WAZIRI SILAA AUVAA MGOGORO WA ARDHI MAPINGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • PWANI: Katika jitihada za kutatua mgogoro wa ardhi unaozua taharuki katika eneo la Mapinga, wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa, ameagiza kusimamishwa kwa zoezi la kuwaondoa wananchi zaidi ya 100 kutoka eneo hilo. Mgogoro huu umeibuka baada ya Sevestine Mtunga kudai kumiliki eneo lenye ukubwa wa ekari 12 na Mahakama kutoa amri ya kuwaondoa wananchi hao.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

КОМЕНТАРІ •