Huu ndio ukweli kilichotokea Kwale na Shumba Mjini - 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Kufuatia taarifa za mapigano baina ya wafuasi wa CCM wa kijiji cha Kwale na wafuasi wa ACT Wazalendo wa kijiji cha Shumba Mjini, wilaya ya Micheweni, kisiwani Pemba, ambayo yalipelekea watu kadhaa kujeruhiwa na kisha kuvamiwa kwa kijiji cha Shumba Mjini pekee na vyombo vya ulinzi na usalama, vilivyopiga mabomu, kuvunja majumba ya watu, kuchukuwa mali na fedha pamoja na kuwapiga na kuwakamata watu kadhaa, jioni ya saa 11:00 leo hii Jumapili ya tarehe 18 Oktoba 2020, Weyani TV imetembelea kijiji hicho kujionea hali ilivyo, ambapo imeshuhudia mitaa ikiwa mitupu na wanaume wengi wakiwa wamehama majumba yao kukimbilia maeneo mengine. Huu ndio ukweli wa tukio lenyewe kama linavyosimuliwa na mama ambaye ameomba asioneshwe sura yake.

КОМЕНТАРІ • 229

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому

    Nawapongeza weyani mnatowa khabari kwa uzuri nawasifu sana kwa kazi nzuri

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому

    Mashallahu pemba kuzuri safiiiii kuliko zanzibar

  • @tumtumkhan3115
    @tumtumkhan3115 4 роки тому

    Aslm alkm. Jamani sielewi nimesoma comment lakini bado sijaelewa vizuri. Nawapa pole lakini

  • @fauzafauza1873
    @fauzafauza1873 4 роки тому

    Allah atawasimamia inshaallah hakuna lenye na mwanzo likakosa kuwa na mwisho akhera waache wajisahau akhera sio mbali

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 роки тому

    mtihani kweli kweli mi nqumia lkn hii lugha nimejikuta nacheka mtihani, Allah atupe shifaa wa zanzibar.

  • @anabankhamis7951
    @anabankhamis7951 4 роки тому

    Allah atufanyie wepes huunimtihani Allah bariklana

  • @Khilafah120
    @Khilafah120 4 роки тому

    Hio ndio serikali za kidhulma ya kidemocrasia ilivyo haijali maisha ya raia wake wala na kikubwa zaidi n kuwadhulumu wananchi wake Ya rabb ucku wa madhal umekuarefu tupe nusra/khilafa kwa rehma zako yarabb. Poleni sana ikhwan wa pemba shumba mjini na micheweni Allah atawahifathi

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +2

    Poleni Sana,

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 роки тому

    Polen sana . Mwenyez Mungu akufanyie wepes ,yataisha tui hayo

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 4 роки тому

    Kwanza hao wanafiq wa kwale ni iwe marufuku kwa wari wasivuke wametuzoea sana wana vita na cc washumba tokea jadi na haswa wakisaport wauaji ccm

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 4 роки тому

    Haya polen jamaa zangu.ndio ulimwengu

  • @ashurakirashwa2948
    @ashurakirashwa2948 4 роки тому

    nasheka kma mazuri vile mama aogopa kupigwa mti

    • @mzuvendi
      @mzuvendi 4 роки тому

      Ungecheka zaidi kama ni mama yako kapigwa miti?

  • @samiyomar8327
    @samiyomar8327 4 роки тому

    Ccm daima mnapenda funjo wapizani

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 4 роки тому +13

    Hii kua vikosi vya ulinzi kuiba ktk majumba ya wanyonge sijui itaishia lini ? Nahisi wanapenda kuvamia sehemu ili wapate kuiba

    • @starito7787
      @starito7787 4 роки тому +1

      Wao wenyewe wanyonge hawawezi kuacha kuiba, ila mbwa hawa nao tunao mitaani uvumilivu ukitushinda patakua hapatoshi wajue ivo.

