JPM watu walikuwa watiifu Sanaa saizi mmmh Mungu atusaidie
Bila shaka PM wetu huwa anameza Hedex kabla ya kulala maana kwa hali hii kichwa lazima kiume.Kila anapokwenda anakuta WIZI,UTENDAJI DUNI na UZEMBE.Nchi hii inaumizwa na hayo mambo matatu.
Jamani tuwe wakweli tuu:Kuongoza watu na taasisi kama hizi kuna hitaji uzoefu jamani ': Ili kuondoa maswali ambayo wahusika wanashindwa kutoa majibu ya waziri mkuu hapa teueni wenye uzoefu waokoe taifahili na muda ndio huu:Si kwamba wanadharau wanayoelekezwa;'hawa hawaelewi:Vinginevyo wana agenda zao zenye lengo kukwamisha juhudi za serikali: Kamahuko ni hivi jee kule kijijini!!
Sikuiz Naona Millard ayo na Wasafi news wameanza Kuweka Clip Nyingi ZA Mheshimiwa Majaliwa😌 au Usikute CCM wanamuandaa Kuingia Urais Mama Akimaliza Awamu Hii ya Magufuli😌 .Na Upande Mwingine Chadema Wanamuweka Sana John Heche.😂😂😂.
Wapi mwamba magufuli😫 mzee wangu mungu akulaze mahali Pema peponi I miss Ur presence dady over 1 billion kweli🤔 Na kuna mtu yuko marekani saizi anapiga picha ili apewe mkopo mwingine yani naumia sana lakini anyway ilo jasho la wanyonge litawalilia siku moja nyie kazaneni tu
Majaliwa pekeake ndo amebaki kupambana na hii nchi,tatzo la hili li nchi ni likubwa mnoo,akidhibiti igunga anapigwa nachingwea,akidhibiti nachingwea anapigwa loliondo,akienda loliondo anapigwa tukuyu😂😂.yani ni tafrani
Sijaelwa hivi mpaka Waziri mkuu agundue madudu Mkuu wa Wilaya hayupo, Mkuu Mkoa hayupo Waziri mwenye mdhamana yuko wapi??? Shida mfumo haufanyi kazi inabakia mtu mmoja anahangaika peke yake.
Mfumo Wa Ccm Ndio Unaofanya ivyoo Maana Mafisadi Ni wale wale Tu Yani Visadi Alikuwa Mkuu wa wilaya Kesho Anatolea Kwenye Ukuu wa Wilaya. Kesho Anapandishwaa Kuwa Mkuu wa Mkoa Ssa Unafikiri Kuna Mabadiliko gani hapo
Ukisikia Tz elimu tunayopewa ni kwa ajili ya kufaulu mitihani2 unabisha Kuna haja serikali kuanzisha SoMo la uzalendo wa Nchi Yetu toka awali Mpaka chuo kikuu Wenda kidogo tukaeleweka .
kasim angeli kamata nchi ingelikuwa unyama sanaaaa 😡😡😡😡😡😡 viongozi wa apa chini wanafanya kaz kwa kumzalau mh-rais - na rais mwenye anacheka nao tu hajui wanamtia doa namaisha kuendelea kuwa magum wachek wanazilamba pesa wananchi tunalia na njaa kwani wew rais unashindwa kuwatumbua
Hizi ndio kazi tulitegemeya Chadema kukosowa serekali kwa wizi unaofanywa na baadhi Ya wafanyakazi ila akaaaaa Wapo bize na mambo yao. Ongera Majaliwa unafanya kazi Nzuri
Unaelewe ulichokiandika? Wewe unaweza kwenda ofisi yoyote ya umma au taasisi ukahoji ishu kama hizi na matumizi ya fedha za serikali? Hii ni kazi ya watendaji wa serikali wakiongozwa na waziri mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa serikali. Ni vile watendaji wa ngazi za chini wanamuangusha kwa kukosa uwajibikaji na kushia kujilimbikizia malundo huku utekelezaji wa ya serikali ukiwa na hali duni. Waziri mkuu pekee hawezi zungukia nchi nzima kuvumbua madudu kama haya, haya ni machche kati ya mengi ambayo hayajafahamika. Mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kupambana na haya.
