Isha Mashauzi - Mapenzi Hayana Dhamana (Official Video ) 2014

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 158

  • @officialsteeve2384
    @officialsteeve2384 3 роки тому +68

    Wangap wanasikiliza wimbo huu mpaka leo,,nipen like zangu jamn tujuane👍👍

  • @NeemaGodfreyMwakilembe
    @NeemaGodfreyMwakilembe 2 місяці тому +2

    Wazee wenzangu tujuane bonge la ngoma iseeee

  • @HasnatAgustino
    @HasnatAgustino 6 місяців тому +4

    Hii Ngoma inanikumbusha mbali sana

  • @shomari_msumi
    @shomari_msumi Рік тому +6

    February 2023 bado nasikiliza ngoma kali

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 Рік тому +3

    Isha anajua mpk anajua tena ❤❤ wangap wanaisikiliza mwaka huu

  • @SAIDBOMBA-p1y
    @SAIDBOMBA-p1y Місяць тому +1

    Isha nakukubali unanipa burudani toshaaa kipaji unacho alhamdulillah

  • @azizlibenanga8598
    @azizlibenanga8598 7 місяців тому +6

    Kama unasikia hii ngoma nw gonna like

  • @chizingoda
    @chizingoda 5 місяців тому +3

    Naskiza mpaka leo

  • @MwanamisiKassim-w4g
    @MwanamisiKassim-w4g Рік тому +5

    Hii nyimbo haishi utamu🥰🥰naipenda sana

  • @zahranashangai5394
    @zahranashangai5394 7 місяців тому +3

    Bado naupenda saaanaaaa❤

  • @SabrahRaheem
    @SabrahRaheem 6 місяців тому +4

    2024 KUJUA KAZI NITAMU

  • @hijjakipeleka4730
    @hijjakipeleka4730 9 місяців тому +2

    Among the best songs za Isha,, Hii best one

  • @halimakhasimu1354
    @halimakhasimu1354 4 роки тому +9

    Hii nyimbo haiwezi kumuacha salama mwanamke aliepitia misukosuko umeniliza wallahi daa

    • @saidabdallah3168
      @saidabdallah3168 4 роки тому +1

      Kwel dad

    • @kabulakija3233
      @kabulakija3233 2 роки тому +1

      Nshalia zaidi ya mara mbili nikiskiliza huu wimbo..

    • @brianmithia2930
      @brianmithia2930 6 місяців тому

      Pole Halima, misukosuko haikosi maishani Na kupenda Ni Maumivu ya Moyoni kama Dada Isha anavyosema Wimbo wenye Maarifa tele, na wapendwa Sana Halima❤😊😊😊🇰🇪

  • @Vikahmotoreels
    @Vikahmotoreels Рік тому +3

    Ala,dada nakumbuka sana wakati mwingi nilikuwa naitishwa huu Wimbo kwenye club na nisipoicheze ningegombezwa sana

  • @fatmamazige9486
    @fatmamazige9486 3 роки тому +6

    Hii nyimbo naipenda Sana tokea zamani yakanitokeaga😭😭

    • @brianmithia2930
      @brianmithia2930 6 місяців тому +1

      Experience is the Best Teacher at times especially with matters pertaining to the Heart,Pole Dada😔🇰🇪❤️

  • @yusuphally9324
    @yusuphally9324 4 роки тому +8

    Unanikumbusha mbali Sana wimbo huu daah...! Isha umetisha love you

  • @LovelyLotusFlower-dq1me
    @LovelyLotusFlower-dq1me 7 місяців тому +2

    Mom ni mmoja wapo naupenda san

  • @allylawi3116
    @allylawi3116 4 роки тому +7

    Isha huwezi imba nyimbo itakayo gusa jamii kama hii. 2020 bado chuma ipo maskion

  • @awadhimzee5
    @awadhimzee5 5 років тому +23

    ISHA UWA NINAPOSIKIA HII NYIMBO HATA NIKIWA NAKULA HUWA NAACHA HAPA ULIJUWA KUFANYA KAZI

  • @alfredmacjohn5254
    @alfredmacjohn5254 Рік тому +1

    Sijui ulituwazia nini sisi wanaume tulivyowashenzi ila wako wanawake pia wa aina hii wanavizia kuzaa na watu kwa malengo, yakipishana wanabeba vitoto wanatupia wanaume wanasepa.

  • @Melini-f7t
    @Melini-f7t Рік тому +2

    Naikumbuka sana hii nyimbo ndoa ilikua inanisumbua sana lakini namshukuru Allha rizki iliisha mda Sasa ni mwaka wa sita nipo single hahaaaaaa nacheke sasa😅😂

  • @hawaabdullahi6218
    @hawaabdullahi6218 3 роки тому +11

    Naipenda hiyio nyimbo yani ❤❤❤❤💯

  • @husnahomar5133
    @husnahomar5133 4 роки тому +7

    Nov 28th still my favorite,, wapi likes za isha❤️❤️

  • @feikey3327
    @feikey3327 Рік тому

    Jamani wanaume hawa yaani acha tu nyimbo nzuri sana dada dada Isha hongera sana❤❤

    • @brianmithia2930
      @brianmithia2930 Рік тому

      Sisi wote wenye kasoro,aso kasoro Mungu tu😌

  • @maryandrew6962
    @maryandrew6962 3 роки тому +3

    Naipenda Sana nyimbo yako maana inafundisha na nikweli haya Mambo yapo.wanaume wanakimbia familia

  • @meremetasanga1992
    @meremetasanga1992 5 років тому +7

    Hii nyimbo inanifanya nitimize wajibu katika familia yng. Nakupenda sana Isha, nakumbuka nilikuona njiani ukija Swanga kuja kupiga show ila niliikosa kwa sababu ya majukumu. Mungu akulinde.