    • @MohamedMohamed-fg1kh
      @MohamedMohamed-fg1kh 4 роки тому

      Na kubaka

    • @arafahassan5257
      @arafahassan5257 4 роки тому

      Subhanallah poleni sana hakika kilio chenu allah anakisikia

    • @amnehajji3460
      @amnehajji3460 4 роки тому

      Uyu mama cjamuelewa kbsa luga kaongea sana kikwao

    • @amnehajji3460
      @amnehajji3460 4 роки тому

      @@starito7787 mi nahic wakat umefka

  • @mataraliy9100
    @mataraliy9100 4 роки тому

    What kind of a country is this, nchi imejaa dhulma maskini kama hao unawaibia unategemea nn kama so kuchomwa polisi wa pemba mmegeuzwa kuwa ni majibwa all police to hell

  • @samiyomar8327
    @samiyomar8327 4 роки тому

    Mkome hamna adabu nyie Pemba km mwanamke kweli unosha sura yako

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 4 роки тому +8

    Allah awape subra .hakika hayo watayasahau wao na viongozi wao tu ila kwa Muungu hyatofutika abadan una watachomwa .leo wauna dola na majeshi ila sik ya kiama wataouna faida yawanayoyafaunya hapa kwa sababub yakushika madaraka . Alianza firauuna na wezake ila alipotea wao sijui nan wanaojiita viongozi waislamu nakufanya hayii

  • @husseinkombo5299
    @husseinkombo5299 4 роки тому

    Poleni Sana

  • @suleimansaleh553
    @suleimansaleh553 4 роки тому +20

    poleni sana watu wa shumba mungu atawalipa. wanao waganyia unyama kama huu

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 4 роки тому +11

    Hiyo ndio serekali ilotumwa dah mtihan kwakweli Allah atuondosheee huu utawala wa madhalim

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 4 роки тому

    Wanajisifu kwa malandikruza haditopu viyoyozi, wananchi wanapata taabu, maisha ndio haya!! Mungu wasaidie ndugu zetu wanaoteswa!

  • @abdisaleman7559
    @abdisaleman7559 4 роки тому +5

    Kiuyu wamekuwa wakionewa kila wakati wa uchaguzi. Mtu wa mwanzo kuuliwa Znz wakati wa vyama vingi aliuliwa hapo Shumba kijiji jirani. One day YES

    • @MultiJd4
      @MultiJd4 4 роки тому

      @@salma0000 inshaAllah

    • @MultiJd4
      @MultiJd4 4 роки тому

      @@salma0000 amiin

    • @kiri5807
      @kiri5807 4 роки тому

      @@MultiJd4 tushayazoea hayo sisi wapba . Na wameanza kuuwa tabgu siku ya mwanzo ilotangaziwa CUF kusajiliwa micheweni wakapandisha bendera Subhanallah walipelekwa FFU na watu 5 wakashutiwa 2 wakafa kijana alokuwa juu ya mlingoti akapigwa risasi za matako na kutokea kwenye utupu wa mbele akapona roho lakini walimuathiri just ana age 23 years alikuwa.
      Lakini huyo Mkuu wa mkoa alopeleka jeshi yuko wapi? Feruzi kashaliwa na funza hiyo CCM kaiwacha .

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 4 роки тому

    Mijitu ya kwale ni minafiq ya ccm tokea jadi nasie washumba daima tunapinga ccm na uvamizi wanaoita mapinduzi matukufu ushenzi mtupu

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 4 роки тому +14

    Ni aibu sana askari Kuwaibia wananchi wanyonge njaa gani hii ila Allah a naona na atawahukumu

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 4 роки тому +11

    WANAWAKE NA WATOTO ALLAH ATUFANYIE WEPESI AMIIN

  • @khamismassoud6770
    @khamismassoud6770 4 роки тому

    Alshabab tanzania

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 4 роки тому

    Hawa CCM..wanajua kuijenga unguja tu kimaendeleo Pemba wanaidharau wanajua huku hakuna watu wenye hadhi ya kuwaletea maendeleo jaman Wazanzibari tuamkeni tulip lala hiki chama hakofaii ona mazingira yalivyo dunk Pemba

