Mbosso - Nipo Nae (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 357

  • @Sammyalljobz
    @Sammyalljobz 3 роки тому +95

    Kenyans in the house 🏠🤣🤣🤣🤣🤣....tuko Rada mbayaaa..🙏................Sauti nyororo YA mbosooo.....my King 🤝🤭

  • @janewashe7276
    @janewashe7276 3 роки тому +17

    Mbosso buaana ata kama mtu hataki kupenda atapenda tuuuu, si kwa mahaba hayo ya nyimbo🇰🇪

  • @limitoboe
    @limitoboe 3 роки тому +32

    Anayekosoa hii album hana akili yan,
    we finish with Mr Hindustan 👌 hamara Bhai

  • @thegratitudeattitude67
    @thegratitudeattitude67 2 роки тому +2

    Bado tupo sana tu. Ndio kuanza tumeyaanza. Mi bado nipo na yeye. 🙂

  • @kelvinmulwa3410
    @kelvinmulwa3410 3 роки тому +13

    Ninapotaka kuzama kwenye mahaba unakuwa wa kwanza kwenye playlist yangu....nishaamini maneno yako kwenye mistari za wimbo si ya kubahatisha ....more likes please

  • @cynthianorman4025
    @cynthianorman4025 3 роки тому +3

    Raha mstarehe sijaomba nishapewa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hashimbill5282
    @hashimbill5282 3 роки тому +28

    Natamani like zingekua 100 nikupe zote...Big up 💪🏾

  • @khamisjunior4241
    @khamisjunior4241 3 роки тому +19

    Mm sioni mbaya ban kwenye hii album kila ninayo play ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 3 роки тому +4

    Njoo kwanza tumesha zianza ila mbosso unalizaga kwa swahili yako ya ndani sana mashaallah from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦love you

  • @hamimhaslim8522
    @hamimhaslim8522 3 роки тому +2

    Big u mbosso mshedede 👌👌👌👌 tupo nyuma yako kka sisi wa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @uwihanganyemodeste2479
    @uwihanganyemodeste2479 3 роки тому +1

    Ma voice killer vraiment ijijwi rinkurura gake gake nkahita nsinzira imana izaduhe kurambana nawe ndakwemera mubahanzi nkunda woe umpora kundiba yumutima icyama nkazahura nawe rimwe niyo nahita nitahira byaba bihagije kurijye

  • @fadhwah555
    @fadhwah555 3 роки тому +1

    Ulichosusa ankula mwenzio....wee mbosso....ex mbona atafubaa zaid na hii nyimbo....uwiiiii

  • @elijahmwinuka389
    @elijahmwinuka389 3 роки тому +6

    Mbosso nyimbo alizoimba mwenyewe ni nzuri zaidi yani anatulia sana hata rhythm unasikia hatari

  • @singunzumbi5643
    @singunzumbi5643 3 роки тому +4

    Wangapi wanamkubali mbosso Kama Mimi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khadijahkhdoo6387
    @khadijahkhdoo6387 3 роки тому +2

    Wacha mbosso sabaki kuitwa mbosso dogo aweza🔥🔥🔥👌👌👌

  • @amraniramadhani7498
    @amraniramadhani7498 3 роки тому +3

    Nipo nae ya mbosso Khan mushedede imetisha Sana, sauti imetulia Kama kawaida yake....in short Ni fundi...💪💪

  • @tinnymarty
    @tinnymarty 3 роки тому +4

    .hii nyimbo inabid iingie first on trend haraka sana...maana ni yamoto sana

  • @oscarbrand2344
    @oscarbrand2344 3 роки тому +24

    Talented boy from wcb, my favorite song to this album and you guys which song is so favorite to u

  • @amranabdikadir3602
    @amranabdikadir3602 3 роки тому +1

    Nyimbo ya kukomoa hii.....itawafikia wasiokupenda haloooooo kama nanii vileee😀😀😀😍😍😍

  • @juliusmichese8635
    @juliusmichese8635 3 роки тому +18

    #Mbosso khan U R FIRE🔥🔥🔥 kama unamkubal mboss achia like na comment za kutosha ,..

