#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 лип 2023
  • #EXCLUSIVE: KONDAKTA MREMBO ANAYETREND KWENYE MITANDAO AFUNGUKA - "NILISIMAMISHWA KAZI KWA MIEZI 6"
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 277

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Рік тому +26

    Karembo hadi Sauti inavutia unakitu Mrembo utafika mbali ❤️❤️🌷🌷🌷🌷🙏🙏🙏🙏

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +14

    Mashallah, anaonekana Ana confidence, Mashallah Allah amuongoze bint uyu pamoja na mabint zetu inshallah 🙏

  • @catherinekanono4298
    @catherinekanono4298 7 днів тому

    She is beautiful ,humble and very smart upstairs mungu akutangulie

  • @user-uf5ry6tx2r
    @user-uf5ry6tx2r Місяць тому

    Hongera sana dada Mungu akubariki sana na kukutia nguvu sana katika kazi yako

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 11 місяців тому +7

    Huyu Dada yuko vizuri sana kichwani, Safi sana.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 Рік тому +7

    Kazuriiii kanafaa kua hostes. Ka baby face hudhani kasha maliza hata chuo. Wachaga big up kwa ku pambana.

  • @mbaichris8772
    @mbaichris8772 Рік тому +13

    Bravo mentor other women to do any work around the globe

  • @annemakaka210
    @annemakaka210 Рік тому +6

    Masha Allah! Binti mrembo na mstaarabu kweli. Tia bidii dada

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Рік тому +18

    Masha Allah mungu akulinde na Shari dadangu❤

  • @user-up2ef7dc6k
    @user-up2ef7dc6k 11 місяців тому +2

    Mashaallah bint uko vzur mng akifanyiwa wpx❤❤

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 10 місяців тому +3

    Kazi hizo Uku Ulaya za warembo kama wewe pambana dada yangu nimependa sana Uchangamfu wako 👏🙏🇹🇿🇬🇷

  • @user-sw6cc8yv7s
    @user-sw6cc8yv7s Рік тому +6

    Nakupenda sana wewe dada, Nakutakia kazi njema .Mungu azidi kukupigania.kweli wqnawqke tunaweza

    • @donvanpierre4369
      @donvanpierre4369 11 місяців тому

      shida inaanzia hapa kwenye twaweza... iko kibinafsi sana

  • @geminamulima3180
    @geminamulima3180 Рік тому +9

    Binti yuko vizuri sana mwaka juzi mwezi 12 alitupambania siku ya safari ilipiga mvua ya atari alitfatilia mpaka akahakikisha tumepanda hila yeye alibaki apo Rombo saruti kwake

  • @ibumajaamillah3195
    @ibumajaamillah3195 Рік тому +19

    Huyu bint nilisafiri naye kutoka moshi kuja Dar she very humble wallah

  • @LeticiaRichard-zm7co
    @LeticiaRichard-zm7co 10 місяців тому

    Yeah your a good girl I love the way you fight girl good may God bless your hard working

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 Рік тому +10

    Maashaallah amepata umaaruf mdogo wangu angepata fulsa akafanya vitu vya maana

    • @cleophacephelician6739
      @cleophacephelician6739 Рік тому

      Vitu vya maana kama vipi hafsa !? Usikariri ajira za serikalini. Hii sasa ndo amepata kazi nzuri

  • @gracesitta8586
    @gracesitta8586 11 місяців тому +2

    Mungu akujalie sana mdadaa. Keep it up.

  • @user-kh3hr8si2j
    @user-kh3hr8si2j Рік тому +4

    MashaAllah gd job❤ sweet

  • @vero57
    @vero57 11 місяців тому +1

    Wanafunzi wako wengi sana kama huyu hakuna kazi walizo somea,safii sana piga kazi dada mfano mzuri wa kuigwa 👍👍🥳🥳👏👏👏👏

  • @graceknight7498
    @graceknight7498 Рік тому +6

    Mahallah ♥️♥️♥️♥️🇰🇪

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Рік тому +6

    Mashallah 🥰 gari zenu nzuri sana

  • @michaelemanuel2528
    @michaelemanuel2528 8 місяців тому

    She is too beautiful aiseee God bless her

  • @elisifaaron5662
    @elisifaaron5662 Рік тому +6

    Safi sana unaakili mwanangu bora ukafanye biashara zingine nimekupenda ssna unamaakili kazi ya magari ningum sana makonda mmoja alitelezaga kwenye gari alikuwa aagongwe. Akajikuta kakanywagwa mguu wote mpaka ukawa chapati

