Mara kwa Mara ulilia, kifuani umenilalia.. Ukijuta unayachukia Yale ulopitia.. Eti kama mimi hujaona, wa kufanana naye.. Sasa mbona hukusema, kama ushakutana naye.. Napuliza Majivuuu...... Kooni Maumivuu.. Ahadi za Mbivuu.. Lile penzi tulivuu Aah! Napenda sana... ❤
Mara kwa mara ulilia ,kifuani umenilalia aaa,ukijuta unayachukia yale uliopitia,Eti kama mm ujaona wakufanana nae sa mbona ukusema kama ushakutana nae...ilifanya niliea..
Hii nyimbo kila nikiiskia I can't help but cry the way I hanged on hoping one day hel give me the world in the end it was all games for him Alhamdulillah I did I cud for him may Allah give me happiness in return
The love I have for Mbosso oh Lord..I cry while listening to his songs ..not that they are painful but coz I just love his songs ..voice..the feeling of the song..May God bless you Mbosso you deserve more en more in this life
Im Ghanaian 🇬🇭 and if I get an opportunity to attend an mbosso concert one day, there has to be an ambulance on standby because i am 100% sure, joy and happiness will make be faint and fall flat on the floor. 😂😂😂😂😂😂😂i love mbosso music like i cant describe to you.
My best song..course coming on time,,it's really story about me But thanks for All Mungu atalipa KWA yote nilotenda kumbe alikuwa Ananiigizia,Daah limevuja.
Mara kwa mara ulilia kifuani umenilalia ukijuta unayechukia yaleuliopitia eti kama mimi hujaona wakufanana nae hasa mbona hukusema kama ushaa kutana nae Napulisa majivu maana moto siyaoni😥😪😪😥 inanihappening sahii kama wewe ni mwenzangu nipe like tukisonga
na wewe kama penzi lako limevuja kama langu basi tufajiriane kwa like tu😞😞😞. Ngoma yangu pendwa hii nimisha chagua🇺🇸
Leo kaamua kutufariji bana eeee
@@hamiskengwa6148 hiyo nikweli kabisa
Amin✌️
An acha tu!😓
@@jackmusictz8744 sio poa aisee😞😌
Langu limevunja Leo na amesema ashakutana Naye, mnifariji kwa likes
punguza nyege
If the live performance of this song brought u here,ily😂😢❤
Tuko wengi
Hata mimi
Mimi
Live ukua tamu zaidi
Yamaha live performance
Am here after watching mbosso Yamaha live.....this guy is very talented, big up @mbosso khan mabrook 👏👏
Same
Salamu toka mombasani .. wenye kuuguwa .. nipeni vibe hapa .. TEAM MOMBASAAANI
Tanga na Mombasa blood forever
visit Tanzania 🇹🇿
Nataka nione watu watakao sem mboss ni the best man of love
Mbosso nyimbo zako zinakuza uwepo wangu kwenye yale maumivu ya mapenzi.....i can't stop listening this from @Kenya 254
Mara kwa Mara ulilia, kifuani umenilalia..
Ukijuta unayachukia Yale ulopitia..
Eti kama mimi hujaona, wa kufanana naye..
Sasa mbona hukusema, kama ushakutana naye..
Napuliza Majivuuu...... Kooni Maumivuu.. Ahadi za Mbivuu.. Lile penzi tulivuu
Aah! Napenda sana... ❤
Asante Asante Sana Mbosso
😢😢 jamani kumbe tumevujiwa wengi 😭 asante mboss nakupenda Wasafi tuwaache tuuu💃😔😂
Lile penzi tulivu Leo lipo kikaangoni 💃💃💃💯💯💯💯💯💯👌
Wcß wameshindikana Africa 👏👏👏 like za mbosso hapa✨✨✨
Hakika wewe night Kinara um mboso naupenda wimbo wako❤❤❤
Yaani huyu jamaa hii mistari yake sijui anaoteshwa usingizini,🙌🙌🙌 is dope!!!!!
