Ameugusa moyo wangu. Ni kiongozi aliyelelewa kwa nidhamu ya shule na nyumbani. Ni mkulima sio mtaunitauni ki hiiiivyo. BRAVO JEMBE CHALAMILA. KIONGOZI SELA MICHANO.
Very smart! Hotuba imejaa facts za eneo lake jipya la kazi na alifika kukiwa na mgogoro na alikuwa busy kusaidia kuutatua. Still ameweza kupitia na kusoma haya aliyoyaeleza kwenye hotuba. VIONGOZI/WATENDAJI "SOMENI DETAILS KWENYE FILES ILI MSIDANGANYWE NA WASAIDIZI"
Safi sana Mheshimiwa Rais wetu kwa kumleta Chalamila ni mchapa kaz natumaini ataiweza Dar. tunaomba barabara za mitaani huku Goba mziangalie Maana Mvua ikinyesha hazipitiki kabisa! Unashukuru kwa Maji tatizo limeisha so tunaomba na Barabara za mitaa mziangalie
Hongera sana Mh Chalamila kwa uwezo wako wa kueleza na kutumia takwimu bila kuangalia, pia umeweza kuwataja majina ya wasaidizi wako kwa majina bila kupepesa.
Mh Chalamila nimependa speach angalia watendaji wasikulishe Matango pori hao Huku Mbezi Makabe kaka kuna ubanaishaji hakuna Maji hakuna Rami barabara ni mbovu utengezaji wa barabara ni wa kihuni sana Njoo ujionee
Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu Binafsi kuna maisha baada ya Dunia Mungu wetu sote
Nilikuwa nasali nae hapa jimboni Mbeya wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya, Yupo good sana sana....Namuombea sana siku moja aje awe Rais wa nchi yetu....
R.I.P JPM Alikuwa Anamtambua Mtu Nyendo Zake Za Awali Kazini. GEMU KITAMBO MAGU AFU MZALENDO. ALIKUWA ANAONGOZA NCHI KAMA FAMILIA YAKE NYUMBANI. ( SOMETIMES Hakufuatilia mitaala ya Documents ALIKUWA LIVE NA NYAKATI. MFUATILIAJI PRACTICALLY. HANA UJAMAA PENYE KUKOSEA. ANASAMARE MAMBO MZUNGUKO.. NB. JEMBE CHALAMILA NAMPA VISA.
Mimi imeniuma jamani kitendo cha kumuhamisha ndugu Polepole kule MALAWI 🇲🇼 na kumpeleka Kiuba wakati Polepole alikuwa na mipango mizuri kweli kweli kati ya Tanzania 🇹🇿 na MALAWI 🇲🇼 kisha mnasema eti MAMA anapenda maendeleo sasa maendeleo yenyewe ndio haya ya kuhamisha watu wenye mikakati yenye maendeleo? hapa nataka jibu la maana la sivyo sikubali kabisaa 🙄🙄🙄😭😭😭😭
Makala uko aliko kageuka mka kabisa maana jama yupo full confidance sasa thubutu kuchoma masoko tena muone watu watakavyo charazwa viboko. Chalamila oyeeeee
Hamna kitu kizuri alichoongea Chalamila kama ku-admit makosa yaliyofanywa na kusema kuwa mpaka migogoro kukufikia umekasirika sana, hakika Kwa uongozi wangu haitojirudia... Kauli hii ni nzito na nzuri sana Kwa kiongozi wa juu wa Nchi kuisikia
Huyu ni mwamba mwalimu wetu, alikuwa akifika darasan anashusha nondo mnaandika mpaka mnachoka na hana documents yoyote, viva Albert , karibu Dar
Somo gani
@@mrcardano1203 😂😂😂😂kiswahili
Chalamila ana kipawa chake huy
Noma uyu asee
@@faidhamyovela179 cha ulevi au
Huyu jamaa anaishi maisha yake ndio maana anafanikiwa....Namkubali sana Mhe.Chalamila Albert
Ameugusa moyo wangu. Ni kiongozi aliyelelewa kwa nidhamu ya shule na nyumbani. Ni mkulima sio mtaunitauni ki hiiiivyo. BRAVO JEMBE CHALAMILA. KIONGOZI SELA MICHANO.
Chala wewe ni jembe nakwamini mno chapati kazi
kabisa unju
Sawa Wet
Hizi pesa, anatoa Mh. Raisi, au ni budget ya serikali ?
Very smart! Hotuba imejaa facts za eneo lake jipya la kazi na alifika kukiwa na mgogoro na alikuwa busy kusaidia kuutatua. Still ameweza kupitia na kusoma haya aliyoyaeleza kwenye hotuba. VIONGOZI/WATENDAJI "SOMENI DETAILS KWENYE FILES ILI MSIDANGANYWE NA WASAIDIZI"
Hongera sana Mhe. CHARAMILA umetoa jotuba nzuri.
