Diamond akiimbaga this kind of song anakua hatarii. ananiaminisha kuwa hakuna nyimbo hawezi Fanya na hii ndio maana ya Msanii aliokomaa , Anajua kwenda na soko linavyo taka he truly the #G.O.T gonga like kama unakubaliana na mimi
@DiamondPlatnumz has been rushed to Tanzania Hospital over complain of pain on his back for carrying the whole Tanzanian hiphop industry on his back 🔥🔥🙌🙌🇰🇪🇰🇪🫵
Mr blue i salute 🫡 you bro!! You never disappointed me!! Kipindi nipo mdogo nilikuwa nabandika picha zako mahimie!! Nilipo kuwa mkubwa nikabandika saloon!!. I Appreciate you muziki huu umeutoa mbali sanaaaaa!! Ishi mwamba sanamu lako lipo na litajengwa one day!!
D ifference is the way to Njoro few metres from town but they will maintain the best of black and maroon to be your house help you have to promise a friend who 6bob nitaleta I will appreciate the way
hakuna kuoshana hapa, wachapa muziki vizuri na sio Ngoma ya diamond. Wako poa kabisa. it's one of the best collabo from Tanzania, Wacha tujivinjari tukiskuza wimbonsafi
Huu mwimbo nimeupiga mbele ya familia ikabidi waite na ndungu wakaribu na ndugu wa karibu nao ikabidi waite ndugu zao sasahivi ukoo mzima tume kaa hapa na projector na blue tooth speaker tuusikilza. MAPOZI TO THE WORD❤❤❤
I was playing this song loud until my neighbour called the police, when the police arrived they called the prosecutor, the prosecutor also after arrival he called the judge,the judge finally came and sentenced the neighbour for trying to kill the vibe of Africa ❤
@DiamondPlatnumz has been rushed to Tanzania Hospital over complain of pain on his back for carrying the whole Tanzanian hiphop industry on his back 🔥🔥🙌🙌🇰🇪🇰🇪🫵
SIMBA UMEWANYAMAZISHA KINA MENEJA DINGANO NA WENYE TABIA KAMA ZA KWAO..NA JAY IS A DREAM COME TRUE BIG UP HAPA 254 KENYA ITS A BIG TUNE WHEN 2 LEGEND COME TOGETHER.
Sikuzote mtu ukimchukia aimanishi atapata tabu Ila diamond anajuwa tena natena nakuombea tu Kwa mungu ufanikiwe zaidi na utupe buludani adi uzeeni kaka mungu upo nawewe
Mr. Blue used to be my TZ crash when Mapoz first hit the charts years ago...aaahhh Simba taking us back down memory lane. Noma! (Almasi, Samawati na sauti tamu kwa wimbo moja.) Noma!
Hongera sana Simba Kwa kuwapushi wasaanii wenzako, maana Kila mtu anajua kuwa wewe ni mkubwa kimziki, na kuhusu hii ngoma sio mbaya imefanya pow tu yaani fresh 💯✅
Simbaaaaa 🔥🔥🔥 Jamani ngoma mbaya lako litotoka lini maana naona watasubiri sanaaaa.. Nyimbo hatari sana Worth the wait Jay & Blue Murdered it ❤ 🇰🇪 Representing
Wow what a song Ongera kwa team yote Br blue sauti iliyo barikiwa toka kuzaliwa. Mr melody always the best Diamond always do your best and pull others up. Big up
ua-cam.com/video/6mlmREF2Hxo/v-deo.htmlsi=v2VN6L_fI49kM5re Diamond platnumz Ft jaymelody &Mr. Blue PARIDY CALLED CHAPATI BEANS🔥🔥🔥please watch it out🙏🙏🙏
❤❤❤ Hii song imefanya mganga upunguze azina na kucheza kweli🇹🇿🇹🇿 Simba amezima Nigeria #Asake aje na zile fikra potovu sisi wakenya🇰🇪 tutamuonyesha maandamano
Jameni tukubali tukatae Mondi si mtu wa hii sayari tuliomo maana mwamba anajua hadi kero mwamba hana mpinzani tz yupo mbali sana duuh bonge la song unyama sana tz kimziki bila huyu mwamba mziki ungelikua down ila kaleta mapinduzi makubwa sana big up sana 🦁 🦁 unajua hadi unakera wasafi forever
