Kila siku ntasema na stochoka kurudia maneno yangu...kibongobongo, east africa, africa nzima na pengine na dunia...hamna rapper/Mc mwenye creativity kwenye uandishi na video za kijanja kama FID Q...MAD RESPECT 🔥🔥💪💯
Oooii hatari neno la mteja alepata nafu haikuwa raisi na wala haitakuwa rahisi mikandamizo yanaendelea soma project za kitaa kweli emeishaa hiyooo fullluuuu ngenje ninjaz much love from ukooflani magongo nation forever ninjaz
ooooooooooooooooooiiiiiii... hip hop kabisa ... zile enzi zetu tunakula ngoma kama hizi sasa daah respect eyes na farid mmetupa ile kitu tumemiss aisee
Tunataka safari hii tuchukue tuzo za Hip Hop BET tumechoka kusikia tunakimbizwa na Wakenya kwenye tuzo za Hip Hop. Tunataka mtuletee wana Hip Hop wote bila kumsahau #Prof Jay. #WANENE TV mmekuja na kitu kizuri sana.
@@daudhasan6533 Take it back, Rush hour, My advice, Adonai, the come back free style, can't let you go, etc ngoma za Sarkodie hizo kapiga kiingereza, ushawahi msikia Fid Q akichana kiingereza. Acha ubishi do research.
@@kinyamal8201 kuna mantiki ya unachokisema. Wasikilizaji wa nje wangemfeel kwa Kiingereza na kumpokea. SA tu hapo angekuwa anawakalisha kina Nasty C. Lugha ni DARAJA why asivuke one time coz lengo ni KUISHI.
Asante Mungu, nimeipigia kelele hii k2 kimya kimya mpaka imekuwa Lord unajua toka masai land chuga mpaka msasan dar do u remember man.. Dah noma sana toka mchafuko wa Neno mpaka leo ndo nakata kiu tena, na kubanda kale kapicha tuliko piga kwa minaz shinyanga mwaka2016. Bado nakatafuta nikuletee nilikuahidi pale captown masaki, asante Africa hip hop@mimi pound tzee
respect iconic fid .. asa uyo macho ya ngada kamdiss unju anamuweza au tunasumbuana2 kachane kwa wamasai wenzio arusha una flow mbaya ad najiona m mkali sana
Daaah sjaelewa vizuri...Kweli hip hop ya sasa syoo poaa fid q na lord eyez mawazo yangu waludiee tenaa ngoma hii ili niwaelewe vizuri ni pige kula vizuri napenda sana hip hop ndo maisha yetu kitaaa umiza mbongo wana wapagawee.
Happy Birthday Fid Q, you did the best here, Lordz as well, I can say the best hip hop, flows barz, to the world, English lines some how made me feels like somewhere(not far) we gonna have the best track to the world. My suggestion, we are all east Africa rising our own, can we do new version of this track adding Khaligraph Jones. In this arrangement: Fid first,Lord,khaligraph, both in swahili-then second as per flows in swangilsh following the flow, or English at all. My heart looks like having, would probably unite much EA. We believe in music as therapy, take note on my comments and work on it to the best. Proud of you ngosha and mangi
Be happy! Today is the day you were brought into this world to be a blessing and inspiration to the people around you! You are a wonderful person! May you be given more birthdays to fulfill all of your dreams!! Imeisha iyoo ni bonge la ngomaaa kama kawa Fid Q na Lord Eyez hainaga kukosea
Duuuh!!! Hili ndo colabo la hiphop lililoshiba. @fid q na @lodz. Nipeni likes kwa hawa ma legenderi ya hiphop bongo
Kila siku ntasema na stochoka kurudia maneno yangu...kibongobongo, east africa, africa nzima na pengine na dunia...hamna rapper/Mc mwenye creativity kwenye uandishi na video za kijanja kama FID Q...MAD RESPECT 🔥🔥💪💯
Noma sana🔥🔥🔥..Ni yule King kama kawaida.FID Q..maunyama kibao..mashairi yaliokomaa💚❤️💛...Naitaji kuona Like mingi kwa Fid.
