WAZIRI MKUU AKUTA MADUDU Kwenye MWENDOKASI, AMBANA MKURUGENZI - "TUNAIBIWA, UPO TU"..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 233

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 3 роки тому +21

    HAWAJUI TUNA KIDUME BABA MWENYE NGUVU NA AKILI NYINGI WAZIR WANGU MPENDWA.
    They don't know we still have strong man in Tanzania our pM God protect and bless you tenda haki tumbua kwenye ulazima mtangulize Na mwogope Mungu pekeee zidisha uzarendo Hakika historia ya nchi hii haitakusahau nakuombea kwa Mungu Baba mbaka nalia naumwa❤️❤️🇹🇿

  • @newlandcityc.e.oprincejr2629
    @newlandcityc.e.oprincejr2629 3 роки тому +17

    Kama anapita njia za magufuli weka like🔥

    • @sharefazngepar8646
      @sharefazngepar8646 2 роки тому

      Yan kama namsikilixa magu 😭Allah akupe afya njema majaliwa🤲

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому +19

    Waziri mkuu safi sana ukieenda namna hii tutafika mbali sana. Hongera sana

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      Kabisa, magufuli aliacha legacy zake ambazo ndo waziri mkuu na wengine

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 3 роки тому

      Kabasa waziri wetu ndio tunakutegemeeni nyie mkuu hongera nikwelii umegundua kitu hapoo mungu akutanguliye mbele mkuu

    • @rashidmshindo1527
      @rashidmshindo1527 2 роки тому

      waziri mkuu ndiyo anaefanya kazi awo wengine sijui vipi sasa mumuuwe na uyo tuone

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 3 роки тому +18

    Hongera sana Mh.Majaliwa,,,Kazi iendelee,, tumuenzi Mh.JPM kwa vitendo.. Mungu ibariki Tanzania Yetu...

  • @monicamtenga
    @monicamtenga Рік тому

    Waziri mkuu uko vizuri nakupenda Sana kwa njisi unavyachapa kazi Mungu akulinde.

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 роки тому +15

    Ndio uliebaki baba tunakutegemea sana baba tulibaki yatima tupe faraja

  • @saidjuma8560
    @saidjuma8560 3 роки тому +6

    Chapa kazi waziri mkuu tuko nyuma yako mungu atakunusuru na mabaya

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 3 роки тому +14

    Pm WAZIri mkUU tunakupenda Sana BABa kuwa makini nawalimwengu tusikupoteze Kama Baba jpM utachukiwa Sana ukienda na staili hi lakini jipe moyo nnakuombea na nnaamini wapenda MAENDELEO nchi hi wanakupenda na kukutegemea msimamizi wetu🙏🙏🙏❤️🇹🇿🇹🇿👏

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 роки тому +4

    Mheshimiwa majaliwa komaaa baba msaidie mama yetu samia

  • @maryamjumah
    @maryamjumah Рік тому

    Mashaa allah raisi mtarajiwa tanzania nakuombea dua nyingi baba

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 роки тому +4

    Kiongozi hadi anakuja ofsini kwako ana full information za hapo huwezi mdanganya hata kidogo big up Mheshimiwa Majaaliwa tumbua tu

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Рік тому

    Hongera waziri wetu ,mwenye ukali wakweli uchungu na Tanzania,unasema tunakuelewa,unaekemea kwakituo,Mungu akuweke kura yangu mpka mbinguni nitakupa.Kweli nchi unaijua vyema

  • @esteresterester4360
    @esteresterester4360 3 роки тому +7

    Magufuli is back

  • @davidelias6730
    @davidelias6730 3 роки тому

    Mungu atupe viongozi wa namna hii jaman wainyooshe Tanzania yetu hatuwataki viongoz wanaojali masrai yao wenyew waje tushike jembe huku wayajue machungu yaupatikanaji wa fedha Safi sana waziri mkuu wetu kwa kazi nzuri

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 3 роки тому

    Waziri mkuu uje ugombee urais mama akimaliza kwamana namuona Mzee Magu ndani yako