  • @abdulswamadabdalaally8436
    @abdulswamadabdalaally8436 4 роки тому +1

    Hii tv y kinafiki sana na inachochea uvunjifu wa Aman kwenye nchi yetu

  • @starito7787
    @starito7787 4 роки тому +3

    CCM ndo wanaoondoa amani ya nchi hii kwnn hawataki kuachia sanduku la kura litoe majibu, Wazanzibar tumewachoka na mwaka huu hatukubali wakitoka 27 na sisi tupo

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 4 роки тому +4

    HAKIKA YUPO HAKIMU WA HAKI HALALI WALA HASINZII ANAYAJUA TUNAYOYATENDA

  • @allysalum9795
    @allysalum9795 4 роки тому +1

    Poleni sanaaa watu wa shumba ila huu ni wakati wa kubadilisha viongozi2 hawafai ccm jamaaaani

  • @sahimtourstravel2156
    @sahimtourstravel2156 4 роки тому +3

    Tukirud katika QUR,AN tukufu ALLAH (SW) anasema kua, hakik baad ya ziki bas kunafaraj inakuja lakin pia akasem kua atamteremsha alie juu amshushe chini zaid ya chin na alie chini bas atampandisha juu zaid ya alo juu kwaiy tuwe na subra. Lakin tukemee, tuchukie au tuondoe na inshaallah fursa ya kuondoa ni tareh 27 na 28.

  • @bakarbakar3961
    @bakarbakar3961 4 роки тому +3

    Hawa ccm hufanyafujo kwa makusudi halafu husema wao wana dola kwa maana hawaulizwi chochote na wala wao hawapigwi.

    • @kiri5807
      @kiri5807 4 роки тому

      Huku kwale na makangale yake waliko ni hao ndugu zetu wa damu kazi zao kupika pombe ndio wanasupport CCM wakifanya yao maana hawavamiwi na police wakiuza gongo lao . Wamekaribishwa pale kulimia watu mashamba ikisha wamejifanya ile pba ni yao .

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 4 роки тому +14

    Subhanallah Allah atasaidia insha Allah kwni dhulma haisimami kamweee

  • @aipysaleh5647
    @aipysaleh5647 4 роки тому +1

    Mungu awangamize hao mazalimu hao maakari wawo hawana huruma wala ubinadamu kikweli ila hayo yte yanamwisho ishallah poleni yte wahanga

  • @kautharsalim5025
    @kautharsalim5025 4 роки тому +1

    Poleni sana ndugu zangu Allah yupo na huu mwaka ndyo wa mwsho kwa hao magaidi

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 4 роки тому +5

    Lakini wanaume ni ushamba huo kukimbia. Nyumba ukawacha mke pekee

    • @adilhbzanzbaryetu4307
      @adilhbzanzbaryetu4307 4 роки тому

      hayajakukuta ww broo kiufupi tuwaombee dua tu ndugu zetu

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 4 роки тому

      Mjomba usiongee ivo yani wee acha tuu

    • @makamemufadhil627
      @makamemufadhil627 4 роки тому

      Simainishi kua iyo hasara haijanikuta mm vyoo namainisha ukienda msituni mchukue mkeo ukikubali kukaandani ufe na mkeo unajua mwanaume si mwanamke mwanaume waweza wekewahenzap ukafikiria nini ufanye na ukajitetea vizur ila mwanamke hana hayo .

