wimbo uh,umekuja wakati sahihi sana kwenye maisha angu,ni miezi saba sasa tangu nmpe mimba na atakua mwanangu wa kwanza kumpokea,uuh wimbo ni dedication kwa mwanangu
if you dont know this type of songs are the song's Diamond use to sang on his earlier begin...incase Diamond dicide to come back on this typer of songs,damn no body can touch him
Official Music Video for 'Murder in Paradise' by Amdidry from the EP LyricalDrinks: subscribe to 4K-AMDIDRY TV on UA-cam: ua-cam.com/users/4KAMDIDRYTV... FOLLOW ME facebook.com/search/top/?... instagram.com/amdidry/ twitter.com/ibrahimamdidry www.songtradr.com/user/dashbo... www.musicsubmit.com/campaign.... www.jango.com/music/amdidry
@@mariammalimo91 hivi kabla wazungu hawajatuletea nguo si watulikuwa wanaishi uchi na matumbo yalilkuwa wazi??mana ukitaka kusema heshima ya mtu mweusi ni kukaa utupu kufunika sehem za siri na tu na matiti kwingine kuna baki wazi,,,ndivyo ilivyokuwa
This song reminds me when we were expecting our first born child a couple of years ago. Very relevant indeed keep up the good work young man Mbosso the current star of the bongo flavour music!!!
'jikaze mwana wa dangote 🎶wangu wa halali🎶asimwone mwanangu💔😭😭😭😭🎶hits differently especially if you loved Tanasha and Diamond together ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️aiyoooyooooo kwa baby shower
Listening this in 2024 ❤ much love to WCB family
its my tyme to listen am 2 months pregnant 🎉🎉🎉 🙏🙏
Karibu mwaanangu 🤰🏽🤱🏽👼❤️
Unae soma comments huku unausikiliza wimbo huu najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
❤amen
Ameeen 🙏🏻
Insha'Allah 🙏
Kwa Mara ya kwanza nausikia wimbo wa kumkaribisha mtoto duniani, tumezoea ya club, birthday,harusi, misiba n.k ....
Mbosso, so creative
aliimba kwa babyshower ya tanasha
So hot
Yes hundo wimbo bwana weee
Zipo hujabahtika kuskia
Duduke
Waliorudia hii ngoma zaidi ya Mara moja tujuane 🔥🔥🔥
Rofa kwli wewe
@@thevert9203 tujuane ndugu
Mm apa
👆
@@petermagile5301 dua
Huu wimbo alimuimbiaga tanasha live akiwa mjamzito nani anamkumbuka Kama mm✈️✈️✈️🌠
Dedication to NJ😜
Ndio kigoma moja jukwaani pale mbosso unajua
Mimi
Mm pia
Mimi
Huwez penda mpaka uwe mama k mweee nzuri mno
This song is deep and dope honestly. Team Kenya sindio?
Yesss
Yes,bana!
Eeeeeehh
Yeah
Yeh💝💝
Diamond platinumz mistari anayo mbosso much love from ke
Wapi likes zangu from Kenya...i love the Guitar....am a guitarist too....Tanzania music yenu deep sana...mzukaa zaidi
wimbo uh,umekuja wakati sahihi sana kwenye maisha angu,ni miezi saba sasa tangu nmpe mimba na atakua mwanangu wa kwanza kumpokea,uuh wimbo ni dedication kwa mwanangu
Asee naona hii special kwangu coze bado miezi miwili mwanangu aje kwenye huu ulimwengu🔥🔥🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥💓💓💓💓💓
May god bless you broo
Mungu ampe afya tele
Mwenyez Mungu awabariki
Mungu akulinde mamy
💖👌
Nasib Junior atafeel so special akigundua hii ngoma ilitengenezwa on his "Baby Shower"
😭😭😭😭nalia kwa furaha hi ndio nyimbo niliyokua naisubili kwa mda mlefu saaaaana ahsanten mbosso ft chibu 🙏🙏
🤝
Tupo sawa
me too
I think mbosso is the best in composing songs.who is with me?🔥🔥🔥🔥🇰🇪👆
He is indeed the best clean voice in Africa
He is one of the best and most gifted in the world
The best in everything, good lone singer, change voices, rhythm, bits
Mimi Mara kumi kuwakilisha wengine
How this mbosso guy is flowing by the grace God.
