MKASA MAUZINDE BABA AFUNGUKA YA MOYONI MWANANGU PIA NI SHOGA INANIUMA SANA NISAIDIENI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 197

  • @yunushaji5327
    @yunushaji5327 Місяць тому

    SI kweli. Mimi babake Mauzinde ni class mate wangu. Nimesoma nae Nga'mbo School(Rahaleo) Tukaingia Hamamni Secondary school 1974 yuko Form One

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 5 місяців тому +2

    Mungu mkubwa hakuna kubwa kwa mungu mungu amuongoe ampe mwisho mwema

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 7 місяців тому +1

    Inshaalla Allah atakujaalia uwe namtto msenge kumanina zenu siunaomba basi utapata subiri kidogo tu Ila sio tusotaka Allah atunusuru kuwa na watto km hao

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 7 місяців тому +1

    Kama umegundua ni BABA WA MCHONGO .WEKA LIKE TWENDE SAWA📌

  • @MarryKimaro-m9k
    @MarryKimaro-m9k 5 місяців тому +1

    Pole Sana baba

  • @jacklinefussy5227
    @jacklinefussy5227 8 місяців тому +12

    Mungu alinde kizaz changu pia amsaidie uyo kijana😢

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 7 місяців тому

      sio tamaa ya pesa ni trained behaviour inayofanywa na wazungu kwa siri tunatakiwa amka tupinge ushoga kwa nguvu zetu zote vinginevyo si mda tuanaangamia

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 7 місяців тому

    Baba zidisha maombia mungu atamuongoza usikatea tamaa mungu nimkubwa kweli yaumaa

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky Місяць тому

    Mama ake mzazi mauzinde anasema watoto wake wako wa 5 huyu mgosi anasema mtoto mmoja tu

  • @MwantumuJuma-sp5rk
    @MwantumuJuma-sp5rk 7 місяців тому

    Mungu amuepushie huy kijana

  • @officialfadhilomar5249
    @officialfadhilomar5249 8 місяців тому +13

    😂😂😂mbona baba km msambaa
    Wanangu huyu baba mmemtengeneza.....bila D mbili huez elewa

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 7 місяців тому

      😂😂😂 ausio baba wa mchongo

    • @sajdahsalum267
      @sajdahsalum267 7 місяців тому

      Aweeeeee😂 sio kwel

    • @sajdahsalum267
      @sajdahsalum267 7 місяців тому

      Ni kweli ni msambaaa😂😂😂😂

    • @HusseinKhoja-e1y
      @HusseinKhoja-e1y 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂

    • @LidyaUlotu
      @LidyaUlotu 3 місяці тому

      Alafu kajichanganya eti ana miaka 25 ata 30😅😂 ndio nn sasa 😅

  • @RiamiAli-dv5cl
    @RiamiAli-dv5cl 8 місяців тому +3

    Bila D huwezi kuelwa kw baba wa mau 😂😂😂😂😂

  • @christinashaban7262
    @christinashaban7262 6 місяців тому

    Zee jinga na anaekuhoji pia jinga kubwa

  • @Fahadsaid-q6i
    @Fahadsaid-q6i 8 місяців тому +1

    Sema nn ww mzee mm nakujua muuza kahawa tabata msimbazi wa huna mtoto acha njaa huu ni uongo

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 місяців тому +2

    Huyo baba mwenyewe naona km hao anaowasema😂😂😂

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 8 місяців тому +1

    😂😂😂mzee anaongea aibu anaona yeye anataman kujicheka uwongo wake

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 6 місяців тому +1

    Hizi media za kibongo hazina habar za maana, utaskia diamond kajamba, sjui wema sepetu kaoga, alikiba kahara, yani mnashindwa kuwa hoji Wananchi wenye matatizo, kazi kubwa kutafuta viewers na pesa ya youtube

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 8 місяців тому +17

    Nanimkafika chuo sasa.mauzinde we.mzee.umenunuliwa eheee mauzinde mzanzbar ww mmakonde.sijui msambaa alafu hata ujapatia kuact ujui hata umri wa mwanao hizi media hiz mshofeli

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 місяців тому +1

      Kapangwa huyu msambaa

    • @YussufPandu-es7ou
      @YussufPandu-es7ou 8 місяців тому

      Sasa huyu si babaake mauzinde ,,,,nyinyi media watu wa ajabu

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 8 місяців тому

      Kweli c bbke huyu

    • @JumaSalum-c9z
      @JumaSalum-c9z 7 місяців тому

      Sikilizeni vizuri huyu ni msambaa ila ameulizwa kunamtu amekawa masikio znz ndio akajibu auuuuuuu