ua-cam.com/video/6mlmREF2Hxo/v-deo.htmlsi=v2VN6L_fI49kM5re Diamond platnumz Ft jaymelody &Mr. Blue PARIDY CALLED CHAPATI BEANS🔥🔥🔥please watch it out🙏🙏🙏
Have heard Mr blue part ,mehn my earphones volume ain't enough I keep forwarding to me blue part ,damn the boy is so cool rhymes are clear I have never commented in any diamond song but for this out of 10 I give it 9 due to Mr blue presence
Hili ni funzo kwa wasanii wote bongo, ukipewa collabo na mondi unatakiwa ufanye kama alichokifanya jay-melody. Congratulations young man you delivered
Absolutely 😊
Umeona unyama wa bizz
Amemalizaaa yan
Unyama ni mwiingi sana
Yeah J amenyoosha
Daaaaah leo hatimae nimekuwa wa kwanza
Mondi ni 🔥🔥🔥
Gonga like Kama umeielewa kama mm
Diamond akiimbaga this kind of song anakua hatarii. ananiaminisha kuwa hakuna nyimbo hawezi Fanya na hii ndio maana ya Msanii aliokomaa , Anajua kwenda na soko linavyo taka he truly the #G.O.T gonga like kama unakubaliana na mimi
Maponzi siyonzuri kuliko ile harmonize na ibra walitowa harmonize hes king to Africa jekwako ninani
Mr Blue na vionjo vile vile vya mapozi hakika umenikumbusha mbaali sana kijana mhenga mwenzangu...umetisha saana
Kumbe wengi tulikua tunasubiri hichi chuma,,, Diamond never disappoints us🎉🎉🎉
Which country is this
Tanzania @@InnocentJoseph-mi9nd
Mimi je
@@InnocentJoseph-mi9ndeast African king diamond plutnumz!! Our music guru
@DiamondPlatnumz has been rushed to Tanzania Hospital over complain of pain on his back for carrying the whole Tanzanian hiphop industry on his back 🔥🔥🙌🙌🇰🇪🇰🇪🫵
Wa kwanza Burundi 🇧🇮 nipeni like zaang ❤❤❤ #Diamond To the World Haujuwiiiiii
💪👊kula chuma hicho!
Karibu😀😀
Ushasema
yow sef wee viip duuh kumber nawewe upo
Msaaaza ugute gute 😅😂🎶
Kweli. Marafiki ni MAJOKA. Hats bandugu was kujipachika
Tuache unafiki aisee JAY MELODY anajua sana ❤kuhusu mr blue hazeeki...simba ni atari sana mnafanya tunavimba nchi za watu huku
😂😂 kaka nakuunga mkono huna baya hawanaga baya Hawa
😂😂mpaka mtandaoni tuna vimba sana..
Jay melody katisha Sana,,,,,, kama umemkubali Jay melody achia like tukisonga🔥🔥🔥🔥
Tanzania hakuna mtunzi ka jay melody. sijui kwa nini anakua undereted sana huyu jamaa wa moto
Matikiti kudondoka
Jay melody nimunoma kazi zake n Hatari very soon ata take over bongo flavor @@geomangi6123
@@Mwante952kijana n Hatari
🎉🎉🎉🎉
"Matikiti kudondoka matikiti kudondokea, marafiki huwa ni nyoka" Siku zote verse zako ni Nomaaa
ua-cam.com/video/7GSqXK4x3kY/v-deo.htmlsi=ChA9Jop694Z9XHMe
atariiiiiiiiiiiiii juu ya atar kuna mtu kaishia pasipojulikana nanyimbo yavurug
Leo siku nzima naisikiliza hii ngomaa hadi nmesahau kula.ngoja nikoment afu nipike Sasa nile.@diamond platinumz utatuuwa baba 🙏🙏🙌🙌🙌🙌
Inaonekana huna kazi ya kunya kenge wewe
Hahaha sasakaimba nini
Na Mimi ndio nimekumbula kula leo, wacha nikatafute msosi nile nishibeeee
Mr blue i salute 🫡 you bro!! You never disappointed me!! Kipindi nipo mdogo nilikuwa nabandika picha zako mahimie!! Nilipo kuwa mkubwa nikabandika saloon!!. I Appreciate you muziki huu umeutoa mbali sanaaaaa!! Ishi mwamba sanamu lako lipo na litajengwa one day!!
waoh!!
