he deserves first 1M Sub in Less than six months ahead as a welcome to our big label in Tanzania WCB. Second soon you're going to shine at the top. Third you're welcome to WCB d voice the best is yet to come
@NanaNana-xo2og umeonaee..uzuri haws miamba wakishaamua kuritadi wanasemaga japo sio moja kwa moja ila mwenye akili atajua tu kwamba washaikatia tamaa rehma ya. Allah
i mis and i wanna here diamond sing atleast 1 rap song without anay collaboration..i think he can kill it hard salute to him coz he can do anay kind of a music
Ile ngoma yako ya Mungu baba usiishie tu kufunga comments.. Ifute kabisa.. Ule sio wimbo bali ni kumdhihaki Mungu.. Nakukubali sana ila pale tu ndio umeteleza kidogo braza. Ni ushauri tu🙏🙏
Ngoma zote twende na Mondi.. Nyota Kali 💪🦁👏👏👏🔥🇹🇿🇰🇪
Kama unakubali hii ni mia,Simba ameonyesha mwanae upendo kwenye hii single 🔥🔥🔥nipe lliks
Tu kupe like uzi bebe wapi 😂😂😂
D voice giniiiiiii
Diamonds voice is on another level to be honest
Dogo tulia kwadaimond diamond anaroh nzuri saaan ushatoboa uko good d voice
Ila simba bwana kashindikana huyu mtu ❤❤❤
Kabxa sio poa
atar jini
Hii Ndio tofauti Kati ya bana boy davido wiz kid hawawezi kuimba kama ivi uyu jamaa amejaliwa sana kipaji na nyota ongera sana simba
We zombie 😂,,,, me sisemi ila 👊 take 5 bro umeuwaaaaaaa!!! Yaaaaaaani adi wasemeeeee
❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Nomaaa sanaaaa
he deserves first 1M Sub in Less than six months ahead as a welcome to our big label in Tanzania WCB. Second soon you're going to shine at the top. Third you're welcome to WCB d voice the best is yet to come
I love d voice and diamond Platnumz
Moto unaendelea kuwaka wasafi💪
Yaani simu si yangu but ni my friend phone but nimesubscribe juu ya Diamond,
Dvoice is so promising. I know Simba la masimba Dangote will nurture the talent in Dvoice👏🏽👏🏽👏🏽🤜🏽Kenyans and Tanzanians hit a like👍🏽
Ngoja kwanza..
"Eti wao wakilewa ni vibe ila sisi tukimoka ni mawazo"
Huyu mondi apewe dunia yake!
😂😂😂
Hana lolote uyo mond
Kishapewa kishasema yeye na mwenzio wote motoni 😂😂
@NanaNana-xo2og umeonaee..uzuri haws miamba wakishaamua kuritadi wanasemaga japo sio moja kwa moja ila mwenye akili atajua tu kwamba washaikatia tamaa rehma ya. Allah
Welcome to malawi my best artist in the world Diamond platnumz ❤️💯🔥🔥
Muli bwanji
@@AthumaniKitimaibwino kya inuyo 😂😂😂😂
Saut ya Simba inawakaaaaa waaaaa
Kashakua mwana familia
Simba namukubali sn kwa kweli yeye number 1 East Africa
Sauti ya Simba jamani Nani Kama Simba💪💪💪
Huyu Diamond Ni Jini Haswa Apangiwi Uwanja🎉🎉🎉
Simba hapangiwi kila uwanja anacheza aijalishi wanyumban au waugenini kotekote anapata matokeo D voice karibu sana usafini mzee apo tobo tayari❤🔥🔥🔥🔥
Daaah I though is rema from Nigeria ...... Coz wanafanana kumbe dogo d voice
Kbx mumewezeyaaa sana ukwelli sana kbx wasafii oyeeeee💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😘😘😘💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe 🔥❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
i mis and i wanna here diamond sing atleast 1 rap song without anay collaboration..i think he can kill it hard salute to him coz he can do anay kind of a music
He literally has at least one that he teased since 2021, it's lit 🙌🏾
Singeli needs more exposure and visibility ...sasa hili ndio song langu favorite 🔥 🔥
Huyu dogo akiwa kwa singeli ana kua kwenye peak ya juu sanaaaaa sio kawaidaa
Moto wa Mungu unaweza ww allah akuongowe
Diamond nyota ya kistaa ✅
WcB is another level ❤ this guy hes so telented if you believe this guy will be good in this game like my comment
D voice sasa tajiri aaashanza kuuteka mji kasepa na kijiji sasa atampita tena Ibraaa 😅😅😅😅😅subira ya konde 😂😂😂 bora 🦁