    • @mwanaharusmohd3732
      @mwanaharusmohd3732 7 місяців тому

      Mzee wa kisambaa umekosa kazi Nini, muongo mkubwa we Mzee, katafute kazi

  • @davidbandajr3444
    @davidbandajr3444 8 місяців тому +3

    Yesu Ndiye awezae kutuokoa

    • @MohamedIbrahim-bn1gz
      @MohamedIbrahim-bn1gz 8 місяців тому

      tunangojea

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 8 місяців тому

      ​@@MohamedIbrahim-bn1gz wee endelea kumngojea mtume YESU hakuhusu 😏😏😏

    • @BrunoNamanga
      @BrunoNamanga 8 місяців тому

      Hali ni mbaya huko Makabisani ogopa sana

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 8 місяців тому

      @@BrunoNamanga kwani kaongelea habali zaka nisa au YESU

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 6 місяців тому

    Wala hainogi anaweza akawa baba yk sio hoja wamakonde Zanzibar wamejaa mpk kuzaa huko huko wamezaa mbona mpk wamekuwa wenyeji na wamachinga

  • @KhamisMnemale
    @KhamisMnemale 7 місяців тому

    Ila hizi kiki nyengine hovyoo kabisa Mau Zinde si mpemba mbona huyu kama mnyasa🤣

  • @lizzybrownlizzy6094
    @lizzybrownlizzy6094 8 місяців тому +2

    we mtangazaji kuma sana, mm ni jirani wa babake mau zinde anaishi kianga unguja

    • @hatimmohamed4299
      @hatimmohamed4299 7 місяців тому +1

      Kweli bwege sana huyu, sie baba yake huyu, halafu mauzinde hajazaliwa peke yake kwao, wacheni kutafuta viewers.
      Habari Jamii waongo

    • @yunushaji5327
      @yunushaji5327 7 місяців тому

      Kweli yupo Kianga. Alikuwa anauza hapo sokoni Kwa Haji- Tumbo. Babake Mi class mate wangu. Anaitwa Hussein Abdalla. Na Babu yake alikuwa anakaanga Samaki.

    • @husseinshenkawa7484
      @husseinshenkawa7484 7 місяців тому

      Ácha uongo babu mauzinde Anakaa raha leo

    • @fatmasaid6660
      @fatmasaid6660 5 місяців тому

      Astaghfirullah acheni uongoo kama mna hamu wa kupata mtoto kama mau mtampataaa lkn huyu sio baba mau hata kidogo

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 3 місяці тому

    Mzee,kulingana na muonekano wako,wew ni maskini,
    Pili
    Kulingana na kujielezea kwako kunaonekana ulijelewa kusoma wala ajira au ujira hauna.
    Tafuteni mbinu ya kutambulika kapisa
    Hii ni Kiki, Kiki
    Kama ya yule kijana alikuwa anaitwa Zain wa miaka 27 aliyefunga ndoa na bibi mzee miaka 66

  • @salassalas-eo6vo
    @salassalas-eo6vo 7 місяців тому +1

    Uongo mbaya mtaadhibiwa kwa Allah baba ake anjulikana zanzibar na si mtu wa mitandao na wapo watatu wamezaliwa muogope Allah

    • @MikidadiSalim-xk9dc
      @MikidadiSalim-xk9dc 7 місяців тому

      Umekisoma uzuri kichwa cha Habari hamjaambiwa kwamba huyo ni baba yake mauzinde umeambiwa kwamba na huyo mzee nae anamtoto shoga kama mauzinde rudieni kusoma kichwa cha Habari..vzr..

  • @MsJabalkiss
    @MsJabalkiss 7 місяців тому +2

    Hichi sio kiswahili cha kwetu zanzibar huyu wa mchongo wala mavazi hayo hatuvai kama jinga😂😂😂

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 7 місяців тому

    Kwanza mtuzima haitwi muonga sna kitendo cha kusema ana mtoto moja tu ni uwongo mkubwa haon hata aibu ukimuangalia macho tu unaona huyu mzee sie😂😂😂😂

