KWANINI UJI WA KEKI UNAKATIKA?/WHY DO BUTTER CURDLE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • Butter Curdling
    1. Temperature Of Ingredients
    2. Add Liquids In Stages
    3. Correct Amount Of Liquids
    4. Mix/whist Correctly
    5. Think Of Using Cake Enhancers

КОМЕНТАРІ • 48

  • @YousraSalimMohamad
    @YousraSalimMohamad 3 місяці тому

    Kweli kabisa inanikera

  • @subrasaid9619
    @subrasaid9619 2 роки тому +1

    Yaani juzi tu ndio nimetokewa na hiki kitu. Niliumia sana. Asante ubarikiwe.

  • @maalimshabani2640
    @maalimshabani2640 2 роки тому +2

    Ahsnt mziwand

  • @estherjacob7874
    @estherjacob7874 11 місяців тому

    asante sana

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 2 роки тому

    Thanx my best hakika Nami Nilikuwa napata shida hii sasa leo Nimepata jibu asante.. Mungu akutunze best

  • @bitrisipatrick3477
    @bitrisipatrick3477 2 роки тому

    Asante dada nimekuelewa vizuli sana

  • @kudralyimo7321
    @kudralyimo7321 2 роки тому

    Shukran dia

  • @mwarneynadir2974
    @mwarneynadir2974 2 роки тому

    Asanteee Kwa darasa zuri mungu akubariki

  • @juliethgodfreylusaulwa2543
    @juliethgodfreylusaulwa2543 2 роки тому +1

    Nakupenda MZIWANDA UNANIFURAHISHA SANA NAELEWA SANA NIKIKUSIKILIza 💗

  • @ghanimaali4507
    @ghanimaali4507 2 роки тому

    asante sana kwakweli ww simchoyo ubarikiwe

  • @zarneexhaindian9139
    @zarneexhaindian9139 Рік тому

    Na kwann inakua na ukakasi ukila an ikiwa ya moto nzur kama kawaida lakin ikishapoa tu inakua na ukakasi au kwa sababu naitia kwenye friji kabla haijapoa? Naomba sababu

  • @AminaKhalid-e8m
    @AminaKhalid-e8m 7 місяців тому

    Improvers ni kitu gani

  • @olipamisana2249
    @olipamisana2249 Рік тому

    Mm imenitokea kwenye kuchanganya icing sugar na blueband ndo vimekatika shida nm

  • @agnesngonyani6161
    @agnesngonyani6161 2 роки тому

    Ni kweli, inakata na inajitenga na ute wa yai yaan butter juu na majimaji chini

  • @TeddyMushi-m3y
    @TeddyMushi-m3y Рік тому

    Samahani ety kama huna mixer unaweza brend ute wa yai?

  • @aminamollel5725
    @aminamollel5725 2 роки тому

    Ahsante sana Mziwanda ila naomba kuuliza ni lazima keki kuweka maziwa?

  • @wematony9792
    @wematony9792 2 роки тому +1

    Kweli imenitokea Hadi keki inakatika yenyewe ilivo laini, nitafanyia kazi najua nitakuwa nilipiga sana

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 Рік тому

    Improver ndo nn

  • @marykassanga1537
    @marykassanga1537 2 роки тому

    Nashukuru kwa kunielewesha kwani hta mie ilinitokea

  • @EstherJohn-x1d
    @EstherJohn-x1d Рік тому

    Kwani dada Hadi maji tunaweza kuweka??

  • @SeciliaOmary-ei6su
    @SeciliaOmary-ei6su 7 місяців тому

    Hello nataman sana kujua kutengeza kek maana nikitu nachopenda toka moyon lakin kila nikijarbu inatoka vibaya

    • @agnescharles9746
      @agnescharles9746 5 місяців тому

      Mtafute mwalimu akufundishe live class au kama uko busy tafuta online class pia ingia you tube jifunze

  • @mitchellwambui5289
    @mitchellwambui5289 2 роки тому +2

    Your voice is sooo soothing big up from 🇰🇪 kenya

  • @haykamsuya1893
    @haykamsuya1893 Рік тому

    Nambo kujua nozzle nibey gani dazan

  • @muznasilima5978
    @muznasilima5978 2 роки тому

    Asante dada nimependa ila iyo improver ni bei gani inapatikana wapi

  • @MadamRehemaRamadhani
    @MadamRehemaRamadhani 2 роки тому

    Asante mwalimu wangu mzuri. Hivi kuna tofauti gani kati ya cake gel na cake improver

  • @monicarashid3851
    @monicarashid3851 2 роки тому +2

    Kwa cake ya kilo 1 improver natakiwa wela kiasi gani?

  • @maalimshabani2640
    @maalimshabani2640 2 роки тому

    Unawez kusaga kwenye brend

  • @maryrogers7141
    @maryrogers7141 Рік тому

    Nimechanganya katika utaratibu wote lakini keki yangu inakuwa haichambuki na inakauka kabla ndani haijachambuka

  • @stellakimario4607
    @stellakimario4607 10 місяців тому

    😢na mimi jamanii najaribu hii ya pil inakatika sasa vipimo itakuwaje

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 2 роки тому

    Mimi nikitaka kupika cake or waffles kila kitu natowa usiku inakuwa in room temperature

  • @fatmahussein4563
    @fatmahussein4563 Рік тому

    Mi huona cake ukaweka improver inatoka radha halisi ya cake eti

  • @hajraissa5089
    @hajraissa5089 2 роки тому

    Ukikatika keki ukipika inakuaje

  • @joycemnzava2079
    @joycemnzava2079 2 роки тому

    Hapa kwenye kuweka mayai yote ndio ninakovuruga

  • @vivianrobert7136
    @vivianrobert7136 2 роки тому +1

    Juzi nilijaribu kupika keki lkin uji sukari iliyeyuka ikawa chini na juu ndo likaja hilo povu Yani kama niliweka maji😭😭😭 sijui nilikosea nini

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Fuatilia hizi sababu na uzingatie upigaji wako please

    • @vivianrobert7136
      @vivianrobert7136 2 роки тому

      @@mziwandabakers8297 kesho tukiamka salama ntajaribu tena...

  • @rodgercross9144
    @rodgercross9144 2 роки тому

    ᑭᖇOᗰOᔕᗰ 😇