Kassim Mganga Ft. Isha Mashauzi - Pambe (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #KassimMganga #IshaMashauzi #Pambe #SlideDigital
(C) Slide Digital
Kassim Mganga Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/kassimm...
Written & Performed by Kassim Mganga & Madee
Follow Kassim Mganga on:
Instagram; / kassimmganga
Twitter: / kassimmgangaa
Facebook: / kassim.mganga.3
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Tajiri kama tajiri mwenye mahaba yake aliyeamua kumpa nusu ya mikoba yake mbosso aendeleze mahaba
Noma sana hii wa kwanza weka like yako acha uchoyo
ua-cam.com/video/zifZUMjys0k/v-deo.htmlsi=yhekSRPFkZQFrF0C
Aaaii weeewe Mashauzi❤❤❤ si wewe ni hyo Sauti. #Yankolowski was here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kaka hiii ndo njia yako huu ndo mziki wako kaka watu wanakupenda kwa raza hizi 🏆🏆🏆🌍🌍🇹🇿
Love sana alaf walipendeza na wakapendeza tena ❤
Ngoma imetulia qassim mganga unaghaani mwenyewe kwa saut zenu mashaallah na eishaa pambe sio pambe
Wasanii wangu pendwa gwiji x jike la simba❤ hii collaboration nlikua naitamani sana✅
Kwa kweli qassim mganga mm huwa shabiki wake kindakindaki na huyu eisha mashauz kwa sauti hiyo mpaka machozi yananitoka kwa sauti zilivyo pangiliwa Dunia hii maisha ni matamu lakin ni mafupi eisha aeee pambe
Kaka Kassim mganga ... kibao kimetulia MashaAllah... hongera mno!!
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 from kenya with love
TULIOPENDA MAVAZI ALIYOVAA KASSIM MGANGA NAOMBENI LIKE HAPA KWANGU🔥🔥🔥 VIDEO NAYO PAMBE
❤❤
Tabia ya kupenda like za wanaume bila sababu uta uponza sasa mavaz avae kasim like upewe wew kha😂😂 uta shikwa jicho boya wew
Aslay na kasimu munanikosha
@@muniramunira401😊😊😊😊😊o1o😊😊😊😊😂😊😊❤😅😊
Wanaboa 😏@@manigatz5271
Duh song bwana pambe imeniacha hoi
Mamaaa oooooh! Mamaaa weeeee!!! Mdomo huo utakosa mume na mawifi 👌👌👌
Collabo iko fire❤kassim utulia lakini akitoa kitu kiko sawa
Yani isha mashauzi amenikosha kwa sauti hiyo
❤❤❤ Ngoma nzuri sana
Wimbo umetulia sana mziki melody sound mnanda everything is good 🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka unajuwa sana yimbo zako nazipenda sana na dadaangu esha mashauzi nakubali kazi yenu hii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunaoangalia tukiwa Johannesburg gonga like jamaani. Mi niko benon
Kwanza iyi vidéo waliyitendea.haki kwamavazi kwakel walipendeza sana nawzlichanguwa malangi mazili kwel pmbe isha wetu
Asanteee aisha wangu na kasim mganga atar mwaaaaaaaaaaa nawapenda bure
Hamjawahi niangusha kassimu ft mashauzi ❤
Kasimu weeee uwiiiii ❤
Kaka tulikumic kweliiiiiii jmn Kazi nzuuriiii sana ❤️❤️🔥🔥🔥
Hataree🎉 vi2 vyangu hvi ssa. Ngoma ya moto sana❤
Mbona imeisha makusudi ayo ivi nani alotaka isiishie apo mbona PAMBEEEEEE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pambeeee
Nakkbali sana kaka wajina nimeanza kkskiza siku mingi sana
Aina hii ya mziki tunaitaje mduara au baikoko @kassimu @alikiba
Mjomba umetisha 🎉🎉🎉🎉
Hapo ndipo ❤
❤❤❤❤❤❤ pambe Sana nimeikubali Sana Hadi mavazi
This woman is absolutely incredible! She’s unbelievably talented, consistently creating hit after hit. Isha Mashauzi, you are deeply loved here in London. Sending you all my love-stay blessed, dear. You are truly gifted!🫶🏽 …
My both best artists i like them ❤❤❤❤❤❤❤ the best song i can't stop listening
Wameweza sanaa😊❤
Pambe Leo ❤❤❤
Maanina broooo mauwa yako🎉🎉
Noma sana
Umeuwa sana brother kasim MG 🎉🎉🎉🎉
Safi sana Qassim
Hadi raha❤❤
Kanihamisha taarabu huyu dada ❤❤❤❤❤❤
nice one
Nakupenda sana Isha Mashauzi kila kitu unachokifanya kwangu ni kizuri💕💕💕💕💕
Bismillah mashalah ❤❤❤nguri wote
Hata isha kabaluzaa mbayaa❤
Pambe tu😊big up Isha +mganga!
Mashauzi kuna ten limezagazaga hapa❤🎉
❤❤❤mafundi wawili wakutana
Nice song
Hatariiiiiii pambe tuuuuuu👌👌😘😘
HUKU UNAUMA NA HUKU UNAUMA.........🔥🔥🔥
Tajiri wa mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Gwiiiiiji Umetuamulia Nini Mwaka Huuuuuuu Tunaomba Utuambia Kitu PAMBE
🔥🔥🔥
Namkubali sana isha ❤
Manshalla Aisha unasauti nzuri sana nakupenda sana
We Mashauziiiiii ❤❤❤❤❤👌👌👌
Mbona pambeeeee👌💃
Hongeren sana kwel mnajua kunipa raha
Hongereni sana wimbo mzuri mno
Tanga traaam bwana wee❤❤❤🎉🎉🎉
Tanga raha 🎉
Pambe tu 👌
❤❤❤love from Kenya
Safi sana❤❤
Wow song ni 🔥🔥🔥🔥🌺
Kazi nzuri Sana
Santaaaaa❤❤🔥🔥🔥🔥
Pambeeee😊👌
Fundi kassim mganga katik ubor wakee
Mfalme wa Pwani Cassim Mganga
king of the coastal areas kassim mganga
Tajiri wa Mahaba he is....
#pambenipambe
Asante sana 😂😂😂❤
🔥🔥🔥🎉
Malafyale👑
Upepo huoooooo
Haa haa wimbo mtanu
Nice song. ❤
Video kiboko yawo 😊😊❤
kitu kimetulia naomba ngoma yako moja ya zamani iitwayo Lisa
Ila Isha
So nice lol o of taarab. ❤❤❤❤❤
Wa kwanza kutoka Congo🇨🇩
Kama uko mkongo mwenzangu gonga like twende sawa
🎉🎉🎉
❤❤❤
Isha pisi jaman
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jike la simba
Natumaini ipo siku nikikuwa nitakuona , nakupenda💖💖
Cku nikikuwa natamani nikuone , nakupenda sana 💞💕💖 💖💖
Jemedar chupa limetulia Sana 🙏 broo unaweza 🤙🤲🌹💌
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Pambe
Sije itaka aruc kwa pupa by kassim mganga ilinoga
Video na mavazi ni pambe sana
KIJANA WA KITANZANIA UKIACHIKA USIJE KUTHUBUTU KUSIKILIZA NYIMBO ZA HUYU JAMAAA 😀😀😂😂
Verry Nice song ❤❤❤🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧👍
Umeua rafki angu
Nzuli
Mama karudi upya tna..
WIMBO PAMBE KWELI HADI NAONA MFUPI WANGEREFUSHA KIDOGO.