Wenye JICHO la chuki wasimuone mwana wa DAGOTE....!
lovely song ever guys frm Mbosso Khan ft Simba
Big up from Kenya
Mbosso Umenifanya Nisinzie Kiutaratibu Na Hili 💞💞🙌🙌..
Much From Kenya
Nan tena mwengine anasikiliza huu wimbo mwisho wa mwaka 2021😍
Ngoma imesimama attention, love much more 🔥
Mbosso na Diamond platnumz,sauti nzuri Sana. Hongereni Sana Simba na mwanao. Wimbo huu natabiri utakuwa ni mmoja Kati ya nyimbo kubwa sans Tanzania
Wimbo maalumu wa baby shower zote east Africa kuanzia leo
weuweeee ni hatar
ushasema
tishio
wanawaji
kizazi
Allah jaalia nimpokee mwanangu maana pia bado miezi miwili inshallah
For the first time this song is being practical in my life #karibu mwanangu sijui nikuite Nani lakini I believe is gonna answer my prayers
Wooow my 💜 son welcome
This song give you that great feeling of being a dad for the first time ❤️
i really love the way diamond matched into mbosso's type of songs
He matches to every wasafi artist type of song
The guy is genius 🔥🔥💎💎
if you dont know this type of songs are the song's Diamond use to sang on his earlier begin...incase Diamond dicide to come back on this typer of songs,damn no body can touch him
Official Music Video for 'Murder in Paradise' by Amdidry from the EP LyricalDrinks:
subscribe to 4K-AMDIDRY TV on UA-cam: ua-cam.com/users/4KAMDIDRYTV...
FOLLOW ME
facebook.com/search/top/?...
instagram.com/amdidry/
twitter.com/ibrahimamdidry
www.songtradr.com/user/dashbo...
www.musicsubmit.com/campaign....
www.jango.com/music/amdidry
Waited for this track since Tanasha’s baby shower.. my best among the album.
Mamb
Mbosso khan
Mboosooo Khan🔥📌📌
dogo nashkuru sana kwa hichi kibao napende hii meseji sana. Nangoja sana kuwa baba mtu
Jaman wimbo mzuri kabisa ukiwa nampezi wako pamoja na mtoto wako ❤❤🎉 nampa mauwa yake mbosso khan❤🎉 pamoja na simba 🎉
Imeweza mbosso unione
I wish one day my baby future
My song is finally out🔥🔥🔥🔥 from tanasha's baby shower 😍😍😍😍
Kumamake hiyo ndiyo wcb aise hawa watu ni nyoko kabisa
Wasafi mbona mnatisha ngoma kali
I feel like crying 😭😭😭😭😭 the song is just wow
🔥🔥🔥🔥🎼
Awooooooooteeeee
😭😭😭😭😭😭😂
Ishiii we nae 🙄🙄🙄🙄
Its lit ooh my 😍
Tanasha was truly loved by this guy,,love this song
Shikrani sana mtoto ni baraka ,karibu baba , wao si wanazitoa walingishieee 😢😢😢😢😢😢chochi la furaha waallah wimbo mmmm
You never disappoint Mbosso 🥰💝
Herriet,,,, ILOVE YOU😍😍😍😌😴😴
Surely he doesn't
Kumuwekea Mwanangu huu mziki akiwa ndani ya tumbo la Mamake imenipa furaha isiyo kifani😭😭❤️❤️❤️
Kwa nyimbo za kuhuzunika mwachie Simba anakutoa machozi dakika kidogo🔥🔥🔥🔥
Iyo kweli
Babyshower😍😍the song is on point
Mbosso my all time favorite.
My wife is pregnant and she's inlove with the song, whenever she's unable to sleep she just listens to it & in a few she sleeps like a baby
Mbona wimbo kama gospel ya bongo nzuri sana
🤣🤣🤣🙌
Onyesha tumbo ringa ndio heshima ya mwanamke Karibu mtoto Wang
Cku hiz maumbile yakike hamna heshima umwoneshe nan tumbo sasa
@@mariammalimo91 hivi kabla wazungu hawajatuletea nguo si watulikuwa wanaishi uchi na matumbo yalilkuwa wazi??mana ukitaka kusema heshima ya mtu mweusi ni kukaa utupu kufunika sehem za siri na tu na matiti kwingine kuna baki wazi,,,ndivyo ilivyokuwa
@@mariammalimo91 kma wewe hujiheshim Nani atakiheshim afu Hilo tumbo sio kila mtu anaweza kulipa kwann usiringe
I remember very well Diamond posted Dylan and dedicated this song to him😢why now ? Oooh God you know best🙏
Najisikia raha Sana na kitumbo changu hasa nikiwa nimebakisha miez 2 najiona kama mboso ameniimbia mm ❤️❤️🙏
Hii Ndiyo ngoma niliyokuwa naisubiri miezi yote, king Khan wewe wamoto
Hoi song ni dope bana❤️❤️❤️❤️Mbosso welcome to parenthood
This is the version of diamond no artist can compete with
The song that welcomed Naseeb Junior.
