Mashauzi Classic Modern Taarab - Ni Nani Kama Mama Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • #IshaMashauzi #NiNaniKamaMama #SlideDigital
    SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL
    / @ishamashauzi
    Listen & Download Music Worldwide
    ffm.to/mashauzi
    Follow:
    / ishamashauzioriginal
    Channel Administered by Slide Digital
    / ishamashauzioriginal

КОМЕНТАРІ • 239

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 7 місяців тому +7

    jamani hii haiishi hamu mpaka sasa .2024 bado inamata huu ujumbe na shukrani kwa mama zetu haiishi hamu hii nyimbo wallah Isha uliimba sana pongezi kwako my sister ❤❤❤❤❤❤

  • @ttss3712
    @ttss3712 3 роки тому +7

    Mama hakosei mwn Nani km mama Hakuna respect kwa mama wote

  • @saidaegwaga1978
    @saidaegwaga1978 Рік тому +3

    Yani dada ulijua kinipatia,kwakweli Kila siku ninawaombea sana mama zetu wanakazi kubwa,mungu naomba unitunzie mama zetu walio hai na waliotangulia naomba uwapokee,nawapenda akina mama wote na mimi ni kiwemo❤

  • @ZaitunShaban-vr2vi
    @ZaitunShaban-vr2vi Місяць тому

    Naupenda sana huu wimbo....isha umejua kupangilia... Allah akulinde

  • @maftahgerald4872
    @maftahgerald4872 4 роки тому +13

    rip mama miaka ya nyuma tulikuwa tunaisikiliza wote hii nyimbo leo naisiklza mwenyew nakupenda sana mama

  • @sadeyahmady3139
    @sadeyahmady3139 3 роки тому +5

    Wallah Hii nyimb kila nikisikiliza nalia tyu mungu niwekee mama yang

  • @lucywanjiru5451
    @lucywanjiru5451 8 років тому +13

    santa isha mama sio kiatu wala nguo mama yuwapaswa kutuzwa na kupewa heshima nakupenda mamangu popote ulipo insha Allah najua nitakuja tuonane n.a. kumiss mamangu

  • @mariamsalim8413
    @mariamsalim8413 4 роки тому +15

    Nina mpenda mama yangu Sana ninamjali,ninamhurimia ninani Kama mama hakuna Kama mama duniani Kama siyeye usingekua duniani 💝💝💝💝💝💖💖😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧡💖💖😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😍😍😍😍

    • @tumainkassanga4159
      @tumainkassanga4159 3 роки тому +2

      Nakupenda sana kipenzi changu mama yangu

    • @mariamsalim8413
      @mariamsalim8413 2 роки тому

      Wasio watunza akina Mama hawana maana ninakupenda mom 😍😍😍😍😍😍

  • @zawadikipingu1170
    @zawadikipingu1170 4 роки тому +17

    Nakupenda MAma yangu nyimbo niliyomtuzia mama yangu siku yakuolewa chozi lilinitoka ilove sweet mommy Wang 💕💕💕💕💕💕❤❤

  • @rehemadongo1570
    @rehemadongo1570 4 роки тому +16

    Ninakupenda sanaa mama yanguuu,,,,,mama sio nguo wala sio kiatuuu 'na mwenzio mkaazimanaaaaaa,,,,,,daaah live long My mummy

  • @AbrahamJulius-t8d
    @AbrahamJulius-t8d 5 місяців тому +4

    2024 still watching nani kama mama my best song

  • @twahaally3562
    @twahaally3562 3 роки тому +7

    R.I.P my mama hii no kwa ajili yako mama yangu kipenzi

  • @ShabaniMgoli
    @ShabaniMgoli Місяць тому

    Namkumbuka sana mama mwenyezi mungu akuondolee adhabu

  • @mwajumasonga1835
    @mwajumasonga1835 4 роки тому +13

    Wimbo huuu naupenda Sana maalum kwa wa mama wote, haswa sisi tusiojaaliwa neema ya kuwa nao leo unatugusa mpaka naumia

  • @swabrakaisary8960
    @swabrakaisary8960 4 роки тому +15

    Nakupendaaa maamaa menqi umenifanyiaa kwakwelii mpk napiaa hiii nyimbo Kali mnoo

  • @nunuunassor944
    @nunuunassor944 4 роки тому +33

    No one like mama allah akupe maradh mema rest in peace my mom love kama umielewa hii ngoma gonga like hapa