Eti kipind ulipokuw mkubwa ulikuwa unabandika saloon so asa iv mzee utabandika wap😂😂😂
❤❤❤❤
Uko na roho nzur sana kk mungu akulinde 2endelee kuenjoy good music
ua-cam.com/video/hoVQmrNqGfU/v-deo.html uganda version song
🇿🇲🇿🇲🇿🇲wa kwanza za Zambia nipeni laiki zangu Zambia kuchalo 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲❤️❤️❤️❤️
Kuchalo babylon
❤
Zambia to the world
Jay ndio simbaaaa kwa huu wimbooo nyieeee ,,munipe like zake jay melody ❤👍
Kabisa kabisa jay ameweza sana amemshinda mond. Lakin kwa vile mkuu nyota IPO juu ataonekana yeye tu
Kweli Jay ametisha mnooo tumpe maua yake tafadhali hahaha lets make some noise to Jay once again😂
😂😂
D ifference is the way to Njoro few metres from town but they will maintain the best of black and maroon to be your house help you have to promise a friend who 6bob nitaleta I will appreciate the way
Kweli!
Mi naona tuwekeze kwenye Muziki tu. Especially To Those Giants. Tanzania kwa Muziki ni No 1 East Africa no body Dobt. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 My Country.
Sauti ya Rais....yaani president👊👊. Pia mimi naomba subscribers. Be blessed 🙏
Jay melody ameosha diamond kwa hii nyimbo mtulivu vocals safi ubunifu tops jay kweli mkuu wa melodies amekolea huyu
Matikiti kudondoka matikiti kudondokea ,marafiki huwa ni NYOKA ...
Are you still sure about that ?
hakuna kuoshana hapa, wachapa muziki vizuri na sio Ngoma ya diamond. Wako poa kabisa. it's one of the best collabo from Tanzania, Wacha tujivinjari tukiskuza wimbonsafi
Hii ngoma imesimamia ukucha.🔥🔥🔥
Simba,nyani zee,melody. Dule limetulia. Aisee. Ni nyoko🔥🔥🔥
Huu mwimbo nimeupiga mbele ya familia ikabidi waite na ndungu wakaribu na ndugu wa karibu nao ikabidi waite ndugu zao sasahivi ukoo mzima tume kaa hapa na projector na blue tooth speaker tuusikilza. MAPOZI TO THE WORD❤❤❤
Huu wimbo nimeupiga mbele ya familia ikabidi waite ndg zao sasa hivi tupo ukoo mzima tim
😅😅😅😅
Nishaona lengo la Simba ni kuwabeba wabongo wenzake, mungu akubariki sana Simba 🫶🏾
Everyday huyu jamaa ni noma sana kwa kweli gonga sana my favorite star ⭐✨ from Drc congo 🇨🇩🇨🇩 nishabiki yako number one
❤jamani wimbo tangu asubuhi auishi amu daimondi shikamoo kaka
Kusema kweli nakosa hata la kusema juu ya hii colaboo ◇ wotee wameeuaa aisee 🔥 📛 kama na ww umekubal walicho kifanya hawa mafundi weka likee hapaa
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😢😢😢😢❤❤❤
Simba
Basi tz nipeni like bro. Yani unajuwa kulala macho juu ya upendo. Uu simba... love more bro
From amasha to you guys.ngoma Kali sana.jay Ako finest
Jay melod kaanza vizur sanaa, melody kalii, beat limetulia, blue ndo kaja kuua kabisa mwishon, hapo kati simba la masimba ndo kakichafua balaaa🙌
Nilihisi Diamond atamsukuma Jay Melody kwenye amapiano. Ila wamekaa vizuri sana kwenye style hii. Ngoma kali sana. 🎉 Big up Simba
Ila simba mzee kalazwa 😅 kabakia aaaaaa zombiii
Jay sio Kiaz
Kiukweli Mr Blue ni hatari. Mapozi ilichezwa miaka ya nyuma lakini tena ngoma ikaamka 2024. Hatari hii💥💥
hii nayo sisemi it is a sweet melody aa mapoz
Jay na mond kamaliza verse ki fresh kabisa @maboz koma kazi hiyo listening fro Texas +1 USA 🇺🇲
Wa kwanza kutoka France 🇫🇷 nipeni like zangu ❤️ team Jay once again for Life 📌😍😍
Wap ww uko buguruni
France ya wapi 😂
Jana turikuw pamoja uku Burund urifika frc Lin ??