@@kingdomnjimbi6725 Kaka kwanza nikubaliane na maoni kwa moyo mmoja. Ila platform Za kujieleza zipo nyingi ila upinzani wetu hata kwenye tozo wameshindwa kututetea hio ndio hoja yangu ndugu yangu.
Hivi katiba ya nchi na chama,haviruhusu tukampa huyu mwamba nchii hii 2025?,maana hiyo hali anayopambana nayo ipo maeneo mengi ya nchi hii.Matatizo ya wa Tz kwa watu wengine ni fursa,kwa kweli mapinduzi ni muhimu,huyu PM wetu ni mtu sahihi kuwa mkuu wa nchi.
Dawa ya wasimamizi wabovu kama hawa Waziri Mkuu wewe tumbua hapo hapo,watu wa kufanya huo ukurugenzi wako wengi.Haina haja ya kubembelezana vinginevyo hakuna kitakachoendelea kwenye maendeleo ya nchi.
Wamekura ela hao, Sasa Samia Yuko wapi kufuatilia mambo haya au nayeye nae tunawasiwasi nae maana hio kauli mbiu yake imebadilika kuwa wizi uendelee😂😂😂😂
Mkuu tunakuombea sana, kwakweli unafanya kazi nzuri na unamsaidia Mh Rais vizuri. Mungu awape maisha marefu
Kwa kweli
Anawasadia wananchi rais wako Hana muda yeye kashaota mabawa muda wowote ni kupaa2
Kabisa
Huyu ndie rais wa baadae,baada ya mama Samia,piga kz mh.
Mungu akubariki mheshimiwa, Majaliwa, Nchi imeoza ni upigaji mtupu! Pumzika kwa amani Magufuli, baba tunakukumbuka sana!
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI....Majaliwa Kasim ni kama ana nafc yako ndani yake anastahili kuwa rais wa Taifa hili. ni mzalendo mkwel na muwaz pia!
Tunakuombea baba chapa kazi ,hapo nimekuja 💯 pacernt
Kwa kweli Ni kazi kubwa Sana mnayo viongozi weledi, asilimia kubwa viongozi Ni wapiga dili tu, hongera mh waziri kwa kazi kubwaunayoifanya
Mkuu, Allah Akuhifadhi, piga kazi, kazi iendelee... Heshima itachukua mkondo wake🙏
Polesana PM
Anakuribia wewe tu kwakazi nzuri unayo fanya lakini kuna wengine wanaona tu poa mungu akupe maisha mema uwe raisi majaliwa
Hakyamungu nchi hiii kwanini asichukue kijiti majaliwa jamani🇹🇿😳😳😳🤭😢
Rais hawez kuhangaikia nchi Kisha aje kufwatilia miradi, ndo maana kunawasaidizi wake, hata Majaliwa akiwa Rais huwezi kumwona kila mahali
@@ndayishimiyeelias9692 angalau atatumbua kama magu
Huyu mzee majaliwa nampongeza sana jinsi anavyopambana anastahili kuwa kiongozi bora mana kiongozi bora lazima awajue watu wake wanaishije na wanaendeleaje mungu akuzidishie. allahuma amiin
Huyu ndugu yetu majaliwa tumuombeee sana tena sana maana hii vita ni ngumu.
Majariwa mungu akuzidishie maisha marefu
Mh angalia Kaka Tanzania mchi ndo go lakini uchawi ni mwigi sana hawapendagi kukosorewaga hao
Huyo was mwisho Ana tumbo Kama njipu bivu
Pole.sana Mh. Hali.ni. mbaya sana nchi nzima. Samia kaamia kushika tama
Rais wetu wa badae chukua kura yangu baba 🙌🙏
MWENYEZ MUNGU JALIA WEPESI KWANAMNA UNAYO IJUWA ALLAH HUYU MJA WAKO MHS MAJALIWA AWE RAIS WA JAHURI YA TANZANIA
pole sana waziri mkuu hii nchi ni pasua kichwa
Tumbua awo matako😂😂😂😂😂
Unatukumbusha mbali sana 😢🙏
Waziri mkuu Mungu akusaidie
MAJAALIWA MBELE KWA MBELE , RIP MAGUFULI
Hawatomwacha salama
Udanganyifu ni mwingi kuliko kweli
Chapa kazi mkuu
Toka mwaka 2021 daaaaah it so sad jamn😭😭😭😭😭usiongee nalo litimue tuuu mana halina faida
Watanzania huyu baba tumuombee sana nafikiri kila mmoja anaona nyendo zake ana uongozi uliotukuka
Daaaaaa Inasikitisha Sana
Yaaan hapo haki za binadamu wako kimya lakin hatua zikichukuliwa dhidi yao wanaibuka eti haki za binadamu Kwa ujinga huu kweli ni nan ataweza kuvumilia.
