Fid Q x Saida Karoli - Kiberiti (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- #FidQ #Kiberiti #SaidaKaroli #SlideDigital
produced by: Lufa
recorded by: Lufa @wanene studios
mixed by: Chizan Brain
verse 1: Fid Q
Haueleweki hata uki-shine kwa punchlines on facebook/
Haiwi fine kama RayVan.. wewe fake tu/
sikuoni B E T au MTV wakiplay tunes/
Miaka nenda wewe msanii..Mc una-play tu/
Makida..wewe sio King kama Kiba/
sio yaoming kwenye ring.. (una) mistari mingi zaidi ya zebra?/
mxiiew.. unazingua nigga/haujajijua nigga/
umeangukia pua..Bishoo hauwezi kuwa jigga/
RENT mwezi ujao na haujalipa school fees../
ya wanao..unaumiza kichwa ewe Q-Fid/
till now hauioni future..wewe stupid/
haujapiga bao na kutwa unawaza groupies?/
pengine ni nuksi umejiletea..au chuki umejijengea.. haukumbuki..ulipotokea bro/
wabaya mauzushi wanayachochechea.. haustuki ushapotea..wakushi wanakutetea bro../
unakosea bro..ni kweli hauna spea bro/
kuplay fair..nikuwachezea..ikatokea droo/
kukutegemea bro..hatuwezi tutakuonea bro/
tushajionea ulivyo mlevi..ukaikosea show/
HOOK: Saida Karoli
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
aiii.. ma mama.. kiberiti/
aiii.. ma mama/
verse 2:Fid Q
Nikiwa alone in my room.. sometimes i stare at the door/
and in the back of my mind naziita hisia hebu njoo../
zinaingia zinaniambia hii dunia ni soo..haiko sweet kama dove.. i see i need love..
Tatizo lako hautaki kuuza maneno/
Legeza ka wenzako acha kutukuza misemo/
Sheria ni yako ila isiuache umsumeno/
ukijikuna tako.. usikate kucha meno/
ongea usikike au kaa kimya usidharaulike/
au utupishe na jina lisahaulike/
tulazimike kukuzima ili itulipe..Gwajima tumuite aje kukupima heshima bashite/
nje ya town show huwa zina crowd ya kiwaki/
kaza crown ibaki.. ukikaza sana hawataki/
tunajua una uwezo wa juu..una kismati/
na haujawahi kupigiwa BOOO basi unajiona tupaaaaaci/
kabla ya rotten brothers..ulikua na chepe/
2 nature boys ndiko ulikoanza makeke/
mwaka huu mwaka wee mwaka../
ikakuweka juu ikawa Q hakuna asiyemtaka/
well,lini uta-retire urudi kuuza mtumba lango/
una roho mbaya..hadi leo haujamkumbuka Rado?/
wewe sio kichwa..wewe unaweza fichwa/
ikichorwa hip hop siioni sura yako kwa picha../
HOOK: Saida Karoli
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
Kiberiti.. ninakuona unavyoniwashia moto mie.. ayee/
aiii.. ma mama.. kiberiti/
aiii.. ma mama.