@williamuaza751 😂😂aka kwann uampa makavu hiv sijapenda😅😅
I was playing this song loud until my neighbour called the police, when the police arrived they called the prosecutor, the prosecutor also after arrival he called the judge,the judge finally came and sentenced the neighbour for trying to kill the vibe of Africa ❤
Best comment in Saudi😂😂
C’est drôle 😂😂😂
😂😂 gulf comment
@DiamondPlatnumz has been rushed to Tanzania Hospital over complain of pain on his back for carrying the whole Tanzanian hiphop industry on his back 🔥🔥🙌🙌🇰🇪🇰🇪🫵
Nc ijapo kuwa sijasikia lazima uhuwe mnyama 🦁🦁🦁 we 💀💀
Nina na mapoz na mimi
#1as usual dangote babalao
#doba wagwan bila nyongo 🎉🤟💪💯
Daah, Hii ngoma Kali sana Huyu Jay Melody ni Hatari ❤💥💥💥💥✍️✍️✍️
Imagine ngoma yake na zuchu inaweza kuwa vp 🔥🔥🔥
Huyu mwamba akimba aina hii ya muziki anawazulumu wengi . Do bora awaachie na wao . Simbaaaa hatariiiiiiiiiiii
Kama umeupenda juu wimbo East Africa nipe likes❤❤❤
ua-cam.com/video/fX_feCiG4xg/v-deo.htmlsi=hrUSLBcM3Q-jJXzl
Diamond wetu, much love my guy. Sounds kinda real bongo that is so sweet. ❤❤❤
Kwani ni kesho...More L❤ve from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪#HakunaMatata...Twa wapenda wenzetu wa Bongo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤟👌🏾💋
SIMBA UMEWANYAMAZISHA KINA MENEJA DINGANO NA WENYE TABIA KAMA ZA KWAO..NA JAY IS A DREAM COME TRUE BIG UP HAPA 254 KENYA ITS A BIG TUNE WHEN 2 LEGEND COME TOGETHER.
Apana Simba ame poteya ki music
😂😂😂😂 simba wamoto weeee
Daah awajatutendea Haki kabisa aisee Nilitamani tumsikie Blue zaidi na Zaid wamempa kipande kidogo sanaa
Beautiful voices, was once a fan of Mr blue back then.
Jay umefanya vizuri kutomchukia Simba sai sasa utapata respect babaaa
Daaah kusema kweli jaymelody ni msanii mkubwa mno 🙌🙌🙌🙌 nimekubali sana simba la masimba
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 from Burundi we love u Platnium, ngoma kali sana
Salute sana Mr Blue mapoz Simba and Jay.
Ngoja hii inanikumbusha ujana Mzee ilkua hit bana... Kama ulipenda mapoz yakwanza utaipenda pia hii
Huyu mondi ninavyo mkubali basi tu .... Ingawa kukubali masela ni usenge tu... Tatizo kaniimbisha kwa kipindi kirefu... Afu Hana baya mwana
You can like whoever you want asikupangie mtu kaka
As long as you genuinely happy 😊❤
Tanzania Bado haujatokeya music ambaye umeandikwa vizuri sana kuliko uwu.Ninzuri sana.🇲🇿
Diamond Platnumz is carrying his country and Bongo Flavor on his shoulders... Asante Simba kusapoti wasanii wengine🔥🔥🔥🔥🔥🦁🇹🇿
Oya hii ni yakawaida sana...! Ila ile original bado ni fire🔥 🔥 .