Baba waziri mkuu Hali ndio hiyoo hakuna Tena kujali Mali za umma watu wanawaza kupiga tuu basi kwanza heshima ya watumishi imepotea Tena sio kama kipindi Cha JPM watu walikuwa watiifu Sanaa saizi mmmh Mungu atusaidie
Bila shaka PM wetu huwa anameza Hedex kabla ya kulala maana kwa hali hii kichwa lazima kiume.Kila anapokwenda anakuta WIZI,UTENDAJI DUNI na UZEMBE.Nchi hii inaumizwa na hayo mambo matatu.
Baba upo vizuli sana mungu akuweketu wasije kufanyia kama mjomba magufuli duuuuu mh hiiii nimeipenda sana Leo ndonaiona baba duuuuuuuu mh
😃😃😃😃😃😃 hii nchi inavituko kwakweli
Wish you're Kenyan sir
Mama yupo kimya tuu anawaona watumishi wake kalipia hao tena kukuza kabisa asante waziri mkuu
Kama kila kitu afanye raisi hao mawaziri waliochaguliwa wafanye kazi gani au wabunge wafanye kazi gani
Me Namwombea majaliwa miaka migi Sanaa Anasaidia sana ni kama magufulu
Duuh ila huyo mpambe nae mmbeya hiko kiti si angeachana nacho2🤣🤣🤣🤣🤣 ,et wameficha ili tusione🤣😂😂😂
Pole Sana waziri pole Sana 😭😭😭😭😭😭😭
🙏🙏🙏
Wapi hiyo jmn.hospitali gani hii.maana inasikitisha sana duuu.Majaliwa ondoka na mkurugenzi akajibu kwa nni hajamaliza ujenzi
Jamani tuwe wakweli tuu:Kuongoza watu na taasisi kama hizi kuna hitaji uzoefu jamani ': Ili kuondoa maswali ambayo wahusika wanashindwa kutoa majibu ya waziri mkuu hapa teueni wenye uzoefu waokoe taifahili na muda ndio huu:Si kwamba wanadharau wanayoelekezwa;'hawa hawaelewi:Vinginevyo wana agenda zao zenye lengo kukwamisha juhudi za serikali: Kamahuko ni hivi jee kule kijijini!!
Mungu akulinde Mh. Kasimu. Mungu akujalie maisha marefu,Taifa letu linakuhitaji sana.
Mungu tuhurumie, yaani izo tiles box 1 ni 22000
16,000 bana
Huyu Mzee ndo mris wamagu jaman
Next president
Magufuri alikua anaakili hakukosea kukuteua unajuaaaaa mkuu next presdent
MAJALIWA naomba nafasi ya kunyonga wazembe wazembe kama ao Yani dar roho inaniuma sana
Waziri kullllaaaaaaaa gwalaaaaaaa
Sikuiz Naona Millard ayo na Wasafi news wameanza Kuweka Clip Nyingi ZA Mheshimiwa Majaliwa😌 au Usikute CCM wanamuandaa Kuingia Urais Mama Akimaliza Awamu Hii ya Magufuli😌 .Na Upande Mwingine Chadema Wanamuweka Sana John Heche.😂😂😂.
Nchi hii haaa shida sana, Kila mtu akipata kaz anawaza kuiibia serikali yan R.I.P Magufuli
Hyu mzee ankosa nguvu kulingana mfumo wa serkli😢😢
Hapo tatizo atatembelea hospitali ngapi Nchi kubwa hii, sasa hivi hakuna wasaidizi wakuaminiwa miaka yote
Yani tembelea hospital zote watu wanaoana Bora akatibiwe hospital binafsi kwa gharama kubwa kuliko za selikakari duuh safi sana
Na hapo tu Waziri umeingia bahati mbaya je ungeamua utembehee nchi nzima siungelia machozi na ungejiuzulu kufanya kazi na WA uhujumu Kodi za wananchi
Nacho sikitika na hao wahalifu kuendelea na kazi kama kawaida.