Huyu jamaa anaakili nyingi Sana. Kaingia Jana ofisini lakini kishasika mitaa yote na miradi yote ya DSM
@@philipphanuel9558 yupo vizuri sana asee! Nimeshangaa sana 😂
Karibu sana kiongozi wetu chalamila
AAA kweli bwana mdogo umekua, mtangulize alha katika kazi!,,,, Mama Samia hoyeee, kazi iendelee.
Mwamba huyu hapa dar itanyooka🎉🎉🎉🎉
mh Chalamila Dar waooooooooo God is Great. Karibu sana Dar mheshimiwaaaaa.
Safi sana Mheshimiwa Rais wetu kwa kumleta Chalamila ni mchapa kaz natumaini ataiweza Dar. tunaomba barabara za mitaani huku Goba mziangalie Maana Mvua ikinyesha hazipitiki kabisa! Unashukuru kwa Maji tatizo limeisha so tunaomba na Barabara za mitaa mziangalie
Na huku Msumi 😢
Hongera sana Mh Chalamila kwa uwezo wako wa kueleza na kutumia takwimu bila kuangalia, pia umeweza kuwataja majina ya wasaidizi wako kwa majina bila kupepesa.
Yupo vzr
Sasa tatizo takwimu hizo haziendani na anachokisema. Ni takwimu tu za kumsifia Rais.
Anaweza Sana make hata hasomi Kama Alivyokuw JP
Big up kaka!
Tunaimani sana na we chalamila karibu sana dsm
Nampenda mkuu wa mkoa anavaibu Kama mandonga
Nimecheka
Huyu mwamba leo nimemuelewa sana. Yuko vizuri mno aisee hebu tumpe nafasi afanye kazi ninauhakika tutafanikiwa
One day tu ..Hotuba ya Mwaka mzima.. Big up RC
Namuona magufuli kwambaaali🤔🤔🤔🤔
Namuona magufuli kwambaaaali
@@wasaficlassicshoes legacy yake hii
Full.
Magufuli mtupu huyu
Mh Chalamila nimependa speach angalia watendaji wasikulishe Matango pori hao Huku Mbezi Makabe kaka kuna ubanaishaji hakuna Maji hakuna Rami barabara ni mbovu utengezaji wa barabara ni wa kihuni sana Njoo ujionee
Huyu ndo anafaaa kuwa mkuu wa mkoa Kama dar hongera raisi Samia kwa kutuletea chalamila
Apo Raisi ajakosea Dar inaitaji mchaka.mchaka wa hali ya juu ucheke kidogo uwe mkali kidogo sio ukae tu kama gundi
Mh. RC Chalamila hiyo speech ni nzuri sana, maana kwa siku mbili tu umeweza kuongea bila kusoma takwimu.Hakika, Akili yako ni Hazina kwa Taifa hili.
Chalamila ni Genius, ndan ya cku moja tu ameshaweka vitu ving kichwan, kumbe ata tukimkabidhi Nchi kwa mbelen huko anaweza.
Ni kweli
Umenena hata mm hua naona hivyo ni mtu mmoja makini sana
Umeonaee
@@husseinally5550 ni ukweli usiopingika Mungu amtunze ana kitu ktk uongozi wake
Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying
Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian
Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake
Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu Binafsi kuna maisha baada ya Dunia
Mungu wetu sote
ALIJUFUNZA KWA MAGUFULI HUYU NA HUWA ANAANGALIAGA CLIPS ZA MAGUFULI HUYU 😂😂😂😂😂😅😅😅, ILA AKIFANYIA KAZI HIYO TUTASONGA MBELE
😁Chuma Jr
Lkn yuko vzr apewe maua yake 🌹💐🥀
Ukishakua mkuu wa mkoa wa Dar wewe ndo kiongozi wa wakuu wa mikoa wote,nakukubali sana chalamila mzee wa Twanga biere,Mungu akuongoze vyema comred
Nilikuwa nasali nae hapa jimboni Mbeya wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya, Yupo good sana sana....Namuombea sana siku moja aje awe Rais wa nchi yetu....
Unaukichaaaa
Huyu mwamba namuelewa sana Mimi.
Nakuombea Kila lakheri mkuu wa mkoa wa dar .
Wote mwanangu mwenyew. YUPO KI DIZIM.
