MBWADUKE:OHOOO! BEKI KIBOKO YAO NI HUYU/ MAGOLI YA OVYO-OVYO SASA BAASS..!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 46

  • @charleslucas4365
    @charleslucas4365 9 днів тому +3

    Mbwaduke nakukubali sana

  • @deogratiusdaud3577
    @deogratiusdaud3577 9 днів тому +1

    Mkuu unaumanya kisawasawa mpira wa miguu
    Big up!

  • @lesemomole6286
    @lesemomole6286 9 днів тому +1

    Mchambuzi wangu Bora wa muda wote huwa namaliza bando kwa kusikiliza uchambuzi wake
    God bless you brother

  • @user-cz7lp1le4e
    @user-cz7lp1le4e 9 днів тому +2

    Big up mbwaduke pamoja sana

  • @AbelJoseph-ef8bf
    @AbelJoseph-ef8bf 4 дні тому

    Baba unajua sana nakupenda unajua sana

  • @setheliazery8168
    @setheliazery8168 9 днів тому +1

    Kweli umekuwa mwalim mzuri wa ball na enjoy sana kwa statistics unazotoa , thanks

  • @farajmanuar3589
    @farajmanuar3589 9 днів тому +2

    Uchambuz mzur sana mwl wa mpira..

  • @nicholausrutayuga4458
    @nicholausrutayuga4458 7 днів тому

    Asante Mbwaduke

  • @user-rg7tx2cc1l
    @user-rg7tx2cc1l 8 днів тому

    Anayejua anajua 🎉🎉🎉🎉

  • @Mariampaul-me7qo
    @Mariampaul-me7qo 6 днів тому

    We mchambuzi wangu boraa kwasasa❤

  • @AbdumajidAjnan
    @AbdumajidAjnan 5 днів тому

    Nakukubari sana we baba

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  5 днів тому

      Kwa taarifa rasmi ziIilizotolewa na Kamwe ni kwamba bado yupo kikosini Yanga.

  • @ramadhanimteluye9233
    @ramadhanimteluye9233 9 днів тому

    Thanks alot mwamba, tupatie uchambuzi wa FADLU DAVIDS tafadhali

  • @adv.benedictpius
    @adv.benedictpius 9 днів тому

    Umbile mnara🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zakayomgaya2758
    @zakayomgaya2758 9 днів тому +2

    ❤❤❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪💪

  • @WilliamFilipatali
    @WilliamFilipatali 9 днів тому

    Unajua sana

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 9 днів тому +1

    Magoli ya mangungu na wenzake hayo

  • @sharifusaidi461
    @sharifusaidi461 9 днів тому +1

    Kipaji kikubwa sana

  • @AllyAlly-g2o
    @AllyAlly-g2o 9 днів тому +1

    Kwel nakubal jaman huy mwamba huna mpinzan kwa style ya uchambuz wako

  • @peterzephania-n7z
    @peterzephania-n7z 9 днів тому

    Nakukubali sana kwa uchambuzi wa bori

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 5 днів тому

    Kwani kuna anateseka kutokana na ubora wa mnyama kwenye rankings za caf

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 8 днів тому

    Faza,kwa niaba ya mashabiki wako naomba uweke na ule uwanja wa kudisplay pitch na mchezo tuone uchambuzi kwa position kabisa,ukiwa unafanya uchambuzi.ASANTE

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 6 днів тому

    Naomba nitofautiane kidogo na mchambuzi wetu huhusu sifa ya urefu japo namwamini na kumpenda sana.Tumewahi kuwa na mlinzi George Magele Masatu alikuwa mfupi lakini alikiwasha kwa hatari.Kikubwa ni uwezo wa mchezaji

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  6 днів тому

      Sahihi sana Bro. Hata pale Yanga msimu wa 2022/23 Job ndiye alikuwa kinara wa kucheza mipira ya juu ingawa si mrefu wa kufikia futi 6+. Lakini mabeki wa vimo virefu wanakuwa na faida zaidi kwa mipira ya juu na pia vipaji special vya mabeki aina ya Masatu na Job si vingi.

  • @user-kn1yw2oq3o
    @user-kn1yw2oq3o 9 днів тому

    Simba nguvu moyaaaa

  • @LababaZircoijoxboy-hm2ud
    @LababaZircoijoxboy-hm2ud 9 днів тому

    Mwambaa,,,, mtu wa mahana kbs

  • @user-rz6bc6nf5z
    @user-rz6bc6nf5z 9 днів тому +1

    Baba mwaduke ww nimwalimu wa wachambuzi wote tz,

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 9 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TumainiSalufu-v4i
    @TumainiSalufu-v4i 9 днів тому

    Ilibidi uwe professor

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  9 днів тому

      Ha ha ha haaa. Tutamfikishia ujumbe wake Mzee wa Data.

  • @josephatisidori3060
    @josephatisidori3060 9 днів тому +1

    Huyu mwamba ni mrithi wa Kashasha hazina ya taifa💪

  • @rahimsiraju9880
    @rahimsiraju9880 9 днів тому

    Simba nguvu mojaaaa

  • @AbdallahChindo
    @AbdallahChindo 9 днів тому

    Mkuu tunaitaji utambulisho wakocha mpya wasimbaa

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  9 днів тому

      Soon...Mzee wa Data atafanya hivyo. Kaa tayari!

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 8 днів тому

    Yaan wew ndo unatamanisha kukusikiliza si wajinga wanaolipwa kutwa kuchambua ujinga wape somo

  • @user-wg7cl1mc8n
    @user-wg7cl1mc8n 9 днів тому +4

    Mkuu tunahitaji ushambuzi wa kocha wa simba mpya ❤❤❤❤ plz

  • @PaulNyanda-g8h
    @PaulNyanda-g8h 9 днів тому

    Simba kuna thank you ngap?

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  9 днів тому

      Mmmh...swali zuri lakini tusubiri wamalize mchakato huo.