The short guy and the last guy are blood brothers. The last guy is a hip hop killer in Tanzania. He has another hit called "Don't bother" featuring AKA. Check it
Kikosi Kazi Hatari Sana Wameijibu Hii Kitu Jino Kwa Jino Mamaye . Hatari Sana . Hawa Weusi Hamna Kitu . Mambo Ni Ufundi Kama Wajina Wangu Robinoh Shenzi Unjuuu Hahahahaha
King izz,,nahuyunae mbimbixhi mbonakama Nikki,,oyaa wajomba hamna mbaya kwangu asee,,fido vato panya 1000,tu ndomana haixhi kudis kundi na kumwandama joh makin kipenzi cha watu
Duuuuuhh nyie weusi sasa mmeshindikana..hii game ya hiphop mkaifanyie marekanii. Unyama mwingi humu ndani mpaka nashindwa kugawa marks. #Weusi #ChamaTawala #Twawala
Nani Kaja Kuangalia Tena Baada Ya Kusikia Nyimbo Ya Kikosi Kazi
Hapa haujui ushike yupi uache yupi.Kila kundi lina uzani wake
Geoffrey Embasa Noma
Dah noma sana
Mimi
Niko hapa kabisa
Wanangu like za lord eyes kumi tu zinatosha
Nn
Kauua sana akifatiwa na mnako 🙌🏽
nipo hapa
1. G nako
2. Joh Makini
them bars 🔥
fireeee
Verse mbovu kama huyo nikki ndio kabisaa
Kikosi kazi kwa awa jamaa wakasome sana, weusi hiphop yao imetulia sana hata club inachezeka, music ni biashara sio unakaza huku unakufa njaa
Ufiki wami mzee mwisho mkata
Lord 👀 went in the beat without knocking hodi...🔥
4 Babylon from "USA"!!!! Chupi ndo inabana mwana juu hujanenepa mwana!!! Weusi forever
As hip hop we real need this battles to keep our mcees busy to write deep barz
Words play ya wasafi ni brave! These guys are not to play with.. Niki uko poa sana( your wordsplay are so awesome)
Ako ka dis ka Tamaduni kanaendelea kuipa kiki hiiiii
Wakuu mko poa...
Sema ile intro ya 'a city in da house' mmesaau ase
#NIKKI Ukiona mwana anajisifu sana, anakibamia😂😂😂😂😂
Weusi mnarap sawa ioa HIPHOP halisi ipo TAMADUNI na KIKOSI KAZI.
Weusi
hahaha Joh bana eti "wanaulizia ndoa papa zina lowa..."
Jaman umu sijawai kupata like embu aloskia papa tuonee
😂😂
Nikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiiiiiii chagggga boyyy
G Nako👑👑👑👑
is the best rapper in Africa leave a like if you are with me
Eti nn
Acha ujinga wewe
@@benadetamassy8819 Ni ukweli Ni vile ha rap kwa English 🙄
Lord Eyes anatakiwa afanyiwe kitu special ...this is MAN IS OG
Always representing A-Town🔥🔥🔥🔥
Tisha Sana G broo
Nakubaliiiiiiiii
Lord eyes Limepiga ma backup🙌
Flows Kaliiii 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Daahhhh nyieee watuuu mnajuaaaa siyoo wa Dunia hiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwamba Joh Makin
I don't understand what they said but the shot boy and last two guy they killed it. Salute from Mozambique 🇲🇿
The short guy and the last guy are blood brothers. The last guy is a hip hop killer in Tanzania. He has another hit called "Don't bother" featuring AKA. Check it
And the second guy Lord eyes aka king Izzy...
Ok
Arusha salute guys daraja mbili kwa mama tina
Estamos juntos
Asee hi ngoma sichok kuiskiza kila day lazma
Weusi bigap sana bila nyieshey tauni bado
Mmewachokaza wenyeweeeeeeee.....KKK
Kenya represented
Machali ni kwere
Hehee sasa kumenoga kweny hiphop
kaliiiiii
Mr. + mistari.... Wote wakali
Watu wa power bna hao
Nouma sana
SIKUJUAGA KUWA KUNABONGE LA ATO HUKU WANENE HUKU KIKOSI KAZI HAYA NATAKA UGOMVI UENDELEE TUPATE FLEVA SISI
Lord eyes Unyama Sana😁
Wanaulizia ndoa papa zilowa
Alltym freestyle💥
Black!
No 1
Zikam tena
G nako ni fundi
Eeeeya
G nako best intro
Nani karudia mwezi huu wa 6/2023 kama me
Ngoma nzur ila mume chokoza wahuni kule kikosi kazi sio watu wazur
Wanakata kuwa awajamtaja mtu ila mistari yao ilikuwa izumuni kabisa kuwarenga kikosi kazi
Kikosi Kazi Hatari Sana Wameijibu Hii Kitu Jino Kwa Jino Mamaye . Hatari Sana . Hawa Weusi Hamna Kitu . Mambo Ni Ufundi Kama Wajina Wangu Robinoh Shenzi Unjuuu Hahahahaha
Makini joh
Good music .. shout-out from Kenya..