  • @TwahiliMassudi
    @TwahiliMassudi 5 місяців тому +1

    Nami nipo hyu mama fund kinyamaa yaan

  • @ShaniMagoto
    @ShaniMagoto Рік тому

    Penda sana isha mashauzi umenikumbusha mbali

  • @samairahsameer2163
    @samairahsameer2163 5 років тому +12

    Kumpenda m2 asojua thaman ya mapenz hata umpende vipii nisawa na chai ya moto kunywa kwa mrijaaaaa......ni maumivuuuuu.......penda sana wewe

  • @yusuphally9324
    @yusuphally9324 4 роки тому +2

    Umenikusha mbali Isha daah...!

  • @rajabumwaipopo2769
    @rajabumwaipopo2769 5 років тому +8

    nashangaa moyo wangu unautesa kama mapenz i lv u isha unanimaliziy mb

  • @rajabumwaipopo2769
    @rajabumwaipopo2769 5 років тому +4

    leo nimeshinda hm nasikiliza i ngoma isha yani ww n mbogo unajuwa mpaka unakela mahasidi

  • @missraskinaraskinamfinanga1709
    @missraskinaraskinamfinanga1709 5 років тому +14

    hii nyimbo naipenda bureee👌👌👌👌👌👌

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому +5

    Piga kelele kwa isha eke🙌👂👌😚

  • @patrickiman9051
    @patrickiman9051 4 роки тому +3

    Pesa kidogo.... Tu nalia na mapenzi

  • @zafaranjuma3276
    @zafaranjuma3276 4 роки тому +2

    Kila nikiiangalia hii ngoma machozi yana nitoka kiukwe hii ngoma haitochuja hata siku moja

  • @rahmahmussa5980
    @rahmahmussa5980 3 роки тому +2

    Wapiii odoo akeee napenda sana hii nyimbo

  • @Fatushimbegaz
    @Fatushimbegaz 3 місяці тому +1

    Bdo naskiliza hii ngoma nikawa gulf nikiosha hamam wee uogopi 😂😂😂

  • @lelyafriaq4240
    @lelyafriaq4240 7 років тому +6

    umenigusa isha hatamie yalinikuta..

