Siri ya kuwepo mafuta mashariki ya kati hii hapa |Mwili wa mtu unatengeneza Diseli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 188

  • @mcmwasha9668
    @mcmwasha9668 3 роки тому +2

    Niliijua hii sayansi abt 7 years back ,the pastor is very factual

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 роки тому +3

    Kumbe mnajua kua mitume wote wanatokea mashaliki ya kati ala mnakuja kuwafanya wazungu ndo mitume zenu nawaonea huluma sasa

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 3 роки тому +1

    I love how you craft your messages pastor. You have that ability to teach heavenly matters with human language. Above all, you sound fatherly.

  • @donussack2438
    @donussack2438 3 роки тому +1

    I got it Pastor, a mavellous speech. May God The Almighty continue using you anlighting people.

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 3 роки тому +10

    Kiufupi huyu jamaa sio mwanadini au mwanasiasa,anaongea vitu vilivyotokea na vilivyopo, fact, ninamuamini sana na anaijuwa vizuri Tanzania yetu yaaani mpendwa wetu Tanzania.

    • @bensonmgaya5693
      @bensonmgaya5693 3 роки тому

      Raisi ajae ni huyo

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 3 роки тому

      There is no facts in his speeches, just red herrings.

    • @joycemaige6838
      @joycemaige6838 2 роки тому

      Ukizariwa kwasababu duniani na haswa ukijijua wewe umeletwa duniani ni kwakusudi gani basi utalitumikia kusudi kwakweli ashukuliwe Mungu👏

    • @sebastianalbert2857
      @sebastianalbert2857 Місяць тому

      mimi ni mroma lakini mahubili ya gwajima nayasikilizaga sana huyu ni PhD holder wa kweli

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 3 роки тому +1

    Hamna bhana, watu wa kale zaidi walianzia Tanzania, Afrika mashariki.

  • @christophermika6968
    @christophermika6968 3 роки тому +3

    Majeshi majeshiii,, Yehova anakusogezasogeza kwenye kiti cha ( ). tz mpya inakuja,ya mwana kondoo Ameee!!!wiiiiiii

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 Рік тому

    Amen Amen baba. 🙏🙏

  • @michaelmponeja2102
    @michaelmponeja2102 3 роки тому +1

    Watu weusi sio wa kuamini sana ktk imani ,usaniii tupu

  • @suleimanjuma4443
    @suleimanjuma4443 3 роки тому

    dah!!! mjomba unalo lakujbu Allah (sw) fanya uslmu acha kudanganya binaadamu wezko kwa njaa zko za kidunia na umebakisha cku chache na uwondoke dunia

  • @ernestphilip256
    @ernestphilip256 3 роки тому +2

    Mm nakukubali sana Tegemeo langu rais wetu musimu ujao

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 3 роки тому +3

    Mama Gwajima umependeza unastahili kuwa kielelezo kwa wamama hapo kanisani. Wavue Helen I wigi na kadhalika.

  • @tranchescoanthony2509
    @tranchescoanthony2509 3 роки тому +3

    Nataka sasa niende kwenye makaburi nikafanye utafiti wa mafuta.

  • @dauditandika8061
    @dauditandika8061 3 роки тому

    Asante

  • @nowelaraymond4894
    @nowelaraymond4894 3 роки тому

    God Bless You, Bishop!

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 роки тому +2

    Ameeen daddy Gwajima

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 3 роки тому +1

    Mmmmh
    Hii kali sasa day
    G.hujanidanganya

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 3 роки тому +4

    Chuma kimeingia kutu....jiwe limebunguliwa🤗

  • @kingdavidmoto6149
    @kingdavidmoto6149 3 роки тому +2

    amen baba

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +4

    Wakristo wooooote tunajifunika kwa DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO.

  • @salbokosaid8992
    @salbokosaid8992 3 роки тому

    Mungu akuongeze ni mwalimu

  • @mabawamaguta6154
    @mabawamaguta6154 3 роки тому +1

    Ubarikiwee raisi wetu Wa 2025-2030 kura yangu unayoo

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 роки тому

      labda rais wa ukoo wenu

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 3 роки тому

      Siyo kweli unawaongopea walikufa miaka mingapi imepi iliyopita mpaka Leo warabu wanavuna mafuta.