MY FAVOURITE FROM THE LIST....... WAPI LIKES ZA MBOSSO FROM NAIROBI, KENYA
Mbosoooooo
Kunamegi duniani kweli tanasha yooo
This song reminds me when we were expecting our first born child a couple of years ago. Very relevant indeed keep up the good work young man Mbosso the current star of the bongo flavour music!!!
Diamond 💎has never disappointed. Nice lean song there featuring Mbosso. Keep it up. Lot's of love from Kenya 🇰🇪😍
Ndio ujue mboso fundi
Karibu Nyumbani duuh 🇹🇿💯
Waited this song from Tanasha baby shower finally🔥🔥🔥
I'm really waiting for the video
ManshaAllah asante saaan mbosso ulisikia kiliyo cetu Allah akupe wepesi
In 2months I will have my son here thanks for the song I feel like u sang it for me
wimbo wa mtoto wa Tanasha 🌹❤❤
first sang at her baby shower... who remembers?
It’s for all his kids.
Simba always fits in all tune ...much love from Chad🤍🤍
Best baby shower song.. 👏👏
I don't know how this flows naturally maan, it's beyond human act it's God's
'jikaze mwana wa dangote 🎶wangu wa halali🎶asimwone mwanangu💔😭😭😭😭🎶hits differently especially if you loved Tanasha and Diamond together ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️aiyoooyooooo kwa baby shower
Tunatak video na hiiiii
💥💥💥🔥🔥🔥###Mbosso khan
###simba,
###Abdul parow
persistence, I WAS waiting for this song after hearing mbosso perform it at Tanasha Baby shower
After hearing??...( after I heard him performing it)
Huu wimbo unanikusha tanasha
MUNGU akuubaliki mbosso wetu
Mbosso wimbo huu ungeimba peke yako ungenoga zaidi mara nyingi nyimbo unatomba peke yako ndo zina noga sana
Me saut yako tyu mboso santeee
Mbosso your album is exceptional na hii song ndo best
Iam expecting my first borne🙏🙏🙏🙈🙈this song Kem on time... Wallahi
Bonge La ngomaaaaa🙌🧨📌
Mboso khan mshedede nakuubar saaaaana🔥🔥🔥
My favorite song yan Kama mmeniimbia hivii yan namsubilii mtot now
Sanaaa mbosso khan hii ngoma nilikuwa naisubiri kinomaa yaan big up
I just looove seeing my two favorite people of all times sing together nawapenda sana kaka zangu na sitawahi waacha kamwe 🥰🥰😍😍😘😘
Ujumbe mzr cn mbosso
Wow,right timing😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪mbosso🔥🔥🔥,mondi mkalii🔥🔥🔥....naseeb junior keep growing this was your dedication😍
You are touching mbosso hongera kaka
Mboso has joined diamond in becoming a legend
He is one of the best and I think this is the 1st ever Recorded while Diamond featured in one of his kind...
Daaa hii ngoma kabla sijaickia yote nishagundua ni Kali Sana
This guys are bongo lengends
Wawo nice song 💃💃 karibu Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🎼🎼🎶🎤🎧mboss onaweza 🥰
Huu wimbo una raha flani 2024 Like
Karibu imefika Emmetsburg iowa 🇺🇸
Wcb 4 life
Grow strong my daughter ❤️
Diamond hakoseagi jamaniii, VIP nyie kwenu hii naikumbuka siku ya tanasha bebisho mbosso aliimbaga
Noma kakangu mbosso your always a mento to me brh💥
Simba na khan ni magic y'all know what I'm talkin abt
Pure art from mbosso, very unique artist with no repitition of words or woman names on the songs..new mastermind behind WCB
Mbosso your voice is magical I have no words I just love you from Ethiopia
Mamb
Do you understand swahili