Weusi km weuc nashindwa nmpe point nan niache nan 🔥🔥🔥🔥 msemaj wa weuc mwite nicksony
Nawagaa kishosho
G Nako apa 🔥🔥🔥🔥
Weusi in the house,jirani kojoa ulale 😂🇰🇪
Weusiii😘😘😘😘😘a TAN of love from fellow chugaian...."Kaloleni"
Qali sana mkuu
#joh wanaulizia ndoa papa zinaloa🦆🤴
Nimekubali kaziyenu asee ninoma
Kikosi kazi inaua weusi
Mmetisha wakuu
Nouma sana g walawala
Weusi wako international
King izz,,nahuyunae mbimbixhi mbonakama Nikki,,oyaa wajomba hamna mbaya kwangu asee,,fido vato panya 1000,tu ndomana haixhi kudis kundi na kumwandama joh makin kipenzi cha watu
Kikosi kazi kweli ni kikosi kazi kazini ni motoooo
Ukisikiliza wanavyo chana mistari ya lord eyes ndio imesimama
Niki kaokota okota Maneno
Joo nae kaokota Maneno
G nako angalau
We unajua hip hop salute mwanangu, Lord eyez kabeba full trck
Exactly ww unajua!
Huku weusi kule 😂😂😂 Kikosi kazi wacha tuone,,,Kund gan Kali zaidiii 👊👊🇹🇿
Mi namkubali lord eyes
Huku wataga pale wanatotoa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nimekuwa na utata wa nafsi kwa miaka mingi kati ya Joh na Niki wa pili nani mkali. Sasa naweza kukubali kuwa Joh makini ni hatari
It's the best time mkafanye collabo na khaligraph jones
weusi
We Eleza Umbea Si ni Iconz... big up weusi
Babkubwa!!!!!!
Naona saiv n bifu waziwazi weusi vs kikosi kazi safi sana.
Hakuna beef just hip hop
Noma sana
Kikos Kaz ni vichwa vitup
Nyimbo nzuri sana
Kikosi kazi ninoma sana
Sanaa weus
Hiyo ndo weusi
Culture haiwez kutunzwa na watoto mchele ..mcheleee mcheleee
#songa
😀😀😀😀😀😀😀
Kikosi Kazi
Mchele mchele mchele...hahahah
😂
Nako 2 nako soldiers ni balaaaah
Ile ya ndani🔥🐐
Lord eyes💯
Oya Nyie Vibonde Mnaleta Uwoga Wenu Wa Kidunya . Mnavua Nguo Hamsemi Mnaoga Au Mnakunya . Misuti Imewavaa Kama Mnakwenda Sabato
Nyimbo nzuri sanà
Wape habar hao Kikos Kazi Tunawapiga msasa
fire fiiiiiiiiiire
G nako,Nikki na joh💪
🔥🔥🔥🕴️🔥🔥
Album inapatikanaje wazee? I can’t wait to buy mine🔥🔥weusiiii for life
Iyo nidisi gem mwamba wamewajibu wale maboya 😷😷
Willy Ngowi cjaona walichojibu uchafu mtupu, Haifai hata kulinganisha,real traaaash, Weusi for life🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nick wa 2 🔥🔥🔥mnunulie nguo tutavua akivaaa
Weusi my favourite much love from 🇰🇪 hii ni moto kila mtu amekill🔥🔥🤙
How about the music producer ...
Upepo wa promotion unawabeba tuu hamna kitu apoo
Weusiiiii n 🔥🔥🔥🔥
Naviona vina ila vinaukata... vibao vya weusi watoto vibao kata🤙🤙
Kkk tatizo lao hawana ufundi wa kuchezea maneno wako too direct!!
Nikki mbishi ametumia ufundi mkubwa kuliko wengine
@@hkmeme5437 really?
Duuuuuhh nyie weusi sasa mmeshindikana..hii game ya hiphop mkaifanyie marekanii.
Unyama mwingi humu ndani mpaka nashindwa kugawa marks.
#Weusi #ChamaTawala #Twawala
Kumekucha
G nako walala kauwa like zake hapa🔥🔥🔥 Nikki wapili 🔥🔥🔥 johm kini 🔥🔥🔥 weusi ✊✊✊ like za Weusi hapa
Mwanangu unyama kabisa
Umeskia majibu waliyopata?
Mm Napend Panch Kam Hiz Huu Ndo Music Tunaoupend.Komaei Umu Umu Ngumu Nyeus Ndy Tunaish Nazo.Hii Combination 🔥 🔥 🔥
Mna weza npaka nainjy
🔥🔥🔥🔥🔥 lord eyes