Kwani hiyo stend ya magufuli ipo wapi?au ni ubungo ndio nilipozoea kupaona tangia 2015 mara ya mwisho nilisafiri kwenda tanga ,tokea kipindi hicho nikawa nje ya nchi, sijaja tena TZ.ila panapendeza sana .03.03.24.
Magufuli jamani mungu katoumbua Sana pesa yawananchi ulikua inafanya kazi tam Sana Sala kwa baba na mama walie mzaa hijalishi wamakufa hila naimani Ana watoto watafanya na wao alicho fanya baba
Hadi raha yote hayo yalikuwa humo ndani??Tunakukumbuka JPM wetu 😭😭😭😭😭
Hizo bus za Esther ni za mwigulu ,esther jina la mkewe ametuibia tozo had kawa billionea
Uko vzr bro
Dar jiji la fujo huyu anatoka huku mwingine anatokea huku ukizubaa anabadilishwa jina ndani ya sekunde tu
Kwani hiyo stend ya magufuli ipo wapi?au ni ubungo ndio nilipozoea kupaona tangia 2015 mara ya mwisho nilisafiri kwenda tanga ,tokea kipindi hicho nikawa nje ya nchi, sijaja tena TZ.ila panapendeza sana .03.03.24.
Naiona esther gari za mwigulu
Juzi nilikuwa hapo namshukur nimesafir salam
Vyuma vyangu vya kigoma sjaviona
Aifola na majinjah mashine za kazi sana
Naomba mamba ya simu ajenti wa bus la tunduru
Magufuli jamani mungu katoumbua Sana pesa yawananchi ulikua inafanya kazi tam Sana Sala kwa baba na mama walie mzaa hijalishi wamakufa hila naimani Ana watoto watafanya na wao alicho fanya baba
Hiii stend mungu anaipe uzimaa nifikee niione sku mojaa naskiaa ni nzuriii snaaa.....nitoke mabiboo niende kuionaa
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utapetea wewe
Naiona chuma yangu Ya Songea Suoerfeo exp
Iyo Takbiriiiiii, Dar to mwisho wa reli
Noma sana SAULI ✔️✔️💪💪
Kidia one gari jmn🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲
Nimeiona mashine yang ya Dar to Dodoma BM Coach chombo Cha masaa mbele hakilembi
Ha haa haa,tusiwasifie kwa mwendokasi wao,USALAMA WA ABIRIA NA MALI ZAO KWANZA.
Hakuna kidume zingatia kazi yako kila stend zina mpangilio acha uchochezi
😆😆😆kaka umeniuwa na uyo kenge
Aingie Road la kushoto au sio🤣🤣🤣🤣🤣
uyo KILUWA ni moto sanaa,,,,,,,,, chuma ya msaaa io,,,,
Hadi raha, chuma changu ester kama zote
Boda boda nao ndani ndani masaaa
Tashriff T.A moja iyoooo
Nimekuona estar wetu singd moja
Uhakikaaaaaa
Nimekuona ESTA wetu singida ❤
Kwanini Esther na magari mengine yapo nje
Trafk wahlo eneo wanapokea mshahara wa halali!!
HAKUNA DEREVA ALIPEWA LESENI NA MTANDAO UCONGEE UKA MALIZA MANENO KESHO UTAJIBU NINI
Namuona kisbo mnyama🔥
Good video bro...
Naomba uniruhusu nikutumie huo clip yako kwa account yangu tafadhali!
ntumie hiyo broooo
J,P,M 😪🔥🔥🇹🇿😍😍😍😍
Huyu mhuni bwana katika msafara wamamba kenge huyu hapa nae kakatiza hahah mwendo kasi
Ujanionesha Ally's ster
Wale watashriff tujuane...
Tupo tupo!!!!!kaka..
Hajis
Naiyona chuma yangu ya Yanga nacharo experience huwa naita ndege ya chini
Mtu ahesabu atuambie ni ma bus mangapi amepata. Yaliyotoka ndani tu na hii Road ya juu yake pia
Htr kaka
Nataka usafir wa gari la Easter ya kiomboi kuja dar
Jana ulaya tuuu
Ni vita mura
LIM safariiiiiiiiiiii
🔥
BM Coach Yangu Dar - Dom mashine kubwa
Hatariii
Hapo tilisho mda huo anaitafta msata🤣🤣🤣😍😍😍😍
Unachoma
@@kazikazini1042 🤣🤣🤣🤣🤣
hahahaha naikubali sana hua Tilisho harembi, Msata ileee
ASIKWAMBE MTU HAKUNA KAMA ALLY STAR
Zile zinaenda kushoto zinaenda safari ya wapi na zile zinaenda kulia zinaelekea safari ya wapi?
kushoto ni Arusha Tanga moshi zinapita bagamoyo
@@Lawizoo Exactly 💯
Duuh utafikiri ni shimoni yanatoka
Hapo sijaiyona Tashriff tu.
Mbona ishapita kitambo katka mgari hayo hayo
Naombeni namba za Agent anayekata ticket za mabas ya mikoan
Chuma la kaya kiluwa sio kwa kulala uko
Tilishooo
Piga picha kimya kimya ulsingee fitna
balaa
Tetele kweli
Sina hela
Ibraa
Vita
Bukoba mbali,😃😃😃
Happy national tujuane,,,,,,,,,,
UNAPO ONGEA ANNGALI SHERIA
Shabibi online tujuane,,,,,,
Hiii kar
We bwege mshamba tu
1
Team sauli
Haipingwi
Sio poa
Atariiii
Pako poa asee
Kilua massa mbele🔥🔥🔥🔥
una acout tik tok
Dalond
Ngombe kweli wewe
Cheki hii 😁😁
ua-cam.com/video/d-3kQOSW-NIh/v-deo.htmlttps://ua-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/v-deo.html
naomba nitumie WhatsApp