  • @rashidseif-i3b
    @rashidseif-i3b 5 місяців тому

    Mzee vp lkn nyuma hukuwahi kuchimba mitaro na ww

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky Місяць тому

    Lafdh ya kibara hii inakujaje na baba ake mzanzibari

  • @salmakibwana3367
    @salmakibwana3367 7 місяців тому

    Sio mwanao mauzinde acha kutafuta kiki 😂😂😂

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 8 місяців тому

    Lisemwalo lipo hamjasikia mwkiembe uchunguz,wk,hd kapeleka Bungeni,n hk shuleni,huyo Mzee anaongea kweli,

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 8 місяців тому

    😂😂😂😂yan huyo baba daa nishida

  • @IssaJuma-rk5qb
    @IssaJuma-rk5qb 3 місяці тому

    Huyu mzee muingo mshenz

  • @Freeedom-e4h
    @Freeedom-e4h 7 місяців тому +1

    Mtanganyika kashiba mihogo

  • @adievega1933
    @adievega1933 7 місяців тому

    Huyu sio bab wa kutunga kweli

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 7 місяців тому

    We mzee huoni vibaya kusema uwongo

  • @EliaMichael-u7s
    @EliaMichael-u7s 7 місяців тому

    Its pain

  • @Burange666
    @Burange666 4 місяці тому +1

    Wewe siyo mwanao huyo, wewe mwanao ni Harmonize yule mwimbaji mmachinga mwenzako

  • @tatoo0098
    @tatoo0098 8 місяців тому

    Huyu sio babaake mau bwana 😢niwaongo 😮

  • @adievega1933
    @adievega1933 7 місяців тому

    Mbona kama uongo 😂😂😂 kutia aibu kweli anatia ila sio baba wa ukweli

  • @hajiame583
    @hajiame583 5 місяців тому

    lakin mauzinde hajazaliwa peke ake yupo na dada zake pia

  • @pataniabdallah9578
    @pataniabdallah9578 8 місяців тому +1

    Mgosi iweee💃💃💃😂😂😂😂

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 місяців тому

    Eti mwandishj wa habari hapo utanisaidia vipi??2

  • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
    @USACAUDIOVISUALMATERIALS 7 місяців тому

    MAUZINDE NA MSAMBAA WAPI NA WAPI? HAMJUI HATA KUDANGANYA. HALAFU MZEE ANAONGEA HAWEZI HATA KUIGIZA HUZUNI😂😂😂😂😂

  • @Umearhassan-x4t
    @Umearhassan-x4t 8 місяців тому +1

    Acheni ujinga huo
    Musichafue Media kwa habari za uongo.....vijana wa bongo acheni kuigiza ujinga

    • @salhkasmm558
      @salhkasmm558 7 місяців тому

      Hamjamfahamu huyu baba anataka ushauri wamwanawe yupo kama mau.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 7 місяців тому +2

    Hizo ndio Media za Tanganyika wakipewa pesa kidogo tu wanamchafua mtu yaani habari za maana hawana wao ni Ungese tu..

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 8 місяців тому +2

    Acheni upumbavu nyinyi kumbe nyinyi.midia wapuuzu kuputiliza hutu sio baba wala jamaa wa mauzinde na mau wapo watatu kwao baba mmoja mama mmoja au zaid

    • @HABARIJAMIIDIGITAL
      @HABARIJAMIIDIGITAL  8 місяців тому +1

      Sasa wewe aliyekuambia huyo ni baba wa mauzinde nani,tatizo hujasikiliza interview mpka mwisho unaanza kulalamika

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 7 місяців тому

    Hizi media nyingne za kisenge sana baba mtu anaonge kinyamwezi huyo shoga anaedai mwanawe ni mzanzibar .achani kutumalizia bando zetu uwongo2 huyu mzee amepangwa

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂huy bba wamchngo

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 8 місяців тому

    Msaada omba kwa ALLAH mjinga ww

  • @pataniabdallah9578
    @pataniabdallah9578 8 місяців тому +2

    Mzee msambaaa wa mtae😂😂😂😂😂

  • @Shamun-u9r
    @Shamun-u9r 6 місяців тому

    Wewe baba auko siliadhi mbona

  • @NahirSaid-wj6ux
    @NahirSaid-wj6ux 8 місяців тому +4

    Muongo sie baba mauzinde anao ndugu, halafu baba yake ni shekh.

