KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Tamu ZISIZONYONYA MAFUTA
Вставка
- Опубліковано 10 жов 2024
- Kalimati | Kaimati. jinsi ya kupika kalimati Tamu zisizonyonya mafuta. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;
unga wa ngano (robo kilo)
sukari (Kijiko 1 cha chakula)
hamira (nusu Kijiko cha chakula)
baking powder (nusu Kijiko cha chai)
Chumvi (nusu Kijiko cha chai)
MAZIWA ya unga (vijiko 2 vya chakula)
vanilla (Kijiko 1 cha chai)
mafuta ya kupikia (vijiko 2 vya chakula)
maji ya vuguvugu (280-300ml)
sukari (robo kilo kwa ajili ya shira)
maji (130ml ya shira)
limao (Kijiko cha chakula kwa ajili ya shira)
#kalimati #kaimati #kalmati #jinsiyakupikakalimatitamu #belsfarmkitchenswahili
#jinsiyakupikakalimatizisizonyonyamafuta
Great recipe 👍
Thanks a lot
Kwo mayai ?
Ndio..
Big love❤
💕💕