  • @pastorhermantv5420
    @pastorhermantv5420 3 роки тому

    Amen very true Bishop

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 3 роки тому

    Man of the match

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 3 роки тому +1

    Grace umeona maono

  • @swalehkiuga167
    @swalehkiuga167 3 роки тому

    Mungu wangu haogopi hata mungu anafyodanganya watu kweli huyu yupo mbali na mungu

  • @barakaba8417
    @barakaba8417 3 роки тому +2

    Gwajima najua hujasoma unatumia hisia kuliko sayansi hiki ni kizazi cha sayansi sikiliza oil na gas zinatokana na hydrocarbons ambazo source zake ni single celled planktons kama diatoms na single celled aquatic animals sio binadamu sisi hatuna hizo property za kuform oil au gas.haya mambo achia wasomi broo watu wanakuchora ujue

  • @bokimmwamba2322
    @bokimmwamba2322 3 роки тому

    Wasienda darasani wanahisi uongo but hii topic inaitwa organic chemistry humo tunasoma organic compounds ni compound znatokana na viumbe hai kagusia upande wa mafuta ila makaa ya mawe pia chakuelewa ni kwamba formation ya hizo compound znachukua miaka mingi sanaaaaa

  • @clementinekieti4894
    @clementinekieti4894 3 роки тому

    Very true bishop.

  • @DavidMbalwa
    @DavidMbalwa 6 місяців тому

    Boss Shinar was and still in Babylon in modern day Sudan ,which is the land of Cush ,the land Nebuchadinezzer.

  • @frolianjohanes2505
    @frolianjohanes2505 3 роки тому

    Fact ...I knew it about 10 yrs ago

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +2

    we endelea kuwaongopea tu

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 3 роки тому +1

      Tatizo anacheza na akili zao bila maandiko😆😆

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 3 роки тому +1

      Maandiko anayatoa kichwani kwake😆😆

  • @vicentthomas5279
    @vicentthomas5279 3 роки тому

    Mch. unachosema kwamba mashariki ya Kati ndio binadamu wa kale zaidi walishi ni sawa lakini issue ya formation ya mafuta hata Africa yapo Kwa Karne na Karne za miaka Sema wazungu walianzia kufanya utafiti kule kabla ya Afrika

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 3 роки тому +1

    Hili jamaa liko vizurii jmn

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 3 роки тому

    Hongera Sana.🇸🇦🇰🇪 .

  • @christophermachonchory4500
    @christophermachonchory4500 3 роки тому

    Asante sana kwa huu ufunuo ila weka fundisho lote basi mpaka mwisho

  • @masungajp1
    @masungajp1 3 роки тому

    Nimelielewa somo bishop.

  • @alloys-barakaitangaja2531
    @alloys-barakaitangaja2531 3 роки тому +2

    Kuna siri nyingi juu ya Africa. Tunatamani kuzijua.
    Naamini hata Kristo wa kweli alikuwa mtu mweusi

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 роки тому

      Kwaiyo Alibadilika rangi

    • @saidkhery9011
      @saidkhery9011 3 роки тому

      Off course, alikuwa mweusi ndugu yangu.
      Mzungu kaja Enzi za nuhu.

    • @mgasathedon1579
      @mgasathedon1579 3 роки тому

      @@saidkhery9011 haijalishi yesu Rangi ya ngozi yake nachojali ni mwokozi wangu

  • @jaffarijembekali2684
    @jaffarijembekali2684 3 роки тому

    Gwaj unaongeaga vyamaana sana ola unapotibukaga na miutopolo unanichoshaga ila Mungu akurehemu.

  • @herimkristo8330
    @herimkristo8330 3 роки тому

    Ameeeen

  • @natumiatu5257
    @natumiatu5257 3 роки тому

    Amen

  • @dauditandika8061
    @dauditandika8061 3 роки тому

    Sikuzamwisho gwajima

  • @jumannepatrick4943
    @jumannepatrick4943 3 роки тому

    Na hioo ndioo hoja ya uislamu kuwa Ni dini ya kweli ,inaonyesha Asilia ya watu wazamani

  • @strongweakpriceactiontradi9761
    @strongweakpriceactiontradi9761 3 роки тому +1

    Kwa waarabu Mafuta ameweka Mwenyezi MUNGU tangu uumbaji...binadamu tunategemeana na nchi zinategemeana..kwa maliasili. Ili kukooperate...Kama Tanzania Mbona tuna Madini ya tanzanite tu...kuhusu uozo na decompostions ni kweli lkn yalikuwepo by natural kama chumvi kwenye kwenye miamba ya bahari...Hayana kikomo wala hayataisha mpka BWANA WETU atakaporudi.