Nawazia hivo pia
Kwenye moyo wako livae penzi langu mbosso khan shukurani wapi likes za mshedede🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mboso how?,how until utoe kwenye meko tamuuuuuu!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 video lazima iwe ya mapozi
Wanaosema Mbosso ni SharKhan wa Africa kama mim gonga like ✅
Daktari Baba
💞👑💫✅
Eti kama mm ujaona wakufanana nae sambona ujasema kama usha onananae maneno mazito ayo dah😭 nipeni like namm team mbosso
Mbosso anaweza jamani wapi like ya mboso
Mara kwa mara ulilia ,kifuani umenilalia aaa,ukijuta unayachukia yale uliopitia,Eti kama mm ujaona wakufanana nae sa mbona ukusema kama ushakutana nae...ilifanya niliea..
Limevunja kweli,Album kali sana
mbosso weweeeee, haya bana, sisi akina nani tusiseme wewe ndiwe mtaalam wa maandishi
Daah ngoma Kali na beat Kali ya hisia yanipelekea kufumba macho kuskiliza mashair mazuri
Daaaaah big up broo
Hii nyimbo kila nikiiskia I can't help but cry the way I hanged on hoping one day hel give me the world in the end it was all games for him Alhamdulillah I did I cud for him may Allah give me happiness in return
POLEEE SALWA,YOU WILL FIND SOMEONE BETTER
The love I have for Mbosso oh Lord..I cry while listening to his songs ..not that they are painful but coz I just love his songs ..voice..the feeling of the song..May God bless you Mbosso you deserve more en more in this life
Same here
Kusema ukweli apo uliua' Bigup mbosso ata hamonize afiki
Well said. Period
@@juliusu2273 wacha harmonize ata diamond hamfiki...
napuliza majivi sababu moto si yoni 🔥🔥🔥🔥🔥, definition of love, manze kazi yako safi from research to final product 💯 mbosso ni moto
Mbosso anajua mpaka basiiiii 📝📝📝
mboso narudia tena kwa nyimbo za mapenz umeshindikana🙌🙌
Nitarudi kuona hii comment baada ya miaka kadhaa kumkumbuka mpenzi wangu Agatha 😥🤧😑
Kwa sahivi Penzi limevuja 😫
Pole tupo weng
Pole
dah!😢
Les chansons d'amour de Mbosso 👌🏽👌🏽 c'est tellement plein d'émotions ❤
Ils racontent quoi?
Mbosso isn't pregnant but always delivers🔥🔥🔥
the only Artist in Wcb I really like he's songs are all hits..msanii pekee mwenye mziki mzuuri Wcb akifatiwa na lavalava
mbosso my boi leo nimewai mpema lv the message frm kenya 😘😘😍😍🔥🔥🔥💖
Weweee mboso hidio nyimbo mwisho wewe namba 1
My favorite song, wapi likes wadau?????
We jama unajua sana unawalipua 💣💣wenye roho zakukunja @mboso #limevuja
Amengus pahali juuwengine twaonyeshwaa vituko nahatukuambiwa
🙌🙌 brother mbosso unajua kwakwel Mhhh💯💯👍
Mapenz ushenzi wallah nalia tu
Wasafi nyinyi ni kama team Arsenal mnajua kusign players wenye talent...thank u for Mbosso
Ila Wasafi wanashinda kimuziki na Arsenal ni kuchupwa huku na huko kama watumwa 😂😂😂
Mimi ni mfaransa wa kwanza hapa 🇫🇷
Karibu Tanzania Mfaransa
@@khaliphamajid270 😂😂😂😂😂😂😂mfaransa
Mbosso ni 🔥🔥🔥
King wa nyimbo za mapenzi mbosso Khan
Doh..sasa imekua ngumu kutambua gani bora 🔥🔥🔥 kazi safi sana bro 🇰🇪🌴🌊
I think this is my favourite in the album.
Mbosso is my favorite artist.I believe I'm the next mbosso.
Mbosso kama mbosso ongera kaka kazi imesimama💪
Respect quelle plaisir de vous écouter 👂
Im Ghanaian 🇬🇭 and if I get an opportunity to attend an mbosso concert one day, there has to be an ambulance on standby because i am 100% sure, joy and happiness will make be faint and fall flat on the floor. 😂😂😂😂😂😂😂i love mbosso music like i cant describe to you.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sina neno kwajili yangoma iyo kija anaweza kbs
This man is extremely talented! He gives some form of life to his songs
I was glued to this song during the entire 500+ km drive yesterday.. that's how good it is! Kudos Mbosso!
