CHEKI SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA CAF 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 241

  • @Stellah-i6v
    @Stellah-i6v 2 години тому +35

    Much love from Kenya,,, diamond will always be my number one musician

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j 3 години тому +63

    Fans wamond usipite bila like hapa

  • @JumaKibou
    @JumaKibou 3 години тому +35

    Simba kusema kweli bila kubishana anajua gonga like hapo tujuane tunae mkubali simbaaa

  • @AIMEMAS-G
    @AIMEMAS-G Годину тому +9

    Simba Diamond PLATUNAMZ ❤ CAF awards 2024 is fire

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r 2 години тому +9

    Hongera MONDI Kwa Kulamba Bonge la Deal ya CAF!. Utabaki Kuwa Kwa Wa AFRICA Na DUNIA Nzima; God Bless My LUKUGA!.

  • @geraldnyomolelo6376
    @geraldnyomolelo6376 2 години тому +16

    Mondi mungu akupe zaidi. ❤

  • @DaudJafar-l4b
    @DaudJafar-l4b 2 години тому +9

    Umetisha sana mond ♥️🙏 love from S. Africa ❤❤❤❤

  • @MagrethsimoniJonh
    @MagrethsimoniJonh 3 години тому +35

    Mwamba uyu apa lama Simba kama unamkubali like apa😅😅😅

  • @ndannahkashindye19
    @ndannahkashindye19 3 години тому +22

    Hope willy Paul, the hater is watching ❤😂 ...comassava

  • @AlexanderBidyanguze-rv7yi
    @AlexanderBidyanguze-rv7yi 41 хвилина тому +1

    Ni hatari sana zaidi hii ni Tanzanian power Asante Mungu bila kubisha anajua sana Simba

  • @MwombeKevin
    @MwombeKevin 2 години тому +6

    Gonga like ya Diamond mwamba hapa 🎉🎉

  • @DaudLimbe-m9k
    @DaudLimbe-m9k 2 години тому +8

    Well done big boss

  • @KaskilBosco
    @KaskilBosco 2 години тому +7

    kali sana kaka❤❤❤❤

  • @BoniventureJoachim
    @BoniventureJoachim 2 години тому +7

    Good show

  • @Chemba67
    @Chemba67 2 години тому +3

    Will Paul will hate hate himself, imagine after all that shit, Simba went all the way UP to perform in CAF awards, even more advanced level.....Wakenya sijui mna shida gani

  • @omarybishingwa617
    @omarybishingwa617 2 години тому +6

    Diamond for life yan ni 🔥 🔥

  • @ArifJay-r9k
    @ArifJay-r9k 3 години тому +7

    Simple and neat

  • @husseinc
    @husseinc 48 хвилин тому +1

    DiamondPlatnumz

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 години тому +6

    Wa Kenya mpo au mmejipigiria na will pua mnasubialia maandamano kenge nyinyi

  • @spjr8381
    @spjr8381 2 години тому +4

    Gonga like kama unamkubali DIAMOND

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 години тому +4

    Haya wakenya na matusi yenu kwa mwanangu mondi yamewashuka. Alie pewa kapewa hata mngefanyaje hamuwezi.

  • @bonirodi6301
    @bonirodi6301 2 години тому +5

    Giant of Africa diamond 👏 👏

  • @radgamechanger2547
    @radgamechanger2547 14 хвилин тому

    Crew ya pozze's chemistry ni kali kuliko hii ya mond.
    Hype ya pozze iko juu zaidi kwa stage.
    Pozze is a great performer

  • @hakiba1207
    @hakiba1207 3 години тому +11

    Hii show kauwa mwamba

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d 3 години тому +15

    💎💎💎💎💎💎

  • @Big-Simba469
    @Big-Simba469 3 години тому +8

    simba kawakilisha africa nzima sio Tanzania thu 🎉🎉

  • @Saidiamiri-s8i
    @Saidiamiri-s8i 3 години тому +11

    Dakika chache tu mamilioni ya pesa yameingia dah😢

    • @JacobGeorge-eg2ww
      @JacobGeorge-eg2ww 2 години тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 Годину тому

      Kama kenya kwenye furaha festival ya kihuni alichukua USD 150k ambazo ni sawa 400m je huko CAF hazijafika 800m kweli?