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 3 роки тому

      nenda shule wewe ukasome mafuta yanapatikanaje mungu aliweka mifumo yakujiendesha duniani dunia inajiendesha yenyewe

    • @rashidsaid4369
      @rashidsaid4369 3 роки тому +1

      Hakuna kitu Cha namna hiyo.mafuta Yana formula yake

  • @neemamabiki4496
    @neemamabiki4496 3 роки тому

    Amen🙏

  • @christiansamwel681
    @christiansamwel681 3 роки тому +1

    Hapa mbunge ninae...poleni wenye vilaza majimboni mwako

    • @amosyohana5351
      @amosyohana5351 3 роки тому

      Mbunge na Dactari wa falsafa na Askofu Mchungaji kiongozi namfatilia Sana sijawahi kufika kanisan kwake lakin nashirik vizuli ibada za UFUFUO NA UZIMA online. Wapigweeww

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 3 роки тому

      GANBO KILAZA

  • @nicolemulonda8984
    @nicolemulonda8984 3 роки тому +2

    Shalom

  • @nozgeniuz1812
    @nozgeniuz1812 3 роки тому

    GWAJIMA ADAM AND HAWA HAWA WAWILI WOTE WALIKUWA TANZANIA MWANZO 2;15

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому +1

    No one like you in Tz

  • @rehemamwakinyaka3167
    @rehemamwakinyaka3167 3 роки тому +3

    Jesusi la Mbinguni limeongea haya

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi846 3 роки тому +3

    Dah wa kristo mdajuwa kuchezewa akili zenu

  • @nelsonpeter2112
    @nelsonpeter2112 3 роки тому +1

    Huyu jamaaa anasoma sana

  • @godfreymaswe8443
    @godfreymaswe8443 3 роки тому

    In kweli fometion ya mafuta ni uozo wa viumbe hai hilo liko waz

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 роки тому +1

    Nyie mkiambiwa mavi sawa mkojo sawa

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 3 роки тому +1

    TUNAKUPENDA baba

  • @alexrukundo6048
    @alexrukundo6048 3 роки тому

    Nigeria Angola congo brazzavile Gabon Ghana Libya Algeria yapo mafuta

  • @martinmramba1582
    @martinmramba1582 3 роки тому +1

    Hivi watu na akili zao wanakaa chini kusikiliza mafundisho ya kipumbavu na upotoshwaji was namna hii. Waafrika tuamuke tujiepushe na hawa vibaraka na wasaliti wa uamsho wa mtu mweusi

    • @Andy_tz
      @Andy_tz 3 роки тому

      Wewe ndio mpumbavu moja usiye ujua hata upumbavu wako ni upi.

    • @fungamezasinon8337
      @fungamezasinon8337 3 роки тому

      Hakika wewe ni moja ya wapumbavu wasio taka kuelimishwa wanao amini katika upumbavu wao ko hawawezi kupokea elimu atakama nitakuwa saidia wao

    • @janetboniface5058
      @janetboniface5058 3 роки тому

      Pumbavu kweli kwani uliitwaa ujee usikilizee wewe mwenyewe huna akili ndiyo maana umekaa umesikilizaa

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 Рік тому

      Watu walokaa kumsikiliza kwajima una waita wapumbavu na wewe ulie tazama ninaniii

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

    Upuuzi

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +1

    oil grease deseal parafin

  • @mussamapesa8972
    @mussamapesa8972 3 роки тому +2

    Usidanganye watu bhana mafuta ni ya mungu na ukisema hivyo dhahabu je yametokana na nn ?