  • @raummoshi4372
    @raummoshi4372 11 місяців тому +4

    MUNGU akutunze nice, utafika mbali

  • @user-tq5df7ge4w
    @user-tq5df7ge4w 2 дні тому

    Jamani da nice find me basi mi johary I have like you so charming dear❤❤❤❤

  • @Shadrack-oz1bh
    @Shadrack-oz1bh 11 місяців тому +4

    mungu hawabarik

  • @user-xe9fk7jm4l
    @user-xe9fk7jm4l 11 місяців тому +3

    Mashaallah❤

  • @agnesgeorge6818
    @agnesgeorge6818 9 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ mdogo wangu go and God bless you bbysisy

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 Рік тому +16

    Ni mtoto mdogo ila anajuwa kujielezeya ile mbaya

  • @mako331
    @mako331 Рік тому +11

    Ninafuraha sana kuona kina dada zetu siku hizi hawachagui kazi, wengi wameingia kwenye mabasi na wanafanya kazi nzuri sana

    • @user-tv9vt4qx2n
      @user-tv9vt4qx2n 11 місяців тому

      Hogera sana Mwanangu Jitahidi epuka vishawishi ili ufikie malengo yako my dear uko just kama pesa ya kigeni

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 Рік тому +16

    Hongera Sana mwanangu

  • @user-ug6df5kg7n
    @user-ug6df5kg7n 9 місяців тому

    Wow she is so cute....i love her😘

  • @user-gb8nv6jy7z
    @user-gb8nv6jy7z 11 місяців тому +2

    Hongera dada angu❤❤

  • @SHADRICKSHABANI
    @SHADRICKSHABANI 4 місяці тому

    This is my name to location 🤝

  • @salamaali4726
    @salamaali4726 11 місяців тому +1

    Nakupenda sana mdogo wangu una muelekeo wa kufika mbali, pls naomba kazi hiyo isiwe ndio ya kudumu cha muhimu changa pesa zako kaendelee na chuo utafika mbali inshaalah

    • @MussaMohammad-ku5bt
      @MussaMohammad-ku5bt 10 місяців тому

      kweli kabisa.

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 8 місяців тому

      Usikate tamaa usivunjike moyo endelea kupambana mungu yupo ipo siku utatoboa insha allah ❤u big kiss to you.

  • @omariddi8073
    @omariddi8073 Рік тому +2

    Good heart

  • @noelyprinceprince8951
    @noelyprinceprince8951 11 місяців тому

    Nakubali sana mrwmbo wetu wa Moshi🤙🥳 sema nini umetisha afu wa nyumbani🤗🤗

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 11 місяців тому +1

    Hongera sana mtoto wangu, Mungu akusaidie Sana

    • @jacksonyesu6480
      @jacksonyesu6480 11 місяців тому +1

      😮😮 Hujui kumbe wewe umezaa na kuzaaa sasaivi

  • @AshaMakame-zg9xi
    @AshaMakame-zg9xi Рік тому +3

    Kwanza kitoto kizur alafu muelewa pia mjanjamjanja Hong era kwa hilo bless Allah azidi kukuongoza

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso 8 місяців тому

    Mwanangu ❤❤❤ Sanaa. Pambana wewe jembe utafika mbsali Sanaa.

  • @kassimourio6879
    @kassimourio6879 5 місяців тому

    Very systematic....🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-rd6zz5rq9s
    @user-rd6zz5rq9s 6 місяців тому

    Nilikua na shwalii ni zipii sifa za kua condacta jamnn kazii nzurii naipenda binafs

  • @rockeygarcia5865
    @rockeygarcia5865 Рік тому +8

    Urembo na pia upambani wake utamfikisha mahala ❤

  • @AmisseShezume-wk5ee
    @AmisseShezume-wk5ee 10 місяців тому

    Masha allah

  • @mlawatvonline3720
    @mlawatvonline3720 7 місяців тому

    Mashaallah

  • @LempurukSamwel
    @LempurukSamwel 10 місяців тому

    Ooh Dada uko sawa.From Samburu.