Mungu aingilie kati.
Dah
Kazi iendelee ,🤣🤣🤣 RIP magufuli daima tutakukumbuka
Baba tunakuomba uwe Rais wetu
Mheshimiwa upo vizuri.
Wapi mwamba magufuli😫 mzee wangu mungu akulaze mahali Pema peponi I miss Ur presence dady over 1 billion kweli🤔
Na kuna mtu yuko marekani saizi anapiga picha ili apewe mkopo mwingine yani naumia sana lakini anyway ilo jasho la wanyonge litawalilia siku moja nyie kazaneni tu
Sukuma ndani
Naogopa Majaliwa asije kufukuzwa kazi kwa kutowa siri zao 😢😢 maana huyu mtandao wa majizi ni mkubwa sana na una nguvu hatare.
Kumuua kabisa 😢
Huyu yuko pamoja na Mama
@@messiasulleydidy2585
Mama sijawahi kumuona akifanya izi action ao labda sababu ni mzazi ndio maana anawahurumiya.
@@sonnyr1899 mi nakuambia wako wote kabs
Ubarikiwe saana Kwa kuyakemea hayo madudu
Majaliwa pekeake ndo amebaki kupambana na hii nchi,tatzo la hili li nchi ni likubwa mnoo,akidhibiti igunga anapigwa nachingwea,akidhibiti nachingwea anapigwa loliondo,akienda loliondo anapigwa tukuyu😂😂.yani ni tafrani
Sijaelwa hivi mpaka Waziri mkuu agundue madudu Mkuu wa Wilaya hayupo, Mkuu Mkoa hayupo Waziri mwenye mdhamana yuko wapi??? Shida mfumo haufanyi kazi inabakia mtu mmoja anahangaika peke yake.
Mfumo Wa Ccm Ndio Unaofanya ivyoo Maana Mafisadi Ni wale wale Tu Yani Visadi Alikuwa Mkuu wa wilaya Kesho Anatolea Kwenye Ukuu wa Wilaya. Kesho Anapandishwaa Kuwa Mkuu wa Mkoa Ssa Unafikiri Kuna Mabadiliko gani hapo
Ukisikia Tz elimu tunayopewa ni kwa ajili ya kufaulu mitihani2 unabisha Kuna haja serikali kuanzisha SoMo la uzalendo wa Nchi Yetu toka awali Mpaka chuo kikuu Wenda kidogo tukaeleweka .
Mama anaupiga mwingi sana
Waziri mkuu mungu akulinde na mahasidi maana kazi unaifanya mh
Wabongo bado tunababaisha sana 😄😄
Kwa kweli kuna mambo mengine ukiyaona unaweza ukampasua huyo mkrugenzi makofi!!
Majaliwa nimiongoni mawaziri wakuu bora afrika
Kimsingi huyu mzee mi namuelewa Sana utendaji wake
Yaani kuna hospitali zingine unaenda kutibiwa malaria na unarudi na uti tena
Majaliwa piga kazi mzee watanzania tunaimani na mwenyezi mungu akujalie afya njema
Daah jmn kweli hii nnchi itafikia lengo jaman
PM..pole sana..kwa kazi
Ngumu...mbona watakufanya
Update mvi haraka.
Pole ndugu yangu. Mungu
Akupe afya..umri..na imani..
Inshaallah!!
Waziri mkuu yeye mwenyewe hataweza, kila aendako ni SHIDA.
WASAIDIZI WAKE AMKENI JAMANI.
kasim angeli kamata nchi ingelikuwa
unyama sanaaaa 😡😡😡😡😡😡
viongozi wa apa chini wanafanya kaz
kwa kumzalau mh-rais - na rais mwenye
anacheka nao tu hajui wanamtia doa
namaisha kuendelea kuwa magum
wachek wanazilamba pesa wananchi tunalia na njaa kwani wew rais unashindwa kuwatumbua
Kwa kweli huu ni uhaini....seriously sio sawa.....hivi akiwachapa makofi mtasema je?
