VIDEO: KICHWA CHA TRENI YA UMEME CHAWASILI TANZANIA, UMEME UTAKAOTUMIWA WATAJWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 Рік тому +9

    Mchawi Tanesco tu. RIP mwamba Magufuli

  • @LuckyMusyki
    @LuckyMusyki Рік тому

    Umeme utakuwa tu ya kutosha tusijali watanzania tuombeni mungu,Mzee alikuwa ashapangilia kila kitu ,bwawa la Nyerere likiisha kukatika Kwa umeme itapungua sana

  • @NakitepeJuma
    @NakitepeJuma Рік тому

    Kwa kweli.Mh.Rais Rabi akupe nguvu ..na hivi ndio tunavyotaka sio malumbano kila analofanya Mungu akutangulie.watanzania wenzangu mnyonge mnyongeni haki zake mpeni.mama. tunakushukuru .l have been south korea hao hawana feki kwao.wana subway tano line to five niwape uhakika wananchi wenzangu tumepata vifaa sahii na mama ni Muadirifu.tumshike Mkono tumsapaort hata kwa maneno yeye katenda.
    Nachukua nafasi hii kukushukuru na Mungu akulinde tunakupenda Mama yetu.

  • @superwarema2309
    @superwarema2309 Рік тому

    Taarifa Njema. BigUP TRC na Serikali. Kawia ufike. 👍

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Рік тому +5

    Watanzania wenzangu tuendelee kuwa Wazalendo na kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Dokta Samia katika Utekelezaji wa Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr Рік тому

      Kwer ban man haya nimaandeleo makubwa. Honger kwa kilion hil

    • @Chiruka-qj3eb
      @Chiruka-qj3eb Рік тому

      Maviii😂

    • @storytownTv
      @storytownTv Рік тому

      Magufuli alituambia speed itakuw 180 af apa wanatuambia 160 huon upuuz apa kuna mchezo mchaf😢 me ciing mkono wala mguu

    • @philisanga866
      @philisanga866 Рік тому

      Umeme uko wap?

    • @Papaa_Hillary_Mrema
      @Papaa_Hillary_Mrema Рік тому

      @@storytownTv Speed 160 ni speed nzuri kwa Treni ya Kisasa ya Umeme. Lengo sio kukimbia speed kubwa sana ila lengo ni kufika wa wakati na uwezo wa kubeba Mizigo mingi kwa wakati mmoja. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

  • @denniskado3990
    @denniskado3990 Рік тому +3

    Hii project ishafeli kitambo

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 Рік тому +1

    Pamoja mmekikopi japo sio chenyewe... ila hiki kinaridhisha kidogo hapo ugomvi umeisha....😂

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 Рік тому +2

    sasa naicho kichwa kikianza kaz c ndio umeme utakuwa unapatikana mara1 kwa week

  • @kebbyfx
    @kebbyfx Рік тому +3

    kichwa gani mbona hakina nywele🤣🤣🤣

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 Рік тому

      Kugekuwa na sehm ya kutuma picha ama video nigekutumia metro aka train zao uone zina nywele mana wa tz hatunaga shukuran 😂😂😂

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 Рік тому +4

    Km angekuwepo jpm hii trani ingekua ishaanza kaz zamani tu

    • @NDEWARA
      @NDEWARA Рік тому

      JPM kafa hata kichwa wala mabehewa alikuwa hajaagiza😂😂

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu Рік тому +4

    Kwaumeme huu au upo mwingine 😂😂😂

  • @WistonMlomo
    @WistonMlomo Рік тому +1

    Sioni cha kusifia kulingana na treni za kisasa kwa sasa hii bado sana ivi kwanini mambo makubwa tusiyafanye kiukubwa

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML Рік тому +1

    Hapo tyr tushapigwa kumamamazo TUTAKUTANA kwa mungu tu cz na wao pua zimeangalia chini

    • @saidijuma5843
      @saidijuma5843 Рік тому

      Umepigwa nini sasa? Nahayo matusi ya nini? Tumia akili ili utoke kwenye utumwa wa fikra

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML Рік тому

      @@saidijuma5843 we nawe unaongea nini ww kuma la mama ako ww!!we km hujijui upo upo 2 duniani bc jua ni ww 2 ndiyo huelewi lolote lkn tulio weng 2najielewa tulipotoka na tulipo ss hv choko weeee au hilo tobo lako la kunyea mav linakuwasha nn??choko weeeee

  • @paliscosanga3149
    @paliscosanga3149 Рік тому

    Hongera sana serikal

  • @adamabdallah6471
    @adamabdallah6471 Рік тому +2

    Inabidi tuagize behewa moja liwe pawa benk. Mana sio kwaumeme huu

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Рік тому +1

    wabinafsishe wawape wajerumani waendeshe mnadi kama bandari

  • @nth3512
    @nth3512 Рік тому +1

    Rang zenu ndo zinauwa, hapo uzi wa kijan hata kimstari ni muhim

  • @barakajaffary9033
    @barakajaffary9033 Рік тому +1

    Hichi ndio kile ambacho mzee alituambia

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko Рік тому +3

    Hakuna kitu hapa kichwa kama pumbu ya ngiri

  • @Gadson_Tz
    @Gadson_Tz Рік тому +1

    Nimeelewa kilicho kuwa kinasababisha umeme kukata kata ni hivyo tu kuusu kichwa hicho🤣

  • @gideonmwanjila8616
    @gideonmwanjila8616 Рік тому

    Mbona kichwa kimoja tu?