  • @alfredibrahim756
    @alfredibrahim756 3 роки тому +4

    Kwa kweli Huyu ndiyo Majaaliwa tunaemfahamu piga kazi kiranja wetu tunajua utatuvusha

  • @OmarOmar-ew9zs
    @OmarOmar-ew9zs 3 роки тому +2

    I feel like MAGUFULI is still alive from majaliwa heart

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 роки тому +2

    Nimeamini mheshimiwa Rais Samia alikua na kila sababu yakumuacha mh Majaaliwa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu safi sana tunategemea kuions Tanzania mpya

  • @mghuna
    @mghuna 3 роки тому +10

    kazi na iendelee kauli mbio

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      Yes kauli mbiu

    • @controlroom2365
      @controlroom2365 3 роки тому

      Kweli kauli 🏃🏼‍♂️ iendelee

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      @@abcxyz5211 hapana ndugu Sina ndugu anayeitwa Kevin

  • @iddshechambo7866
    @iddshechambo7866 3 роки тому +8

    Kazi iendelee

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 3 роки тому

    Katika team iliyobaki wewe peke yako ndiyo una machungu na nchi yetu. Wengine wote sasa wanaona ndiyo muda wa kutuibia . Nakuombea Waziri mkuu Mungu akulinde Magufuli spirit itaendelea kuwapo hao vibaraka wa mabeberu bado hawajashinda mapambano bado yataendelea.

  • @johnmlay4759
    @johnmlay4759 3 роки тому +4

    Safi baba ondoa hiyo mizigo coz mradi huo ulivyoanza ulikuwa tegemeo na ulileta matumaini kwa watumiaji lakini mwishowe umekuwa mzigo na wananchi tunaona bora daladala kuliko Haya, tunaomba kuwepo kwa management adilifu na yakizalendo ili mradi huu ukatoe huduma kama ilivyokusudiwa, waziri mkuu tuna imani nawe baba fanya kazi kwa uzalendo huohuo kwa ajili ya watanzania wanyonge na hata Allah atakubariki na kukuzidishia pia kukulinda

  • @isaacmgaya2067
    @isaacmgaya2067 3 роки тому

    That is it comrade Kassim Majaliwa. Keep it up. Do it. Cull the incompetent. Keep the Magufuli spirit living.

  • @rashidmlayi3035
    @rashidmlayi3035 3 роки тому

    Mzee MAJALIWA na Tazara hayo yapo kama utaweza kutembelea tafadhari sana baba kabla haujaondoka dar

  • @matatalomu8650
    @matatalomu8650 3 роки тому +3

    I am beginning to love what the TZ president and PM doing after the departure of our beloved JPJM. Big up sir. Hapa Kazi tu

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 3 роки тому +2

    Naanza kurejesha Imani

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 3 роки тому +1

    Mawaziri walikua hawatumbui mzee alikua anatumbua mwenyewe tuu Sasa Madudu yaliyopo watatumbua mama na wengine akiwemo KIDUME

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 роки тому

    Allah akufanyie wepeci katka kazi yako Mkuu nakuaminiya hayo ndio tunayoyataka maeneleo

  • @benithabuberwa1553
    @benithabuberwa1553 3 роки тому

    Asante Mungu kwa waziri mkuu anae jari

  • @rosetreffert6727
    @rosetreffert6727 3 роки тому +1

    Viongozi wengine ni Mizigo TU wamelia viti na kula mishahara ya Bure!
    ASANTE SANAA WAZIRI MUNGU AKULINDE KATIKA KAZI ZAKO

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph8982 2 роки тому

    Ni nchi ya mungu hio kuweni makini

  • @omarymagembe6306
    @omarymagembe6306 3 роки тому +5

    Vzr Sana Mheshimiwa

  • @newlandcityc.e.oprincejr2629
    @newlandcityc.e.oprincejr2629 3 роки тому +1

    Acha nilie kwa furaha nakupenda bure majaliwa una nitoa machoz naona kama magufuli ameamka tena😭😭

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 3 роки тому +2

    Ee BABA tulindie Majaliwa

  • @giftwilliam3388
    @giftwilliam3388 3 роки тому

    Kwa kweli baba Bora tu umeona mheshimiwa yaani usafiri umekuwa ni wa meteso Sana

  • @abuumbegu8657
    @abuumbegu8657 3 роки тому +1

    Kwa kawaida waziri mkuu ndio Rais wa Tanganyika, piga kazi baba!!!