Ni kawaida kwa king fidq kufanya vitu visivyo vya kawaida yani alafu huyo Lord mwenye Eyez Noma Sana 💣💣💣
Love from Uganda
Dude tumelisubiria kinoma,
Lishanenwa toka Africa, hamnaga siri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
"siwez mess na wanafunzi wanaokopi ujuz wangu" noma sana
Young rapperz jifunzen hapo kwa Wakubwa....hatari fid and lord eyez
Hao jamaa hapo mwisho wana sura ngumu balaaaa
Uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiii nyie majamaa mnanipa kichaaa
Wakionyesha Magorofa, Sisi tuna Ikuza Mitaa #Imeishahiyo
Hatariiiiii 🔥 🔥
Mtaa kama mtaa
Nyieee jamaaa mmefanya kazii wotee
Wayaaaaaaaa kikosi kazi imeisha hyoo ndo Chuga
Hiii ndio hip hop tulio kua tumeimic sn daaaaaah nadhau kiu mmeikata kiasi chakee
Nawakubali Q-lo
Wote wawili huwa nawapa no 1 hapa bongo.hafu fq hujatembea muda mrefu kidogo maeneo ya kkoo,mm mwanao tino from kariakoo.
Oooii hatari neno la mteja alepata nafu haikuwa raisi na wala haitakuwa rahisi mikandamizo yanaendelea soma project za kitaa kweli emeishaa hiyooo fullluuuu ngenje ninjaz much love from ukooflani magongo nation forever ninjaz
Mashairi mazuri sana kwa kila mmoja... nyie kikos kazi jifunzeni huku.. sio kuimba shombo t
Hii sio nchi ya mawaki bahna muitetee...muipeperushe duniani🤝🤝
ooooooooooooooooooiiiiiii... hip hop kabisa ... zile enzi zetu tunakula ngoma kama hizi sasa daah respect eyes na farid mmetupa ile kitu tumemiss aisee
Bongo kwelii nyoso❤️...🇰🇪
"Siwezi mess na wanafunzi wanaoshare ujuzi wangu"🔥🎼🐐
Salamu kazipata mbushi😜
I am crazy in love with this song, you guys the best of EAC.
Happy birthday bro ww ni mfalme wa hip hop Africa masharika na cyo bongo pekee anaebixha axeme nixhuxhe tetemeko lingine mamaee
Dah Combo ya Fid q na King izzy uwa ni mazishi tu sku zote🔥🙌
Hataree
Sana t bonge la chupa
Sio poa.usibonyeze!!!
Leo cjalala nilizani hii ataachiwa ucku imeisha iyooo
Tunataka safari hii tuchukue tuzo za Hip Hop BET tumechoka kusikia tunakimbizwa na Wakenya kwenye tuzo za Hip Hop. Tunataka mtuletee wana Hip Hop wote bila kumsahau #Prof Jay. #WANENE TV mmekuja na kitu kizuri sana.
Mwanza alusha kama zamani hili neno toka aflika hainaga sili leo inaitwa imeishaiyo wanene noma imeishaiyo
Wakuu kuna mwamba kapewa Tano apo chochoroni na lord Eyez aisee lile ni jambaka😀😀😀
Ngosha Kama Ngosha
Mangosha Wotee Tia Like Tuone Tuko Wangap Wanaopenda Hili Goma
Acha ukabila
Yeah Fid Q hold that mic we need hip hop cause is only way we can present our messages one Love man mtu wako ndani Reeram Dubai!!
Ngoshaaaaa
Dah wasukuma acheni ukabila
Fid Q ni king was hip hop bongo nzima
Mistari ya strong rapa lazima urudie Mara mbili mbili ili uielewe salute kwako KUBANDAAAA like here👇👇
This is real bongo hip pop yani maisha tunayoishi wabongo ndio haya safi sn Fid Q & King lordiz
Fid ndio hip hop ya bongo
Hamna neno kubwa linaloweza kutumika hapa zaidi ya noma
Very nice. Huyo jamaa hapo anasura ngumu kinoma nimecheka sana
Siku zinavoenda mashabiki wa hip hop tunazidi kuwaelewa WaneneTv 🤞✌️ RESPECT THE OG'S
Fid angekuwa rapa wa kiingerza angekuwa mkubwa Afrika na duniani, ila bado ni king, nakukubali sana Fid Q.
