Hivi hawa mbwa mnaoiba na kufuja mali za walipa kodi kisha mnajiita wazalendo hata aibu hamuoni jamani vyombo husika kamata jamani hao watu wanaohujumu mali ya uma na jugudi za mama tena,wasipewe dhamana miaka 3 kuendelea na watolewe jwenye luninga tueaone na tuwajue baba wa nani mama wanani mtoto dasa kaka wa nani waqdhirike kabisa na sio kwa hawa wa chini hata hao wajuu pia
Yaani kila sehemu ni wizi. Mnachekeana sana huko Tz Kwa nini msinyonge watu kama hao wezi wa mali Za umma ?
Hivi hawa mbwa mnaoiba na kufuja mali za walipa kodi kisha mnajiita wazalendo hata aibu hamuoni jamani vyombo husika kamata jamani hao watu wanaohujumu mali ya uma na jugudi za mama tena,wasipewe dhamana miaka 3 kuendelea na watolewe jwenye luninga tueaone na tuwajue baba wa nani mama wanani mtoto dasa kaka wa nani waqdhirike kabisa na sio kwa hawa wa chini hata hao wajuu pia
Maendeleo magumu bongo