  • @kavubankayamba7505
    @kavubankayamba7505 2 роки тому +1

    Nakukubali mno na huu ni wimbo pendwa fanya video aisee

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 3 роки тому

    Bado nasuburia video ya huu wimbo. My favorite. Wakenya wanapenda huu wimbo yaani hadi chochoro zote. Tupe tuenjoy

  • @fathimaalhabsi1979
    @fathimaalhabsi1979 3 роки тому +10

    Continue mbosso
    You are the best
    Sauti yako
    Ma Shaa Allah ❤️♥️❤️

  • @lithermuthama3430
    @lithermuthama3430 3 роки тому +26

    kenyans in lebanon mnipee likes🔥🔥🔥🔥🔥nipo nae🔥🔥💯

  • @allenchristopheryamungu1990
    @allenchristopheryamungu1990 3 роки тому

    Mbosso unajua inxhort WCB mnajua mungu awalind na kuwatangulia naamin mtazid kupaaa

  • @CallmeSlimyjay
    @CallmeSlimyjay 3 роки тому +31

    Now this is my favourite track from the album 🔥🔥🔥🔥

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 роки тому +10

    Hujawah niangusha mbosso fundi kabisa 🔥🔥

  • @abuhamid5401
    @abuhamid5401 3 роки тому +8

    Mbosso weh ni fundi, jemedari!

  • @halali_ya_naseeb
    @halali_ya_naseeb 3 роки тому +1

    Inyeshe kabisa nipo nae woyooo

  • @kingd2545
    @kingd2545 3 роки тому +12

    Mbosso never dissapoints.Mfale wa mashairi

  • @joycekapala4609
    @joycekapala4609 3 роки тому +1

    jamani ...jamani ..si kwa mahaba haya!!!!!!!!!

  • @bancymakena4169
    @bancymakena4169 3 роки тому

    Tupo nawe kwa hii definition ,,,much love from kenya

  • @eddy4998
    @eddy4998 3 роки тому +2

    Nimekubali mbosso haya ndio mapigo yako ninayoyajua

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому +1

    Uwiiii kajimbo nimekaelewa aseeee mbosso wewe ni motoo

  • @salanmoha1580
    @salanmoha1580 3 роки тому +1

    King of Rnb mbosso khan umeweza bro

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 роки тому +20

    I'd been asking myself how the Album will sound according to it's Title, I got to know,u guy u killed it🔥🔥🔥

  • @MwanaziaJuma
    @MwanaziaJuma 5 місяців тому +1

    Bado nipo na yeyee🎉🎉

  • @lizaldmusictz2455
    @lizaldmusictz2455 3 роки тому +1

    Safi sana kaka albam tamu sana nairudia rudia imenikaa akilini anytime najiimbia tuu

  • @mr.puteronescy1411
    @mr.puteronescy1411 2 роки тому

    nakua darasani kila SAA kukariri mashairi ..mi hupenda kujiita mbosso wakenya maana hupenda sana mashiki ya kueleweka ya marambosso

  • @charlesmaina7294
    @charlesmaina7294 3 роки тому +10

    Nipo nae na simuachi ngo! Kali sana Mbosso 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 3 роки тому

    Mbosso khan mhindi wa kusini

  • @seedofmelanin1178
    @seedofmelanin1178 3 роки тому +4

    Tupo na wana TZ .. kama uanakubali gonga like .. TEAM MOMBASAAANI >> kenya🇰🇪🇰🇪aa ..

