Maneno, ujumbe (wokovu wetu unaopatikana kwa Kristo pekee), shooting na rhythm ya wimbo vinaufanya uweze kujenga kiroho kwa yeyote atakayeusikiliza! Mwenyezi Mungu awabariki waliofanikisha kazi hii nzuri
Ninakupenda Yesu wangu asanteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi nzuri muliotuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
what a beautiful and sweet song.the message of the song is super amazing😍,,,sauti nazo niseme nini.Tamu zaidi,nyimbo kama hizi ndizo zinafanya nijivunie kuwa mcatho daima,Mungu awabariki
Utupe moyo imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina tuwaombee wasio na waombenzi wangojwa wafungwa na ndugu zetu walioko katika maangaiko vita wapate amani nchi zao amina
Leo tarehe 12 2022 mungu wangu unilinde watoto wote duniani asa wanaitaji maitaji muhimu apa duniani amina yesu kristor wangu uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Akh jameni balanced and clear sounds waah ,, nambarikiwe zaidi kwa utagazaji wenu wa neno la Mungu,,, namiss kuwajoin but its possible,,, I love your company
Unampenda Yesu mkombozzi na muumba wako, nakubali .Viipi kumsahihisha kwa uumbaji wake wanaake wenzangu hizo nywele za bandia hebu mtukuzeni Mungukwauumbaji wake tafadhali.❤🎉😢
GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🤣🤣🤣🤣🤣🙏😊 bless to everyone and God 🤣🤣🤣🤣🙏 bless to everyone and God 🙏😊🙏 bless to everyone and God bless to everyone
I can't stop listening to this beautiful song makes me to cry and my live to Jesus nice song blessed to the composer and singers the piano player keep up sure it's a beautiful prayer and praise to our Lord sure even Jesus in Heaven smiles to this song I love you Jesus Amen be blessed
This is one of the stars and uprising African Catholic gospel group I adored so much. Their voices and piece are so well balanced and sweet to hear. The dance and mix is a classic. I'm from the US and don't understand the lyrics but as long as our great Lord is praised I'm in. I'm recording 4 gospel chorals from UA-cam and would appreciate if you keep posting the rest. Love you beautiful choir and hats off to the creator and the choir master for such a creative art. God continue to shine upon you brothers and sisters in Christ.
Ninakupenda Ninakupenda yesu musarabani ulikufa kwaajili yangu namm nakurudishia sifa na utukufu unawewe muumba wetu nawaombea uzima na afya njema wa wanakwaya mwote

Namtukuza Yesu aliye hai kupitia wimbo huu ,naurudia kuutazama mara nyingi ,Tubarikiwe sote.Amina
Kama ulikuwepo nauangaliaga muda wote❤
Ninakupenda Yesu wangu asanteni sana watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iyi nzuri muliotuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Lina
shukran watumishi wa mungu mbarikiwe
😊
what a beautiful and sweet song.the message of the song is super amazing😍,,,sauti nazo niseme nini.Tamu zaidi,nyimbo kama hizi ndizo zinafanya nijivunie kuwa mcatho daima,Mungu awabariki
Emiliana@200
Sɛ
❤❤❤❤❤❤❤❤Mi nakupenda yesu wangu❤❤❤❤❤
Utupe moyo imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina tuwaombee wasio na waombenzi wangojwa wafungwa na ndugu zetu walioko katika maangaiko vita wapate amani nchi zao amina
Merci mingi n'a mzembo Kotoko
Yezu akuzwe! Ninziza cyane mukomerezaho ni Gilbert ikigali
ni nziza byo!
Leo tarehe 12 2022 mungu wangu unilinde watoto wote duniani asa wanaitaji maitaji muhimu apa duniani amina yesu kristor wangu uwe nasi siku zote amina upokee maombi yetu amina ulinde family zetu kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina
Kazi safi, Tanganyika na kwaya. Shebash. Ujumbe umfika.
Asanteni wimbo mtamu mpaka kiu imekata ghafla baada ya kusikiriza nimebarikiwa🥰🙏🙏🙏❤
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Duuuuu, wimbo mzuriii mzuriiii mnoooo. Barikiwa sana waimbaji wote
Nyimbo nzuri sana hongereni sana kwa uwimbo wa baraka
Hongereni Sana Wanakwaya Wetu..Mmefanya Kazi nzuri Sana Ya Uinjilishaji..Mungu awatunze na muendelee kulitangaza Jina la Bwana
Mbarikiwe Sana kwa wimbo uliotukuka mikononi mwa BWANA
Nice song,, wimbo mzuri sana hongera kwao kwaya pendwaa🙏
Hongereni sana, Mwenyezi awabariki kwa kazi nzuri ya uinjilishaji .
