HAPA NDIPO ANAPOISHI SIWA DADA YAKE DULLAMAKABILA/ATUONESHA HADI CHUMBANI ANAPOLALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 667

  • @eddamsigala1201
    @eddamsigala1201 11 місяців тому +30

    Nimependa kimoja kwako ambacho wengi hawana...umetuonesha maisha halisi ya kitanzania...hayo ndo maisha tunayoishi wengi wetu...pia hongera kwa mjengo..ngoja na mimi nikaishi site.......❤

  • @BlessingAntony
    @BlessingAntony 10 місяців тому +11

    Vizur dada amina akuna ulichoficha na umeonesha maisha yako alisi kabisa mungu akuongezeee zaid ya ivi ulivyo tuonesha❤❤❤

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 Рік тому +76

    Nampenda sana uyu mama mungu ampe kila hitaji la moyo wako dada Amina ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @peragiamwanuke6703
    @peragiamwanuke6703 Рік тому +47

    Nimekupenda sana dada, unaishi maisha halisi ya kitanzania. Hongera sana😘

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 Рік тому +54

    Huyu dada Yupo REAL SANAA HAFEKI MAISHAAAA SHE IS BLESSED ❤❤❤

  • @magrethswai1440
    @magrethswai1440 Рік тому +12

    Niseme tu kuona mtu kafika hapa c mchezo hela ilio potea hapo daah aiceee hatari Sana respect kwako dada ❤

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +42

    Uyu dada nampenda Sana MUNGU Ampe maisha marefu

  • @salama1113
    @salama1113 Рік тому +49

    Mm nampenda huyu dada afeki maisha❤❤❤❤

  • @Juke995
    @Juke995 Рік тому +16

    Mashaallah kumbe sio mdomo tu na maendeleo anayo sio akina Masha

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s Рік тому +20

    Me rang yakee tu mashaalah.
    Nimependa maisha halisi ndo haya hongera maa mtu

  • @rahmaomaryomary-md5ck
    @rahmaomaryomary-md5ck 10 місяців тому +4

    Dada anaonekana mtu mmoja mshuaaa mnooo , story nying aiseee mtu wa kucheka ❤❤❤❤

  • @Ummukuruthum-m1m
    @Ummukuruthum-m1m Рік тому +38

    Masha Allah tabalaka Allah mwenyez mungu akupe zaid nampenda sana huyu dada kwauchangamfuu wake ❤❤❤❤❤

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +44

    Mashaallh 😍dada nyumba nzuri sana mtu kwake bwana 👌🔥

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +10

    Hua nampenda sana huyu dada, hua natamani angekua dada yangu wa kuzaliwa nae❤

  • @Jazmeen06
    @Jazmeen06 Рік тому +8

    Huwa naenjoy akiwa anaagizaga huyu mwanamke jamani nampenda sana❤️❤️❤️

  • @fanuelmahenge2853
    @fanuelmahenge2853 11 місяців тому +9

    No kufake maisha bigup Sana Amina nakupenda Sana♥️♥️

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Рік тому +19

    Hongera kwa kujenga nyumba nzuri,no fake life ... nakupenda sana Siwa

  • @MariaNyaki
    @MariaNyaki Рік тому +211

    Mungu naomba uwapatie watu wote wanaotaka kuwa na nyumba zao,mana adha ya kodi asikwambie mtu,

  • @HawaSadock
    @HawaSadock Рік тому +8

    Uyuuu dada jamanii amenifanya Nimpende zaidi maana yuko free na kuonesha mambo ake!! Sema zuwena jua kali alivopigwaaa tekeeee ktk harakati za kudai kodii😅😃😃😃😃😃😃

  • @JadenRazzouh
    @JadenRazzouh Рік тому +9

    I love it nyumba ina space kubwa nitaomba ramani😊

  • @ashamayuwe2891
    @ashamayuwe2891 Рік тому +6

    Dada mzuri na mwenyewe roho Nzuri MashaAllah.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Рік тому +24

