STEVEN MUKWALA SKILLS AND GOALS USAJILI MPYA WA SIMBA 2024 2025
Вставка
- Опубліковано 28 чер 2024
- STEVEN MUKWALA SKILLS AND GOALS USAJILI MPYA WA SIMBA 2024 2025, STEVEN MUKWALA SKILLS, STEVEN MUKWALA GOALS , STEVEN MUKWALA CV, STEVEN MUKWALA , CV YA STEVEN MUKWALA , UWEZO WA STEVEN MUKWALA , VIDEO YA STEVEN MUKWALA , VIDEO ZA STEVEN MUKWALA , STEVEN MUKWALA HIGHLIGHTS, HIGHLIGHTS STEVEN MUKWALA , STEVEN MUKWALA SIMBA SC, STEVEN MUKWALA ASANTE KOTOKO HIGHLIGHTS
- Спорт
Hapa tumepata machine ya kusaga na kukoboa🎉🎉
Analijua sana Goli jamaa
Leo utopolo walikua wanaka keki ya harusi
@@ShadidaSaidi-bs5os wajinga sana wanasherekea na makeki wakati wanamsiba mkubwa mlezi wao aliowasaidia wakati wa shida leo hawajali msiba wake kisa player
@@ShadidaSaidi-bs5os 🤣🤣
Kweri bhana bos karud
@@furahasimon215 Boss kacheka 🤣
SIO KILA MKWALA UNALIPA,MIKWALA MWINGINE NI YA OVYO
🤣
Huyu ni m2
Mchezaji anaonekana tu
Ligi itachangamka sana.
usajili wa Simba ni mzuri
@@raphaelkisaka4098 Tusubirie mambo ya uwanjani sasa
Kila mwaka huwa ni mzuri kwa Kolozdad ila league ikianza ni mwendo wa kubadili viwanja tu
Striker mashine kumamake
@@ellysadock7428 Tusubirie Ligi ianze
Hili ni jitu kwelikweli yaani Mpaka wakome Nyuma mwiko😅😅
Kazi wanayo hawa machawa 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
@@kirapadiherbalstv9953 Ligi ianze au Isianze?
Hana sumu
@@lewismpangala927 kwanini
Wamemchoza mo watafulah
Waache wajitengenezee keki ya halus
Miaka 24 babu uyo😂 Tumepigwa peupe
kwahiyo anamiaka mingapi?
Diara kazi anayo😅
Mbona kama hamna akili mashabiki wa simba mnaocomment diara atapata shida Kwan msimu mzima wanacheza simba na yanga huo ni ushamba Bado mna mawazo ya kusajili kwa ajili ya yanga siyo kwa malengo ya kujenga timu yenu punguzeni ushamba nyumbu nyie
Bacca atakua anamtizama TU akifunga
Kwan kaka ukajua simba wana hasira na nan hap tz zaid ya yanga @@Jeyb07.
@@Jeyb07.😅
Kuna mshut kaupiga huo😂😂
Mmekwisha
wamekwisha nyuma mwiko
Hahaha
Tunae agande Bacca
1999 mwaka wake 😅😅