ICING SUGAR RAHISI SANA/ICING BUTTER CREAM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Margarine 200g
    Icing Sugar Powder 1000g
    Water 1/2 cup
    Flavour 5mls/1tsp

КОМЕНТАРІ • 353

  • @zaitunilyimo9012
    @zaitunilyimo9012 2 роки тому +45

    Thank you so much my sis nimepata tabu butter cream zinavimba baada ya kuremba keki nimejaribu yako cake imekauka nimefurahi sana unafundisha kitu halisi haufichi fichi kama wengine. Mwenyezi Mungu akubariki sana sana 🙏❤

  • @khadijaseif3897
    @khadijaseif3897 9 місяців тому +7

    Mimi naomba vipimo vya icing butter mfano keki ya robo nitumie vipimo gani na keki ya nusu nitumie vipimo gani vya butter icing ambayo itatosha kupamba keki yang

  • @mahranrashma1745
    @mahranrashma1745 2 роки тому +13

    Ulichokifundisha ndio uhalisia dada, nimejaribu imetoka vizuri sana. Asante dada. Mungu akuongozee mambo yako ufanikiwe zaidi. Ameen. Lots of luv 😘

  • @hidayandimini9036
    @hidayandimini9036 8 днів тому

    Asante na hongera kwa darasa zuri, Allah akupe umri mrefu na akuvushe na maradhi amiiin

  • @sharifamrisho8012
    @sharifamrisho8012 2 роки тому +5

    Unajua hadi unakera safi sana mungu akulipe kubwa kuliko ulilofanya sio mchoyo my

  • @ZiadaKhamisi
    @ZiadaKhamisi 11 днів тому

    Habari nafurahi unavyotufundisha mm napata changamoto kwenye kupamba kwa kutumia butter keki haiwi nzuri

  • @SalomeYamo
    @SalomeYamo День тому

    Woooow unajuaa hongeraa.
    Naomba kujua hiyo icing Suger zinauzwaje bei yake .
    Mana mm nilijuaa sukari za kawaida tu

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 2 місяці тому

    Nakupenda mziwanda bakery Mungu akubariki sana

  • @aminamollel5725
    @aminamollel5725 3 роки тому +3

    Ahsante sana tena sanaaaaaaa, ilikiwa inamisumbua sana hii

  • @HalimaFikirini
    @HalimaFikirini 3 місяці тому

    Iko perfect kabisa

  • @HurumSanko
    @HurumSanko 2 місяці тому +1

    Asanteee dada na jee, kwenye keki robo natumia vipimo gani

  • @adellamlay9334
    @adellamlay9334 7 місяців тому

    Asante Sana dear nimejifunza kitu maana Mimi niliambiwa nitie limao kidogo Ndiyo itakuwa ngumu kumbe si lazima.

  • @elizabethedward3749
    @elizabethedward3749 2 роки тому +1

    Mungu abariki kazi ya mikono yako, najifunza mengi sana kutoka kwako🙏🏼🙏🏼❤❤

  • @agnesmtenga6820
    @agnesmtenga6820 2 роки тому +2

    Nimeipenda,nitajaribu na nitakupa mrejesho

  • @victoriakabota4976
    @victoriakabota4976 2 роки тому +1

    Yani we ni mwalim mzuri tunakuelewa sana

  • @zulekharamadhan2016
    @zulekharamadhan2016 Рік тому +1

    YAANI MUNGU AKUWEKE AKUZIDISHIE UMRI UZIDI KUTUFUNDISHA MIMI HAPA KUTOKA KENYA MOMBASA NIMEJUA KUPIKA CAKE KWA SABABU YAKO NIMEFATA HATUA BAADA YA HATUA NA NDIO MARA ILIKUA MARA YA KWANZA MWAKA JUZI SAI NATENGEZA CAKE NAUZA NIKIKWAMA NAINGIA KWA YU TUBE ZAKO MOJA BAADA YA INGINE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ MUCH LOVE MY DEAR

  • @ChristinaKimaro
    @ChristinaKimaro Місяць тому

    Unajua Kupika keki dada yangu mungu akubariki

  • @user-nz6yz1us4g
    @user-nz6yz1us4g Рік тому

    Good stuff I like it

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 2 роки тому

    Asante dd ninakufatiriya nikiwa 🇧🇮 nikijariwa kupata mutaji NITAKUTAFUT iri unijuze zaidi❤️

  • @evaizengo808
    @evaizengo808 Рік тому

    Najifunza sana , natafuta naanzajw kuwa mtengenezaji mzuri na msabambazaji

  • @DorineAgaziva
    @DorineAgaziva 25 днів тому

    Nimekupata vizuri sana

  • @emillianapaulo462
    @emillianapaulo462 2 роки тому

    asante sana dada kwa somo,hili.mungu akuinue.kazi yako.

