Thank you so much. Mimi naishi Amerika but Mkenya. I have always wanted to understand hasa Historia ya Wana Simba Wanyika, the WAkinyongas. Ningependa Kupata A COPY of this book. I have always enjoyed listening to Simba Wanyika
Great..!!, Abbu wewe ni hazina na mfano wa kuigwa, kwanzs kama mwanamuziki lakini pili kama mwandishi kwa muktadha wa kitabu chako cha "Maisha Yangu na Bendi Za Wanyika"
Hongera sana Abuu, umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa Simba na less wanyika. naomba kitabu chako cha kiswahili, nielekeze namna ya kukipata haraka.
Amenikumbusha sana habari za bombasi club pale Nairobi nilikuwepo pale mwaka 1998 hakika historia ni kitu kizuri sana .kama nikiwa hai nitakwenda Tena!!!!
Hawowanamuziki anaowasema kina kinyonga niwatu wa Tanga pamoja na issa juma hawojamaa huyu mwandishi wakitabu hajuihawa wanamuziki wametoka kijiji gani kule Tanga hawo wamezariwa sehem moja inaitwa kizara hawawanamuzikm
Niko arusha ntapataje kitabu hicho cha kiswahili na wewe uko wapi ? Kuna duka la vitabu hapa arusha linaitwa kase book shop ukituma hapa ntakipata . HONGERA SANA KAKA
Nakushukuru Abu. Omar kwakuandjka historia ya wanyika jumla. Mwakaka1983 Dec nilikutana nyumbani CHOGORIA Simba walivokuja huku. Sherehe ya krisimasi
Great history of my beloved band with lots of life teachings.
Kazi nzuri sana kitabu fresh mno
Thank you so much. Mimi naishi Amerika but Mkenya. I have always wanted to understand hasa Historia ya Wana Simba Wanyika, the WAkinyongas. Ningependa Kupata A COPY of this book. I have always enjoyed listening to Simba Wanyika
Saf sana kaka Abuu
Abbu Omar hii ni kazi nzuri sana. Nashukuru kwa historia hii
Ukweli
Great..!!, Abbu wewe ni hazina na mfano wa kuigwa, kwanzs kama mwanamuziki lakini pili kama mwandishi kwa muktadha wa kitabu chako cha "Maisha Yangu na Bendi Za Wanyika"
Good work
Hongera sana Abuu, umenikumbusha mbali sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa Simba na less wanyika. naomba kitabu chako cha kiswahili, nielekeze namna ya kukipata haraka.
Melodica stores
Hongera sana Prof. Junior
Kilakitu umesema bravo about omari good
Uko vizuri aana beo, itabidi tuonane
Can you also give us a narration on Charles Ray Kasembe
Umefanya Jambo Ambalo halitasahaulika.kazi Nzuri Sana
Amenikumbusha sana habari za bombasi club pale Nairobi nilikuwepo pale mwaka 1998 hakika historia ni kitu kizuri sana .kama nikiwa hai nitakwenda Tena!!!!
Bombax Pale Ngong Road Mkabala Na AGIP Petrol Station Ilibomolewa Miaka Mingi Iliyopita Siku Hizi Kuna Junction Mall Pahali Hapo.
Amefanya kazi kubwa sana huyu jamaa anatufundisha mambo mengi.is it a good job I will buy this book it is a historical epoch!!!!!
Kazi nzuri kiongozi
An incredible story teller, bravo bwa Omar!!
Safi sana mkuu kazi njema
Hongera good job
Hongera pro
Braza unajua hasa
kazi nzuri
Kitabu kinauzwa bei gani
I would appreciate a copy. Where can I buy?
Melodica stores in Nairobi
nakipataje
Melodica stores Nairobi
Hicho kitabu kinauzwa shilingi ngapi na kinapatikana wapi Mimi Niko masasi
Hiki kitabu nitakipata aje hapa Ulaya.
Vitabu kwa Tanzania vinapatikana wapi
Kitabu kinapatina wapi?
Kitabu nanunua wapi?
Hongera Sana mkuu,kitabu hiki naweza pata wapi
Mimi nipo iringa
Hawowanamuziki anaowasema kina kinyonga niwatu wa Tanga pamoja na issa juma hawojamaa huyu mwandishi wakitabu hajuihawa wanamuziki wametoka kijiji gani kule Tanga hawo wamezariwa sehem moja inaitwa kizara hawawanamuzikm
Niko arusha ntapataje kitabu hicho cha kiswahili na wewe uko wapi ? Kuna duka la vitabu hapa arusha linaitwa kase book shop ukituma hapa ntakipata . HONGERA SANA KAKA
Good
I have checked on Amazon can’t find this book. Where can I find it?
Mimi nipenzi
Bro hauna website umeweka hii Kitabu?
Hi pro junior hapa Nairobi tutaipata wapi?
Melodica stores
Nitapataje nakala Kenya kaka.
0729 829697 Nuria Bookshop
Naomba nakala ya kiswahili tafadhali Abuu 💪💪👍👍🔥🔥
Vitabu kwa Tanzania vinapatikana wapi