Mheshimiwa ana confidence ya kutosha 💪💪
Tena sana!!!
challamila kichwa bn kazi.siku moja anadatazote hizo
MWANZA na DSM hua zinafuatiliwa na wakuu wote wa mikoa kutafutia chaka wajanja
HUYU JAMAA NI MAGUFULI MTUPU
R.I.P JPM Alikuwa Anamtambua Mtu Nyendo Zake Za Awali Kazini. GEMU KITAMBO MAGU AFU MZALENDO. ALIKUWA ANAONGOZA NCHI KAMA FAMILIA YAKE NYUMBANI. ( SOMETIMES Hakufuatilia mitaala ya Documents ALIKUWA LIVE NA NYAKATI. MFUATILIAJI PRACTICALLY. HANA UJAMAA PENYE KUKOSEA. ANASAMARE MAMBO MZUNGUKO.. NB. JEMBE CHALAMILA NAMPA VISA.
Karibu kaka we ndo kiongozi wa mjini
Shua SURE!.
Go bro all the best
Sawa kaka karibu sana
Huyu Mama nilijua atawatumbua mawaziri wake mafisadi, lakin anajifanya kuwa acha Rip JPM
jpm anahusikaje hapo acheni uzuzu
Hebu Tutajie hao mawaziri ambao ni mafisadi na kawaacha.
Asante
Nakukubali mwamba,yaani anamwaga data kama amekaa miaka miwili😂😂😂
Full skills gentleman Chala The Hommie!
Jamaa siku ya pili tu lakini amefanya home work ya kutosha anaelewa kila kitu
Hawa ndio viongozi tunaowataka....muda mfupi keshaonyesha kujua mambo mengi kuliko alowakuta ofisini
God be with u mnyalukolo
Voice of makufuli
Karibu sana mh Chalamila Wana Dar eS salaam wanamatumaini makunwa na wewe
Sure. U had full skills hommie. ''SHOUT OUT FOR YOU HOMMIE!''. IT'S TRUE .....TUNAAMINI.
Safi sana
Mwalimu wangu hongera sana, kweli unaonesha kukua
Anaweza akaeleweka ikiwapendeza wananchi
Ma filosofa TUMESHAMUELEWA. (BINADAMU HAFUNDISHWI HURUMA).
🤣🤣tangu aombewe na mwamposa mambo ni motooo💃💃
To God be the glory
Very true
Kweli kabisa naamini hata mzaha atapunguza maana ataongozwa na Mungu
Future President
Tunasikitika Sana sisi walimu wakuu mkoa wa kagera kwa kuhamishwa kwa charamila kutoka huku alitushirikisha Sana katika kilaswala la kiutawala
Actually this man is too smart and behave, for only this few days like the one enough time.
Yeah!
Haya ndo mabaki ya mzee magu😢
NAKUKUBARI SANA MWANA. PAMOKO SANA. R.I.P JPM
kateuliwa na samia ktk nafasi hiyo siyo magu
@@popekatalango9409 hahahaha 🤣 kama huchanji huwez nielewa stay are way.
@@deonicemollel4205 😂😂😂
@@deonicemollel4205 ana wivu huyo mwache😂😂😂
Shikamoo kaka yangu ubariki
Anafaa sana kuwa waziri
Sidhani kama ataweza!
@@kambamazig02024 unaweza wewe
HATA PIA ANAFAA KUWA RAIS ,yupo vizuri
Ukiona mtu anatoa speech.bila kuandka ujue huyo nikichwa Tena jembe sana nakuunga mkono japo mm niwa geita nmekuelewa mkuu rip jpm
Sanaaaaaaaaa Tena kwa kujiamini na bila kutetemeka
Huyu baba anasomaga na kukariri ipasavo
Hongera sana Mh, Chalamila hakika unakuwa bora kila kukicha
Nice riport
Nakukubali chalamira
MHE RC CHALAMILA, SPEECH YAKO INAONYESHA SIYO TU UMEKUA MARAMBILI, BALI UMEPATA PIA AKILI KUBWA!!
TUNAKUOMBEA MKUU!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA .
Yuko nondo saana
Uko updated sana
As if Ana mwaka Dar
Karibu sana
Tank liko Tegeta lakini sisi wakazi wa Bokk National Housing hatuna maji wala barabara, *TUNAKUOMBA NASI TUANGALIE KWA JICHO LA TATU*
Very powerful speech 💪
Mwamba anapita mule mule. 👍👍
Ki bishi eenh!!.
Rock is passing there there
Kama mshamba vile ila ndo master plan
Watu wenye vipala nywele zimeanzia nyuma na kishwa kikubwa Huwa wanahakiri sana hongera mwanakwetu
Mimi huwa ninamkubali sana sana Chalamila. siku zote Mwalimu yeyote Akipewa Uongozi wa Kiserikali Hawajawahi Kufeli.