  • @sharifaashir4131
    @sharifaashir4131 4 роки тому +38

    mama ni mama jmn 2020

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому +2

    Amna ane fanana 💞💞 na mama nakupend Sana mama angu Isha mungu akuweke pole Sanaa muombee mamaako

  • @bakalsalum3011
    @bakalsalum3011 2 роки тому +1

    Naupenda sana huu wimbo nikiusikia muda wote nalia nampenda sana mama yangu mungu akuweke nakupenda pia da isha nyimbo zako nzuli

  • @dadaasha3638
    @dadaasha3638 2 роки тому +1

    Yani huu wimbo kila nikiuusikiliza machozi yanitoka ,nakuombea mumy angu kipenzi mwenyezi mungu akupunguzie azabu ya kabuli

  • @SaidaSalehe-b5n
    @SaidaSalehe-b5n Місяць тому

    Nikisikilizaga hii nyimbo mchozi tu unanitoka.

  • @husseinmagulati6192
    @husseinmagulati6192 3 роки тому +2

    Rip my mummy nakupnd ck zote za maisha japo umetangulia mungu awapunguzie adhabu za kaburi mama zetu walio tangulia mbele za haki

  • @rabbittv7764
    @rabbittv7764 3 роки тому +9

    R I P mama angu bd nakukumbuka na hh ndio nyimbo inayo nipa faraja

  • @salimambwani7520
    @salimambwani7520 3 роки тому +7

    2020 bado naisiliza nakupenda mamaangu mwenyeziii mungu awapee miaka mingi kina mama wote na wale walio tangulia mbele za akiii wapumzike kwa amani👋👋👋

  • @zulfandoile3876
    @zulfandoile3876 4 роки тому +73

    2020 tunaosikiliza gonga like hapa

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 4 роки тому +8

    Wimbo mzuri mno tuwapende mama zetu

  • @Maua-s6t
    @Maua-s6t 8 місяців тому +2

    Mama hakuna kama mama

  • @hrmmantully6149
    @hrmmantully6149 3 роки тому +2

    Mashauz mimi hunimaliza kwa maneno yako maneno yako matamu hayaniishi hamu...nakupe saaana queen

  • @rehemadongo1570
    @rehemadongo1570 4 роки тому +18

    Wapekeee mungu alieumba dunia wapili ni mama yangu

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 роки тому +7

    Wimbo huu hauchiji, uko vizuri . Isha shikamoo.

  • @bimkubwasaid4673
    @bimkubwasaid4673 3 роки тому +1

    Nakupnda xna mama yng najuwa hkn zaid yko MAMA yng Allah akup maisha maref ktk hii dunia

  • @stumaymashoto2016
    @stumaymashoto2016 6 років тому +35

    Nyimbo tamu isoisha hamu 2018 🔥🔥❤️

  • @minzajoji7196
    @minzajoji7196 4 роки тому +8

    Mama siyo kiatu mama siyo mtandio kusema tutaazimiana nakupenda sana mama ang huko uliko nawishi ungekuwepo mama ang 2020 hii mung azid kukuifazi Vema mama ang nakumis sana mm😭😭😭😭😭😭😭

  • @jacquelineissah5374
    @jacquelineissah5374 3 роки тому +5

    Nakuombea na ninakupenda sanaa Mama yangu 🥰🥰🙏🙏 na wale waliotangulia💔💔😪😪 Mungu awape Pumziko jema na kuwapunguzia adhabu ya kaburi

  • @zainabumkanitenda5666
    @zainabumkanitenda5666 4 роки тому +9

    r I p mama nilikupenda ila mungu kumpenda zaidi

  • @mstaraabusantiago747
    @mstaraabusantiago747 Рік тому +1

    Rip to my mom I wish ungekuwepo ningekuwa mbali

  • @kassimkassim6386
    @kassimkassim6386 3 роки тому +18

    Tunaoendelea kuisikiliza 2020 gonga like

    • @marymaina7531
      @marymaina7531 3 роки тому

      Tuko hadi 2021!!!!tumshukuru maulana mola muumba vyote,mwingi wa rehma na mwenye kurehemu!!!!sifa zote njema ni zake!!!!Mary (mariam) maina toka kenya254 embu county Dallas estate !!!!