😂😂😂Kooondee tenaaa
Uyo d akifika miaka 5 t ataondoka mwenyewe hapo maan huyo mond n jini wa majin
Oya ii singel unaeza cheza mpaka piano staili
Noma sanaa
Kula Chuma iyoo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🦁❤️
Simba 🦁 kila style ya wimbo anapita kama kishada 🔥🔥🔥🔥
Twaku sikiliza paka huku Congo
Dvoice big up,,,,Simba la Masimba Dangote..kiboko na baba lao....Simba zidi Kung'aa
Now this is one to push us to the end of the year ❤... D Voice and Diamond Platnumz ate this one... goosebumps 🔥
Swaziland approved Diamond wasafi
Swahili kid 🔥❤️🇨🇩
Kenyans let's take D voice to 1 million subscribers please ❤❤
DIAMOND PLATNUMZ 4 LIFE
kama wa ganga wengine unatukumbusha ki swahili 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ki bembe
Simba lamasimba Dangote
Wakilewa wao wanavibes tukilewa sisi tunastress 🔥🔥🔥🦁🦁
Ongera youngu brother
Mwenyezi mungu
Amekupa kinacho styr
Ushakua star
Mmebadilisha😂
Kaka uko juuu congratulations ila naomba nami niko na singeli you tube naomba mpitiye kw yangu pia muone iko aje KING BEIBEI 254❤
I love Diamond very much and Raymond too, may God protect you, your fan from Sudan ☄️❤️
Nakubari braza😊😊😊😊
Mondo mungu azidi kukuangazia inshallaah
Simba Unajua sanaa,U deserve,U de Best.
Unyama ni mwingi sana bro yani ni noma sana 🔥🔥🔥
We Zombi Ahujuwiiiiii
I can't get tired of this song. Wapi likes za 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Saa nilivyo pita mbona ijabana😅😅😅
Mwezenu nimepitia bona sijabanwa we dagaji tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Another Rema from tanzania
Ile ngoma yako ya Mungu baba usiishie tu kufunga comments.. Ifute kabisa.. Ule sio wimbo bali ni kumdhihaki Mungu.. Nakukubali sana ila pale tu ndio umeteleza kidogo braza. Ni ushauri tu🙏🙏
Wueh! Amesema we mdagaji tu kama wadagaji wengine..😂😂😂😂in short tuliaaa🤦🏽🤦🏽
Hapo sasa!!! Kali sana!!
God bless Diamond for signing you ❤ 🇰🇪🇴🇲
Much love from 254
Sauti ya simba ni tamu aisee!!!
Msiniache mnibebe🎉🎉
Wangap wamemkbali simba kama mimi alivyoua humu
Simbaaaaa
New talent in the team 🙌
Pumzika hapo dogo janja Kula ugali sas ila heshim uongoz pamoja namkataba wako..
Oya nasemaje nasemaje saloon mwangu unapigwa siku nzima album Moja tu Swahili kid tu for Zambia ❤
Hakika njo kuku juwa sasa hivi,ulikuwa bado saaana. Kwasasa usijali tena🎉
Nimezikubali Tungo
Karibu usafini kijana piga kazi 🙌
Na simba la MASIMBA DANGOTE 🔥🔥
Haujuwiiiiiiiii
We mchawi tu kama wachawi wengine 😂😂😂😂
My best artist in the world Diamond platnumz 🔥🔥❤️💯
Sengeli
Nahisi vocal mondi alimuelekeza dvoice kwa kiwango flani,,,my favorite ❤️ diamond platnumz my mentor
Singeli zone
Ila Diamond kiboko bhanaq
Karibu sana nyumba kwetu d voice ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
This song is a big tune no lie @diamondplutnumz never disappoint what ever he touches turns into hit 🔥❤❤
D voice ndio amewachangamsha amapiano tuu ndio wanaimba nowadays 😂😂😂😂
Hii tunafungia mwaka🎉
Uko top bro❤❤
Banger kali 🎉🎉🎉🎉🎉
Kaliiiiiiiii
Mwanetu huyo ♥️♥️🔥🔥🔥 chama languu
One thing about this is showing how capable the artist is
Congratulations fiiirst D watu wamekubaaaliii❤
Hatari
Simba ❤❤❤❤❤ mkali wao
Rodoflix liked this less than a day you have make a subscription of over 70k that's wonderful bro good job
Huyu mondi popote utakapo mtupa ana hit
Hapo mwisho bwana SIMBA kaumiza sana😂😂Anateleza na kila beat🙌dakik 2:51💥
Jamaa SIMBA ni Namba wacheni mchezo
Bonge moja la banger mmeuwa sana
Simbaaa
Simba kama Simba and madanga ya mke wangu
Oya we! We utumbo tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Verry Nice song big up D voice.......SIMBA SIMBA 😂😂😂😂❤❤❤❤❤