Mm natamana awe mbunge wa jimbo la iringa mjini 😂😂😂😂 ili aje kuwa waziri
Rais amemuona mtu sahihi mwenye hali ya kufanya kazi
Nichukue nafasi hii Kumpongeza Mheshimiwa Dkt Samia suluhu hassani Rais wetu wa Tanzania kwakutoa fedha za Maendeleo katika kipindi cha awamu ya sita
Leo umepiga bia ngapi dc? maana una vibe kama lote 😁💃🏽
RC siyo DC
Dc ni mkuu wa Wilaya
RC ni mkuu wa Mkoa
@@gooddeeds162 ok boss nimechapia kidogo
hongera mama kwa kuwa mama unafanya uteuz bora hii itfany kizid kudum chama cha mapinduz kila la kher mama
Kaja juzi keshaongea vitu vya mwaka huu 😂😂😂aendage tu yule msilencer
Tantalila nyingi yule. HANA HAIBA YA UONGOZI. FOR SURE.
Asomi anavitoa kichwani
Kwani Mh Makala alikosea wapi? Mbona naona alikuwa mfanyakazi mzuri tu
Piga kazi Mh chalamila
Mimi imeniuma jamani kitendo cha kumuhamisha ndugu Polepole kule MALAWI 🇲🇼 na kumpeleka Kiuba wakati Polepole alikuwa na mipango mizuri kweli kweli kati ya Tanzania 🇹🇿 na MALAWI 🇲🇼 kisha mnasema eti MAMA anapenda maendeleo sasa maendeleo yenyewe ndio haya ya kuhamisha watu wenye mikakati yenye maendeleo? hapa nataka jibu la maana la sivyo sikubali kabisaa 🙄🙄🙄😭😭😭😭
ukubali nn sasa ?
Kiuba ndo nn😂
Kwani Malawi alipelekwa na nani iwe nongwa kumuondoa?
Acha kasumba za kitoto na kutaka support za kuendeleza mjadala usio na tija kwa Taifa.
Tusamehe kaka hhahahaha
@@mkadammkadam alipelekwa na MaMa YeNu mpumbavu wee
Makala uko aliko kageuka mka kabisa maana jama yupo full confidance sasa thubutu kuchoma masoko tena muone watu watakavyo charazwa viboko. Chalamila oyeeeee
Oyooooo!!
Oyooooo!!.
Makoka na king'ong'o zimefikiwa🔥🔥🔥
Ana umagu ndani
Kwa kuwa na uwezo wa kutoa speech bila kalatasi
Mwamba Ana uwezo mkubwaa mno na msikivu mwelevu
Vichwa vyake babuuu. R.I.P JPM.
@@machota_ Mtoto wa Kitaa. Anaishi ki kitaa. MJANJA
CHALAMILA ni mtumishi mzuri atalisaidia jiji
Swagger Leader Man Chala.
Watanzania wanakipaji cha kutoa pongezi, huamini hilo? Fuatana nami kusoma sms zifuatazo
KARIBU DAR KAKA CHALAMILA.
UKIPATA MUDA TEMBELEA MASOKO YETU TUNAKONUNUA CHAKULA HASA KIPINDI CHA MVUA UTAFURAHI.
DAR OYEE
Namuona Magufuli kwa mbali anarudi Tena kupitia kwa Mh Chalamila
Mwamba ni conscious sana Mm nikajua nimzee wa Wana kunywa 🍻😃😃😂😂
Mzee wa imfindi yetu nyimbo zang za wilaya yetu n tamu sanaa
Chalamira, muombe Raisi avuke aje Kibaha, hususani Kata ya Pangani, kuna WANANCHI wana hamu ya kubadilishana mawazo nae.
Tanzania kazi kwelikweli
Albert chalamila uñajua sana mh
karibu sana mkuu wa mkoa
Kazi iendelee
SIO MUHESHIMIWA RAISI UMETOA PESA NYINGI' NI MUHESHIMIWA RAISI SERIKALI YAKO IMETOA PESA NYINGI
Hamna kitu kizuri alichoongea Chalamila kama ku-admit makosa yaliyofanywa na kusema kuwa mpaka migogoro kukufikia umekasirika sana, hakika Kwa uongozi wangu haitojirudia... Kauli hii ni nzito na nzuri sana Kwa kiongozi wa juu wa Nchi kuisikia
Safi ,
Huyu ndo huend rais wetuu wa mbelen 2030
Mwamba uyu apa nakukubari chalamila
Huyu mwamba nina mkubali sanaa
Nampenda sana huyu mkuu wa Mkoa
Kweli amekuwa
Amejenga wapi?????
Hi
Ufanya sana ndugu kuwa hata waziri
MashaAllah
Mtamkoma akiwa raisi
Another magufuli....amezaliwa