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому +1

    Hiyo ni kweli kabisa hujawahi kupotosha kabisa

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 3 роки тому

      Acha ni uozo mtupu huyu mtu anafuata wanasayansi waliomkataa Mungu achana naye utapotezwa njoo kaifuate biblia utagundua ni mwongo kama baba yake yule

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 роки тому

      @@jacksonngusi4122 daaa lkn hata sayansi inaasema hivyo juu ya mafuta ni viumbe vilivyooza miaka mingi sasa sijui kama kuna jingine unalololijua nifahamishe.

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 3 роки тому

      @@mashramadhani1989 kwa hivo unaamini pia tumetokana na nyani kama wanasayansi wasemavyo!!

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 3 роки тому

      @@mashramadhani1989 ni uongo uliopita mipaka matokeo ya kuwepo kwa mafuta ni kama matokeo ya uwepo copper, alminium, gold, zink, uranium nk achen kutunga mambo ya kiajabu ajabu na kuwaamini hao wanaodanganya ludi ujifunze katika biblia upate nuru wengi wamekuja kwa njia Ya kudanganya kama baba yao

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 роки тому

      @@jacksonngusi4122 hili siamini sababu sioni nyani wengine wakibadilika ila naomba unipe sababu za kisayansi uwepo wa kopa na alminium kama ulivyotaja nataka sababu za kisayansi sababu sio kila kitu kinachosemwanm na wanasayansi ni cha kweli au uongo lkn prove kwa hili kisayansi au kwa mifano ya kweli

  • @keeptimenimrod3770
    @keeptimenimrod3770 3 роки тому

    Bishop umeongea kitu kikubwa sana

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 3 роки тому +1

    🙏🙏🙏

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi846 3 роки тому

    Ngwajima wacha kuwadanganya watu ww mm nafanya kazi kwenye sehemu zinazo chimbwa mafuta na hizo rig zunazo chumba ss ndo tunazipeleka kutoka locatione moja kwenda nyengine ss mafuta yanachimbwa kama yanavyochimbwa maji ila mafuta yako chini sana na hiyo petrol na diseli gris na lami oil hummbadilika huko ni ule mchakachuwa lakini kwenda kuchimba ni inatoka au moja tu tena ni matope ndio hapo huchujwa na kutofautisha aina hizo

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 роки тому

    Mmh makubwa.

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому

    Ukristo ni usomi yaani hadi raha

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 місяців тому

    Hapa tz tumeanza kuzika lini makaburini inabidi tukstafiti diesel makaburini

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому

    kumbe mnajua chimbuko la manabii wote,Arabuni ndio chimbuko la manabii ila wazungu wamewapoteza mpaka makao makuu ni vatican italy,mtajua siku zinakuja

  • @mutabazijonathan7278
    @mutabazijonathan7278 3 роки тому

    Sisi site tutaunda mafuta baada ya kifo Mungu ni mkubwa

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 роки тому

    Ila huya ananichanganya,,,
    Kama vile yuko mguu ndani mguu nje...
    Hapo ameongea porojo uongo mtupu....

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 3 роки тому

    Kiumbe kikifukiwa kinakuwa mafuta au mbolea jaman

  • @ahmednurhussein8945
    @ahmednurhussein8945 3 роки тому +1

    Dunia ilianzia Iraq ndio mjue Allah aianza nawaisilamu kwanza

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 3 роки тому

      Hawakuwepo waislam hizo nchi unazosikia saivi ni nchi za kiislam zote zilikaliwa na watu wa dini tofauti na waislam wayahudi,wakristo ndo waliishi huko hayo mataifà ya kiislam mengi yalitokana naupanga watu walikuwa wakichinjwa kama hataki kubadiri dini ko elewa Ivo naona hujui historia vizuri ndugu yangu uturuki ilikuwa ni wakristo watupu lakini baada ya ottoman empire kuanzia walilazimishwa kubadiri dini ko jua kuwa ulimwengu wa kiislam umetokana na upanga.

    • @sultanhassan4902
      @sultanhassan4902 3 роки тому

      @@canibalgazaboy8325 so kwel

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 роки тому

    MASSEGE IMEFIKA KWA KWA YULEEE. ANAJIFANYA ANAENDESHA MKUTANO KWA KINGEREZA HA HA HA HA HA HA

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 роки тому +3

    Hata wachawi nao hutumia mafuta ya watu haswa watoto kuendesha vyombo vyao 😆😆😆

  • @hummertv2393
    @hummertv2393 3 роки тому

    Wewe ulikua wapi kipindi hicho

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 3 роки тому

    Mheshimiwa mbunge huyo! Injili mpya!!