    Mashaalah kwa kweli umejitahidi sn nyumba kubwa alafu ya kisasa

  • @hellenjohn518
    @hellenjohn518 11 місяців тому +8

    She's so friendly and humble

  • @ZulfaYussuf-b1r
    @ZulfaYussuf-b1r 11 днів тому

    Nyumba inaonesha nzur san itakua ikiisha kutengezwa simple tu lkn pambe mashallah❤👌👏🙌 Allah ampe zaidi ya hapa alipo fikia🙏🙏🙏

  • @safiaommy5796
    @safiaommy5796 11 місяців тому +2

    Daaah Huyu njo RoleModel wa Tz kwenye Waigizaji 🙌🏻🙌🏻 yupo Really sanaaa👌👌

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Рік тому +26

    Huyu Sister nimkarimu sana,mimi nafatilia kipindi chako Saleh tokea nianze kutazama sijawahi kuona mnapewa chakula

    • @latifaroro877
      @latifaroro877 Рік тому +4

      Diva mchoyo mgen alidai chakula akasema hapa hamna kula siwenyew leo hatukupka tuliagiza pilau

    • @Ohhvio
      @Ohhvio Рік тому +1

      Mama star alimpa supu Pia

    • @norahfred6450
      @norahfred6450 Рік тому +1

      Kwakwel na kwa nyosh ndio aliwapa zawad ya kot nzur na viatu

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy Рік тому

      @@norahfred6450 kweli nakumbuka na yule Dada anaejiitwa Kungwi alimpa chai

    • @eddamsigala1201
      @eddamsigala1201 11 місяців тому +1

      ​@@fahadfahmykwenye vikombe vyake avipendavyo❤

  • @SashaOscar
    @SashaOscar Рік тому +41

    Napenda xana watu ambao wanaish maisha halisi na sio maisha fake, hongera xana Siwa 😍😍😍😍

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому +3

      Kabisa Yan, sio kama kina gigy money😂😂😂umber lulu, kujiekti hawana lolote kumbe wanaliwa nyuma nyumba hawana😂😂😂😂Kaz kukosi mi apartment TU akili ya kujenga haipo mwendonikuliwa nyuma TU mtihan😂😂😂

    • @JanethErnest-f8g
      @JanethErnest-f8g Рік тому +1

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 Рік тому

      Ety siwa 😅😅

    • @DoreenDaniel-hd7kv
      @DoreenDaniel-hd7kv Рік тому

      Hongera Dada jamon

  • @irakoze3762
    @irakoze3762 Рік тому +41

    Ndoto nao nikufe mimi nimeshajenga ya rabby 🤲🏻nimiachie nyumb mtoto wang

    • @obim8494
      @obim8494 Рік тому +4

      Dah mung atusaidie jmn😢

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani Рік тому +4

      InshaAllah amiin kwa sote

    • @JanethMadios-oe5ue
      @JanethMadios-oe5ue Рік тому +3

      Inshaallah tamaa yetu sote wenye watoto!......Allah atuongoze na kutupea wepesi kwenye mafanikio yetu!... Aaaamin🤲🤲🤲🤲🤲

    • @irakoze3762
      @irakoze3762 Рік тому

      @@JanethMadios-oe5ue amiin ya rabby🤲🏻

  • @ZulfaYussuf-b1r
    @ZulfaYussuf-b1r 11 днів тому

    Hanaga mbwembwe za kulia vijiko kaonesha uhalisia wa maadili yetu haja tuektia uzungu safi sana dada dula 👏👏👏