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Рік тому

    Mheshimiwa tunakuusudu sana piga kazi tuwakilishe

  • @msabahafarijara2656
    @msabahafarijara2656 3 роки тому +1

    The next president

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 3 роки тому +3

    Kamuhuri ya muungano kazi iyendeeeee

  • @husenihabibu3047
    @husenihabibu3047 3 роки тому +5

    Hapa kazi tu Kaka tumbua hawo

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 3 роки тому

    Safi sana waziri wangu mungu akulinde zidi ya maadui zako

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 3 роки тому +1

    The only Magufulist left

  • @jameswarioba8791
    @jameswarioba8791 3 роки тому +7

    2025 KMM for President mama achape lapa

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      👍👍👍👍👍👍

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      Na atakiwasha kweli

    • @matinazaidi
      @matinazaidi 3 роки тому +1

      James kaaa kimyaaaaaa! Utaharibu mambooooo tuliaaaaaa kakangu wasije kuanza kumpiga majungu! Umesahau juzi tu wakati mzee wetu ametutoka walikuwa wanampiga majungu mama asimrudishe coz wanajua huyu ni jembe! Naomba tumshukuru mama yetu kamrudisha...achape kazi. Mengine shiiiiiiiiii

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      @@matinazaidi kabisa ndugu kwa ujuzi aliopata kwa jpm na ujuzi wake binafsi kwa kweli naona kipindi chake tutaenda kushuhudia mapinduzi makubwa ya kiuchumi tena kwa ufasaha zaidi

    • @matinazaidi
      @matinazaidi 3 роки тому +1

      @@johnmlay4759 kabisaaaaa bro ila tutulie kwanza tumuunge mkono mama yetu apige kazi vizuri...mama hana makuu utashangaa anapiga 5 yake anaamua kukaa pembeni kwani amekuwa kwa Uongozi wa ngazi ya juu kwa muda mrefu sasa hana tamaa mama yetu. Tuache kwanza apige kazi muda ukifika tutaanza sasa kuongea yetu yaleeee!

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 3 роки тому +6

    Waziri mkuu umefanya jambo jema.hutakiwi kupepesa macho hii ndo inavyotakiwa kila mtu kwa nafasi yake.Jamani watanzania wenzangu ukipewa dhamana au kazi tuaajibike na kuheshimu kazi,kila mtu kwa nafasi yake.

  • @moiseogai9070
    @moiseogai9070 3 роки тому

    Majaliwa fanya kazi wewe ndio mlisi wa magu mungu akuongoze vizuri

  • @makitandungu2604
    @makitandungu2604 3 роки тому

    umenikuna sana muheshimiwa, hao jamaa walikua wanakera sana na hawajali

  • @hadijamatola5230
    @hadijamatola5230 3 роки тому +3

    Yani wewe 😭😭😭 ndio tegemeo letu kaka MUNGU akusimamie

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 роки тому +3

    Leo baba yangu Majaliwa umenipa Raha sanaaa MUNGU akutangulie style ile ile ya JPM kutoka juu ya gari na kusikiliza kero za wanainchi papo kwa papo

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 3 роки тому +2

    Piga kazi baba nakazi iyendelee tu jamani tanzania yetu tunaipenda kidogo unatufuta machozi talatibu ingalau mungu ibaliki tanzania mungu wabaliki naviongozi wetu🙏🙏

  • @mariamlucas6922
    @mariamlucas6922 Рік тому

    Mungu anakuona tunataka watu Kama Hawa wewe ni raisi tayari pambana baba

  • @bernadphilipo1013
    @bernadphilipo1013 3 роки тому +3

    Tulizoea kasi hiii watanzania hongeraaxana wazirimkuu afadhali umeleta matumain kidogo kwa wengi