  • @fatmaabuu1078
    @fatmaabuu1078 4 роки тому

    nyie weyani acheni unafiki huo

  • @وردهالحارثي-ز5ه
    @وردهالحارثي-ز5ه 4 роки тому

    Pole sana ndungu zangu

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 4 роки тому

    Amina

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 роки тому +13

    Alaysa llahu biahkami lhakimin hakuna lisilo na mwisho hio ndio kz kuiba kubaka lkn ipo ck

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 4 роки тому +7

    Sasa hao polisi yanini kuwafata watu usiku kuwapiga na kupiga mabomu wakamateni tu kwanini muwafanyie ivo

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 4 роки тому +5

    Vyombo vya habari vikisimama na kutoa habari kwa usahihi ,,ukweli utajulikana na haki itajulikana

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 4 роки тому

    CCM ni watoto wa kifalme wasiguswe, walobakia hawana maana wala si watu, wapige wao tu wala wasirejeshewe serikali ndo wanawakinga

  • @rayambarouk9972
    @rayambarouk9972 4 роки тому +2

    Washazoea kututesa sis wapemba ila wajue iko siku wataenda kujutia kwahili wanalotufanyia nass allah ndotegemeo let

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 4 роки тому

    Hao police maisha yao ni ya dhiki sana ndio maana wanatafuta fursa ya kuvamia na kuiba na wakishastaafu wanadhalilika sana wengine wana kuwa makuli wengine majambazi wengine punguani na ndio wengi
    Allah awaangamize police wote wasiosimamia haki na uadilifu na wanaofanya kazi kwa misukumo na mihemko ya kisiasa

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +3

    Ishalla Mungu atawalipya duniyan ahera iende hesabu yanamwsho hayo ishalla kwauwezo wake Allah

  • @raiyanmohd918
    @raiyanmohd918 4 роки тому

    Poleni ndugu zetu

  • @salimhussein839
    @salimhussein839 4 роки тому

    Hio ndio dalili ya FIRAUN mwisho wake ulipokaribia kufika aliongeza sana unyanyasaji ila alisahau kua ALLAH SW ametuumba viumbe wake katika njia ya kwamba kadiri ya utesavo kumbe ndio unawaunganisha wale uwatesao na hapo nguvu ya pamoja ndio huja kuondoa udhalimu. Kwangu mimi hio ni ishara ya mwisho wa udhalimu

  • @sharifkiko2532
    @sharifkiko2532 4 роки тому

    Hongera sana kwa habar mzuri

  • @allyrashid9073
    @allyrashid9073 4 роки тому +2

    Allahumma ya rabbi 🙏🏼

  • @abdul-aziziomar5989
    @abdul-aziziomar5989 4 роки тому

    Twajifanya Vidume mwisho wa siku twakimbia twawaacha wakeezee peke na watoto....kwanini Hatuwii wastarabu kufanya kampeni za Siasa zikaisha Kistarabu Tatizo twajifanya ni Vidume kisha mwisho wasiku twakimbia....

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 4 роки тому +12

    Aiwishi hao alshababu wakaja wakawstiya adabu hawa polisi

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 роки тому +6

    Majeshi nendeni mukapigane na vidume mtwara uko sio munakuja kupiga wanyongwe mbwa nyie wakutumikishwa

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 4 роки тому

    Aibu gani kwa nchi yetu Tanzania!

  • @sharifuhakim1582
    @sharifuhakim1582 4 роки тому +3

    Mapinduzi daima

  • @abdulswamadabdalaally8436
    @abdulswamadabdalaally8436 4 роки тому

    Kikubwa tuombee Amani haya y uchaguz yakupita tu WAZANZIBAR wenzangu

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 роки тому

    Makufuli wachukuwe mbwa wako washenzi mi ccm Allah awalani lool

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 4 роки тому +7

    jiandaeni nusra ipo karibu

  • @papadimayo1chanel.747
    @papadimayo1chanel.747 4 роки тому

    Kw sbb gn wamewafanyia hvy. Au wamegundua n act wote.

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 роки тому

    Allah atufanyie wepesi poleni sana ndugu zetu

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 4 роки тому +1

    Wanajikiriaje viumbehao kwa hawataondoka duniani?

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 роки тому +3

    SubhaanaAllaah, mtihani kwelikweli

  • @mohammedsalummohammed4357
    @mohammedsalummohammed4357 4 роки тому

    Anatokea mpemba anasema yeye ccm ! Alla atatulipia

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 4 роки тому

    Dah
    Ccm wana roho mbaya sana ..
    Yani wameshindwa hata kuwatengenezea hata vilami kidogo ..!!
    Hizi sindo ngome zao ...!!