  • @eliasshekalage9232
    @eliasshekalage9232 3 роки тому +1

    Maji unatumia ya moto au baridi love

  • @emmynilesh8742
    @emmynilesh8742 3 роки тому +1

    Ubarikiwe mpnz wangu nilikua napata shida kweli kumbe n rahis namna hii hailavyuuuuu❤️😘😘

  • @jacklinejohn7380
    @jacklinejohn7380 2 роки тому +1

    Hello madam mm nimekuwa nikkfuatilia sana but changamoto yng kubwa ni kuhusu kupika keki yaan nikipka keki huwa inakuwa na mlima for sure siipend hii hali na time nyng huwa inapsuka na kuvujia kweny ile mipasuko kitu ambacho kinafanya keki ichelewe kuiva hayo maeneo

  • @MamyTriple-gc5dy
    @MamyTriple-gc5dy 9 місяців тому

    Nmekupenda sanaa

  • @HalimaFikirini
    @HalimaFikirini 3 місяці тому

    Iko perfect kabisa 8:55

  • @shadyamnanka1342
    @shadyamnanka1342 3 роки тому +1

    Mashaallah Aunt navutiwa sana na ninapenda kujua kupika keki pia nahitaji kufundishwa kuazia kupika keki na nk na mie niko mwanza naomba niwe mwanafunzi wako nakupataj?

  • @witnesspeter6602
    @witnesspeter6602 Рік тому

    Nashukuru kwa somo,je naweza funikia hiyo na maua hiyohiyo

  • @DianaDioskori
    @DianaDioskori 3 місяці тому

    Wow❤❤

  • @kiwengaambari1331
    @kiwengaambari1331 6 місяців тому

    Waweza kutumia Brenda ya juis

  • @NeemaTemba-x1x
    @NeemaTemba-x1x 18 днів тому

    Asantee dada Kwa somo sasa kwenye keki ya robo naweka icing sugar kias gan? Halfu luhusu rangi nawekaje sasa

  • @rosemarypeter9232
    @rosemarypeter9232 2 роки тому

    Ahsanteee umenifunza kitu

  • @HadijaOmary-xv6kd
    @HadijaOmary-xv6kd 6 місяців тому

    Asant my nimejifunza

  • @NeymaAlly-rr5xz
    @NeymaAlly-rr5xz 3 місяці тому

    Asant sana

  • @salmandege3961
    @salmandege3961 2 роки тому

    Asante sana mzuwanda mi nilijaribu ikakauka ikawa ngumu kumbe nilikosea sana

  • @RighnessJurius
    @RighnessJurius Місяць тому

    Naweza kutumia kimbo

  • @EverlyneRutto-rc6on
    @EverlyneRutto-rc6on 3 місяці тому

    Asante sana Kwa mafundisho nitafanya hivi kuremba keki Kisha nikupe matokeo 👍

  • @ruthpastory9521
    @ruthpastory9521 3 роки тому +1

    Asante dear kwa somo,swali langu kama hyo butter nataka kuandikia maua na kufunikia cake naeza igawa?inafaa pia kufunikia?

  • @LaikaJ000
    @LaikaJ000 4 місяці тому

    Naomba vigezo vya kujiunga

  • @jumagodi9116
    @jumagodi9116 2 роки тому +1

    MMI bado dada kabisa tatizo vipimo nakosea sujui

  • @rehemarajabu49
    @rehemarajabu49 3 роки тому +2

    Iv Radha unayoweka kwenye keki,unaweza kuweka Radha nyingine kwenye buttercream namaanish mbili tofauti

    • @eliwanguminja593
      @eliwanguminja593 2 роки тому

      Yes inawezekan kabisa my dear mfano umetumia ladha ya strawberry kwa keki kwenye buttercream unaweza weka buble gum

  • @yasintamtui8609
    @yasintamtui8609 3 роки тому +1

    Asante dear.
    Kwa recipe hii inaweza kukaa mda gani kwa matumizi

  • @raudhatmohammed1927
    @raudhatmohammed1927 2 роки тому

    Mashallah Dada napenda kumjuwa kupamba keki nitaanza kujifunza Na kufuatilia

  • @RahmahDuah-gn8xm
    @RahmahDuah-gn8xm 7 місяців тому

    Mashallah mm nimgeni kwenye chanel yako ila nimependa sana my Shukurani

  • @SuzyKibendela
    @SuzyKibendela 3 місяці тому

    Ahsante sana ntakupa matokeo

  • @violanyamwihura7573
    @violanyamwihura7573 3 роки тому +5

    Thank you very much for your tutorials. Which margarine brand are you using, blue band?

