Konkara...Eti Bado Mbichiiii🤣🤣🤣😂😂😂 Eliudi Mzee wa yanga kumbe wametoa suti...😁😁😁😁😁 Shaulini...Stivu Mweusi Na Hao Wadada...🔥🔥💥💥Daaah ila Sensa 2022🇹🇿 Ni Bonge La Changamoto
Huyu mdada mwenye miwani kanivutia yani nyuma kajazia kabarikiwa ukiwa ndani mpaka raha kamzigo kake aisee kuna wanawake wazuri.Nasra wewe una chura kama huyu
Huyo madam mwenye kidoti namkubali sana wallahy, natokea kenya
Mzuri sana
Mmetisha Sana maafisha wa Sensa big up Sana nawakubali mnajua aisee all the way from Qatar representing +254
More lov from 254
From Tz home loving friends
@@manyaraboy ausio bloody 💪
@@rhobinaomondi6042 yeah yeah 254
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Kitu kizuri amna sehemu zingine steve Mbona umetukatia ladha
ELUID dope you made it eluid uko poa braahh
Unaitongoza serikali😂😂
Nampenda sana huyo madam mwenye trouser ya red ni mrembo sana Eng Kivugo from Nairobi Kenya 🇰🇪 💖
.
Hajra mmependeza kama kiongozi kweli ❤👍
Kabisaah yaani
@@nadanasser1020 Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Hamna adabu acheni ushamba
Dada ambae ako n kidoti amefanana n mama Samia yaani amependeza utasema wafanya kazi 🏦💯✍️ congratulations nyote kazi nzuri sana
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Nimecheka Sana 😂😂. Much love ❤️ from South Sudan 🇸🇸🌚 (Sudani kusini 🇸🇸💪)
Makalani mwakauu mtamaliza sensa mkiwa mmechoka sana
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Dada Hajra you look so beautiful
Mama hajra penda ww sana
Hahahahaaaa🤣🤣🤣 konkara ety yanga wametoa suti. Lakini mmeupiga Mwingi Sana 🙌🏼🙌🏼👏🏼👏🏼
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie dada mumependeza 💯✍️
kidoti huyo😍👌
Umetisha mr Steve 🔥🔥
Mi nampenda tu Hajra wangu❤️❤️❤️
Kkkkkk daaah huyo mwamba wa koti la jeans kauwa sanaa eti naongea na watoto wazuri siongei na vinyago
Wallah kidoti kapendeza sana na hizi nguo
Unaitongoza serikali utaweza kuilisha😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Haaaaa😂
😅😅😅😅😅😅😅 asante stevu mweusi
💔🙏
Noma sana nimecheka mpaka basis😳🙉🙈
Iko vizuri sana, ni kweli changamoto nyingi lakini Kwa semina walizopewa makarani imewasaidia Kwa asilimia kubwa
Yani sensa iyi jameni kali😂😂muje mutuhesabu nasisi Congo 🇨🇩 angalaho ata uku Bujumbura 🇧🇮
Nyie nampenda saana uyu hajra yaani ameendana kabisaah kuwa muandikisha sensa kapendezaa saaaana Masha Allah nampenda saana wallah
Una lolote una angalia kifurushi iko😀😀
Mumetisha sanaaa sio Poa
Yanga kumbe wametoa na suti😄😄
Steve noma nataman kushut na wew brother
Mmmmhh majina tena huu mtaha unawachawi wanaweza wakapita na weee😂😂😂😂😂😂
Nimecheka 🤣🤣🤣
Napenda cinema zenu
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Hahaha 🤣🤣 Much love,ni Mohammed from Kenya
Ahhhhaahha Steve wa helaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
🤣🤣😂😂😂😂 eti na vibwengo vinahesabu watu 🤣🤣🤣😂😂😂 daaaah Sensa ni noma
Et amejuaje kama ww no kibwengo 🤣
Hahaha Mmetixha Sanaaa
Anaiita serikali Madenge😂🤣🤣🤣🤣
Daaah jamaa kaniacha hoi sana eti kwan yanga wametoa na suti 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kwa sauti jamanii Njenga hapaa In Mozambique Montipuez 🔥🔥🔥🔥
Sensa imeleta ajra kiaina kwenu ze komedi, big up sana, mnatuchekesha na miaka ya kuishi inaongezeka.
Sensa imeleta ajra kiaina kwenu ze komedi, big up sana, mnatuchekesha na miaka ya kuishi inaongezeka.
🤣🤣🤣hii nimeipenda zaidi ya zote
🤣🤣🤣🤣🤣eeeeiah hii noma sana ati kukula kwani kuna waluyha tz pia n bboy Melvo hapa kutoka kenya 🇰🇪
Hahahaha hi noma sana kumamake Kuna hatali Kubwa sana kwamtaa
😂😂😂😂😂 Mmetisha sana
Hahahaaa khaaaaaaa😂😂😁😂jaman!!!!