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 роки тому +2

    Afrika kweli kuna utopolo mtupu

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 3 роки тому +3

    Kesi za uhujumu uchumi ni kama hizo. Moja kwa moja hao waende segerea

  • @seiphomary3435
    @seiphomary3435 3 роки тому +5

    Kuna nyakat ndio unaona kwa nn china wana nyonga watu

  • @abdulswamaduathumani2791
    @abdulswamaduathumani2791 3 роки тому

    Safi sana PM huo ndo mwendo tunaoujua sisi hawa waajiliwa wenu msipowakazia wapo tu hawana huruma

  • @احمدالخروصي-ل8ك
    @احمدالخروصي-ل8ك 3 роки тому

    Safi sana majaliwa hapa kaz tu tumbua hiyo mijipu

  • @samwelngussa2969
    @samwelngussa2969 3 роки тому

    Ahsante waziri wngu kwa kuliona hili

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому +6

    Wafanya kazi wengine nishida kwakweli.wanakuwa makini tu kuomba kazi wakipewa ndio basi.atumbuliwe tu

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 3 роки тому

      Wengine ni mizogo tu wanakalia vitu na kula mishahara ya bure

  • @Akilihq
    @Akilihq 3 роки тому

    Raisi wetu 2025

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 3 роки тому +1

    Walifikia tumeishiwa kumbe tuna komando KM, yaani majaliwa =Magufuli by 100%

  • @alphaally5592
    @alphaally5592 3 роки тому

    Waziri uendeleee n.a. nguv iyoiyoooooo baba

  • @alikarisa
    @alikarisa 3 роки тому

    Mkurugenzi kazi huna kuanzia sasa. Ummi Mwalimu teuwa Mwainge

  • @hajxnasb3849
    @hajxnasb3849 2 роки тому

    2022 bado Mabus Machache tunateseka

  • @peragiaisdor6315
    @peragiaisdor6315 3 роки тому

    Kazi iendeleeeeeee baba💪

  • @elasydeogratias832
    @elasydeogratias832 3 роки тому

    I trust you

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 роки тому +5

    I wish wewe ndo ungekuwa rais

  • @makitandungu2604
    @makitandungu2604 3 роки тому

    mwendo wa rocket muheshimiwa viva

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Mh Majaliwa wtz bila kuwafatilia hawaendi kabisa, hvyo huu Uwe tu ni utaratibu wa kila Mara kufanya hv.

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 3 роки тому

    Waambie hao wanatuchosha na usafiri umekuwa mgumu!!!

  • @TheMacdonald230
    @TheMacdonald230 3 роки тому +2

    Ukisikia kalinye kalinye ndo hii sasa

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому

    Hongeren sana majembe yetu allah awaongoze

  • @lamanzanisenyagwa1523
    @lamanzanisenyagwa1523 3 роки тому +4

    Shikamoo wazili yani unatusaidia sanawazili?

  • @ahmedjuma3602
    @ahmedjuma3602 3 роки тому

    Kimeumana

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому

    Heeeee mkuu huyoo hafai mkuu kavaa tai buree

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 роки тому +4

    Watumbuliwe tu kama mbwai iwe mbwaitu

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 3 роки тому

    Baba wewe mwshimiwa kasim majaliwa kasim wewe ndie tumaini la watanzania utakae ponya maumiivu ya kuondokewa na jemedar wetu mzalendo wa kweli jpm mbadalawake niwewe baadae ujekua raisi wa jamuhuri ya muungano hakika majeraha ya kumpoteza jpm yatapona mungu akupe uhai mrefu

  • @revdrseni
    @revdrseni 3 роки тому

    vitu vingine vinakasirisha sana. Yaani hata mambo madogo madogo wanashindwa kurekebisha. mfano ...aani

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 3 роки тому

    Safi Sana mkuu pga kazi

  • @anithajoseph2110
    @anithajoseph2110 3 роки тому +2

    🔥

  • @ZakiaSaid-d3f
    @ZakiaSaid-d3f 6 місяців тому

    Wazirmkuu maeneoyite

  • @ramadhanmaganga7311
    @ramadhanmaganga7311 3 роки тому

    Duuh kolona imeharibu gia box🚘

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 3 роки тому +4

    Hapo ndopo unapoona timu ya mh inavyofanya kazi kwa uwazi zaidi tunakuombea dua nyingi sana MH rais wetu mpendwa saa ingine tulikuwa tunaibiwa bila kijua kwani watu walizibwa midomo wasiongee ukweli kwa wongo wa watu wasiyojulikana MH rais tunakuelewa sana sisi wananchi wako walala hoi