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 Рік тому +5

    Kwa hali hii ya umeme hizi treni zitafanya kazi kweli

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 Рік тому +1

    kwahy tren itaenda kwa umeme huuu huu au kuna mwingine jamn

    • @triplea3463
      @triplea3463 Рік тому

      Upo mwengine mwakani unaingia kwenye grid ya Taifa wala usihof

  • @PatrickLembeli-d5z
    @PatrickLembeli-d5z Рік тому

    Sawa ila tatizo la umeme umeme sasa ndo mara nchwi umekatika iko masaa inakuaje au linawekewa umeme

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 Рік тому

      Yani magu aliwaswaga wakanyooka na kitambo sijui kinyerezi sijui wapi ilikua inapiga kazi 24 hours sasa mda huu bwawa lipo maji mpaka yanaenda kilwa tunapewa senema sijui tutaiuzia Rwanda na waganda umeme hivi kule loliondo kuna nguzo za Kenya zinaingia kwetu ndio tunalipa au tumepewa sadaka au tutafute mtu wa loliondo atupe taarifa

  • @BunjuBase
    @BunjuBase Рік тому

    Mbona.kimoja..cha nyuma kiko wapi

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 Рік тому

    Kudos to government...

  • @PastorEsngorowil
    @PastorEsngorowil Рік тому

    Kwa umeme wetu huu huyu saidi kichwa cha nini kama tu umeme unasumbuwa hivi, chefuuuu😢😢

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 Рік тому

      Mbwa wew kama haikuletwa ungeongea imeletwa unaongea kwendraaaaa peleka makasiriko kwenu kwanza wew haikuhusu

    • @nesymichael4286
      @nesymichael4286 Рік тому +1

      Kuna bwawa huko linakamilika kikubwa dua ndug

    • @PastorEsngorowil
      @PastorEsngorowil Рік тому

      Ahasante sana 🙏🙏

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Рік тому

    BAADHI YA WAYANZANIA N WAPUMBAF KUPITILIZA YAN KILA INACHO FANYA SELIKAL N KUPONDA TU NA WATU KAMA HAWA WAGA HAWANAGA MAENDELEO KILASIKU WAKO PALE PALE EM TUBADILIKEN

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema Рік тому +1

    Nawashauri Ndugu zangu Watanzania tuwe na Tabia ya kusifia Maendeleo. Takwimu zinaonesha Vichwa hivi vya Kisasa vya Treni ya Kisasa Afrika Mashariki na Kati sisi Tanznai ndiyo wa Taifa la kwanza kuviagiza. Uchumi wa Viwanda unaendana sawia na Kasi ya Uchukuzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿

    • @yapukahassan
      @yapukahassan Рік тому

      Maendeleo yapi umeme unakata wiki moja mpaka mbili waporeshe kwanza umee

    • @abdultandala6576
      @abdultandala6576 Рік тому

      Huo ni uongo Kenya wanayo toka kitambo tu! hiyo ni takwimu ya mwaka gani?

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr Рік тому

      ​@@yapukahassan sinakaaanda sufuria Kisha atawasha moto kupik umem uta boreshwa kuwen na subir kidog watanzania wenzangu 😂😂😂

    • @triplea3463
      @triplea3463 Рік тому

      ​@@abdultandala6576kenya ni diesel sio umeme wanayo SGR ila tren zao zinaendeshwa na diesel sio umeme Kwa Afrika Mashariki sisi ndo wakwanza ipo hivyo

  • @championtop2
    @championtop2 Рік тому +2

    Kwa hiyo serikali imeingiza kichwa tu😢

    • @kingmandama8382
      @kingmandama8382 Рік тому

      Njoo Pugu uone mabehewa yapo ck nyingi sana

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 Рік тому

      Behewa kadhaa zilishakuja

    • @fifo262
      @fifo262 Рік тому

      Hhhh kumbe kichwa muhimu

    • @mwanaashahamisi554
      @mwanaashahamisi554 Рік тому

      ​@@fifo262😂😂😂😂wewe bila kichwa utatembea kweli😅😅

    • @fifo262
      @fifo262 Рік тому

      @@mwanaashahamisi554 mm nimekubali kichwa muhimu sana

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 Рік тому

    Munataka mtulaze ndani ya treni tanesco wakikata umeme cc wengine mxatukosa

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Рік тому

    Mbona sio cha mchongoko

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 Рік тому

    aii wee ntaenda dodoma na tirenii au kwa bibi moro nitapanda hii asee

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 Рік тому +1

    Mbn tulivyoona kule korea na hivi yofauti dahh

    • @dancerboy2686
      @dancerboy2686 Рік тому

      ni kwel aisee

    • @triplea3463
      @triplea3463 Рік тому

      Zile ni EMU (electric multiple unit) zitakuja bado zipo kwenye matengenezo
      Zile kichwa na mabehewa zimeungana haziko separated kama hii
      Hiki kichwa kinaweza kuvuta mabehewa ya Abiria pia ikabeba mabehewa ya mizigo

