UTAPENDA!!! MABASI ZAIDI YA 60 YAKITOKA KWA MBWEMBWE UBUNGO ASUBUHI
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2020
- Mabasi ya mikoani yakitoka stendi kuu ya mabasi ubungo asubuhi kwenda mikoani
COMMENT BUS LINALO ENDA MKOA WAKO HAPO CHINI..
#dodoma #mbeya #kilimanjaro #Arusha #songea #iringa #morogoro #mwanza #bukoba #Tanga #mtwara #kigoma #Tabora #singida #mara
Tazama video nyingine;-
Basi bora zaidi kiwahi kutengenezwa East Africa: • THE BEST BUS IN EAST A...
Video ya juu drone muonekano wa jiji la Dar es salaam: • DAR ES SALAAM'S CITY C...
........................................................................
Asante kwa kutizama video hii tafadhali usiache kusubscribe kwa kubonyeza alama ya kengele hapo juu. Ushirikiano wako ndiyo ukuaji wa channel hii
Thank you for watching but please don't forget to subscribe,comment and share. your support is our progress.
Mpambano Kati ya BM VS KILIMANJARO express nani zaidi?
👇👇👇
ua-cam.com/video/tfOEXe87VVs/v-deo.html
Bm yutong ndugu yangu unalinganisha na malcopo
Aliyeiyona Maning Nice gonga like
Wanang wa manning niceeeeeeeee
Hapa ndio mkoa wa kigoma, bus kama zote. Hongereni sana madereva na wamiriki wa vyombo vya Moto.👏👏
Well done Tanzania..that is just a temporary bus stand..The unique bus stand is in Mbezi louis..expected to start operating few days to come..is the biggest bus stand in Eastern and central Africa..visit there you will see it..has a capacity of hosting 1000 buses at a time..this is Bongoland..This is Tanzania..Viva Magufuli💪
Kwahiyo ubungo haitafanya kazi tena?me natamani kurudi daaah miaka mitatu sijafika bongo
Yah ubungo kitajengwa kituo(station),yard na garage kubwa kwaajili ya mabasi ya mwendokasi BRT na nafasi itakayobaki yatajengwa majengo kwaajili ya biashara
@@dutchsafari7562 okay asante sana
@@dutchsafari7562 Wow..that is awesome..Tanzania is a rising star
Very true boss we are rising
Wow ! Very interesting
Sauli,imani,new force, majinjah mbeya moja
Nimeipenda hii. Kidia one - Arushaaaaa
Imekaa sawa sana hii
Cool and amazing
New force,Super feo,Tavavilli Dar to Tunduma,Ruvuma
Tisha sana
Amazing
Majinjaaaa 😍
New force dar tunduma ile
Nimeina maning nice na H G hapo simchezo
Nimeipenda hii
Mamae bongo sihami, kama ulaya!!! Nimeiona Rungwe Express
Safi sana kama chandimu
Great Tanzania
Naiona Burudani hiyooooo👏👏
Imani imeuza hapo kwa geti
Mnyama kiss booo
viva Jpm
Chuma zinatoka ubt.👍🏿
Aliyena ABOOD agonge Like apa
Sauli sauli mbona waniudhi sauli wawatesa watu wanguuuuuuuu 😥
Chuma manng nice😅😅😅
Seen
Safi sana Tatizoa Sauli tu akianza fujo zake huko barabarani
Tanzania masha allah imebarikiwa mikoa mingi kweli had kufikia magari yote hayo bado kuna yanayorud kam hayo masha allah nimependaa mno Allah anijaalie norud salam niende mooan Tanga nipande raha leo ama tashrif jmn Tanga kwetuuu
Amin..Nchi yetu fahari yetu🙏🇹🇿
Dah nimependa mpangilio wake sasa cjui huko njiani itakuwaje hasa mabus yanayoenda Mbeya na Mwanza yanapenda kushindana🤣🤣
Wanafanya hivyo kuvuta wateja ..... Abilia akifika kukata tiketi uwa anauliza Basi Gani linaanza kufikaa
Ata hivyo drev anae endesha gali kwa Kasi na hana sifa za kupata ajali uwa wanahitajika na Kila kampuni
Kutoka dar hadi mbeya ni pesa ngapi ?