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 7 місяців тому

    Huyu baba mwenyewe anaonekana mhusika mkuu wa kuharibika kwa kijana

  • @maxneemanngunda4911
    @maxneemanngunda4911 8 місяців тому +2

    Nilkuaga nime subscribe hii media lkn naomba niwablock, mana kila siku habar za kisengesenge ndo mnaona vya maana

    • @MTANGACOMEDYTZ
      @MTANGACOMEDYTZ 8 місяців тому

      We nae acha usenge wako hapa kama unataka taharifa za vifo si uende tbc huko

  • @GfgGgg-sc2uy
    @GfgGgg-sc2uy 8 місяців тому

    wewe Babu muongo huyu simwanao mtangazaji wewe mpuuzi mauzinde Hana mama huyu Babu ana cheke😂😂😂

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 8 місяців тому

    Accent ya kibongo, Nadhani hawa ni Wazanzibari kama alivyo Khadija kopa na mwanae Zuchu

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 7 місяців тому

    Unataka kufirwa tu na wewe kumanina😂😂

  • @jasmintanga2474
    @jasmintanga2474 7 місяців тому +4

    Mwanzo na mwisho leo kuangalia habari jamii hua hamjui tu kama mnajiharibia wenyew media zenu hivi leo ukituma uongo kama huu mtu akaona kabisa kwamba mnaongopa ili tu watu waangalie unafikiri siku nyingine mtu akiiona hii media ataangalia tena hata km habar za ukweli? Acheni tamaa postin vitu halisia kama rizki mtapata tu

  • @stonetown578
    @stonetown578 8 місяців тому

    Mpumbavu wa maisha njaa itakuuwa.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 8 місяців тому

    MZEE SUBILI MATUSI YA NGUONI NA KUPANGWA KUPEWA PESA KIDOGO UTAJUTA MATUSI UTAKAYOPOKEA 😂😂😂

  • @fatmahassan7467
    @fatmahassan7467 6 місяців тому +2

    Jamani yeye hajasema baba yake mauzinde, yeye mtoto wake ni mwengne, sema waandishi ndo wameandka kuvuta watu

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 5 місяців тому

      SAHIHI kabisa sijjibwatubwanakasirika KITU gani wakati HUYU bro kajitoa kuongea HADHARANI Ila Kuna Familia nyingi zinaumia kwa hii kadhia

  • @yunushaji5327
    @yunushaji5327 Місяць тому

    Na Baba yake Anaitwa Hussein Abdallah

  • @NuruBakari-w7l
    @NuruBakari-w7l 7 місяців тому +1

    Baba wa mchongo hata umri WA mtoto wake haujui vizuri heti ana miaka kama ishirinatano thelathini hivi na hata UCHUNGU Hana ana chekacheka mmmmm njaa kali

  • @kilungumsabaha3891
    @kilungumsabaha3891 8 місяців тому +2

    Liongo hili libaba😂

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 7 місяців тому

    MBONA KM UNAONGEA HUNA UCHUNGU KM UNACHEKA BALADA YA KULIAA!!😢

  • @DikuMussa
    @DikuMussa 7 місяців тому

    Copy 😂😂😂😂nimecheka oshieee

  • @muhammadjuma8457
    @muhammadjuma8457 8 місяців тому

    IYO TV YENU HAINA MAANA ATA KIDO YA KUFUNGIWA KABISA KUANZIA LEO TV SIIKUBALI TENA

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 8 місяців тому +3

    Shemahonge wee msambaa bwana matamshi mkaza mwana

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 6 місяців тому

    Mm nataka akuchambe wewe mzee mpaka ukome.juzi alikua na dua ya babaake. Hanaelimu kubwa mauzinde, tena umuache mama wa watu, siomkeo.

  • @adamjonasi8078
    @adamjonasi8078 8 місяців тому

    Sijui mnapata faida gani kuleta content za uongo, tutaanza kuwaripoti sasa

  • @HaroubAbdallah
    @HaroubAbdallah 8 місяців тому

    Hahaha, huu mtihani kwanini sasa anafanya ivi nayeye mtu mzima

  • @MuhammedAbdullaHassan
    @MuhammedAbdullaHassan 7 місяців тому

    Kitu kinacho sababisha ni utandawazi vitu vya kuleta hisia ni vingi na waziwazi watoto wanaona na kuiga

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 7 місяців тому

    Baba wa mchongo 😂😂😂

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 5 місяців тому +1

    MTOTO WAKE SIO MAUZINDE SIKILIZENI VIZURI

  • @ZuberSalum-mq4jy
    @ZuberSalum-mq4jy 8 місяців тому

    Wasenge wachen ujinga tunapotezana msaada akamfile mwenyewe au fila neni nyie wawili ili mjue nn kinampoteza