Mmetisha waandishi😄😄dah kaka ana mapoziiii
mko vizur nmepend hamnaga mbovu
Nimeipenda 😀😀😀
Kwahii kazi ndo maana jana hatujahesabiwa makaran wanapotezewa muda mwingi kwa kaya 1
Kutwa nzima karani anapitia nyumba 9-12 sijui lini zoezi litaisha inaweza maliza majuma mawili. Sijui ni plan ya kuongeza malipo yawe juu?
Suti ya njano ametisha San💥😅😅👍
Suti ya yangaaa😅😅😂😂😂😂
Huyo Jamaa wa yellow ni hatari🇰🇪🇰🇪
Yellow card
😂😂😂mna weza sanaa 💯🔥🔥
Hahahahaha kichwa cha karaniiiiiiiiiiiii😄
❤❤❤❤🎉😮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eliudi kwa kweliiiiii kazi njema
Naona kila dalili hili zoezi nigum sanaaaa 🙂
Mm Sina uhakika kbs km wt wote wataesabiwa.
Siongei na misukule hapo noma jo!!!
Eriud unavituko sana 🤣🤣🤣👍👍
Kabisaa 🤣🤣🤣🖐️
Steve we kipengeleee
😂😂😂😂stev mbavu zangu..lkn stev nyoa izo nywele zmektoa vibaya
😂😂😂😂😂😂😂😂waaa Kai ipo
Konkara...Eti Bado Mbichiiii🤣🤣🤣😂😂😂 Eliudi Mzee wa yanga kumbe wametoa suti...😁😁😁😁😁 Shaulini...Stivu Mweusi Na Hao Wadada...🔥🔥💥💥Daaah ila Sensa 2022🇹🇿 Ni Bonge La Changamoto
Dah! Mmetisha sanaaa🤣🤣🤣
From Atlanta Georgia
Eliud umenishinda tabia 🤣🤣🤣🤣
Steve jaman mkalii kwa kweli tulia uesabiwe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😁😁😁 mwamba anaitaka serikali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kazi wanayo,..huenda wakawemo watu wa ovyo kama akina steve😂😂😂😂
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Si Noah mwakalinga huyu jmn😂😂😂😂😂
Tuntufya Master😂😂😂
Aisee mmetisha sana
😂😂😂"mi siongei n misukule"😂😂😂🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anaumwa Mapenziiii
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Nimeipendaa iy9o
Ehehe Steven nomaa
Steve na eliud & shaulin ni
Fireeee
Kichwa kama hotpot 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ninjaaa😆😆
Kiongozi wenu wa mtaa...eti mara ya mwisho alikamatwaga na ungo kaachaga mazoea nae... ..🤣🤣🤣🤣 atariii .. Sensa ni pasua kichwa yooo...
kazi nzuri sana
Eliudi nimekuona na suti ya Njano hahahaaa,,,,kijana wangu utakuja kunivunja mbavu
Kumbe Yombo uko hapa da hi ni kali ya mwaka 🤣🤣🤣😅😅
Eti kwa chibu , unataka zuchu akutungie nyimbo
Kwakeel mmeni furahisha sana jaman
Eti na uyu mayele, nimecheka
Steve unalilia nini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimependa Hii idea
🤣🤣🤣🤣🤣 Hawa jamaaa wametisha sana
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Uyu hajra ndio mavazi yk kasasa du🤔bint alikua anajistiri vizuri uyu leo sasaivi ndio anavaa hivyo innalilah wainna ilah lajiun
Jamani kama ndo hivyo poleni sana makarani mnapitia changamoto nyingi na kubwa sana
Jamani uyu Kaka ananichekesha kweli, waambiwa Ivi wajibu vle
😂😂😂😂😂😂 Iyi kazi itakuwa ngumu 🤣🤣🤣🤣 ELIOUD NISAMEHE 🙌🤭😜👌
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zanguuuu eeeeeh
Mwaka huu nimecheka mno, jamani mnanifurahisha sana
Hahahahaaa daaah kweli kuna kaz
hajra usivae suruali mana unanitamanisha
🤣🤣🤣😅 Steve talented sana na minywele yake hovyohovyo
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤..
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Nyie nmecheka kama cna akili nzuri 😂😂😂😂😂😂
😄😄😄😄😄
nyumba moja masaa matano kuhoji😀😀😀😀😀
Huyu mdada mwenye miwani kanivutia yani nyuma kajazia kabarikiwa ukiwa ndani mpaka raha kamzigo kake aisee kuna wanawake wazuri.Nasra wewe una chura kama huyu
Hamuwezekani👍👍👍
Serekali unaita madenge😂
Hahaaaa kweli kazi na dawa nimecheka sana
Nimecheka sana leo
Hahaahahahahah nyie hii kazi ngumu bora sijapata Ahahahahah