  • @mackenzie8037
    @mackenzie8037 3 роки тому +4

    Hii ndo ngoma kali katika Album kwangu 🔥🔥♥️

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 роки тому

    Msenge anajua sana kuimba aise ni mkali sana mbosso

  • @EmmanuelAndayi-d5v
    @EmmanuelAndayi-d5v 18 днів тому +1

    Give me this video... Napenda hii Ngoma sana

  • @nabeapius342
    @nabeapius342 3 роки тому +19

    Likes frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @TausiKitwiku
    @TausiKitwiku 8 місяців тому

    Naupenda sana huu wimbo😊😊

  • @dorcajohn7661
    @dorcajohn7661 3 роки тому +2

    Nipo nawe kaka hadi milele tu wasijisumbue kabisa sitawahi kukuacha kamwe!!😍😍

  • @cinemaxent2548
    @cinemaxent2548 3 роки тому +2

    AMINIA BROO E.P KALI TWATAKA KUJUA NINI MAANA YA MAPENZI KATIKA HII EP

  • @halali_ya_naseeb
    @halali_ya_naseeb 3 роки тому +1

    Wasafi on top Hadi raha 💃💃💃💃💃💃😂😂😂😂😂😂💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @iamabuumanimani8927
    @iamabuumanimani8927 3 роки тому +2

    katika nyimbo zote ulizo toa hii ndo nzur yan....

  • @mohamedjanaw2358
    @mohamedjanaw2358 3 роки тому +2

    Tnx mbosso Khan💯kura kwako my friend🎁maana sio Kwa hizo nyimbo anazonipa zinanipungaje??💯💯🔥

  • @alexswax3139
    @alexswax3139 3 роки тому +1

    Unajua baba

  • @jonathanalais.m1303
    @jonathanalais.m1303 3 роки тому

    Aisee unaroga kweli kaka kwa sauti na aina za nyimbo.songa tu mbele king kan

  • @narjessablaoui3225
    @narjessablaoui3225 3 роки тому +16

    Wonderfull song, great voice ❤
    We allways listen 2 ur songs
    From Tunisia ❤

  • @sirallantoiske6250
    @sirallantoiske6250 3 роки тому +16

    Best of Albums 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 3 роки тому +3

    Watu wamekimbilia kwenda kuskiliza mbosso ft chibu
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋✋wamesahau dude hili dadek apa mbosso umeua mno hii ndo ngoma yangu pendwa

  • @franklinkarani8031
    @franklinkarani8031 3 роки тому +87

    Always Kenya must be in house 🤸😍

  • @tunuwagithuraiali3016
    @tunuwagithuraiali3016 3 роки тому +1

    Weweeeeeeee mboso khan baby......

  • @fridahauma4829
    @fridahauma4829 11 місяців тому

    Naupenda Mbosso❤❤❤

  • @mukaplatnumz2313
    @mukaplatnumz2313 3 роки тому +25

    Like tafadhali kama hupo naye😌💪

  • @youngshiner172
    @youngshiner172 3 роки тому

    Nimeanza kuskiliza kuanzia wimbo no. 1 had huu wa 12 cjaona wimbo ulioharb axee we ni fuuuuuuuuuuuuuuuuuuundiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii xn.Acha niendelee no. 13 nione

  • @piusmuema1692
    @piusmuema1692 3 роки тому +6

    Nyimbo za wakati hakika🔊🔊

  • @arafaally9192
    @arafaally9192 3 роки тому +1

    Ngomaaaaa kaliiiiii kinyamaaaa definition of love ni balaah🔥🔥

  • @sultanmwalimumohamed102
    @sultanmwalimumohamed102 3 роки тому

    Mbosso mmi pia BADO NIPO NAE....
    Hii pia Kali I say Salute mkaka

  • @tinnymarty
    @tinnymarty 3 роки тому +12

    . aiseee i cant get enough of this song its my favorate from now on... 😜😜🙌🙌🙌✨✨ bonge moja la album