  • @organamakangira3203
    @organamakangira3203 Рік тому

    Wameona waapooze kwanza. Kichwa kinakuja october majaribio yanafanyika December 😂😂😂. Aisee

  • @conradolomi9580
    @conradolomi9580 Рік тому

    Kichwa kina sura ngumu,kama uchumi wetu.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Рік тому

    Hongera sana Mama Samia ! Watanzania mbona mko negative sana mfanyiwe Nini mtaridhika kila kitu mnakosoa ni nchi ngapi za kiafrika zina treni za kisasa

    • @Mshuzacharles
      @Mshuzacharles Рік тому +1

      Sio Mama samia, HONGERA YAKE MAGUFURI.

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Рік тому

      @@Mshuzacharles Ameshakufa na Samia ndio anaendeleza JPM akuagiza treni kutoka kuzimu!

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 Рік тому

      Msenge

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Рік тому

      @@mimiraia2531 msenge baba yako mzazi Na ukoo wako mbwa wewe shoga unageuzwa

  • @elikanalupondije598
    @elikanalupondije598 Рік тому

    Umeme 😅

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому

    Apo kwenye umeme sasa mtihani

  • @khadijaismail2000
    @khadijaismail2000 Рік тому +1

    Vinatakiwa vingine

  • @ceciliaathanas3135
    @ceciliaathanas3135 Рік тому +1

    Yani iyo treni Bora ibebe mizigo,wewe abiria kapande na umeme ukatike usije sema atukukwambia

  • @bhoke9729
    @bhoke9729 Рік тому +2

    Sasa vikianza kazi hivi situtakatiwa umeme siku zote yani sijui tu ila maendeleo ni muhim pia

  • @DJSKILLSVEVO-
    @DJSKILLSVEVO- Рік тому

    Tabesco mumeona kazi kwenu sasa lengoletu nimoja tu kukataumeme 24h per day

  • @CrissBrave
    @CrissBrave Рік тому

    Mbona kimepinda😂😂😂

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 Рік тому

    saw

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Рік тому

    Tanzania Nchi yanguu

  • @Chiruka-qj3eb
    @Chiruka-qj3eb Рік тому

    Hiki kichwa kama cha mboo yanguu

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy Рік тому

    NDOTO YA JPM. CHAPA PARMASHARP

  • @adinanijunuzaj9580
    @adinanijunuzaj9580 Рік тому

    Kwanza boresheni umeme usikatike kipumbavu kisha ndo mulete hizo tren

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv Рік тому

    Afadhali hiki,duu! kile kingine kilikuwa kichwa kama mdomo wa ng'ombe?sasa nawaza kwa sauti umeme unavyokatika si ndio tutakesha kwenye pori la itigi?kuna ndoa zitaanziaga kwenye treni kwa usawa huu.

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 Рік тому

      Nimeagiza kajenerator kale ka Tiger sikatasaidia wasafiri mara paaap umeme umekatika mpo porini chap mnakawasha goma linaenda maana vinginevyo watu watakabwa sana paaap ukabaji wakimaliza wanatoweka umeme unarudi hahahaa akili mingi

  • @parabinamu55
    @parabinamu55 Рік тому

    Kumekuchaa

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 Рік тому

    duu! kaz ipo

  • @mwl_bennehemiah
    @mwl_bennehemiah Рік тому

    Tulichoahidiwa vs kilichokuja.... 👏 👏 👏😊

  • @htx1873
    @htx1873 Рік тому +1

    Kakichwa kamoja cha umeme kadogoooo , these people are playing with us , kichwa sasa kiko wapi hapo ???? Yani miaka yote hiyo wametuletea hako ka kichwa , stupid stupid stupid

    • @papiasdyausa176
      @papiasdyausa176 Рік тому

      Nguvu yake sio ya kawaida usikione hivyo, ni kama ukitazama vichwa vinavyovyuta masemitela

    • @triplea3463
      @triplea3463 Рік тому

      ​@@papiasdyausa176wewe kichwa chako ni kikubwa 😂

    • @htx1873
      @htx1873 Рік тому

      Guys let’s be serious, like we have been waiting for so so long and look what we got ? Like honestly, mbona kama tumepigwa big time

    • @NDEWARA
      @NDEWARA Рік тому

      ​@@htx1873like..like ...😂😂😂