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 Рік тому +27

    Jamani nampenda huyu dada halafu kumbe ndivyo alivyo hata maisha ya kawaida tu ❤

    • @nunnyissah7027
      @nunnyissah7027 Рік тому +1

      Ukimkuta na flora mvungi ni balaaa

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk Рік тому +2

      Yaan yupo simple mno mungu ambariki kwakweli tena hana majivuno❤

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 Рік тому +1

      ​@@tawsi-yc3nkamiina mzungu flan ivi😊😊😊

  • @SheylaMuddy
    @SheylaMuddy 10 місяців тому +4

    Hongela daa Amina ulipofikia km kweli hapo kwako

  • @daydaypapaa7709
    @daydaypapaa7709 Рік тому +33

    Nimempenda hana mambo mengi ❤❤

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Рік тому +81

    Napenda sana kuwaona watu wanaishi kwao Mungu amsaidie kila mtu amiliki nyumba.hata kama unalipwa laki anza kuweka elfu kumi kumi

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys Рік тому +13

    Siwa jmn tunakupenda ❤ MashaaAllah Nyumba kubwa mno 🎉

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 11 місяців тому +5

    Literally down to earth, Allah akujaze kheri na barka

  • @Aziza123-i9n
    @Aziza123-i9n Рік тому +13

    Ukishi maisha ya ukwel raha sana allah akujalie uishi iv iv kipenzi changu siwa usiwaige wasani wanaoishi maisha ya uwongo

  • @MatswelopeleMphela
    @MatswelopeleMphela Рік тому +4

    Da amina mungu akufungulie baraka uko very humble.

  • @Niabebewamor
    @Niabebewamor Рік тому +8

    Mashallah dada amina nyumba nzuri sana ❤❤❤❤❤

  • @RakaPk
    @RakaPk Рік тому +5

    Nakupenda sana dada siwa mungu azidi kukubariki akupe maisha marefu ❤🎉🎉

  • @gracekretus1851
    @gracekretus1851 Рік тому +5

    Nakupenda Sana dada nakupenda nataman ata ungekuwa dada angu ila nakupenda dada siwa ❤❤❤❤

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 Рік тому +13

    Yaani tangia uyu dada Siwa kaigiza kombolela namkubali sna

  • @deega1234
    @deega1234 Рік тому +62

    humble lady, lives simple like most of us in Tanzania

  • @RedmiNote-wv6cn
    @RedmiNote-wv6cn Рік тому +3

    MashaAllah ongela dada Amina nami inshallah mda so mlefu nitakuwa mama mwenye nyumba inshallah ❤❤

  • @michilita2959
    @michilita2959 Рік тому +3

    Mashallah siwa sio water wadada wa mjini wanaokufikia swali sana mkubwa wangu Allah akuongezee

  • @lilianpeter1631
    @lilianpeter1631 Рік тому +19

    Anaonekana ana roho nzuri sn huyu dada

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 6 місяців тому

    Yan nnapenda uyu dada vyeny ni muazi afeki maisha allha akupe hitaji la moyo wako da siwa ❤from kenya

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 Рік тому +19

    Wengine wanaishi maisha yakuigiza. Hongera siwa nimekupenda sana

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому +18

    Siwa nakupenda huekti maisha kama wakina gigy money, kujidai wana hela nyingi kumbe wanazpata hela kwa kuliwa nyuma na kukodi apartment za gharama tu kashfa tupu, lkn wewe dada hongera❤❤ maisha yako normal mashallah❤❤❤❤

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому +5

    Wow siwa love you from Kenya napenda unavyoigiza haswa kwa kombolela nlikufwatia mpaka ikaisha

  • @RioIpo
    @RioIpo Рік тому +5

    Da Siwa nakupenda sana, mie ilo bezi lako tu linanikosha

  • @mariamisser3247
    @mariamisser3247 11 місяців тому +1

    Nakupenda dada,mungu akupe nguvu.kujenga si mchezo❤

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Рік тому +6

    Mashallah amina nakupendaga jmn et unamajin 😅😅😅 saiv wameona mjengo watajileta zaid nawakija watupie majin mama tutakusaport😂😂😂😂😂❤

  • @SaidaMbalala
    @SaidaMbalala 10 місяців тому +3

    Eti tunakaa tukiwa tunakunya jmn ila hana baya nampenda xan❤

  • @DionisiaGeorge
    @DionisiaGeorge 10 місяців тому

    Dada Amina mm pia napenda michezo ya kula 😊😊 cku nikija Dar ntakutafuta ❤❤❤

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +6

    Pazuri hongera Sana Dada siwa 🔥🔥🔥🔥

  • @rukiaabdul7191
    @rukiaabdul7191 Рік тому +2

    Maa Shaa Allaah dada Amina..Kwako pazuri na mwenyewe hauna maringo.

