KAIMATI ZA SHIRA YA NJE TAMU SANA/KALMATI RECIPE/RAMADAN RECIPE
Вставка
- Опубліковано 5 кві 2022
- #ramadanrecipes #ramadan2022
Hi Lovies
Nawatakia Ramadhan Mubarak In Advance 🥰🥰
Ramadhan recipes 2021
• Ramadhan recipes 2021(...
Ramadhan recipes 2022
• Ramadhan 2022
Hapo hutakosa idea moja ama mbili All the best ukiwa na swali anytime niulize kwa comment nitakujibu kipenzi❤
Like na pia share the video Muhimu Sana Kusubscribe😍
To All My subscribers Thank You All❤❤ - Домашні улюбленці та дикі тварини
Mashaallah
Waoh Mashallah shukhrani kwa somo❤
Masha Allah
MashAllah love it
Maa shaa Allaah nimejaribu na Alhamdulillah
Nakupendaga bureee❤
Mashallah
Mashaallah Allahu
Mashaallah nzur
MashaAllah
Ma shaa allah....❤️❤️
Tabarakallah
Mashaa Allah
Tabarakallah
MashaAllah easy steps to follow
Yes shukran sis
Maa shaa Allah
Tabarakallah
Maa sha ALLAH
Tabarakallah ❤️ ❤️
MashaALLAH kazi nzr
Tabarakallah kipenzi
Mashallah allah bariq
Ameen love
Asante dada
Nice
MashaaAllah 😊
Tabarakallah🥰🥰
MashaAllah. Nice recipe. Naomba shurba
Asante soon love
Kazi njema sana nimeipenda
Asante sana
ManshaAllah darling
Tabarakallah love
And it is perfect
Asante
Masha Allah,nimeipenda hii receipy kwa familia
Asante love
Mashallah nimependa nijaribu
Asante sana babes all the ebst
😊😊😊
💖🥰
You are straight to the point..Thank u...
Yeees thanks
Nice it's easy
Thankss
Asante sana
karibu
Asante kwa mapishi
Karibu sana
😋😋😋😋😋😋😋😋
Thank you, They look good,, I've liked them, Thank you so much for teaching us,
You’re most welcome dear❤️❤️
Nimepend
Asante sana
Asant san
MashaAllah your recipes are easy and goooood 👌
Thank you soo much Darling 🥰🥰Please Subscribe
@@HadijaSheban 1
0
Jamani, hii ndio sasa yummy kaimati. Tamu sana.
Finally imefikiwa😂😂😂
😂😂
Asante dadangu
Karibu kipenzi 🥰🥰
mashaallah nimependa
Shukran sanaa
Mimi napenda sana mapishi tupikie visheti lnshaal
Mashallah I love you kaimatis vacha ni jaribu haitoki kama yako
InshaaAllah zitatoka kama hizi
Thanks❤
You're welcome 😊
shukurni sna nafaidika ss ramadhani ❤🥰
Aww nafurahi kuskia hivyo my love
Maji n moto au baridi
Mashallah sister, very helpful.
Tabarakallah
Mashalaah
Asante ًKHADIJA ulinisoma leo kama nataka kupika hizo ya kaimat za shira ya nje wanangu wanaita kaimat za kiswahili❤️❤️❤️
Haswaa mpenzi hizi ni zakiswahili all the best mpenzi 🥰wasalimie watoto wetu
@@HadijaSheban Shukran na wewe wApe slm woote ❤️❤️❤️
Mashalah nlijaribu bt😂😂😂😂😅
Hahaa ikawaije
maashallah mapishi mazuri lakini I wish hizi recipes ingekua unaziandika if possible otherwise all is good 👍
Tabarakallah mpenzi
Faaris
Mimi niko Omani nataka kupika jamani
Santaaa
Shukran ❤️
Kipenz thanks for everything..Nauliza zinaweza last for how long?
Tnx sana mahamri yametokea
Aww sooo sweet happy to hear that kipenzi 🥰🥰
@@HadijaSheban umepata no.yangu nimekusend
@@HadijaSheban bado mkate wa sinia
Umeweka amira
Yes na nimetaja kwa video
I love you guys so much
Love you too darling♥️
Assalamualikum Mashallah looks so yummy
Waaleykhm mussalam thanks
Ulivo ondoka time ku missssssssss
Ushaza I miss you baby and you
I love you 💖💕😙
Asma ha jamba
This Recipe is Perfect ❤Made it today Morning for the first time for my Geusts na wamezipenda Sanaa..Thank You for this❤
Most Welcome
Mashaallah apo mwanzo mm ata sijaelewa umeexplain haraka aki 🙈🙈🙈
Pole babees
Malindi kenya
Mimi aki kaimati zimenishinda kupika kila nikijaribu zinatoka tu vituzingine zenye sijui zinaitwaaje aki
Very nice Mimi nikipika zinakaa siku. tatu zinaharibika
Niweke Nini tafadhali
Mimi sijawa ziweka siku tatu
Muhimu recipe utuandikie
Zakuandika njoo insta
Mashaallah uko malindi ni kwetu huko vipi kwema
Kwema Alhamdullillah
Mashaallah mapishi wanitamanisha vipi mere kwema
Hogera nimependa mapishi Ramadhani mambo poa
Shukran darling
Maji ni warm au baridi?