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on:
/ therealfidq
/ fidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
mwambaaa umeona beats iyooooo nikwereee. umetishaaa mnyamwezii 🔥🔥🔥🔥🔥👊👊
Greatest
Wanataka vitu rahisi minawapa vitu halisi hii kaka kweli ni fact kwa lugha ya kishkaji bonge la video
True mzee mbuzi aka ngosha ukijikuna tako haikikisha usikate kucha kwa meno
Nko na mwanao wa mbavun sultan
Mbuzi nzee hajaiangusha...mistari yenye elimu si haba
Fid Q mwana aliyee juuu 🔥🔥 gonga like Kama umekubal hii ngoma ya ngosha Farid kubanda
Anyone 2024 ✊🏾🙌
Ima tell yu this tanzanian rappers will come and go but fid q is the one of the lyrical genius and hiphop influence
Nipo Humu 2024...Haiwezi Pita Siku 3 Sija Play Huu Wimbo Aisee!!🔥✊🏾
Kiberiti ni bonge la ngoma HipHop ni mkombozi wa fikra ina uhalisia kwenye maisha ya binadamu kiukweli FidQ we ni Goat#GoatFidQ #Kiberiti #SaidaKaroli
Music is not only entertainment but also EDUCATION now this is what we need in reality
hii art kumamake daah.🥾🐐🔥
Daah badala ya yoooh yoooh nyingi na kushika chini ya trouser ,,hii mpya🙏💥💥
Dah jamaa kamchana sana CHIDBENZ
Heshima yako mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana Fid Q umenielimisha
Kiberiti ni wimbo ninaoupenda kupita nyimbo zote kwenye album ya Ngosha, utofauti wake, imegusa maisha ya saikolojia zetu, yaani unasemwa ,unatetwa ili useme lolote, lakini mtu anayekufanyia hivyo hana chcochote cha kukutisha , huwa na-refer pale , sikuoni BET, MTV wakiplay tunes
Wimbo uliotafsiriwa na msanii mwenyewe ndani ya wimbo wake!
Neipenda hii nikali na hii ndo hip hop
My brother Fid Q Mungu akuinue kama ilivyo ahadi yake . Kazi nzuri sana
,,,,, umetishaaa video kali
Tukutane hapa 2023 Ngoma kama Imetoka Jana yaan ni 🔥🔥🔥
"Ukisema Chini Hapana 🙅!! Ina Maana Fanya Unyanyuke 🧎..// Na Ukiamini Umesimama 🏃!! Mwana Komaa Usianguke 👩🦽..".."💪👊🔥 Ngoshaaaaaaaa🔥🔥🔥👊🙌
🤛🏻
Lil wayne.how to love
Maana halisi ya msanii na sanaa ndo hiiii
KING LUFFA'S BEAT
Moja kati ya ngoma zilizowahi nijenga katika ukuaji wangu kwenye mziki na Utamaduni wa Hiphop ✊🏿
Utofauti ndio utam wenyewe video yakinyama sanaaa🙌
Ww sio kichwa, ww unaweza fichwa... Ikichorwa hiphop sio sura yako kwa picha✊💥
Nakukubali sana
Babu ngosha hii binge la video sijawaikuona kama hii Dunia nzima hip-hop
Ongea uskike aw kaa kimya usidharaulikee😼🤐🤔🤔🤔.. ticha fidQ🤞🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
CHEUSI DAWA 🔥🔥🔥
Mziiki wa Utu uzima kwa watu wazima safsana Fid Q, much love from +254🇰🇪
VIDEO TUU NI HIP HOP TOSHA..PUNCH LINES WOOOOOOOOOOOOOOW
The first day i started listening to Fid q to this day i never stopped. This guy right here deserve respect and i do respect him 100%
My favourite artists of all time Kendrick Lamar and Fid Q
What about j Cole?
Finally the real MBUZI... thanks for the visuals. This was an instant classic when I heard it, it's still a classic.