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 8 місяців тому

    Mau ni MVP wa mashoga wa TZ

  • @LatifaTwaha-nm3tg
    @LatifaTwaha-nm3tg 7 місяців тому

    Mshmba sanaaaaa hata kuvaaa hajui

  • @sophiaomary-q2d
    @sophiaomary-q2d 5 місяців тому

    Uyu kapangwa tuuu aongee siangalii tena hii stesheni

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 8 місяців тому

    Sidhani kama ungekuwa mwanao kama ungeweza kuwa hapo dhahir

  • @keemome158
    @keemome158 7 місяців тому

    mnatudanganya

  • @AshfaynaAli
    @AshfaynaAli 7 місяців тому

    Haach Tena uyo ashanogewa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 місяців тому

    Sio baba mauzinde ana ndugu wengi na dada anayo

    • @salhkasmm558
      @salhkasmm558 7 місяців тому

      Mau ni mfano wa mwanawe anaombaushauri Mumbai mumsaidie amfanye nini

  • @aminasoud7797
    @aminasoud7797 8 місяців тому +1

    Acheni uongo sio baba ake

  • @mteulemnyama7858
    @mteulemnyama7858 2 місяці тому

    Huo usenge... huyo siyo baba ake

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 місяців тому +1

    Huyo mauzinde kafika chuo 😂

  • @jenipherelias4838
    @jenipherelias4838 8 місяців тому +4

    Acha uongo mzee sio mwanao njaa itakuua

    • @salhkasmm558
      @salhkasmm558 7 місяців тому

      Yy anasemea mwanawe sio mauzinde

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 8 місяців тому

    Hakuna mzazi mwenye akili timamu awezae kufanya huu ujinga kwa waandishi wa habari la sivyo nayeye anapakuliwa

  • @MwigaAdam
    @MwigaAdam 7 місяців тому +1

    Si baba wa Mauzinde sie kabisa huyu ni mtu kutoka bara matamshi tu

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 7 місяців тому

    Waongo kabisa huyo sio babaake kabisa jamani mnachuma dhambi

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 7 місяців тому

    Sie baba ake mauzinde ovyoooo

  • @AzaniKhamis-r3b
    @AzaniKhamis-r3b 7 місяців тому

    Wewe Mzee ni mshenzi TU pamoja na hiyo channel inayokuhoji washenzi wiote wawili

  • @AshuraHassan-w3s
    @AshuraHassan-w3s 8 місяців тому +8

    Uyo sio baba ake mauzinde

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 8 місяців тому +1

      Ni kweli huyu si baba mauzinde hana lafudhi hata moja ya kinzanibar na mau mara ya mwisho kasema ana 30 na mau ana sister zake

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 8 місяців тому

      Yuko kama mzaramo au mmakonde sio babake 😅😅😅😅😂😂😂

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 8 місяців тому

    Bado nalijadili hilo koti la mmiliki wa magali Halafu huyu baba nae upinde

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 8 місяців тому +1

    Kijana Wako anataka matibabu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 7 місяців тому

    Sasa huyu nimzazi kweli am ni punguwan san jinga san wallah huyu ni mtuy wa unguja kweli hata ongea yake ya bara duuh

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 6 місяців тому

    Kwanza huyo mauzinde babaake kasema amefariki sasa wewe uetokea wapi tena? Na mauzinde kashawahi kuoa kamuacha wewe baba tuambie ukweli,karibuni tu alikua anagombea urithi wa babaake. Mpaka akafukuzwa na dadazake ndani ya nyumba.kah ww baba

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 5 місяців тому

      Kwani nyie hamjaelewa au vichwa vyenu vibovu!?yeye hapo anamuongelea mtoto wake sio huyo mauvimbe!

  • @mbaroukally8655
    @mbaroukally8655 8 місяців тому +1

    Huyo so baake,si ni mtwana mmemuokota wapi

  • @rastapeace9616
    @rastapeace9616 8 місяців тому

    Huyu baba yake wa mchongo na yeye naona Kama shoga mwenzake duuh anataka kiki

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 7 місяців тому

    Mh pesa mbaya mpaka mtu mzima anakuwa msanii kama hivi taii. Koti tajiri msambaaaaa

  • @duskodalla7117
    @duskodalla7117 6 місяців тому

    Sio baba yake mauzinde

  • @muhammadjuma8457
    @muhammadjuma8457 8 місяців тому

    ACHENI UJINGA UWO KWANZA MAUZINDE BABYAKE SIO
    MTANGANYIKA ICHO
    CHOMBO CHENU CHA HABARI KINASTAHIKI KUFUNGIWA