Hinaifatiliya kutokeya sauzi 🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿 ngoma ime uwa kinyama
My guy Jay nailed it on the one....nipeeni likes ya Jay plis
Sikuzote mtu ukimchukia aimanishi atapata tabu Ila diamond anajuwa tena natena nakuombea tu Kwa mungu ufanikiwe zaidi na utupe buludani adi uzeeni kaka mungu upo nawewe
Africa to the world 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mr. Blue karibu tena kwenye industry ❤❤❤❤❤
He never left
Mr. Blue used to be my TZ crash when Mapoz first hit the charts years ago...aaahhh Simba taking us back down memory lane. Noma! (Almasi, Samawati na sauti tamu kwa wimbo moja.) Noma!
what languge is that ?
Hii nyimbo haiachi kucheza akilini mwangu❤kazi safi,kali sanaa,HATARIIII❤
Njia mojawapo ya kujua kama unajua mziki n kupewa collabo na mondi. Big up kwa jay😮
Kazi safi sana simba jay blue...hii nayo mmeigonga kwa nyundo💥💥🔥🔥🔥🔥cant stop listening to it🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow Bongee la hits tumetulia na vocals za j melody na mondi mara Booooom Bluee kaja kuuuaaa🥰❤🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Simba Kwa kuwapushi wasaanii wenzako, maana Kila mtu anajua kuwa wewe ni mkubwa kimziki, na kuhusu hii ngoma sio mbaya imefanya pow tu yaani fresh 💯✅
Wakwanzaaa apa gonga like
Mr blue is criminaly underrated
😂😂damn
"Matikiti kudondoka matikiti kudondokea, marafiki huwa ni nyoka hivyo Chunga wanayoyaongea" this verse is definitely fucking Hitting hard guys
UNAJUA MZIKI
You’re going through it tooo
Umeuwa mwana
Lit 🔥
umeandika ujinga
Kuna namna bass guitar inalia kwenye huu wimbo sjui kama mnaisikia bana 🎶🎶🎶🎸🎸🎸🎸 ILA JAY ONCE AGAIN AMETISHAAA 🥰🥰🥰
Wanyama watatu wametorka mbuganiii......mjini Kuna kaziniiii...... strong with weekend vibe
Incredible song, Jay is killing it, keep it up Boyz much love from zambia 🇿🇲
Simbaaaaa 🔥🔥🔥 Jamani ngoma mbaya lako litotoka lini maana naona watasubiri sanaaaa.. Nyimbo hatari sana Worth the wait Jay & Blue Murdered it ❤
🇰🇪 Representing
😮😮😮 nyimbo mbaya iyi 😢😢😢
Proud to be Tanzanian. Diamond Platnumz SIMBA LA MASIMBA DANGOTE Haujui umetisha sana mwamba collabo kali sana hii
Wow what a song
Ongera kwa team yote
Br blue sauti iliyo barikiwa toka kuzaliwa.
Mr melody always the best
Diamond always do your best and pull others up.
Big up
😅😅
Yaan ukiimba na Mond ujue ww nyota yako ndiyo ime shine
Ko angeimba nababayako Napo ?