  • @amourbrwn2501
    @amourbrwn2501 4 роки тому +5

    Angalien mazingira kisha unamkuta mtu ccm oyee

    • @kiri5807
      @kiri5807 4 роки тому

      Ndio hapo , labda wamerogwa sio bure.

    • @batulisharifu4934
      @batulisharifu4934 4 роки тому

      Ccm
      Chanzo
      Chanzo
      Matatizo na ndiyo Kama hayo laana tullahi

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 4 роки тому +5

    ALLAH atufanyie wepec

  • @shwalehally4400
    @shwalehally4400 4 роки тому +5

    Alshababi inshallah musiwe na was was wapo mara hii watakoma sirro

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 4 роки тому +1

      Siro hawawezi Alshabab ni wanaume, na kawaida yao hawaogopi kufa

  • @theophilwilliam6906
    @theophilwilliam6906 4 роки тому

    Twawaombea Mwenyezi MUNGU awanusuru na madhila hayo ndugu zetu waZ'bar. Allah huakbar

  • @sharifkiko2532
    @sharifkiko2532 4 роки тому +2

    Hao wote wanaomuzulimu allah atawaonesha mbele ya kiama

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 4 роки тому +3

    Inasikitisha sana ccm hsijuwi kukataliwa. Wanafanya fujo na kutisha watu wasiende kupinga kura na mfano ni huyo hapo yote ni kuwa hakuna Ccm pemba mmzima kila walifanyalo wanaona bado mungu mkubwa atahukumu hapa duniyani ahra hesabu

  • @el_chilubi7458
    @el_chilubi7458 4 роки тому

    Wakikupigeni wapigeni, wakikuueni wauweni. Hii ndio dawa iliobaki tu. Jumuiya za kimataifa hazitosaidia lolote zaidi ya kutoa matamko tu.

    • @mlapikauma7660
      @mlapikauma7660 4 роки тому +1

      Mie wananichosha apo tuuu ...ilikuwa saivi waje na jeshi lao walinde raia ila wanasubiri tufe....nnuchukia mfuko wa vyama vingi ..tena sana

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 роки тому +11

    Angalia maisha yanduguzetu

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 4 роки тому

    Poleni dada zangu

  • @subiramohd1895
    @subiramohd1895 4 роки тому

    Poleni sana Allah atatufungua inshallah

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому

    Wamezamiriya kutumaliza hawa lakini Allah yuko na sisi wazanzibari tusimame tuwe kitu kimoja tuseme imetosha

  • @zuberimasoud5847
    @zuberimasoud5847 4 роки тому +2

    eeeh mpaka kieleweke

  • @aliissahongerababanazenjit6824
    @aliissahongerababanazenjit6824 4 роки тому

    Mbona kijiji hakina watu au ndo wamekimbia mmelipika mtalinywa

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому

    Wallah serekali ya Zanzibar ni mtihani ila wallah mungu yupo

  • @binammwanafa2033
    @binammwanafa2033 4 роки тому +1

    Zanzibar hakuna serikali Kuna siri kali

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 4 роки тому +1

    Kwa hakika kila penyeuzito na wepesi unakuja

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому

    Tatizo mmezoea nanyinyi iwekilasiku nyinyitu hebunikaani chini mujitasmini mnafanyann hatamupigwe mbona maeneo menginehamusikiihivi vituko maraile mmetuulia nduguzetu marahii mmnawapiga mpaka wamelazwa mahosputalini eeee ukiuliza kisann unaambiwa siasa acheni siasazakishambahizooo

    • @maherjamal1777
      @maherjamal1777 4 роки тому

      Mshamba ni mama yako alie leweshwa akabakwa ukapatikana wewe usie na radhi za wazee wala radhi za mungu malaya mkubwa utiwa chuvi vulini

