Wazanzibari watoa wimbo mkali kuikaribisha ACT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 42

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 роки тому +4

    CCM hovyo kabisa Wazanzibar na Wapemba hadi leo Wakimbizi.

  • @mansourrukaka3061
    @mansourrukaka3061 4 роки тому +5

    the best politician ever meant is zitto i like him

  • @simonfredrick7789
    @simonfredrick7789 4 роки тому +4

    Act wazalendo ndooo habar ya mjin

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 4 роки тому +3

    Maalim kipenz cha wazanbar

  • @ima_tamymy3972
    @ima_tamymy3972 5 років тому +6

    Mambo ni 🔥 💜💜

  • @actwazalendo2784
    @actwazalendo2784 5 років тому +4

    CCM MUNGU awalaani wamewasababishia wazanzibar umaskini

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 3 роки тому +1

    🙋‍♀🙋‍♀🙋‍♀💜💜💜💜💜💜act

  • @sultansaid501
    @sultansaid501 4 роки тому +2

    Tutashinda kwalazima mwaka huu maali seif ataingia ikulu kwalazima yeye ndio rais wa Zanzibar

  • @fatmahamed3285
    @fatmahamed3285 5 років тому +6

    Uwii hd raha

    • @salumali6658
      @salumali6658 5 років тому +1

      Zanzibar is beauty country

    • @fatmarashid0005
      @fatmarashid0005 5 років тому +1

      Mm ccm ila namkubali sana maalim

    • @salumali6658
      @salumali6658 5 років тому +1

      @@fatmarashid0005 kwa nini umkubali maalim

    • @fatmarashid0005
      @fatmarashid0005 5 років тому +1

      @@salumali6658 namkubali coz naona anamaneno ya hekma busara kubwa sana piya mtaratibu katika mambo yake tunatakiwa katika maisha hata tukimchukiya mtu tumchukiye kwa mabaya yake siyo mazuri yake tutakuwa tunakoseya hizo sifa nilozitaja huyu mtu anazo kwa nn ukweli tusiuseme

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +2

    Hapana chezeya ACT ndo chaguo la wa nzn

  • @user-xx1uw7sk9j
    @user-xx1uw7sk9j 3 роки тому +1

    👌🤲🤲🤲🤲

  • @a.856
    @a.856 5 років тому +3

    💜💜💜

  • @fatimakhalifa144
    @fatimakhalifa144 5 років тому +2

    mupo sawa

  • @mhe643
    @mhe643 5 років тому +3

    Haya twende

  • @lukamtweve2631
    @lukamtweve2631 5 років тому +3

    twendetwende

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 місяці тому

    😥😥😥

  • @adammwaihojo1671
    @adammwaihojo1671 3 роки тому +1

    Hivi ni kweli wazanzibar hawaitaki CCM?

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 роки тому +1

      Ndioo .Wanaoitaka ni wale wanaoangalia Maslahi yao pke yao .wanapata pesa ya kula alafu wenginr wanatesekaa

