Ahsante sana kwa briefing ya Less na simba wanyika, mi nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa less wanyika, na nilimpenda sana Prof Omar kwa ile rithim guitar alivyokuwa anaicharaza, na uongozi wake kwenye band ya less wanyika. Cheers
Bila shaka aliyetekwa kimapenzi na sugar mummy ni Wilson peter Kinyonga na siyo William peter kinyonga, William alikuwa mdogo wao, Hawa akina kinyonga walikuwa watatu, Wilson, George na William.
Rekebisha taarifa hii. Kiongozi WA bendi alikuwa WILSON PETER SIO William Les Wanyika ipo Hadi Leo inaongozwa na Tom Malanga na Sijali Zua Please make correcttion
Ahsante sana kwa briefing ya Less na simba wanyika, mi nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa less wanyika, na nilimpenda sana Prof Omar kwa ile rithim guitar alivyokuwa anaicharaza, na uongozi wake kwenye band ya less wanyika. Cheers
Amina
Thanks for briefly
wimbo wa kwanza kutungwa na Les wanyika unaitwa Jesca
Nishawai kusikia hitoria
hii, ndugu hawa ni wa tatu Willson, peter, na. George
Hao watatu walikuwa George Peter Kinyonga, Wilson Peter Kinyonga na William Peter Kinyonga.
Bila shaka aliyetekwa kimapenzi na sugar mummy ni Wilson peter Kinyonga na siyo William peter kinyonga, William alikuwa mdogo wao, Hawa akina kinyonga walikuwa watatu, Wilson, George na William.
Asante kwa masahisho
Aliyepo Leo ni mdogo wao wiliamu pita kinyonga
mtangazaji hayupo makini
🙏🏽🙏🏽👏👏👏
❤🧡💛💚💯👍👍👍👍👍🌹🌻🌷
Rekebisha taarifa hii. Kiongozi WA bendi alikuwa WILSON PETER SIO William
Les Wanyika ipo Hadi Leo inaongozwa na Tom Malanga na Sijali Zua
Please make correcttion
Kweli. Kiongozi alikuwa Wilson Peter Kinyonga.
Like
Mziki ulikua Zamani xiyo xaxa matuxi na majivuno
Umegundua hlo
Kweli kabisa siku hizi ni kukataviuno tu hakuna mashiri mazuri kama zamani
Kwaiyo nani yupohai hadileo
William kinyongo bado yupo Nairobi lakini anamatatizo ya kiakili
Nisaidie kupata Wimbo sirikutu
Nitumie namba yako niku2mie