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +5

    mashaailah mungu akulinde dada

  • @user-vk8ok3ow1m
    @user-vk8ok3ow1m 8 місяців тому +1

    Wanawake tunaweza

  • @ZenaMakongolo-tk9si
    @ZenaMakongolo-tk9si 11 місяців тому

    Mungu akulinde dd ❤

  • @user-ps8og2dg8o
    @user-ps8og2dg8o Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd Рік тому +1

    ❤❤❤❤

  • @user-lm7nc2ff2x
    @user-lm7nc2ff2x 10 місяців тому +2

    Huyu Sasa, nadhani atanilazimu nisafiri Tanzania ,,,, ❤

    • @user-gg2jq8mp9d
      @user-gg2jq8mp9d 10 місяців тому

      Karibu utamkuta amejaaa tele😂😂😂😂

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 10 місяців тому

      Tilisho service. Welcome usafiri na sisi

  • @msakanotiofficial5523
    @msakanotiofficial5523 11 місяців тому +1

    Nice ibebe Rombo mama

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 Рік тому +14

    Nime tumia hizi basi mwaka huu kutoka Arusha Dar kwakweli wana huduma nzuri sana na ni gari nzuri sana.

    • @elisifaaron5662
      @elisifaaron5662 Рік тому

      Ipo moja wapo dar Arusha wakaka ao wananyodo mdada tu kidogo anakauri walinikera nawauliza vizuri mzigo nimeacha chini wenyewe wanaondo gar

    • @abelmumamwamba8990
      @abelmumamwamba8990 Рік тому

      Kwenye tilisho huyu nayce pekee ndo konda kwanza anakaulii nzuri

  • @user-rd6mo1zb6g
    @user-rd6mo1zb6g 11 місяців тому +1

    Nawapenda tilisho

  • @rosemmary6802
    @rosemmary6802 Рік тому +2

    Wachag salute

  • @user-pl1wn1xd4n
    @user-pl1wn1xd4n 11 місяців тому +1

    Hongera sasa sister nimejifunza kitu kizur kutoka kwako

  • @user-ep9rv7yk8e
    @user-ep9rv7yk8e 11 місяців тому +1

    👍

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому +4

    Hakika Ni mrembo natural. Nmempenda

  • @user-gs3hx3kd3r
    @user-gs3hx3kd3r 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa726 Рік тому +5

    Ushauri aendelee na nizamu yake asivimbe kichwa

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Рік тому +1

    Kazur asee

  • @AnetDaniel-vx2sd
    @AnetDaniel-vx2sd Рік тому +4

    Huyu bint nimesafiri nae sana tuu sipandag gar lingine hata no yke ninayo yupo vzr

  • @SuzyMongi-ov8wk
    @SuzyMongi-ov8wk 10 місяців тому

    Good Mungu azidi kukupigania

  • @glorychambi6559
    @glorychambi6559 11 місяців тому +2

    Mzuri had raha

  • @user-dk7dy4ds8g
    @user-dk7dy4ds8g 8 місяців тому

    Karembo kanaxaut nzur xan

  • @EliasheaZadock
    @EliasheaZadock 2 місяці тому

    Mambo naomba Namba yako dada

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 Рік тому +15

    MUNGU wa mbinguni akutangulie na kukulinda mwanangu

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +3

    Na mabint wengi wa kichaga hawachagui wanafanya sana kazi hizo za ukonda

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Рік тому +13

    So beautiful

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ NAKUPENDA BURE KIPENZI

  • @musashalangwa3780
    @musashalangwa3780 Рік тому +1

    Ndiyo

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 10 місяців тому

    MUNGU akuinue mpaka viwango vya juu umiliki mabasi pia

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 Рік тому +22

    Mdogo angu una Potential kubwa Sanaaa Ya Kufanikiwa usiuchezee huu Muda Tafuta Hata Maduka Ya Nguo omba Ubalozi maduka Ya Vipodozii Katangaze maduka yao Una Lugha Nzuri ya Kibiashara Sana sana
    Kwa kampuni ya Tilisho Raise Her salary Plz Anafanyia Promotion kubwa san kampuni Yenu❤

  • @EliaMbise-el7hl
    @EliaMbise-el7hl 11 місяців тому

    Hii Kali sasa

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 Рік тому +7

    Jmn kaongezeeni mshahara

  • @user-cm8dg4zy7p
    @user-cm8dg4zy7p 11 місяців тому +2

    hongera sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +3

    Ndio anajiamin sana

  • @FaudhiaUshaky-if8fs
    @FaudhiaUshaky-if8fs Рік тому +2

    Jaman jamani niungenamimi mdada uko

  • @sharifahamis6924
    @sharifahamis6924 Рік тому +2

    Mbona kasema ana miaka 21

  • @user-yt7nn1fs1p
    @user-yt7nn1fs1p 10 місяців тому

    Kweli kabisa

  • @kituhilel.j9747
    @kituhilel.j9747 Рік тому +3

    Kazuri

  • @SylviaAthuman
    @SylviaAthuman Рік тому +1

    Pambana my dear kaz ni kaz

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 Рік тому +5

    Mitandao inadanganganya sana,mi navo muonaga najua Ni malaya wa mjini,kumbe kitoto