Kwani Sarkodie moja Rapper Mkubwa Africa ushawahi fuatilia lugha anayotumia sana kwenye ngoma......????
@@daudhasan6533 Take it back, Rush hour, My advice, Adonai, the come back free style, can't let you go, etc ngoma za Sarkodie hizo kapiga kiingereza, ushawahi msikia Fid Q akichana kiingereza. Acha ubishi do research.
Unahisi Fid Q hawezi kurap kwa kiingerza...?
@@Athena-cf3qi Anao uwezo ila bado sijamskia hip hop kapiga ya kimombo.
@@kinyamal8201 kuna mantiki ya unachokisema. Wasikilizaji wa nje wangemfeel kwa Kiingereza na kumpokea. SA tu hapo angekuwa anawakalisha kina Nasty C. Lugha ni DARAJA why asivuke one time coz lengo ni KUISHI.
Noma kweli ngosha na chagaa kweli bongo nawakubali
Kumbe #Byafa Ndimu# Hana Tofauti na uimbaji wa Fid,mwana fa Roma nimeamini Tanzania duuh Kuna vipaji vinalandana%%%%
King Izzy umeuwa sana huku Daah kama hautawahi kurap tena michano ya kibabe mno
Kmk 🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥 #ngoshaaaa.....🔥🔥 #mbuz......... 🐐🔥🔥 #lordeyez......🔥🔥🔥🙌🙌
Hapa fid kaua sana michano kama yoteee
Asante Mungu, nimeipigia kelele hii k2 kimya kimya mpaka imekuwa Lord unajua toka masai land chuga mpaka msasan dar do u remember man.. Dah noma sana toka mchafuko wa Neno mpaka leo ndo nakata kiu tena, na kubanda kale kapicha tuliko piga kwa minaz shinyanga mwaka2016. Bado nakatafuta nikuletee nilikuahidi pale captown masaki, asante Africa hip hop@mimi pound tzee
Ya kibabe sana Ngosha
Kama Umeelewa unyama wa Hawa Wanyama wawiL Gonga Like hapa 🔥🔥
Usimkufuru Mungu baraka ziko kwa marengo....#_imeishahiyo
#___nmejikuta_nakumbuka__#neno
Ngoma kali sana imeisha iyo fid Q x loadeyes
Enzi hizo ukisuka nywele unaliwa kiboga!!
Ngosha yupo juuu saana yaani kila naposikia mistari yake ni nomaaaa
Oyooooooooooooo.....fid fid,,,,ezzy ezzy imeisha hiyoooo
Kwan ndio imeisha hiyo.. ..........
Baba izosura kudadadeki 👍👍👍 sjuwi wamezitoleya wapi
Kuna wasanii wanaimba San lkn media zinaban san🥰🥰🥰nice songs
Kaz mjomba fid .ngumu ila nyuso ngumu kweli
Bonge la Video, yani imeakisi maisha ya kitaa kiuhalisia kabisa! Nakubali sana Fid na Lord Eyez, Imeisha Iyooo
King iz hakika hajawahi kufeli hakika nafrahi sana kusikia mistari yako na flow yako na mistari yako mizuri
Duuu hii game naipenda imechangamka hatari Wanenetv mmetisha
respect iconic fid .. asa uyo macho ya ngada kamdiss unju anamuweza au tunasumbuana2 kachane kwa wamasai wenzio arusha una flow mbaya ad najiona m mkali sana
Hamna kma mzee Mbuzi Hip-hop Bongo@Ngosha
Lord eyes the return! Fid Q always in point! 254 representing
Imeishaiyoo kweli MA Broo mnajuaa kinoma
hap Fid Q kulee eyez mweuusiiii🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kal Sanaaa 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tangu enzi za Langa,
akili yangu ya tanga tanga.
Cheusi Dawa,
kwa wengine ni maradhi,
sema nami................