  • @DottoKitambi
    @DottoKitambi 10 місяців тому +1

    Manshallah nimempenda ni msafi sana allah akujaalie afya njema ishallah

  • @ZennaSaidi
    @ZennaSaidi 9 місяців тому

    Nakupendaga sana dada Amina mungu akulinde na kila baya❤❤❤

  • @TwalibuMussa-i3m
    @TwalibuMussa-i3m 8 місяців тому

    hogera sana mrembo mungu uwapenda watu ambao wanajishusha ambao wanaonekana dhalili ktk maisha yao allh uwa pandisha dalaja kwa kila kt kuwa msili ktk maisha yako ni vzr ikiwezeka wao ndo wayatafute wayajue sio ww

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka 2 місяці тому

    Mungu ni mwemaaaa unaish life yko nzuri tu ❤❤❤❤❤

  • @NadhraNassor
    @NadhraNassor 28 днів тому

    Uyu dada raha masha allah yan nyumbn yak nzr haijaisha nzr n wal hajaek vt vyengn nzr

  • @MwanaidyMgonja-ek5ls
    @MwanaidyMgonja-ek5ls 9 місяців тому

    Mashallah dada nyumba nzur alf kubwaa hatar vyumba vikubwa alf nimependa alivyo

  • @FatumaMwaravino
    @FatumaMwaravino Рік тому +6

    Unaanza vizuri wamaliza vibaya na kula una uctaharabu .

  • @maryjames7438
    @maryjames7438 11 місяців тому +1

    Jamn huyu dada nampenda sana Mungu akutunze ❤❤❤

  • @mnyangabejowrlicecy1747
    @mnyangabejowrlicecy1747 Рік тому +20

    Napenda sauti ya huyu Dada❤️❤️

  • @FulgenciaMpemba
    @FulgenciaMpemba 11 місяців тому +1

    Nakupenda sana nakufatlia kaza moyo imetosha sana❤❤❤

  • @MwanaSaidi-k3h
    @MwanaSaidi-k3h Рік тому +3

    Mashallah dada Amina ongera sana una nyumba nzuri kubwa alafu una malingo kabisa unakitu utafika mbali nakupenda sana ❤

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Рік тому +28

    MASHALLAH ❤❤❤ AM SO PROUD OF YOU❤❤❤

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc Рік тому +3

    Mashaallah kumbe yangu nasema ndogo nafundi anambia nyumba kubwa hii dada mungu anisimamie nimalize salama

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 Рік тому +3

    Hongera san mama mashavu 😅😅😅😅 umeupiga mwingi alhamdulilah

  • @IRENEKOMANYA
    @IRENEKOMANYA 2 дні тому

    She is real jmb hadi rahaaa❤❤❤

  • @MariamRamadhan-i6z
    @MariamRamadhan-i6z Рік тому +3

    Mashaallah dada yangu kuwa na nyumba sio jambo dogo ❤❤❤

  • @sadihashimu4664
    @sadihashimu4664 Рік тому +2

    Nampenda kwel kwel yan Hana kujishauashaua yupo kawaida kabisa❤ Alf anakula Kama sie wengine tu analikung'uta tonge haswaa😂😂😂😂😂😂

  • @joycem4878
    @joycem4878 Рік тому +2

    Ukiwa mama mwenye nyumba Raha sana asante Mungu

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 Рік тому +31

    😢dada angu nakukumbuka sana tulikaa wote senegal kwa mzee majala baadae ukaamia kwa kiskuna nakumbuka mengi sana mm hassan

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Nyumban Yake kubwa kama kwa warabu 👌🏽👌🏽👌🏽🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♂️hongera sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +3