40000/=Tshs by kilimanjaro express and 44000/= Tshs by Sauli luxury
Zanzibar
iyoo kona ni tatizoo labda ingewekwa round about
Good
Sharifu Mohammed Kali yao bbt moja iyo
Ago ndoo mambo
Nimeiona Osaka hapo... One way mpaka bukoba mjini😁
SAUL,,,,,Dar ~ Mbeya
👏👏
Jamani kucheza Na magari naona watu wanavuka ovyo ovyo tuu hii si nzurii watu wapo kazini
Kidia One and Dar express
Hizo huwa hazipaki ubungo ni shekilango ndy sababu hazimo
Kigoma one
Oo
Exodus firee
Mwanza home
Gari ya mwanzo home moja hiyo
Atari sana
Najimnisa
Dar moro, jiji kasoroo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Inapendeza
Nice
Ok
Daah nch yetu inavyuma vyamoto kweli
Tanga and kirimanjaro
Wanangu wa mtwara like apo
Singda
kwel
Kisobo travel
Kumekucha hapo piga kz stor badaee
Babati moja
Ester luxury arusha usafir mzur unasinzia kabisaa
Ester luxury,,,,,Ars 1 Ahsante sana usafir mtamu wa hali ya juu..
Kuvuka hiyo bara bara sio rahisi😎🤔!
Ubungo kulikuwa kuzuri na karibu ila mbezi ya magu zaidi ya uzuri
Napenda Mda uwo hahaha mnakimbizana yan kushindana
inakuwa saaangap
@@raiyaniramadhani3223 mar nying saa 12:30 or wamechelwa SAA moja asbh
zina tokea ubungooo. ...au
We Hanana
@@raiyaniramadhani3223 hapan iyo stend ya michenzani Zanzibar
Tanzanian tumeenderea sana
Vyuma vinapasua anga
Zimetoka gari 42 lakini zilikuwa bado zinaendelea kutoka
Raha sn
MBEYA SIRI BOY 🇹🇿
Dodoma
Duuuh yanaenda kuachana Chalinze yte
Safi sanailafoleni itakuwa changamoto magari yote yatatumia chalinze
Ccm 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Sauli
Wazee wa masaa ya mbele sijawaona apo.
Atar
It shows that we can do better with c.c.m
toka hapa hayo mabasi umeambiwa ni ya ccm au, si ya watu binafsi
Uongozi bora
This happens only in Tanzania
Wazee wa masama ya mbele sijawaona
Chapen h kazi hhhhhhhhhh weken u vyama pemben hya ndo maendleo jMani JPM tunakuombea🙏
Machame, mj safari, Jambo, sharif Mohammed, polepole, mtei, emigress, KONDOA Hadi BABATI
Nihatari ya mabas
Kwa mfumo huo wanavyotoka lazima washindane tuuu
Naona kazi ya mchina.
Ni changamoto hii boss 90% yote china
Huo mlango una njia nyembamba sana mamlaka ipanue
Soon wanahamia stend mpya ya mbezi boss
Jack'chan
Kaprikon hatar xana
Wapi mnyama simba Newforce sumbawanga fuuuu fuuuu saa 6 uck net ndani stand
ni mwendo wa kushindana tuu huko road
Nimeiyona Burudani ya kwetu
Basi zote sauli kiboko yao
Wanaenda kuyaosha au
Apo yana enda mikoani
Machame kondoa ileeeeeeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huwa napanda mj tu
Luwinzo habari ya mjini
Hakika mabus ya navyo toka kwa wakati mmoja wa furahisha sana bali kisheria ya hitajika iwekwe kizuizi hakuna mtu kukatisha barabara na atakae katisha afanyiwe hatia kwani gari likigonga mtu ni hatari na litapoteza wakati mkubwa kwa zinazo fatia nyuma yake
Sasa hao watu kusimama hapo karibu kabisa ndio nini? Na wengine wanaruka barabara jamani hatari tupu wakizolewa na basi itakuwaje? Ushamba tuuuu🙆♂️
Wap
Mpaka namic kurudii home
Home Mkoa gani
Sasa Ndo Nini
Sauti moja ikasikika ikiulza kwani dar kuna nn?
Zube cjaiona😂😂
Kula sana mboga boss mbona ipo hapo😁😁