    • @irenewile
      @irenewile Годину тому

      😂😂😂😂😂😂😂pole

  • @nelsonyesaya7987
    @nelsonyesaya7987 2 години тому +5

    The baddest man in Africa Simba la masimba dangote🎉🎉🎉😂😂❤

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 2 години тому +5

    wakenya wasione hiii👉👉😂😂👀

  • @YusuphMungi
    @YusuphMungi 45 хвилин тому

    🔥🔥🔥👑

  • @Eunicekairothi
    @Eunicekairothi 36 хвилин тому

    Pozee to the world 🌎🌎🌎 najua wakenya wenzangu mko huju😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HASSANKAMGUNDA
    @HASSANKAMGUNDA 2 години тому +4

    Great job diamond platnumz 🎉🎉🎉🎉

  • @JustineWilliam-g1p
    @JustineWilliam-g1p 3 години тому +9

    ❤❤

  • @AmanRafael-o9k
    @AmanRafael-o9k 3 години тому +9

    nakubali😅😅😅

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 2 години тому +6

    ❤❤❤❤❤❤

  • @NgindoNdingo-nm4in
    @NgindoNdingo-nm4in 2 години тому +3

    Nice

  • @chidmp
    @chidmp Годину тому +1

    Leo ndo mara yangu ya kwanza kukoment vitu kama hivi 😢 naomba mnifundishe jinsi ya ku~like

  • @ancewilly5044
    @ancewilly5044 3 години тому +7

    Sisi wa Kenya hebu tuacheni mdomo Sasa willy Paul ywaeza fanya show km hii kweli tukubalini simba ni simba na willy Paul ni kipanya

  • @devothamgata6316
    @devothamgata6316 2 години тому +4

    ❤️❤️❤️🔥🔥

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 години тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤simba

  • @DanielMetusela-o6j
    @DanielMetusela-o6j 34 хвилини тому

    Willy paulo yukowapi afunge show😂😂😂😂😂😂😂

  • @baheroomary7217
    @baheroomary7217 Годину тому +1

    Na viongozi wakapiga makofii🎉kongole sana kwako mwamba🎉🎉🎉🎉

  • @MussaEnock
    @MussaEnock 2 години тому +2

    Diamond ❤❤❤❤❤❤❤

  • @bungesabaya8062
    @bungesabaya8062 Годину тому

    No time to talk talk ....with idiot people. Proud of being Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @musasulaiman8881
    @musasulaiman8881 Годину тому

    Kiswahili to the world. First African language

    • @musasulaiman8881
      @musasulaiman8881 Годину тому

      Only a few Kenyans want to spoil what Mwalimu made. You can never stop Tanzanian Kiswahili

  • @sophiajuma9815
    @sophiajuma9815 3 години тому +11

    Kenya yote hakuna msanii anaeza Fanya show kubwa km hii

  • @JohnnyKB9
    @JohnnyKB9 3 години тому +4

    Brother

  • @Saidiamiri-s8i
    @Saidiamiri-s8i 2 години тому +3

    🇹🇿 TANZANIA TUNASEMA UBAYA UBWELA 😂😂😂😂😂.

  • @godblessNchwali
    @godblessNchwali Годину тому

    Aliemuona ASHRAF HAKIM akitikisa kichwa ni nan😂😂😂

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 Годину тому +1

    Mpeni Flowers zake simba bana, huyu mbuzi kauwa kinyama.

  • @JacobGeorge-eg2ww
    @JacobGeorge-eg2ww 3 години тому +2

    Gonga like za kutosha kwa simba la masimba dangote

  • @saimonmagaph
    @saimonmagaph 3 години тому +12

    Willy Paul yupo wapi agomanie kupanda kweny stage 😂😂😂😂

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 3 години тому +2

    Diamond mujanja sana anajuwa awa awaelewi nikuwachezesha tyu

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 44 хвилини тому

    Wapi Will will wa Kenya 🇰🇪

  • @abdoulayesow8826
    @abdoulayesow8826 42 хвилини тому

    Simba the best

  • @HamisKapaya-r3r
    @HamisKapaya-r3r 3 години тому +4

    Pozee kakojoe ulale

  • @catherinemanyori6394
    @catherinemanyori6394 3 години тому +5

    Simba la masimba❤

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er Годину тому

    Kenyans kuja hapa muone SIMBA LA MASIMBA ..Kenge nyie
    This is TZ ...😂😂

  • @fatumahashimmcheni9610
    @fatumahashimmcheni9610 2 години тому +1

    Mwamba ajakaa chini toka October yeye ni kazikazi tu alafu mnamsa.oooo ooo nyinyi watu wanajituma

  • @ElijahWilliams-on4fq
    @ElijahWilliams-on4fq 2 години тому +1

    Nikijaribu kuangalia Ile show ya brown ya.

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani Годину тому

    Willy Paul eti yuko Kisumu bada yakiki zake 😂😂😂

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 22 хвилини тому

    Pozzee unaitwa huku🤣🤣

  • @musasulaiman8881
    @musasulaiman8881 Годину тому

    Willy paul!!! You need more than witch craft to even get close to this.

  • @joshuasilas-n8b
    @joshuasilas-n8b 35 хвилин тому

    Kuna wapuuzi wanamuonea Simba wivu,endeleeni kumwita mtakavyo,ila kawanyoosha,Mondi enda kwa speed,wapuuzi bado sana,kimuziki 255 tuko mbali sana.