  • @dicksonabel3966
    @dicksonabel3966 3 роки тому +1

    Nipeni kazi hyo niwa audit kila siku hawa jamaa lazima faida ionekane

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 3 роки тому +2

    Piga kazi PM Nakuelewa sana Mzeee

  • @mmetvonline7521
    @mmetvonline7521 3 роки тому +2

    HUU NDIO URITHI WA KAZI ALIOTUACHIA HAYATI MAGUFULI, KIZAZI NA KIZAZI UTAENDELEA HAKIKA HAYATI MAGUFULI ATAENZIWA SIKU ZOTE. TUNAIMANI KUBWA SERIKALI YA RAIS WETU SAMIA.

  • @khatibsharif9485
    @khatibsharif9485 3 роки тому

    Oyooooooooo bora baba tubalishie hao watu wamezidi

  • @SaidChambi
    @SaidChambi 5 місяців тому

    Waziri mkuu uondoke nae

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 3 роки тому

    Wazir nmekupenda chapa kaz eendelee namwona babang hap analala vizur

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 роки тому +1

    Kimeumaaaaaa

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 3 роки тому +1

    Gear box zimekufa kwa Corona haya Sasa wasomi wetu mnatufikisha wapi na elimu yenu? Mnashindwa kujibu mashwari mepesi mazito mtaweza ,

  • @noelimafwele602
    @noelimafwele602 3 роки тому

    Bravooo

  • @edrisalusonge4141
    @edrisalusonge4141 5 місяців тому

    Mama mtafute Aly Hali ni jembe sana sana

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 3 роки тому +2

    Wameshiba pesa hao hawa ndo wanarudisha taifa nyuma wanafaidi wao tu na familia zao

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 3 роки тому

    Huyu ni wakufungwa kaiba sanaaa

  • @benardsenguji8254
    @benardsenguji8254 3 роки тому +1

    Jamaa wa kamera Ametafuta chozi la mkurugenzi kwa nguvu. Ka zoom kakuta patupu

  • @thedeo472
    @thedeo472 3 роки тому +1

    Mashine za kusoma tiketi ziliharibiwa makusudi ili watu waibe kwa urahisi!!

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 3 роки тому

    Tumuombe mungu awe raisi wetu 2025 huyu

  • @seducerkapero7306
    @seducerkapero7306 3 роки тому +5

    UKIMUANGALIA MAJALIWA GHAFLA UNAJIKUTA UNATAMANI KATIBA INGEKUWA TOFAUTI NA ILIYOPO SASA ...WENYE AKILI WATAKUWA TAYARI WAMESHA NIELEWA.

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 3 роки тому

      Katiba ndio nn kuna nchi zinaendeshwa bila katiba acha kukariri

    • @seducerkapero7306
      @seducerkapero7306 3 роки тому

      @@mayaally2512 WENYE AKILI WATAKUWA TAYARI WAMESHA NIELEWA.

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 3 роки тому

      @@seducerkapero7306 🙄🤣🤣

    • @jameslyimo662
      @jameslyimo662 3 роки тому

      @@seducerkapero7306 Hatujakuelewa.

    • @seducerkapero7306
      @seducerkapero7306 3 роки тому

      POLE...ILA"WENYE AKILI WATAKUWA TAYARI WAMESHA NIELEWA".naona wewe si mmjoja wapo.

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому

    Mmmmhhhhuyo mwenyewe atakuwa mwizii huyoo mbona machoo makavuuu

  • @ibrahimrashidi7904
    @ibrahimrashidi7904 3 роки тому +2

    Nina imani alipo lala jembe letu magufuli anafalijika kwa kuwa amekuacha wewe majaliwa kasim piga kazi baba