Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kimbiza
Hongereni Tanzania. Treni yenu ni bora zaidi kuliko yetu ya Kenya.
Nitakuja kuiona
Bro ngelengele ni morogoro
Bila kuchoka ❤
🔥🔥
Nakubali kk
Mmetumia mida gani kutoka dsm hd Ddm
Masaa manne na dakika kumi na tano maana tumetoka dar saa 18:55 Dom tumeingia saa 23:05
Wewe kama mwandishi wa habari na mtangazaji jitahidi kufuata matumizi R na L,Shida ni pale unaingiza hayo makosa mpaka kwenye kiingereza,,Hio ni kosa kubwa kwa mtangazaji boss
Shukrani nalifanyia kazi
Nauli ni bei gani?
Nauli Kwa economy ni 31000
Unaongea pumba tuu , amijaaayyy
Tupo pamoja
Kimbiza
Hongereni Tanzania. Treni yenu ni bora zaidi kuliko yetu ya Kenya.
Nitakuja kuiona
Bro ngelengele ni morogoro
Bila kuchoka ❤
🔥🔥
Nakubali kk
Mmetumia mida gani kutoka dsm hd Ddm
Masaa manne na dakika kumi na tano maana tumetoka dar saa 18:55 Dom tumeingia saa 23:05
Wewe kama mwandishi wa habari na mtangazaji jitahidi kufuata matumizi R na L,
Shida ni pale unaingiza hayo makosa mpaka kwenye kiingereza,,
Hio ni kosa kubwa kwa mtangazaji boss
Shukrani nalifanyia kazi
Nauli ni bei gani?
Nauli Kwa economy ni 31000
Unaongea pumba tuu , amijaaayyy
Tupo pamoja