  • @kingmoney-v7u
    @kingmoney-v7u Годину тому

    diamond platnumz wewe ni Simba akuna zaidi ya Africa na Dunia nzima

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 Годину тому

    Willy pori huwezi kumuona hapa😂😂

  • @OscarFrancis-mx7iy
    @OscarFrancis-mx7iy 2 години тому

    Huyu ata asipopiga shoo kenya kasha toboa hapo yuko raisi wa caf wapo wachezaji mshuhuri duniani...labda wakina marioo na wenzake wasipopiga shoo kenya ndio watateseka sana lakini sio kwa huyu mwamba tuacheni wivuu tumsapoti mtanzania mwenzetu azidi kuitambulisha Tanzania tuwaombee wengine waache wivuu wapambane na wao wafike kimataifa

  • @MutulaTheofile-m8u
    @MutulaTheofile-m8u 34 хвилини тому

    Kauwa mwamba

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 Годину тому

    Ka pozee ndio kanataka kushindana hiz level😂😂😂😂😂

  • @kapinda
    @kapinda 2 години тому +1

    Madensa wote hoa wanini???

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 Годину тому

    Huyu Mwamba ni Level ingine kashindikana😂😂

  • @ErastoNzibonera
    @ErastoNzibonera 2 години тому +1

    Mbona wili poul ajapanda au anataka kufanya fujo ugenini tena

  • @AllyHashim-c9c
    @AllyHashim-c9c Годину тому

    🙌🙌🙌

  • @BrianMuchela-kf9sq
    @BrianMuchela-kf9sq 2 години тому +1

    Simbaaaa zake hapa

  • @BobNahimana-bn7qp
    @BobNahimana-bn7qp 42 хвилини тому

    Kwa kweli sio Kali haistuii

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 3 години тому +1

    Simba la masimba ni hatari sana.Huyu mwamba ni balaa jingine.

  • @leakeypimps7876
    @leakeypimps7876 2 години тому

    Sasa ameamua kucopy pozee😢😢😂😂😂😂..team pozee for life✌💥💪💪

  • @Deephonce
    @Deephonce Годину тому

    huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu wiiiiiiii kashindikana

  • @NajmaMohamed-v2d
    @NajmaMohamed-v2d 28 хвилин тому

    Mambo c kama hya alie pewa kapewa hongera mond, wasio kupenda imekula kwao

  • @comm611
    @comm611 3 години тому +2

    félicitations simbaaaa

  • @MtumeYakobo
    @MtumeYakobo Годину тому

    Ameiba style ya willy Paul juzi akiingia nayo furaha festival ata kuingia

  • @YassinNchombe
    @YassinNchombe Годину тому

    Mondi kama mond❤❤😂

  • @BekaBoss-jl9my
    @BekaBoss-jl9my 3 години тому +1

    Diamond bro Twende naloo sasa 🤸🤸🤸🤸🤸

  • @NelsonBomanKidabuya-x9m
    @NelsonBomanKidabuya-x9m Годину тому

    Haujui

  • @NasmaChambi-ro4el
    @NasmaChambi-ro4el 2 години тому +1

    Ameweza mwamba🎉🎉🎉

  • @ErickyKatunzi
    @ErickyKatunzi Годину тому

    Shida hapo kawapaisha wakongo na wa south Africa

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 2 години тому +2

    Wakenya mpoooooo Tanzania ni habari nyingine

  • @smartgangempire6136
    @smartgangempire6136 Годину тому

    Hawajamwita harmonize mbona

  • @Moshiguillaume
    @Moshiguillaume 2 години тому +1

    Safi sana lama Simba lama Simba dangote

  • @DonijaplatnumzDonijah
    @DonijaplatnumzDonijah 3 години тому +3

    Wa Kenya m'poo 🫣

  • @mizumo6935
    @mizumo6935 49 хвилин тому

    Hakuna alichoimba watu wametulia maana wanaona kaja kucheza nyimbo zake tu wala hana alichoimba kwa watu wanaojua mziki wanaòna kabisa kuwà jamaaa kapuyanga

  • @Mwangize
    @Mwangize Годину тому

    Mtumie video Will Paul aone ndo ajuwe diamond is in another level

  • @FatumaKipita-h4l
    @FatumaKipita-h4l 3 години тому +1

    Mwamba uyo ❤❤❤❤❤❤

  • @JosephJulius-pr8rh
    @JosephJulius-pr8rh 15 хвилин тому

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @kassima_Ally_kidago
    @kassima_Ally_kidago Годину тому

    Giniiiii❤❤

  • @dicksonkalinga6747
    @dicksonkalinga6747 2 години тому +1

    ❤❤ Simba 🎉🎉🎉

  • @ycmrpondis1537
    @ycmrpondis1537 2 години тому

    Willy Paul is typing...😂😂😂😂

  • @ahmednoor1412
    @ahmednoor1412 Годину тому

    Mwajuma wa Kenya atakuwa wa mwisho

  • @SalumMusa-f5l
    @SalumMusa-f5l 2 години тому +1

    Muda sio mrefu anaingia winnie mapozee

  • @SaidyKasase
    @SaidyKasase 2 години тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