  • @mahmoodahmed5984
    @mahmoodahmed5984 2 роки тому

    Bongo King 👑 @Mbosso

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 3 роки тому +8

    🔥🔥🔥🔥🔥 king of love song in Tanzania

  • @priserke
    @priserke 3 роки тому +2

    Lizerclassic🔥🔥💣

  • @daimaendrew6461
    @daimaendrew6461 3 роки тому +1

    Nmekubali kaka unajua mi nko tunduma tanzania

  • @afledymlahagwa9290
    @afledymlahagwa9290 3 роки тому +2

    tisha sana broo🙏🙏

  • @hammyberry6073
    @hammyberry6073 2 роки тому +1

    I just had to Shazam this song after listening to it in Namanga Border 🇰🇪🇰🇪

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 роки тому +1

    mtoto Mbosso balaa tupu

  • @alimaduke8020
    @alimaduke8020 3 роки тому +1

    my boi khan imeweza frm 254 😘😍😍😍

  • @rahmahaji4647
    @rahmahaji4647 3 роки тому

    Anajua kuyapang 🔥🔥

  • @recheljoel4142
    @recheljoel4142 3 роки тому

    Hii track n hatar jaman duuhhhh mboso on 🔥🔥🔥💯

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 3 роки тому +9

    let us express the feelings of loves .....nipo nae .... 🔥 Khan

  • @fazzaomar9319
    @fazzaomar9319 3 роки тому +2

    Ahhh jamani 🥺😘 Amazing song❤️❤️

  • @floragadson5746
    @floragadson5746 3 роки тому

    Mbosso kama mbosso🔥🔥🔥🔥🔥🔥tupeperushie bendera 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mercynaima885
    @mercynaima885 3 роки тому +5

    This new album ni 🔥🔥🔥💯💯much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rukayarashidy858
    @rukayarashidy858 3 роки тому

    Yani unikosha mboso🥰🥰🥰nachezaa kwa madoido

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 3 роки тому

    Daah hivi huyu mtoto anafikiria je kichwani?? Daah wimbo hadi unanitoa chozi kwa kweli daaah

  • @zahraelmi8234
    @zahraelmi8234 3 роки тому +1

    Ulichosusa akula mwenzio 😍🥰❤👏

  • @sabrinasuleman4848
    @sabrinasuleman4848 3 роки тому +2

    Kweli nipo naye l love ❤️ the song 🔥🔥🔥

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +20

    You never disappoint mr mbosso 🔥🔥

  • @coollema4148
    @coollema4148 3 роки тому +8

    This is so amaizing 💪🏽💕💯 from ghana 🇬🇭

  • @asirajay4033
    @asirajay4033 3 роки тому

    Alaaa!! Mambo Tar-ti-taah! 💥💥💥
    Jiwe juu ya jiwe!!

  • @aminamramba7471
    @aminamramba7471 3 роки тому

    😊😊😊 inatulizaaaa balaaa jamn😋😋😋

  • @munaabdallah9665
    @munaabdallah9665 3 роки тому +1

    Moto sana.

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 3 роки тому +1

    Hahaha daah babu kwa hii umeniua kweli

  • @wasafiwasafi734
    @wasafiwasafi734 3 роки тому

    Mbosso fundi wa mapenzi

  • @gavanamaina8864
    @gavanamaina8864 3 роки тому +1

    Fundi khan 🇰🇪🚀💥

  • @shamtesaid1377
    @shamtesaid1377 2 роки тому +1

    Keep representing Kibiti's Young artists, don't forget to boost them! A charity begins at 🏠, .....keep moving bro...

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 3 роки тому

    ndo kwaanza tunayaanza🤗🤗

  • @rbd15197
    @rbd15197 3 роки тому +1

    Kwenye album hii akunangomakali kama hii💪
    Unawezasana kaka

  • @patrickhella8890
    @patrickhella8890 3 роки тому

    Ckupingi Mbosso Wimbo mzuri Sna Bado nipo Nae

  • @GeorgeMpweto
    @GeorgeMpweto Рік тому

    Goma kali bro

  • @princegeorgemichaelbarnaba966
    @princegeorgemichaelbarnaba966 3 роки тому +2

    Roho yangu🍎

  • @thabitilinolo740
    @thabitilinolo740 3 роки тому

    Na Mimi Nipo nae sana tu

  • @stevenandrea549
    @stevenandrea549 3 роки тому +1

    Una juwa Sana kaka ✌️✌️✌️✌️