    Ahaa kumbe ndo yule Amina mzur

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Рік тому +2

    Mashahallah wanyakyusa kumbe mnajua kutunza kuanzia sasa natamani niolewe na kbl la wanyakyusa

  • @benadetamtabo7437
    @benadetamtabo7437 Рік тому +9

    Mimi nyumba ishakamilika Mungu nipe hela nijenge ukuta sasa 🙏🏻

  • @WaridiSaidi
    @WaridiSaidi 10 місяців тому +1

    Yan nakupend mpk nakupend tena 🎉❤❤

  • @FatmaSaid-j9o
    @FatmaSaid-j9o Рік тому +1

    MashaAllah ❤❤InshaAllah Allah anijaliye nimalize nyumba yangu

  • @MwaijaMirag
    @MwaijaMirag Рік тому +2

    Yaani huyu dada Hana baya nampenda sana

  • @BhokeMunanka-z5u
    @BhokeMunanka-z5u 11 місяців тому

    Nakupenda Siwa, you fake nothing❤❤❤

  • @AzaShamba
    @AzaShamba Рік тому +1

    Hapo kwa ukewenza😂😂😂😂SIWA UMENICHEKESHAAA., AOE lkn ampangie house sio amlete home.unaijua hela ka mie UTAFIKA MBALI😂😂

  • @fatmamtete3191
    @fatmamtete3191 11 місяців тому +1

    ❤❤❤ hongera xn Siwa make wa wakwanza wa msimbe nakupenda xn

  • @AnethJoseph-m5i
    @AnethJoseph-m5i 11 місяців тому

    Hongera dada maisha yako ni harusi kbisa❤❤❤nakupenda❤❤❤

  • @RauhyaSalumu
    @RauhyaSalumu 11 місяців тому

    Nakupenda we mdada nakupenda mpaka nakupenda tenaaa❤❤❤❤ ety tunaish saiti hun bayaaa

  • @missmannydxb
    @missmannydxb Рік тому +14

    Shes likable, you can't help but like her ❤

  • @NaomiBarnabas-p7k
    @NaomiBarnabas-p7k Місяць тому

    Hahahaha Ety operation ya sura 😂😂😂😂❤️nakupenda

  • @KhadijaAlli-nd5gy
    @KhadijaAlli-nd5gy Рік тому +1

    Amina atajalia kwauwezo wake alllha nitapata

  • @BerthaModest
    @BerthaModest Рік тому +3

    Siwa mkalim snaaa anapenda watu mnoo🥹❤️‍🔥

  • @ZulfaYussuf-b1r
    @ZulfaYussuf-b1r 11 днів тому

    Mwenyeji ala kwa mkono yeye ala mgeni ali lia kijiko utafikir ana buba za mikono waswahili kwakuji act

  • @HawaIbrahim-k7n
    @HawaIbrahim-k7n Рік тому +1

    Jamani siwa na kupenda bure sauti kwenye movie una changamsha sana towa movies nyengine komborera ili kuwa nzuri sana ❤❤

  • @rejinarejina8160
    @rejinarejina8160 11 місяців тому +3

    😭😭😭😭 mungu sikia maombiyangu

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi Рік тому +52

    Nice house, beautiful soul 🌹

  • @PendoGrace-g5b
    @PendoGrace-g5b Рік тому +14

    Kwenye kula umeniangusha dada siwa😭 kumbuka unakula na mgeni unarusharusha wali sana kinyaa

  • @daimavlog
    @daimavlog Рік тому +12

    How sweet, nimempenda Huyu dada

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Рік тому +3

    Nyumba nzuri Sanaa kubwa alafu ulingi Wala nini

  • @hafsamussa333
    @hafsamussa333 Рік тому +1

    Nampenda sana huyu dada jamna so mtu wa kufek life

  • @Enilyangolile
    @Enilyangolile 10 місяців тому

    Nakukubali my wizooo yani kumbe ni wifi yetu kweee love you ❤❤❤❤