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 5 років тому +1

    mhuuuu

  • @michaelyobose316
    @michaelyobose316 5 років тому +3

    💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 3 роки тому

    Tunataka Dunia nzima itambue kuwa Tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi ni wateule wa Rais Magufuli ambaye alikuwa madarakani wakati Kampeni kuanza. Lazima awatumie wateule hawa kumdhoofisha Lissu na CHADEMA kwa ujumla katika uchaguzi huu ujao wa tarehe 28/10/2020 baada ya kuona anao wafuasi wengi sana. Dunia nzima sasa hivi inajua CCM inaogopa sana kutolewa madarakani na CHADEMA hivyo wameweka watu kila kona kuhakikisha wanapata ukweli na ushahidi wa kutosha endapo CHADEMA na Lissu ataishitaki CCM, Tume ya uchaguzi, na Polisi kwenye Mahakama za Afrika mashariki, Afrika na ICJ. Viongozi wengi wa CCM, Tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi wataingia matatani na kwa vyovyote itawagharimu. Hakuna mpinzani Duniani anayekuwa na mapenzi na Serekali dhalimu iliyopo madarakani. Wengi mumeona mdahalo wa Marekani uliomhusu Biden na Truph. Ulikuwa ni ugomvi mkubwa tena tunaomba usitokee mdahalo kama huo Tanzania ndio utadhihirishia Watanzania kuwa kumbe viongozi wengine wapo tu kwa neema ya MUNGU. Lissu ni mgombea bora sana kuliko wagombea wote akiwepo Magufuli. Haiwezekani kuzuia hisia za Watanzania hata kama Magufuli, Tume ya uchaguzi na Polisi watatumia washawasha, na virungu. Tatizo analolijua Magufuli ni kuwa amewanyanyasa sana Wafanyakazi wa Serekali wakiwemo hao Polisi wenyewe kwenye mishahara yao. Hawaongezei mishahara huku ile wanayopata ikikatwa kodi kubwa sana. Amewanyanyasa sana Wafanya biashara kwenye kodi. Amewanyanyasa sana Wafugaji kwenye mauzo ya mifugo yao. Amewanyanyasa sana Wakulima kwenye mauzo ya mazao yao na maeneo yao ya mashamba. Amewanyanyasa sana Wanachuo kwenye mikopo ya elimu ya juu ambao wengine hawapewi kabisa kwa visingizio hovyo habisa. Amewafilisi wafanya biashara waliotafuta fedha kwa juhudi zao binafsi. Wako wafanya biashara hadi leo hii wanakamatwa na kulazimishwa kutoa fedha kutoka kwenye account zao za Bank na wengine wako mahabusu. Wako wafanya biashara wamefariki kwa kufilisiwa na kuacha familia zao kwenye majonzi na mateso makubwa sana. Lissu kipindi hiki cha mapumziko ya siku 7 atakitumia kwa kujulisha jumuiya za kimataifa maovu yote ya CCM, Tume ya uchaguzi na Polisi kwa sababu maelezo yao ni ya Kisiasa sana.

  • @abusaeed9037
    @abusaeed9037 4 роки тому

    Muongo wa jangombe usiurambe mwiko usitukane wakunga na uzazi ungaliko

  • @abdulkhamis6692
    @abdulkhamis6692 3 роки тому

    yny f I'm l
    L

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 роки тому +2

    Wakimkamata maalim wana nchi tusikubali tumtetee iliapate kututetea nchin Zanzibar

    • @fatmazubeir2257
      @fatmazubeir2257 3 роки тому

      Wapii Act imekushindeni cuf mpaka mkagawanyika mtaweza Act naona inawatapa roho tu alikua waziri na hana alichofanya ataweza urais muulizeni alipokua waziri kafanya nn ndipo mutake kupambana hamujitambui nyote anawadanganya mnadanganyika na nyie

    • @jumasharif7146
      @jumasharif7146 3 роки тому

      Mwaka huu watatukoma ccm, mana kura zote tutampa maalim sefu sharifu hamadi kwa kimbunga mwaka huu.

  • @allykigatta3239
    @allykigatta3239 5 років тому

    PUMBAVU KWELI HAWA...SASA HAWA NI WAZANZIBARI AU NI WANACHAMA WAPYA WA ATC WAZALENDO UPANDE WA UNGUJA........USENGE MTUPUUUUUUUUUU

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 5 років тому

      Kwan wachin hao au wazung

    • @khatibhijja3958
      @khatibhijja3958 5 років тому

      @@fatmahamed3285 kunawatu wanavichwa vigum humu

    • @bakarihamisi5638
      @bakarihamisi5638 4 роки тому

      Ally Kigatta kaka achatuu sisi tutakapo pata nchi ndio tytakapo julikana kuwa hata sisi wa Pemba au huku Pemba nako ni Zanzibar Pemba

    • @allyjuma107
      @allyjuma107 4 роки тому

      Wewe ni wajina wangu ss wakina ally niwastaarabu sana nijina lawatu wanao aminika sana acha matusi ya hadharani siasa nimchezo tu na nimaiaha yawatu but so sorry