Wataelewa wachache wanaofahamu mziki mzuri ❤️
Kila iitwayo leo flow zako zinazidi kujenga ubongo wangu “genius of rap”
Hatimaye tumepata nafasi ya kumuona MZEE MBUZI LIVE🔥😁
Farid kubanda the definition of hiphop tz
hii video ndo maana halisi ya GREATEEST OF ALL TIME
.this song huwa inaniiinua sana nikiwa najisikia niko down...🔥🔥🔥🔥 #the 4 agreement ✅✅
Haipingwi bro
We thank God for Fidq
Yupo duniani tangu August 13…..Acha awashe moto aseee mwamba ni KIBERITI🔥🔥
One of the finest masterpieces. Thank God for Fid Q
Nakupa cheooo kk
Ujumbe mzur sana 2024
Fid Q mbishi
GOAT video 🔥 music 🔥
Nakubal fid q
Sawa Mwalimu
REAL GOAT by THE WAY NIMEPITA SAN KATKA COMMENTS NIMEONA SHOUT-OUTS NYING SAN KUPITIA HII NGOM KUFANYIWA VIDEO FROM 2 OR 3 YEAR SS UMETUTOLEA VIDEO ACTUALLY IT'S EDUCATIVE HIP-HOP AND ALSO THE FLOW OF PUNCHLINE TOUCHES THE FEELING OF THE LISTER,,SOME HOW KUNA UJUMBE PIA AMBAO UNAWAFIKIA THE OTHER SINGERS DOING THE GAME,,, THAT'S WHY I CALL THE REAL GOAT DAH UMENIRUDISHA NYUMA TENA TANGU NLIPO ISIKILIZAGA,,, NOW ON TRENDING BRO MUCH RESPECT YOU TO,,,YOUR THE FATHER OF HIP-HOP IN TANZANIA,,,,I DONT KNOW IF THERE IS ANY SAY FROM THIS CREATIVE VISUAL......🔥🔥🔥🤝
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nunua kiberiti hesabu njiti zake..utaelewa moto.upi umeibwa hapa..Ahsante nguli wa muziki Tz
Nimejfunza k2 mkuu...Salute mwamba wa kaskazin
Huyo sio mwamba wa kaskan😂😂
Let's all embrace peace and appreciate the beautiful talents we've got
Ukweli hauna Spare (tatizo lako hautaki kuuza maneno) una roho mbaya hutaki hata kumkumbuka Rado 🖖
Kamsema nani hapo
Shots fired 🔥🔥💥 Simba 😂😂
Nakuitaga Baba ya muziki Tz
Video kaliiii ile kinyamaaa
Faridi hizi floor ni kali mno
Fundi wangu🔥🔥🙌
Inspiration right there...kazi njema mkubwa wangu
Fid kama fid 🔥🔥💪
Sa hii video mbna kubwa sana mamaqe
Hatulali tunalinda accound ya fid, wakirusha bom tunalipuka nalo
Show nje ya town zina crowd ya kiwaki,kaza crown ibak ukikaza xana hawataki🙌🙌🙌
Hatari sana
Hiyo intro sio poa 🎉🎉🎉🎉
Mzee mbuzi
Fid Q ni G.O.A.T🐐 Hii track ni 🔥🔥🔥 tunasubirii dude lingine from KITAAolojia mkuu 🙌
Thanks alot king Fid for bringing us the African Queen Saida Karoli back in game👑👑more love from Kenya ❤️ 🇰🇪🇰🇪 continue educating us, we love what you're doing out there 🤝🏾💯 peace brother ✌️
This is gonna be big. wabeja nkoi from BARIADI Japan
"ukijikuna tako, usikate kucha kwa meno" 👊🏾
We ni fundi ...mamaaaae
Kubandaaaaa ❤❤❤❤❤❤
Nooma💊💊💊💊💥💥
Mzee mbuzi makini sana
HIP HOP ☻FID Q🙌🔥🔥
Ngosha wa mbasa! Nazunyaga bhabha unatisha home boy
Hapo tu ndo unapowaacha wasanii wote Tz
Umeua fiq Q,
Baba karibu …
Hongera bro
Kila kilicho ng'aa ujue kiling'alishwa but kwa upande wako umejing'alisha mwenyewe muda mwingine tutafute Manati kwa ajiri ya kuwapigia kunguru kwasababu ni waharibifu
I love the creativity behind the video Mzee Mbuzi kavaa jumper!
Kila kitu kina sabab
Hapa kamjibu Rado
Mbna inakaa kama sample hivi....well kabla sijahukumu sana ningependa kumskia @fid Q mwenywe akieleza kwann kaamua kuifanya kwa style hii video yake
Oy man umetisha
Wee sio kichwa wewe unaweza fichwa
Nikichora hiphop sioni sura yako kwa picha ✌🏼
🐐
🐐🐐🐐🐐
Ametisha Huyu mwamba
Goat 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🔥🔥🔥🔥🔥🔥 and goddess saida
Mzee mbuzi, this project is big! 🔥🔥🔥
good vibes
bonge la video kaka ongera sana
mzeeee mbuuuuzii
AISEEE
Vipi, huyu bana kamuimba Rayvanny/?
Ukicheki mistari hapa kaimbwa Ray. Dooooo! Hiii nayo noma