  • @RayCutee7
    @RayCutee7 4 місяці тому

    Dada mm bado nashindwa kutengeneza kabisa eti

  • @IrakozeShanella
    @IrakozeShanella 9 днів тому

    🎉

  • @janethmunisi7199
    @janethmunisi7199 Рік тому

    Asante ntajaribu kutengeneza

  • @AhmedSaid-wc7fv
    @AhmedSaid-wc7fv 2 роки тому +2

    Dada asante sana kwa mafunzo sijajaribu bado ila swali langu ni kwamba hata hizi blueband za kupima si naweza kutumia?

  • @fatmatwalib8408
    @fatmatwalib8408 Рік тому

    Hongera na ahsante sana
    Hii unaiweza kuitunza kwa muda gani?wenye friji au nje ya friji?

  • @sisitadumshamba7754
    @sisitadumshamba7754 Рік тому

    Asant dadaangu je naweza kuipaki sehemu na ikakaa ata mwezi bila kuharbika

  • @winnieshayo1826
    @winnieshayo1826 Рік тому

    Salute kwako many, ur de best

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому

      ❤❤

    • @matildalukumai6520
      @matildalukumai6520 Рік тому

      Mambo dear naomba msada oven yangu ni hizi ndogo kuset moto nimeshindwa keki haziivi. Naomba msaada niset ngapi juu na chini niset moto ngapi na kwa dakika ngapi?

  • @florenceadhiambo8622
    @florenceadhiambo8622 6 місяців тому

    I still have a problem with the cream. Could u please repeat the lecture once more. Thank u.

  • @dinajunior9790
    @dinajunior9790 2 роки тому

    Nilipata changamoto butter cream haikauki ngojea nikatumie njia yako mungu akutunze

  • @KhadijahMndeme
    @KhadijahMndeme 4 місяці тому

    Somo zuri napenda kuuliza unaweza kuigawa hii recipe

  • @user-xp9bt9pl8n
    @user-xp9bt9pl8n 9 місяців тому

    Asante.niliweka maji mengi nilivyopamba ikayeyuka.je rangi ya unga inafaa kwenye cream butter?

  • @BeritaOtieno_KE
    @BeritaOtieno_KE Місяць тому

    Asante sana

  • @ireneraphael3351
    @ireneraphael3351 2 роки тому

    unaweza tumia brenda

  • @FatmaSaid-y7w
    @FatmaSaid-y7w 2 дні тому

    Me inanisumbua sana wakati wa kupaka katk keki idont no what's the problem

  • @annamarry2033
    @annamarry2033 3 роки тому +1

    Keki ya robo au nusu inahitaji icing sugar na blueband kias gani kutengeneza Butter cream

    • @zaitunilyimo9012
      @zaitunilyimo9012 2 роки тому

      Hii recipe unaweza kupunguza ukayanya nusu yake nimejaribu ya 100g butter na icing sugar 500g imetoka bomba na imekauka kama alivyofundisha dada yetu

  • @janetmilgo503
    @janetmilgo503 Рік тому

    Good

  • @SekelaMwangosi
    @SekelaMwangosi Місяць тому

    Mm huwa nikipamba keki ile icing inabanduka hata kama ni nzito cjui nakosea wap naomba kujua

  • @HudhaimaSuleiman
    @HudhaimaSuleiman Місяць тому

    Assalam alaykum mm yang haijaw vizur

  • @yappylunyali8145
    @yappylunyali8145 2 роки тому +3

    Je naweza tumia kimbo kutengenezea butter?

  • @user-ew2ne8jm8t
    @user-ew2ne8jm8t 8 місяців тому

    Asante sana nimejifunza

  • @beatriceopondo48
    @beatriceopondo48 10 місяців тому

    Baada ya kutengeneza keki Nini hufuata haswa ya pili

  • @fatimamohammed3463
    @fatimamohammed3463 Рік тому

    Thank you nikfanya my cakes melt fast if stays out of the fridge is it because I put it on the fridge?

  • @sostenesswai778
    @sostenesswai778 3 роки тому

    naomba kuuliza nikiweka maj ya chungwa badala ya ljmao nisahihii

  • @HalimaFikirini
    @HalimaFikirini 3 місяці тому

    Samahani dada naomba ivo vipimo vya icing butter

  • @estherakinyi2622
    @estherakinyi2622 Рік тому

    Asante Sana kwa mashauri yako

  • @zippyphoepy9507
    @zippyphoepy9507 Рік тому

    Siz Kwan huwa tunaeka maji I thought we mix butter and icing sugar only until ikue white and fluffy

  • @fatmahussein4563
    @fatmahussein4563 3 дні тому

    Ukitumia hiyo butter huwa haiwi white naona

  • @eastcuisines124
    @eastcuisines124 3 роки тому

    asante dear naomba utufundishe royal icing

  • @eliethkwesigabo1990
    @eliethkwesigabo1990 3 роки тому

    Asante nimejifunza kitu

  • @dayanayahya2667
    @dayanayahya2667 Рік тому

    Butter cream yang inakua na chenga chenga haiwi soft ivo

  • @MishyNjoroge
    @MishyNjoroge 4 місяці тому

    Aki thanks sana❤

  • @aminasuleiman7084
    @aminasuleiman7084 Рік тому

    Hbr mm nauliza hiv unaweza kutengeneza icing sugar kwa sukar ya kawaida na isichuruzike

  • @ketrapetro4591
    @ketrapetro4591 2 роки тому

    Nemependa.