HONGERENI kwa kuenjilisha kupitia uimbaji, Mungu awabariki sana
Kazi nzuri Sana. Fanyeni Zaid ya hapo, uwezo mnao
Asanteni kwa uinjilishaji mwema kupitia sauti nzuri.
mungu awabark sana watumishi wa mungu
Mbarikiweee kwa ujumbe mzuri kwelii wewe umeniweka huru kwenye maisha yangu. Asanteee yesu nitakutumikia daimaa milele yote.
asifiwe milele mungu wetu.kuimba muzuri ni kuomba Mara mbili.
Hongereni sana kwa wimbow wenu mzuri mungu awaimarishe katika utume wenu
Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji kupitia nyimbo Amina ❤❤
Nimependa sana hi kwaya jaman mungu wa zidishie baraka zake🙏
Hongera mbarkiwe Sana kwa utume wa uimbaji. Naamini mtasonga mbele ktk Imani tukilinda kwa pamoja mafundisho ya Bwana na Kanisa.
Jamani wimbo mzuri sana wanasongwe big up sana nyumbani
Hongera zao wote walioimba hakika ipo fresh sanaaaah
Vous connaissez les paroles
Nahisi furaha........mungu awabariki #sisemikitu
Kazi nzuri sana. Hongereni sana
Wimbo mzuri sana nimeupenda ntaupaje
Nitaipataje volume mzima wa nyimbo zenu. DVD ama CD.
Ninapenda sana Mwafaka wa wimbo huuu! Very harmonised song!!
Kaka Simon mrigo kazi nzuri sana na Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Asante sana kwa wimbo mzuri sana how lovely Jesus I love you I can't say ,thank you
Mungu azidi kukubalika mtunzi wa huu wimbo wabalaka kwa watu mungu akuzidishe zaidi kwa jina la yesu amen 🙏
aksanti sana mubarikiwe kwaya yetuuu.niko Congo n'a penda sana iyiii wimbo
Naombeni copy ya huo wimbo....one of my fevorite song....mmenibariki kwakweli
Kazi nzuri sana🙏
Mubarikiwe sana Kwa wimbo mzuri
Vraiment beau ... J aimerai bien correspondre avec cette chorale
Ubalikiwe sana madam katka kazi Yako uko vizur mungu awe pamoja nawewe 🙏🙏
Hogereni Sana kwa wimbo huu una gusa wengi xana
Good job nimeupenda sana huu wimbo
Kazi nzuri mungu awabariki sanaa
Very wonderful song, Praise to the Lord Jesus christ
Nabarikiwa sana na huu wimbo
Akh jameni balanced and clear sounds waah ,, nambarikiwe zaidi kwa utagazaji wenu wa neno la Mungu,,, namiss kuwajoin but its possible,,, I love your company
I mean it's not possible but Mungu ametuuganisha kiroho
So nice song mbarikiwe
This like my daily......... I listen to it every day. Pls someone interprete for me
English
Hakka mungu anaweza so thanks God
Hongereni Sana waimbaji wote, wimbo mzuri sana ujumbe umejitoshelezi, mbarikiwe sana
Santeni sana kwa wimbo wenu washukrani kwa Yesu Kristu .Mbarikiwe sana.HONGERENI SAAAANA!!!!!!.
mubarikiwe wapendwa
Am in lov with this song it moves me wueh the voice and the message Am really blessed
Wimbo safi kweli hongereni sana
Kazi nzuri Sana congore kwa walishiriki na waandaaji,✨💥💥🎇
Nmemuona madam Maweni high school good
Hongereni,kazi ya Mungu iende mbele
Que Dios bendiga a este coro de catholic African gospel, bendito sea Dios con sus ángeles y sus santos❤😂
Nimewakubaili kinoma jamani mbarikiwe. Mmefanya kazi ya kutukuka.
Amen mubarikiwe saaaana watoto wa Maria amen
Hii merod nimeipenda hakika
Unampenda Yesu mkombozzi na muumba wako, nakubali .Viipi kumsahihisha kwa uumbaji wake wanaake wenzangu hizo nywele za bandia hebu mtukuzeni Mungukwauumbaji wake tafadhali.❤🎉😢
Nous l'avons chanté le dimanche de Pentecôte, c'était juste wahou.