    • @kombakomba7922
      @kombakomba7922 2 роки тому

      2022

  • @allackymohamedy9712
    @allackymohamedy9712 7 років тому +18

    daaah kazi nzuri sana queen of the best melod

  • @ramadigidigi1988
    @ramadigidigi1988 4 роки тому +6

    Allahamdulilah anasematuwe wote hadi siku ya qiama

  • @bashirmkambala2407
    @bashirmkambala2407 4 роки тому +17

    Kama unaamini hakuna Kama mama gonga like yako hapa

  • @magrethiidd4581
    @magrethiidd4581 Рік тому +2

    Kama unaangalia hii wingi 2023 gonga like

  • @saza4837
    @saza4837 4 роки тому +5

    Nakupenda mpaka naumwa

  • @maeleanomkikuyu8082
    @maeleanomkikuyu8082 3 роки тому +6

    Bado tunaskiliza 2021❤️

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 роки тому +4

    2021 sasa! Mpooo!?

  • @aishaabdalah89
    @aishaabdalah89 4 роки тому +6

    Nasikiliza mwanzo hadi mwisho
    Lovely more all mothers
    😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @LailaLaila-fr3xl
    @LailaLaila-fr3xl 4 роки тому +2

    Wimb mzur san nakupend san dd isha mungu akujalie kher kwenye Maisha yetu atup riski na afya njem akujaze hekima na busara

  • @marymaina7531
    @marymaina7531 3 роки тому +9

    Nyimbo tamu na ujumbe wa maana na mzito!!!!asante maulana kwa kunipa mamangu mzazi!!!!mama ndo mungu wako wa pili!!!!mtii mama na umuheshimu utapata barka kwa wingi toka kwa Allah. Thanks mom for giving birth to mi my sweet lvly mom rose muthoni mwangi wife to Paul maina ng'ang'a my dad!!!nitawadhamini milele hadi nitakapoondoka toka hii duniani kwa mapenzi na wakati wa mwenyezi mungu!!!!rest in peace my mom n my dad still in my heart,mind n soul !!!thanks to God for giving mi such wonderful parents n thanks for the yrs that I spent with each one of them!!!!

  • @emmymnganya1666
    @emmymnganya1666 4 роки тому +4

    Nimehapa sinto weza kumdharau mama nakupenda bure

  • @sofiasofia8886
    @sofiasofia8886 4 роки тому +3

    Nani kama mama santa mashauzi patamu hapa 👌

  • @gbwile1257
    @gbwile1257 3 роки тому +2

    Nan mwengn yuko hapa 2021
    Hakuna kama mama wallah

  • @salumallynannume6724
    @salumallynannume6724 2 роки тому

    MashaAllah, kazi nzuri.
    Mama, mama, mama, Kisha baba.
    Allah mponye mama yangu kwa huruma zako yaaRabb

  • @jolieemeranse8325
    @jolieemeranse8325 4 роки тому +5

    Nana kama mama ubarikiwe

  • @azizayahaya1767
    @azizayahaya1767 4 роки тому +5

    RIP mama ake isha 😢na mama angu

  • @issamanyenye6796
    @issamanyenye6796 3 роки тому +5

    Nakupenda San mama angu nyimbo tamu Sana hii saf Sana isha kwautunzi mzur 2021

  • @mohamedmasudi9855
    @mohamedmasudi9855 2 роки тому

    Mama ni mama hakuna badala

  • @gracenyangero2530
    @gracenyangero2530 5 років тому +12

    Nyimbo niipendayo Sana hongera mashauzi Dada angu kwa wimbo huu

  • @elizamhagama9004
    @elizamhagama9004 3 роки тому +2

    bado nipo na wewe 2021

  • @user-nt9ex8tx2z
    @user-nt9ex8tx2z 5 років тому +20

    Nyimbo nzur sana wallah haiishi hamu ata duh nakupenda my sister isha

  • @ramadigidigi1988
    @ramadigidigi1988 4 роки тому +4

    wote tumezaliwa hakuna aso mama

  • @saadamasoud8316
    @saadamasoud8316 4 роки тому +3

    Nice dear nakupenda bure

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому +3

    Na mie wa twenty bd ipo juu

  • @jerinanguto3723
    @jerinanguto3723 2 роки тому

    Nakupenda-isha-mashauzi-napenda-kuimba-sina-wa-kunishika-mkono-dada

  • @saidaamana4787
    @saidaamana4787 4 роки тому +3

    nani karma mama penda sana mama

  • @stephaniejeremiah9566
    @stephaniejeremiah9566 2 роки тому

    Sitomdharau mama yangu ndio nguzo yangu ya kwanza Mungu nitakutunza mama kwa uzima na maradhi Eeh Mungu nitunzie mama yangu aishi miaka mingi zaidi maana bado namtegemea saanaaa