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 роки тому

      wee si wao tu 2015 mtaa wetu tuliftarishwa mchana

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 4 роки тому

    Tareh 27 ndio watatujua afe kiba afe beki mwaka huu patachimbika tumechoka kuzalilika

  • @kautharsalim5025
    @kautharsalim5025 4 роки тому

    Poleni

  • @jumahamadi6169
    @jumahamadi6169 4 роки тому

    Allah yusaidie Ccm kazi Zao

  • @issakara7624
    @issakara7624 4 роки тому

    Wallahi watu wamechoka

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 4 роки тому

    Hawajamaa wanakera Sana Kwa kweli ila wajue kama wanachi tunanguvu kuliko wao hatujaamua tu

  • @mohammedsalummohammed4357
    @mohammedsalummohammed4357 4 роки тому

    Alla atuondoshee ccm madarakani ili tuishi kwa amani

  • @papadimayo1chanel.747
    @papadimayo1chanel.747 4 роки тому

    Allah yuko wapi?.

  • @smartboy-cd3qn
    @smartboy-cd3qn 4 роки тому

    Ndo nchi ya Tanzania 🇹🇿 na Zanzibar hizi mungu tuone

  • @saidomar8502
    @saidomar8502 4 роки тому

    Washenz cnaa hawo

  • @salhaaaa3720
    @salhaaaa3720 4 роки тому +1

    Hao ccm ndio wenye njamaa

  • @khamisally6005
    @khamisally6005 4 роки тому +1

    Duuuu kipindi natafuta mke nilifika kote huko.

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 роки тому

    Dahhh shumba mjini duhhh mbona kijijjini labisa

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 4 роки тому

      Emanuel,hilo jina haliimanishi kuwa ni mji, bali ni jina la hapo mahala penyewe.

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 роки тому

      ni shamba ya pba iyo ni jina tu ilo

    • @khadijamakame2596
      @khadijamakame2596 4 роки тому

      Kwani kila pahali ukisikia jina pawe na kile ulichokisikia

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 4 роки тому

      @@khadijamakame2596 😂😂😂😂

  • @msabahabdallah9461
    @msabahabdallah9461 4 роки тому

    Mtihan

  • @hajikombo8578
    @hajikombo8578 4 роки тому +6

    Naona polepole kasema kwamba watu wamekwenda kuvamiwa msikitini ijjumaa na kupingwa mapanga ndomana ikawa wakitoa taarifa hatuwaamini kwasababu wanasema mambo ambayo siyo yakweli ,nazania sasa tushapata ukweliwote juu ya vikosi vya ulinzi wanavyonyanyasa watu ,wanavunja nyumbazawatu sasa polepole twambi hio ndikazi ya polisi maana wewe ndie msemaji wa serikali.

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 4 роки тому

    SASA BASIIIIIIIII

  • @aliissahongerababanazenjit6824
    @aliissahongerababanazenjit6824 4 роки тому

    Huyu anazungumza lugha gani

  • @othmanalamiyn7274
    @othmanalamiyn7274 4 роки тому +1

    Mimi nalia na askari wote mana wamekua hawajui kazi zao na wanakubali ktumikishwa kama majibwa wnajisahau wanao wapiga kwadhalilisha na kuwadhulumu ni ndugu jamaa na marafiki zao na yakipita haya na wananchi wenzao na wakumbuke kuwa wataenda kulipwa kwa yale wayafanyayo mnapiga raiya wasio na hatia badala ya kuwalinda na kuwasuluhisha matatizo yao

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 роки тому

    Hali mbaya ase kama askar wamefikia uko apn

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 4 роки тому

      Hayo yanafanyika kila kipindi cha uchaguzi na wakuu wanajua lakini hamna hatua kuilinda raia.
      Mwaka 2000 waliiba na walipoondoka kwenda kwao kwa meli,huwezi kuamini namna meli ilivojaa vitu vya wizi,na haya yalifanyika mchana kweupe