Gloire et honneur à Dieu.
Toute langue confesse qu'il est Seigneur.
🇨🇬🙏🏾
Hongereni sana, wimbo mzuri sana Mungu awasimamie ktk kumwimbia.
Wimbo bora wa Mwaka 2022! Kila siku lazima nisikilize huu wimbo. Mbarikiwe sana
Hongeren sana kwa kazi nzuri, mziki mzuri, melody iko vzr. Mungu awabariki
Llllllll
Ll
Llllllllllllllllllllllllllllllllllllpllllllllllllllpllllllllll
Lllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
Hongera sana kwa kazi nzuri, Mungu azidi kuwapa afya njema mwendelee na uinjilishaji
Hongereni, basi nasisi tunaomba notes zahuu wimbo
Yes nan jezi ki gen la vi
Boa noite respeitados/respeitadas,juntos somos fortes, Pastor d igreja Missionaria Escolhendo AVida
Kazi nzuri sana hongereni
GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🤣🤣🤣🤣🤣🙏😊 bless to everyone and God 🤣🤣🤣🤣🙏 bless to everyone and God 🙏😊🙏 bless to everyone and God bless to everyone
Mubarikiwe watumishi wa Bwana Kwa kazi njema ya utume
Am Blessed with this. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 May you be Blessed too.🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Stp tu as les paroles de ce son
Hongereni kazi nzur Mungu awabariki
Je ne comprends certes pas la langue! Mais c'est tout simplement merveilleux. Que Dieu bénisse.
Nimekubari hii kazi nzuri kweli!
Wawooh mziki mzuri Sana 🙏 to
Mmefanya vizuri sana kwa maneno yakubariki ndani ya wimbo
Amina mubarikiwe saaaaaana watoto wa Maria amen
Ni akipenda yese wangu
Listening April 2022, a good song. Ni wimbo mwafaka~happy PALM Sunday in advance
Mungu nimwema mkwajunia yetu imekuwa nawapenda wote nimewamiss sana sana namuona Edina mwalimu wile na Vero nawapenda
hongereni wanakwaya wimbo mzuri sauti nzurii
Hongeren Kaz nzuri
Wimbo Naupeda sana, thanks a lot I can’t stop watching this one every now and then, God bless you all the choir for making this
safi sana. naomba nota
I can't stop listening to this beautiful song makes me to cry and my live to Jesus nice song blessed to the composer and singers the piano player keep up sure it's a beautiful prayer and praise to our Lord sure even Jesus in Heaven smiles to this song I love you Jesus Amen be blessed
❤
Mbarikiwe sana tunabarikiwa from Drc❤🎉
This is one of the stars and uprising African Catholic gospel group I adored so much. Their voices and piece are so well balanced and sweet to hear. The dance and mix is a classic. I'm from the US and don't understand the lyrics but as long as our great Lord is praised I'm in. I'm recording 4 gospel chorals from UA-cam and would appreciate if you keep posting the rest. Love you beautiful choir and hats off to the creator and the choir master for such a creative art. God continue to shine upon you brothers and sisters in Christ.
Mmependeza sana mbarikiwe sana kwa kutangaza injili kwa njia ya uimbaji hakika yesu ni uzima wetu ametuweka huru
This is so good, the blend of the voices
Mubarikiwe sana Kwa wimbo huu mungu wetu ni ana upendo katuumba Bure bila gharama yoyote nipo huru hajatupa deni la kumlipa tumtukuze sana tumwabudu
God is indeed great.. a Very nice and touching song
Ninakupenda yesu wangu mokozi wa maisha yangu nice song
❤amina daima tumwimbie bwana katika robot namelist ❤❤❤I
Hakika kwa Mungu kuna rahaa. Kubwa wakristo tujiunge na uinjilishaji wa nyimbo
Ninakupenda Ninakupenda yesu musarabani ulikufa kwaajili yangu namm nakurudishia sifa na utukufu unawewe muumba wetu nawaombea uzima na afya njema wa wanakwaya mwote
Mbarikiwe sana sana
Asanteeeeee sana Kweli mnanifurahisha The way mnavyonesa na Ujumbe pia umenigusa Kweli❤
Sio Siri mungu awabariki sana kuimba Raha Sanaa,wimbo huu unanibariki sana cjui niseme nn,hii ndio Roma dini yangu naipenda sana ukatorik raha