Duu kweli watu wanajua kuzipiga pesa hta hawogopi jamani.waziro mkuu anajitahidi lakin ttizo yuko peke yake
ASILIMIA 91🙌
Hizi ndio kazi tulitegemeya Chadema kukosowa serekali kwa wizi unaofanywa na baadhi Ya wafanyakazi ila akaaaaa Wapo bize na mambo yao. Ongera Majaliwa unafanya kazi Nzuri
Unaelewe ulichokiandika? Wewe unaweza kwenda ofisi yoyote ya umma au taasisi ukahoji ishu kama hizi na matumizi ya fedha za serikali? Hii ni kazi ya watendaji wa serikali wakiongozwa na waziri mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa serikali. Ni vile watendaji wa ngazi za chini wanamuangusha kwa kukosa uwajibikaji na kushia kujilimbikizia malundo huku utekelezaji wa ya serikali ukiwa na hali duni. Waziri mkuu pekee hawezi zungukia nchi nzima kuvumbua madudu kama haya, haya ni machche kati ya mengi ambayo hayajafahamika. Mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kupambana na haya.
@@kingdomnjimbi6725
Kaka kwanza nikubaliane na maoni kwa moyo mmoja. Ila platform Za kujieleza zipo nyingi ila upinzani wetu hata kwenye tozo wameshindwa kututetea hio ndio hoja yangu ndugu yangu.
Waachen chadema wanapunguza miiba waliyowekewa. Mliowapitisha bila kupingwa ndo walaumiwe
@@geofrey4403 Endeleeni kuwatetea...Ikulu wataichora chini kwenye vumbi😃😃
Hapa kunakitu watanzania tujifenze tulimpata magufuli akaonekana mbaya Sasa chambuweni kiongozi yupi mzuri
Pole.sana
Daaaa jamani kwani mheshimiwa unakwama wapi kwanini jamani nchi isiwe mikononi mwakooooi????
Mlichekelea Baba Magufuli kufariki lkn Mungu anatupenda wa tz, najivunia waziri wangu mkuu.
Tembea na Bakora Mpaka wakimbie kaz Dadeq zao hawana hata Aibu pesa ushatoka yote lakini bado nchi Ngumu sana hii
🤣🤣🤣
Nakuona mbali baba pambana
Hivi katiba ya nchi na chama,haviruhusu tukampa huyu mwamba nchii hii 2025?,maana hiyo hali anayopambana nayo ipo maeneo mengi ya nchi hii.Matatizo ya wa Tz kwa watu wengine ni fursa,kwa kweli mapinduzi ni muhimu,huyu PM wetu ni mtu sahihi kuwa mkuu wa nchi.
Fanya kazi Mzee,,,,wapo wengi
Hv watumish wezi wezi mbona wanaleta ujinga bado.....mh safisha madudu ayo sukuma ndan wezi aoooo
Nchi imejaa wababaishaji ndo maana viongozi wa juu wanateseka sana
Atalii snaa
Siku moja Kasim Majaliwa ukichaguliwa kuwa Rais nitafurahi. 2030 ni zam yako na Mungu akubariki
Tanzania imeoza rushwa
Hapo hakuna usimamizi mzuri wote niwezi
Dawa ya wasimamizi wabovu kama hawa Waziri Mkuu wewe tumbua hapo hapo,watu wa kufanya huo ukurugenzi wako wengi.Haina haja ya kubembelezana vinginevyo hakuna kitakachoendelea kwenye maendeleo ya nchi.
Fanya kazi mkuu hawa jamaa wanawaangusha fukuza wote
Huyu ndoalifaa kuwa Raisi Mambo yangeenda sawa sawia kwautemdaji kazi wake
Waziri watumbuwe mama hawajuwi hao anaupigamwingi kwenda kutukopea ulaya
Mkuu wa mkoa, wilaya na mkurugenzi wote wafukuzwe.
Haonei mtu, anaongea Kwa hekima zaidi uku akitekeleza majukumu yake, eeh M/MUNGU mpe afya njema.. PM💪
Wamekura ela hao, Sasa Samia Yuko wapi kufuatilia mambo haya au nayeye nae tunawasiwasi nae maana hio kauli mbiu yake imebadilika kuwa wizi uendelee😂😂😂😂
Na wewe hujielewi sasa samia aje afanye nini wakati huyo kassim kamtuma....
Aibu kweli mngewapiga risasi.Huyo mkuu wa.mkoa anafanya.nini, kwa nini asifukuzwe?
Tembelea ofisi za nida na hospitali za serikali wauguzi hawapo
RIP JPM