Burns boy ,rema nyota zao zilichukuliwa ama🤔
Ivi kweli diamond anauchAw wakumuloga Burns boy
Aisee, very smooth and beautiful music. It's a true joy kusikiliza kila neno na kutafakari haswa utamu ule wa wimbo asilia. You guys are exceptional
jay melody killed it overall you did a good job diamond versatility keeping him no 1 always 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/video/6mlmREF2Hxo/v-deo.htmlsi=v2VN6L_fI49kM5re
ua-cam.com/video/6mlmREF2Hxo/v-deo.htmlsi=v2VN6L_fI49kM5re
Diamond platnumz Ft jaymelody &Mr. Blue PARIDY CALLED CHAPATI BEANS🔥🔥🔥please watch it out🙏🙏🙏
That Jay voice💯💯 Rap ya Nyani💯💯 alafu SIMBA 🦁 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🔥
Am from somalia 🇸🇴 ilove Tanzanian songs ❤❤❤🇹🇿
Diamond platnumz X Mr blue X jay once again collaboration is too hot to handle 🔥 much love from Kenya 🇰🇪
Ama kweli jay melody Yuko mbele yaoo biz babalao na mond big up tuu sana Allah aipeleke mbali vipaji vya wasanii wotee
DIAMOND simba never disappoints. This is a hit many were waiting for !!!🎉🎉🎉🎉 East Africans Let's gather here
❤❤❤ Hii song imefanya mganga upunguze azina na kucheza kweli🇹🇿🇹🇿 Simba amezima Nigeria #Asake aje na zile fikra potovu sisi wakenya🇰🇪 tutamuonyesha maandamano
Tokea Congo Drc🇨🇩 nime upenda sana nyimbo toka Kwake mwamba Diamond simba, jay x blue mume uwa kinoma nalingi bino namotema❣🙏🏽
Namutema abana bange
Davimakuke. Umesema kwely Mr blue mwenyewe kawafunika 😂😂😂 Nice Mr blue mauwa Yako upewe 🎉🎉🎉
Unyama ni mwingi sana hapa🦁🔥🔥..jay pia mkali,, Mr blue💥
Chukua earphone..weka sauti mpaka wisho alaf sikiliza huku umefumba macho......alooooo😂😂😂😂hatareeeew🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wimbo mzuri sana umepangiliwa vizuri nimependa hapa kila anaeimba verse anaimba na kiitikio kabisa, good creativity
Weuh kitu kaliiiiiiiiiiiiiiiii diamond platinumz ndo msanii pekee Africaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Jiweee mzee simba the only artist i can listen za siwezi chokaaa😂😂😂😂💥💥💥💥
napenda hiyo,you nailed it
ngoma kali sana🥰 simba la masimba dangote - jay melody - mr blue - you nailed it
🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂
🎉🎉
ua-cam.com/video/jBH1pLsJPP4/v-deo.html
ua-cam.com/video/hoVQmrNqGfU/v-deo.html uganda version song
mapoz cover is better than original
ua-cam.com/video/s6Hhe5LAIjc/v-deo.htmlsi=G2qFRwV74C34XevZ
Simbaa kila saa nimtu wakutup furaha jaman utatuua sis❤❤❤❤
Jameni tukubali tukatae Mondi si mtu wa hii sayari tuliomo maana mwamba anajua hadi kero mwamba hana mpinzani tz yupo mbali sana duuh bonge la song unyama sana tz kimziki bila huyu mwamba mziki ungelikua down ila kaleta mapinduzi makubwa sana big up sana 🦁 🦁 unajua hadi unakera wasafi forever
Sauti tamu
ua-cam.com/video/6mlmREF2Hxo/v-deo.htmlsi=v2VN6L_fI49kM5re
Diamond platnumz Ft jaymelody &Mr. Blue PARIDY CALLED CHAPATI BEANS🔥🔥🔥please watch it out🙏🙏🙏
Nyimbo kali sana hiiii
Simba la masimba dangoteeeeeeeee
Kiukweli Mr Blue umeuwaaaaa!
Napenda jinsi unavoimba bro!
Sana
Jay Amekomesho Ngomaaaaaa Yooooh Simba Kama Simba Unjaniangusha Brooo🔥❤️❤️
Wanangu zombie amepiga tena 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Bonge 1 ya ngoma brother bigg up
A pure mixture of African Culture. Taarab,Swahili and African Pop.Sweetness on another level.Big Up Simba and Byser.
This is bongo flavour i think you dont know taarab
@@danielmussa6944There is Taarab influence in this. You don’t know how to break down music.
Diamond never disappoint's....more luv from 🇰🇪KENYA 🇰🇪simba la masimba
Wimbo mtamu jamani siku nzima nausikiliza hasa apo kwa diamond patamu daah❤
Have heard Mr blue part ,mehn my earphones volume ain't enough I keep forwarding to me blue part ,damn the boy is so cool rhymes are clear I have never commented in any diamond song but for this out of 10 I give it 9 due to Mr blue presence
Producers mlitulia sana kupangilia huu wimbo, hakika combination yao waimbaji na raper himself busier imekaa vizuri sana, wimbo ni mzuri wallahi 👊🏾
Simba on hot jay melody nae kaua pamoja nyani zee ndo kamaliz kaz kabisa🦁🦁