Waziri Silaa aingilia kati mgogoro eneo la mgahawa wa Fresh mjini Moshi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2023
  • Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza mmiliki wa mgahawa unaojulikana kama Fresh Restaurant uliopo Manispaa ya Moshi asisumbuliwe na badala yake asaidiwe ili aweze kulitumia eneo lake kulingana na matumizi anayohitaji.
    Amesema hayo alipokuwa akikagua maeneo mbalimbali ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi yanayolalamikiwa kujengwa ama kutumiwa kinyume na taratibu kwenye halmashauri hiyo.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 9 місяців тому

    Anaifahamu sheria.nauna utu."hili ni eneo lamtu siwezi ingia"excellent!
    A problems solver.

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 4 місяці тому

    Mbunge wangu wa Ukonga, MITANO TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!❤❤❤❤Unatenda haki.

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn 2 місяці тому

    Rukuvi maringo mengi

  • @MabulaDoto-xb6xr
    @MabulaDoto-xb6xr 4 місяці тому

    Huyu ndo waziri sio lukuvi alikuwa anajisikia sana yule mzee

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 9 місяців тому +1

    Akienda na Kasi hii atakuwa kavaa kiatu Cha mheshimiwa furani enzi zake ktk wizara mbalimbali alipariria magugu yote yalioshindikana na alipokuwa kiongozi wa juu aliinyoosha nchi tukaheahimiana but magaidi yakafanya Yao so hata huyu kwa Kasi hii ya kusimamia Haki majambazi hayapendi Mungu asimame na waziei

  • @davidkyara9676
    @davidkyara9676 9 місяців тому

    SAFI SANA

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 місяці тому

    Mh Rais tunahitaji viongozi kama Hawa 500tu kwenye hiinchi iri mambo yaende vizuri

  • @user-fx3sk9kh1s
    @user-fx3sk9kh1s 4 місяці тому

    Unatsha sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 9 місяців тому +1

    HAPO SLAA NAMEKUKUBALI!KUMBE UNAUPIGA MWINGI,?
    HONHERA KAKA KWA KAZI NZURI!!

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 9 місяців тому

      Aombeww sana

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 9 місяців тому

      Kumnyanganya mwizi kisicho Haki yake na kumzuia mwizi kutoiba ni hatari kubwa sana ni afadhari kugombana na Simba