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 роки тому

    Huyu bwana ana matatizo ya kichwa, aache kudanganya watu namna hii yeye sio geologist.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому +5

    Ovyo kabisa.Wadanganye wajinga.
    Anajua kupanga uwongo.

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 3 роки тому

    Uongo jee Sudan Nigeria mumezoea kudanganya wakristo

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 3 роки тому +1

    Tangu kuumbwa adam hadi leo ni miak ngapi

    • @husseinsaid8021
      @husseinsaid8021 3 роки тому

      Toka kwa ADAM hadi KUZALIWA masihi Ni miaka 3974
      Piga yesu kakaa miaka mingapi DUNIANI then jumlisha 2021
      Almost DUNIA Ina miaka 6000 tangu kushuka kwa ADAM

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 3 роки тому

    Raisi matarajiwa

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 роки тому

    Endelea kufufua waliofariki.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 місяців тому

    Haiingii akilini hata kidogo

  • @abubakarseif6073
    @abubakarseif6073 3 роки тому

    Jitahidini video ziwe na sauti

  • @mkurangacnajemasabatochane4626
    @mkurangacnajemasabatochane4626 3 роки тому

    Mahubiri kutoka kuzimu

    • @modomfupi9972
      @modomfupi9972 3 роки тому

      Umejuaje we ni shetani au mmiliki wa kuzimu 🤔

  • @dauditandika8061
    @dauditandika8061 3 роки тому

    Souza mwisho

  • @charlesgasper2243
    @charlesgasper2243 3 роки тому

    Talking beyond of this worid ?

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 3 роки тому

    Nakupinga wazi sayansi wanajitafutia wao vyakwao na ndio maana walisema mwanadamu mwanzon alikua nyani akazidi geuka mpaka kufikia mtu wakati biblia inasema Mungu akamfanya Binadamu kwa mfano wake akiwa kamili huyu analeta habari zilizokufa kama tulivyo danganywa kwenye somo la histor huyu anawapeleka upotevu ni waz kabisa simama na biblia itakuokoa na upotevu kama huu
    1 Timotheo 4:7
    [7]Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa.

  • @amiroamiroboa8724
    @amiroamiroboa8724 3 роки тому

    Duuuuhh

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 3 роки тому +2

    Vp kuhusu hoima Uganda🏃🏃😂😂😂

    • @eatlawe
      @eatlawe 3 роки тому

      Vipi kuhusu Amerika amabyo walikuja kuhamia 1492?

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 3 роки тому

    Du!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 роки тому

    Muongeaji mzuri kibaya unawadanganya jamaa Kama watoto wadogo nao wanakusikilizaje? Mpaka raha amkeni nyie sema oil oil oil alafu bonge la mjusi toka Tanzania nao wanacheka hahahahahaha

  • @nicolaus4088
    @nicolaus4088 Рік тому

    Karbunjombee

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 3 роки тому +1

    Acha kuleta mafikilioyako binafsi ukayapanda kwa watu wavivu kufikili nawasiopenda kusoma

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 роки тому +1

      Mpaka umuelewe lazima uwe na akili nyingi ya kiroho ,ya kuzaliwa na ya shule

    • @varieties2477
      @varieties2477 3 роки тому

      ww unaye criticize ndo mvivu kufikiri....maana inaonekana hata Neno la Mungu ulijui kifasaha na hata iyo science ya dunia pia uijui.

  • @nicholausmasese6337
    @nicholausmasese6337 3 роки тому

    TUNA MAFUTA MENGI ZAIDI YA WAARABU ILA ILA BADO TUNAENDELEZA SARAKASI ZETU NA SISI SIO WAKWELI

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 3 роки тому +2

    Jamaa ongo hili

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 роки тому

    That’s true, expired date tunayo jamani😂😂😂

  • @margaretmuranga1362
    @margaretmuranga1362 3 роки тому +2

    You know 😂😂petroli

  • @ezekieliigembe4692
    @ezekieliigembe4692 3 роки тому

    Uko pos