Dah jamaa umeua sanaaa
kama ww ni chalii wa chuga najua umeielewa hii track balaaa ..gonga like tujuane
Wanene km wanazid kutishaaaaaa na haya mavitu
Noma sqna lord eyez
Ngoma Kali....sana imeisha iyoooo
King Lord we missed u broda. That's hit is pretty cul shout up to Q
Hii ngoma ndo ya kwanza Bibi yangu kanambia niongeze sauti akawa ananesesha kichwa....
whaaa..this touched my nerves so easily.. boy boy endeleza husle ukusanye doo...woi
Noma sana unyama mwingi humuu big up fid q💪
Mwenye hiphpop yake bongo🤸🤸💥🤸
Hyo kali sana nataka kuifananisha na ile ya neno
Hili combi mbna Kam Perfecto combo 💪
Ata biti la mlango tunauwaaa..🙌🙌🙌
Kikubwaaaaaaa sanaaaaa....!!!####
Uyo fid Q ana jiktuaga yeye mwenye game ya hip hop TZ sio
Damn me na muweka number one in Africa Ngosha the don 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥 🔥 🔥
Noma xna hi ndo hip hop achana na wale watoto wanaoimba mipasho kks
Fid.. Imeisha Hiyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Verses chache sana zingekua 4 ingependeza zaidi.... #NENO
Lord eyeeeees🔥🔥🔥🔥ngoma kal sana fid q mmetisha kwapa1 wana
Ngosha na Lord mmetaka sifa tena. Nimependa setting/location na theme mliochagua. Too classic! Yaani ile ki hip hop kabisa!
Can't tired listening this song for sure, is this to me alone? How many feels like me? Drop likes/comment here
Good music Fareed
mm toka jana ucku hadi mda huu nasikilza hii ngoma yani inavibe balaaa
For sure. Since hii ngoma iwekwe hewani. Nafanya kurudia kila ninapojickia bored.
#TheCoolingMachine
imeisha hiyo
Noma sana kazi poa
Yan nahs kama mimi ndo nmeplay hili song mara nyngi sana aisee...😂😁✊
Wenye HipHop wamekutana...hamnagaa shidaaaa
Unyama unyamani kama wakina kanye na puffy dady
Noma mzee..!hizi Tanzanite adimu zama hizi. Big up Fid
Daaaaah Lord nae kafanya yake......hatari kamili
Bonge la ngoma video mzuri ya kiswazini kabisa.big up lord big up farid🇹🇿🇹🇿💪🔥🔥.
Madude kama haya ndo yanafaa kusikika mtaani ngoma Kali wazee
Waliona Siendi wapo nyuma wanashangaa lord aseee
Huyu ndie rapper ambaye uwezi imba nyimbo zake ukimaliza vice utakuwa umeweza
King Q .........number one Kenyan fan
Number one kama mimi 😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hahahahaaaahahhhh... Oya...🙌🏿🙌🏿🙌🏿 tumeisubiri sana hii😄😄
Nikali sana Imeisha iyo
Daaah sjaelewa vizuri...Kweli hip hop ya sasa syoo poaa fid q na lord eyez mawazo yangu waludiee tenaa ngoma hii ili niwaelewe vizuri ni pige kula vizuri napenda sana hip hop ndo maisha yetu kitaaa umiza mbongo wana wapagawee.
Imeishaaaa hiyoooooooo!!, hatareee sana
Happy Birthday Fid Q, you did the best here, Lordz as well, I can say the best hip hop, flows barz, to the world, English lines some how made me feels like somewhere(not far) we gonna have the best track to the world. My suggestion, we are all east Africa rising our own, can we do new version of this track adding Khaligraph Jones. In this arrangement: Fid first,Lord,khaligraph, both in swahili-then second as per flows in swangilsh following the flow, or English at all. My heart looks like having, would probably unite much EA. We believe in music as therapy, take note on my comments and work on it to the best. Proud of you ngosha and mangi
Such a good idea I hope they will oblige accordingly..IMEISHA HiYOO
Bright idea, imeisha hiyo.
I real agree with this one
Be happy! Today is the day you were brought into this world to be a blessing and inspiration to the people around you! You are a wonderful person! May you be given more birthdays to fulfill all of your dreams!! Imeisha iyoo ni bonge la ngomaaa kama kawa Fid Q na Lord Eyez hainaga kukosea
Ngosha mbona kama umepaniki ivi maana co kwa baraa ulilolifanya humu,,,Salu T broda
Ngosha ni fire🔥🔥🔥💥💥💥💞💞💞