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 10 місяців тому

      Umejisikiaje kuongea ujinga km huo

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 10 місяців тому

      @@samwelimoshi5614 Kama ujaelewa kilichoandikwa ,Ni bola uludie kusoma,usikurupuke

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 8 місяців тому

    Hadi nmelia😢,kweli mdogo ila mpambanaji sana,,,jikaze mungu yuko🙏

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Рік тому +1

    Chiku ni mkongweeee huyo Dada....kitamboo

  • @hussensaidi1451
    @hussensaidi1451 Рік тому +1

    Kwel kabisa

  • @HanifaHashilu-mv6lv
    @HanifaHashilu-mv6lv 3 місяці тому

    Naomba no ya sm

  • @UncleRomei
    @UncleRomei 11 місяців тому +1

    Jamani uyu dada afaa kuwa my wife

  • @NgelejaLukanda
    @NgelejaLukanda 3 місяці тому

    Naomba sister unisaidie kupata kaz kwamajina naitwa neema namia 20

  • @makrinamgombela1138
    @makrinamgombela1138 Рік тому +5

    Binti ana uwezo Mkubwa na anapendwa sana.Sasa kila jambo lina wakati na Muda ,wanaompenda Zaidi basi Wamchangie akasomee Masomo ya Juu ili aje atimize Ndoto zake.Tambua Yeye ni Binti baadae atakuwa mama,Je kazi hiyo ataimuudu???Asome kabla muda wa Masomo haujamwacha.Asante

    • @jonijomk3107
      @jonijomk3107 11 місяців тому +1

      ivi umeiangalia video au umesikiliza maelezo ya nice? ulichokiandika na malengo aliyonayo sasa ni vitu viwili tofaut, ashakwambia akiacha kazi tirisho anaenda kufungua na kusmamia biashara zake, hilo la kusoma umelitolea wapi??

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 11 місяців тому

      C umchangie kma hela unazo😂😂

    • @jonijomk3107
      @jonijomk3107 10 місяців тому

      @@QueenMishy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Рік тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🌺🌻🌷🥀

    • @user-ep9rv7yk8e
      @user-ep9rv7yk8e 11 місяців тому

      Good 👍 sana dada ang, napenda sana 🙏 unavyomake hela. Naomba bas namba ya WhatsApp au group la mabas kampun yeyote

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Рік тому +1

    Nice fanya namba sasa usiniambie una boy friend

  • @hamisikibwana6642
    @hamisikibwana6642 Рік тому +3

    dada nenda kaombe kazi kwenye ndege utapata

  • @isangasamatini217
    @isangasamatini217 10 місяців тому

    Yes wanawake wanaweza japo wengi Wao wanachagua Kazi japo Nayce hilo hana Hyo ndo tofauti na wanawake wengine, kikubwa tumtakie kila la heri kwenye majukum yake ya kila siku

  • @nuraansuhail2578
    @nuraansuhail2578 10 місяців тому

    Safi sanaa mabinti wengine Wasomi wanajidai Wana nata nata hawajitumi kazi kubandika kucha wamesubilia waolewe na Wasomi wenzao mtazeeka majumbani mwisho mtakuwa mzigo na sisi tukishaona lile Bango la tunauza barafu tunajua hapa Kuna mzigo unatafutiwa soko,,,Wake up girls fight

  • @ernestotadeunete3337
    @ernestotadeunete3337 10 місяців тому

    Nimekupenda Sana nataka namba yako nipo Moçambique na mke wangu amekupenda

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 Рік тому +7

    Binti huyu anajiweza sana, elimu imemkomboa

  • @Neema-fh1wp
    @Neema-fh1wp 11 місяців тому +3

    Mmmh,ulivomtaja chiku kwakweli huyu chiku sikupenda ushauri wake,yaan yeye niwakuniambia eti usimfate mume wako maana unaeza kuta yupo na mwanamke, Adui wa mwanamke nimwanamke jaman uwiiiiii😂

  • @gervas58
    @gervas58 Рік тому +9

    Huyu angekuwa makabila fulani na uzuri huo sehemu njeti ndio zingeumia