  • @jephunernabutola
    @jephunernabutola Рік тому

    Tupo dada.. tamu sana

  • @HayuweMukumbule
    @HayuweMukumbule 12 днів тому

    Kipenzi changu ❤

  • @AlexAlex-lu8kq
    @AlexAlex-lu8kq 2 роки тому

    Nakumbuka 2014 alitisha sana inatufindisha sana ishi miaka mingi dada

  • @khadijamhina5814
    @khadijamhina5814 7 років тому +11

    wallah umenigusa mpk nmejikuta natokwa chozi

  • @hamisishaaban8147
    @hamisishaaban8147 Рік тому

    Nakukubali. Sana. Ngomainatisha. Hapakaziuliifanya

  • @fatumaselfu890
    @fatumaselfu890 5 років тому +5

    nyimbo inaujumbe mzur sana adi machoz yamenitoka

  • @kayshanil9195
    @kayshanil9195 4 роки тому +1

    2021 January Isha umeweza dada hongera

  • @eveliynejoseph1251
    @eveliynejoseph1251 2 роки тому +4

    Queen of the best melodies 🥰🥰

  • @rahmarashid7394
    @rahmarashid7394 3 роки тому +1

    Wow congrats ma dia napenda sana nyimbo yako💞🔥

  • @fatumomatano9752
    @fatumomatano9752 2 роки тому

    Minaipenda Ii nyimbo ikona points walahi

  • @barogabota6005
    @barogabota6005 3 роки тому +2

    2021 mashauzi

  • @kibwanasuleiman8325
    @kibwanasuleiman8325 4 роки тому +1

    Kujua kazi ni tamu sana hahahahahahaha hehehehehehehe ah moto weweeee mamaaaa

  • @Asnath-v2f
    @Asnath-v2f Рік тому

    Daaa hatari sanaaa

  • @jamilahemedjamilahemed6657
    @jamilahemedjamilahemed6657 2 роки тому

    Mapenz hayadhamana n kwel kbs

  • @ahmadseba9047
    @ahmadseba9047 Рік тому +2

    2023 we here 🔥🔥🔥🔥

  • @rajabukijazi8757
    @rajabukijazi8757 2 роки тому +3

    Damn loved the old times

  • @ss-pl6yo
    @ss-pl6yo 6 років тому +8

    Isha hapo umegusa wegi sana

  • @mummymummy5320
    @mummymummy5320 5 років тому +3

    On point isha plain fact Kwa maisha

  • @katobasadicki4472
    @katobasadicki4472 4 роки тому +1

    >>>> dada umetisha sana

  • @kambiboy715
    @kambiboy715 4 роки тому +1

    Yani nyimbo imebeba maisha yangu hii tapeli Wa mapenzi

  • @annaisote9647
    @annaisote9647 Рік тому

    Naipenda sana nyimbo hii jamani

  • @fatima_ok7491
    @fatima_ok7491 Рік тому

    Mwana mke mpango mzima

  • @swaumumwalembe1225
    @swaumumwalembe1225 3 роки тому

    Nakupenda sana mashauzi ukweli wako tu amna kinging

  • @jenniferapolinal5065
    @jenniferapolinal5065 3 роки тому +1

    Nakukubali Sana isha

  • @hazars563
    @hazars563 3 роки тому

    Mimi sipendieeeeeee

  • @kenzosabah2144
    @kenzosabah2144 4 роки тому +1

    Umeuwa huuu mzik duuuu jmn

  • @jamesmaingi3715
    @jamesmaingi3715 4 роки тому +2

    Always luv this song iko na good message

  • @rayshikeli1577
    @rayshikeli1577 4 роки тому +1

    Waambile wasikile kama vp tuongeze volume..........hamna matumizi wala nini mijanadume suruali.....

  • @Asnath-v2f
    @Asnath-v2f Рік тому

    Hatariiii

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 роки тому +1

    Hii ngoma atari naipenda 21/6/2020

  • @WilbertMasalago
    @WilbertMasalago 2 місяці тому

    Hisia kubwa

  • @edinachami1754
    @edinachami1754 7 років тому +5

    aiseee ngoma imepenyaa

  • @ibrahimmsumi
    @ibrahimmsumi 10 місяців тому +11

    2024 Naomba like Please

  • @MariyamShaban-oh3lv
    @MariyamShaban-oh3lv 2 місяці тому

    Nina sikiza taarabu zako kama navo kula chakula kutoka uganda

  • @hairataliy1719
    @hairataliy1719 6 років тому +4

    Pambeeeee tuu

  • @daskiki9086
    @daskiki9086 4 роки тому +1

    Daah,isha ww noma !!!

  • @nasrankwita7206
    @nasrankwita7206 2 роки тому +1

    2023 🥳💥

  • @mwaijakhalfan7817
    @mwaijakhalfan7817 3 роки тому +1

    Naipenda Sana

  • @salamasaire4439
    @salamasaire4439 3 роки тому

    Achia tuidownload my dr

  • @hawahanta3545
    @hawahanta3545 4 роки тому +1

    Kwa situation nayopitia naona nafarijika nisikilizapo hii nyimbo

  • @didahshee1877
    @didahshee1877 4 роки тому +3

    August 2020 ❤

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Рік тому +1

    ❤❤❤❤😭😭😭

  • @MariamMariam-s6d
    @MariamMariam-s6d 2 місяці тому

    Aisha mashaunzi nimoja tuu 😂

  • @salamasaire4439
    @salamasaire4439 4 роки тому

    Hongera my dr

  • @hidayalinyanje9788
    @hidayalinyanje9788 3 роки тому

    Naipenda sana hii nyimbo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому

    Ndio wanaume walivyo kutesatesa

  • @daskiki9086
    @daskiki9086 4 роки тому +2

    Said bomba na kati ya dodoma

  • @Vikahmotoreels
    @Vikahmotoreels Рік тому

    2023 bado mimi niko hapa

  • @elvisdraecks1082
    @elvisdraecks1082 4 роки тому +1

    Kweli mapenzi hayanà dhamana

  • @faizamideva345
    @faizamideva345 3 роки тому

    Sawa kabis 💪👍🥰😍👌

  • @AdelaMwamulima-jb6qt
    @AdelaMwamulima-jb6qt 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @pilimohammed3950
    @pilimohammed3950 3 роки тому

    I like it so much

  • @Fatuma-l5y
    @Fatuma-l5y Рік тому

    Mbon ain sauti ajemeni

  • @idrisaramadhani2552
    @idrisaramadhani2552 2 роки тому

    Igula

  • @sofiahassani5185
    @sofiahassani5185 Рік тому

    Tumpe maua yake bi Aisha

  • @SuziDamis
    @SuziDamis 10 місяців тому

    👍👍👍👍😍

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 2 роки тому

    Naipenda nyie

  • @elizanakaonga894
    @elizanakaonga894 4 роки тому

    Nice song😘😘😘😘

  • @fatumayusuph5861
    @fatumayusuph5861 5 років тому +1

    msanii wa jamii safi

  • @rukhiamkamburi5328
    @rukhiamkamburi5328 3 роки тому +1

    Haki this,s song I'll live to luv it

  • @SadvatyKhary
    @SadvatyKhary Рік тому

    ❤🎉