Wimbo pendwa kwangu❤😮 2:21
Basi mbosso... Mbona nisisikize ngoma zako... Unatesa baba... Ngonga like kaa mbosso kaweza
Mbosso anajua hadi anakera ,hii nyimbo huwezi elewa hadi yakukute...😅😅
Unaweza cheka kama mazuri ..
Sana yn yamenikuta ndo naiyelewa mapenz kumanyoko
@@SelinaJulius-od3jdPole ,piga moyo konde, kama ulitumia moyo sasa tumia akili ..
Leo ndio naielewa hii nyimbo😢😢😢
Mbosso khan✌️
two years down the line i still love this jam soo much ❤️
WCB 4life.... mbosso khan mshededee the african voice all the way from WCB.... Big up young fella.
My best song..course coming on time,,it's really story about me But thanks for All Mungu atalipa KWA yote nilotenda kumbe alikuwa Ananiigizia,Daah limevuja.
Mara kwa mara ulilia kifuani umenilalia ukijuta unayechukia yaleuliopitia eti kama mimi hujaona wakufanana nae hasa mbona hukusema kama ushaa kutana nae
Napulisa majivu maana moto siyaoni😥😪😪😥 inanihappening sahii kama wewe ni mwenzangu nipe like tukisonga
Acha tu mm kabisa
This song hit deferent ukiwa kwenye mahusiano yanayo suasua
My favourite song in the album RIP Magufuli🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪
It's 2024 lakini tunaomba kama inawezekana mbosso utoe video ya huu wimbo coz it gain much popularity this season
Dah!!! Maji ya korongo lazima yafate mkondo, najifariji Kazi Safi bro
Msukubali livuje tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eti ushaolewa lakini soulmate ananimaliza na nyimbo na shairi. #mbossoKhan
Mbosso nakupenda bure jamani mpaka it hurts ,your writing man mashairi then the message am dead wallahi
C’est du lourd de puis 🇨🇩🇨🇩
Best song of the album🔥🔥🔥🔥🔥
Hiii ngoma Kali san LIMEVUJA 🙏🙏🙏🙊🙊
Mbosso we ni next level....
Mbosso never disappoints..that's the WCB routine no disappointments 🔥🔥🔥🔥
Bgg
Mbosso nyimbo zako umenigusa sana
Penzi Limevuja Tena! Kali Kati Ya Zote.
J'adore ces genres de musique mbosso 🥰🥰🥰
King wa mauwezo💥💥💥
Mbosso ,,mini shabik wako kubwa kutoka Kenya ,
Mbosso 🇰🇪🔥fayaa
This Song has Melted my heart" lisemwalo lipo" the song has lived my life....😭😭
Legendary Mbosso....the only bleeding “love Voice” of East Africa
Of all the songs in the Definition of love Album.
This is the BEST🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimeipenda hii 🔥🔥🔥
Mbosso for life
Yani hii Corona imekutia uchungu mpaka ukaterempa na nyimbo zote Kwa mpigo kongole sana....god bless you more and more❤️❤️❤️❤️❤️
Jaman mbosso unanitoa machozi😢😢😢😢😢😢😢😢
Live performance was the best🔥🔥
Penzi limevuja tenaaaa dope
Penzi limevuja tena🔥🔥
Nakupendaaaa bureee mboss
Khan be blessed bro..sauti yako inaongelea wengi..Mungu akuzidishie uandishi bora zaidi✊✊✊
Huu ndo wimbo wangu mbosooooo
Noma sana Mbosso from +254 🇰🇪🔥🔥🔥💯
Kali Sana kakangu👍🙏💓💓💓
Huu wimbo umeniliza sana
Mbosso 🎵🎼🎧🔥❤🇰🇪
Nakubali san mboso khan uish miak 💯💯💯💯💯
Daaaaaaa mbosso utanifany mpak machoz yananitok m penz lang limevuj UK kitaan
I love this song. This message is so clear love is blind
Definition of love #LIMEVUJA is 🔥
Mboso just knows how to drop such tracks🔥🔥🔥🔥… your legacy shall live on💥… sending you love ❤️straight away from🇰🇪 #mybesthit in the allbum🥰
Uko juu mbosso khan.... Wat wa +254... Mko wapy wapy... Penzi limevuja tenah... 💪💪💪
The real definition of love... success mbosso 🤩😎
mbosso noma sana mtoto wewe hakika 🔥🔥🔥
the best on definition of love