Angalieni zangu Maa Shaa Allaah! Raha hadi rohoniiii 5:46 nitapigaje picha muoneeee???
Naomba nijibu na mimi dear plziiiiiii,huwa napika kaimati lkn kwann mimi huwa zinaruka sana na kupasuka ,naziruka na mafuta unaweza ungua jmn nijibu mylove
Baby unga wako ni mwepesi sana basi hio ndio sababu na pia ukiweka weka polepole usirushe natumai itakusaidia
Unachukua huo mchanganyiko wko unatia kwa chupa ya maji na mfuniko wko una kata juu hvo utakua kma unaikamua hyo chupa na kutengeneza shep ya duara kma hvo au tumia mfuko unakata kidogo na kukamua piah inakua kma ukifanya kwa chupa
Naeza tumia gas
Yes
Kipenz recipe nyengine sagia ndizi mbivu humo kabla hujapiga n tamu balaa
Woow nitajaribu nikipenda nitashare na wengine
salàm alekum
Waaleykhm mussalam
Mafuta ulipima kiasi gani yale uliochanganya na unga. Shukran kwa mapishi bora.
Kwa video ipo mummy
Maji ni ya moto au baridi plz
Recipe nzuri
Mbona shira yangu hunata baada ya muda,unaeza fanya nini ndo sukari igande kwa muda mrefu?
Usieke maji mengi sana pia moto usiwe mkali sana
Napenda sana kupika kalmati ila kwenye shape sasa 😂 ila na shukuru ni meelewa sana my sister ❣️
Shape tusijali sana chef😂😂😂
Mimi nikifanya zinaharibika
Safi sana ,na umeolewa kwani nahitaji mdada kutoka coast
Yes nimeolewa kaka
kwani wewe upo sehemu gani?
Mashallah dia dhen lkua nakuuliza vp mbali na maziwa waeza eka tui ama?
Yes waeza
Ila maziwa inafanya ndani zinakua laini
@@HadijaSheban saw asante dia
Mpenzi dada Hadija Hebu nifanyie hisabu ya vipimo kwa unga kilo mbili
Nangoja jawabu swali langu la Jana pls
Assalaam alaykum warahmatullah je sukari ukipika kisha Iwe maji nitafanyaje?
waalykm mussalam unaacha hadi ikauke mummy
Naeza tumia tui badala ya mala
ndio
Mayai unaweka muda gani😥
Salaam sister, can you add the recipe in English please, thanks in advance
Salaam yes I will be writing the ingredients in English
@@HadijaSheban it was me on Facebook, thank you🙏
Lazima utie mazoea?
No
Lazima youghurt na hio baking soda
Ukiweka hizo inasaidia sana kupata ulaini mzuri kwa ndani na njee Crunchy
Kijiko kimoja ni 1 tablespoon ama 1 teaspoon?????
1tbsp
Kuweka maziwa ni lazima?
Yoghurt pia poa
Anti kwani lazima kurka beking soda
Sio lazima
Kuna kitu kina nikanganya kutumiya baking powder na baking soda piya kuna hii kuchanganya maziwa /butter n piya margarine na kuna mambo ya vanilla naomba unieleze tafadhali
Sijui nikueleze vp maana kila kitu kinatumika sehemu yake vingine hua nilazima vingine sio lazima
@@HadijaSheban nisha kuelewa nilijaribu kupika mambo yakatoka sawa sawa
Vipimo vya flour cause vikombe are different jamani. In grams or kg it's easier please. Otherwise thanks. Waiting for recipe ya buns au mkate
Mpenzi kwenye niko sina hivyo vipimo nikiwa kwangu kila kitu nawapa...in kgs will try next time InshaaAllah nitaealetea
Hukueka hamira mbona??ulifura vipi?
Ameweka hamira Sikiza vizuri
I wish I understood Swahili 😒😒😒pliz write the ingredients in English please what is that staff hiliki
Hili is cardamom powder
Hello juu Sina measuring cup, na nataka kujaribu kutengeneza ...nitumie Nini ndio nijue unga at least nimeeka the right measurement
Tumia kilombe cha kawaida
Naja uko Malindi utuojeshe
MWISHO USIPOPIKA SUKARI , JE HAILIKI AU INAKUWA HAINA ONJO ?
Ukichanganya na sukari itakua sawa usipoeka sukari kabisa haitakua tamu
Tuko nae..... Motherland
Kama kawaaaa
Tumia tupa yamaji kuweka
Ok
Kwa nini nikiweka Shira zapasukapasuka
Wacha zipoe kabisaaa
@@HadijaSheban Asante Kipenzi 🥰
Please write measurements in English...
Ok
Kama hauna hiyo chapa mandashi
Silazima dear
Jamni apo kwenye shira mbona yakwangu hua haikauki inaishia kunata tu ad naipua
Pika shira yako vizuri love ikianza kuvutana weka kaimati na urushe rushe
@@HadijaSheban hapo sasa sijui nakosea nini ila nitajaribu tena