  • @ketrapetro4591
    @ketrapetro4591 2 роки тому

    Naomba kuwa mwanafunzi mpya kutengeneza icing butter cream na na cake

  • @dianamkapa3324
    @dianamkapa3324 3 роки тому +2

    Unafundisha vizur sana... nakupenda bure ❤️

  • @marynaeku3355
    @marynaeku3355 Рік тому

    Asante sana ,nilikuwa nauliza hii icing sugar ni sukari yenye imesiangwa ama nini?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому

      Ni sukari ya aina hiyo inavitu vingine ndani yake sio sukari ya kusaga

  • @mamyswedy
    @mamyswedy Рік тому

    Asante sana ubalikiwe

  • @rosemagawa8011
    @rosemagawa8011 Рік тому

    Madam Latha lazima utumie Moja tu.

  • @ilumbikemauwa1962
    @ilumbikemauwa1962 2 роки тому +1

    Natena umetumia icing sugar grams ngapi ndani ya iyo margarine 200g? Mara nimeona 500g Tena kwa mwisho ukaandika 1000g sikuelewa kabisa

  • @sarahlyimo8798
    @sarahlyimo8798 2 роки тому

    Niceee👌 Atleast nimejifunza kituu

  • @fatumasaidi1806
    @fatumasaidi1806 Рік тому +1

    dada Bado nasumbuka kipimo Cha maji naomba ufafanue zaidi

  • @christinaikombe7905
    @christinaikombe7905 Рік тому

    Au inakuwa hvyo

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 10 місяців тому

    Nimependa ufundishaji wako napenda nunua noso rose Maya ya na ten gene za and?

  • @jamalsalim2661
    @jamalsalim2661 3 місяці тому

    Naeza tumia maziwa baada ya maji?

  • @bettykavishe6703
    @bettykavishe6703 2 роки тому

    Asante sana mziwanda cakes u made me happy dear

  • @FatmaMohamed-yv2vl
    @FatmaMohamed-yv2vl 3 роки тому +2

    Shukran jazila dada😍 naomba kujua hii buttercream ya leo ni kwa ajili ya maua tuu? Au unaweza itumia kufunikia keki?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому +3

      Hii ni nzuri kwa maua bila kuongeza maji,ila ukitaka kufunikia keki ongeza maji kiasi cha 1Tbsp tu ili ikauke vizuri

    • @FatmaMohamed-yv2vl
      @FatmaMohamed-yv2vl 3 роки тому

      @@mziwandabakers8297 shukran jazila dada 😘😘

    • @renathajames2540
      @renathajames2540 2 роки тому

      Naweza kupata namba zako za simu tafadhari, ili niendelee kujifunza zaidi na zaidi?

  • @syliviamgina6213
    @syliviamgina6213 2 роки тому

    Ahsante kwasomo nilikuwa nauliza kwamba unaweza kupambia keki yote au kwajili ya mauwa tu. Maana nikipaka huwa unagandia kwenye sahani wakati wa kukata keki atanikiweka kwenye friji.
    Msaada please...🙏🙏

  • @subra7215
    @subra7215 2 роки тому

    Shukran Sana,ili nauliza which is gd is it butter cream or whipping cream

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      It depends on the ones need, both are good accordingly

    • @subra7215
      @subra7215 2 роки тому

      @@mziwandabakers8297 thnkx dear

  • @halimasaidhamis1657
    @halimasaidhamis1657 2 роки тому

    Mimi nataman kujua namna ya kutengeneza faundant

  • @JacquelineMatiku-fy1nt
    @JacquelineMatiku-fy1nt Рік тому

    Pia naona ulifundisha butter icing kwa kutumia whipping cream.kwaio unaeza tumia both icing sugar na whipping kutengeneza butter icing?

  • @annamsemwa1946
    @annamsemwa1946 2 роки тому +1

    Misaada icho kilichochanganywa na ilcing ni nini?

  • @apostlebenrube954
    @apostlebenrube954 Рік тому

    Nataka kujuwa upjshii

  • @anithageorge164
    @anithageorge164 6 місяців тому

    Naomb kufahamu hyo machine unayotumia n ipi na machine nzur ya kuchapia ni ipi?