  • @vedastusmatagi4860
    @vedastusmatagi4860 4 роки тому +10

    Mama mtamu

  • @zaharastambuli1928
    @zaharastambuli1928 3 роки тому +3

    Mashaallah naipenda Sana hiyo nyimbo

  • @mariamkomanya3943
    @mariamkomanya3943 4 роки тому +3

    Jmn goma n bomba sanaa

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 роки тому

    Leo ndo haswaaa siku maalum ya kumuimbia mama! Penda sana wewe mama Zullu wetu! Mungu akuweke miaka miaa kama mama yako! Inshallah

  • @fionnualakassim5471
    @fionnualakassim5471 3 роки тому

    Pumzika salama mama angu naumia sana kila nikisikia hii nyimbo nataman ungekuwepo miaka 9 sasa mama nakupnd daima

  • @khamiskiondo6985
    @khamiskiondo6985 3 роки тому +1

    Isha unakifua kizur

  • @dorotheagama403
    @dorotheagama403 3 роки тому +8

    Nani anasikiliza 2021 tujuane

  • @bochotz6722
    @bochotz6722 4 роки тому +7

    NiKo hapa 2020 alham dulillah nani Kama mam miss you mam aKe mim

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 4 роки тому +5

    Jamani tuambizane goma hili litachuja ?2020 bado nalisikiliza kwa utulivuuu.

  • @hassaniddi1933
    @hassaniddi1933 3 роки тому

    Hakuna kama mama nampenda sana mama angu mungu mpe maisha marefu mama angu

  • @swabrakaisary8960
    @swabrakaisary8960 4 роки тому +6

    Mkuriaaa kiboko saaana kwa twaarab

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 роки тому +3

    2021 natizama mpooo

    • @moradinhodasilva8810
      @moradinhodasilva8810 3 роки тому

      Dou,me ndo naiangalia Leo trh 23 January lkn kwakuwa haichuji nahic badO Cjachelewa,pOngezi kwa my mother maana shughuri yake C ya Kitoto.

    • @jafaryshuigwa9162
      @jafaryshuigwa9162 3 роки тому

      Da huwa nikisikia hii nyimbo namkumbuka mama yangu kipenzi alipata sana shida kwaajili yangu mama nakupenda sana mama yangu kipenzi

  • @ssyrah.siyrah5304
    @ssyrah.siyrah5304 4 роки тому +5

    Wallhy hii taarab👌

  • @jafarimussa4132
    @jafarimussa4132 3 роки тому

    Hongela Sana dada nimeiyelewa taaalab yenyemaana hongela Sana Dada yang u.

  • @janethandrew5213
    @janethandrew5213 3 роки тому +4

    Feb 4

  • @mumbua004
    @mumbua004 Рік тому

    Pongezi mamangu mzazi nakupenda sana mamangu mpenzi

  • @aysherkhamis1803
    @aysherkhamis1803 4 роки тому +6

    Hainichoshi hii nyimbo

  • @saidamsangi5716
    @saidamsangi5716 4 роки тому +1

    R.I.p mama mashauzi ulimpenda sana ila mungu kampenda zaidi

  • @johnsonallexander7162
    @johnsonallexander7162 3 роки тому +2

    2021 naomba like

  • @sudympanda6704
    @sudympanda6704 2 роки тому

    Inakumbusha mbali sn

  • @sadickwaziri3182
    @sadickwaziri3182 5 років тому +8

    Hakuna kama mama

  • @saidymo8307
    @saidymo8307 3 роки тому +2

    2021

  • @user-iu3op4mc6n
    @user-iu3op4mc6n 9 місяців тому

    I love this song because is teach about to respect your parents

  • @saudaabdallah8468
    @saudaabdallah8468 2 роки тому

    Nisingekuwa duniani kama si wewe mama na kubwa yako thamani itadumu daima

  • @hassanidd5445
    @hassanidd5445 2 роки тому +1

    Leo ni tarehe 28/02/2022 bado naangalia

  • @salmahmselem76
    @salmahmselem76 4 роки тому +7

    Nisngkuw dnian kma sio ww mama

    • @octavianmutalemwa8456
      @octavianmutalemwa8456 2 роки тому

      Hakika hakuna mwingine duniani Kama mama nakupenda Sana mam yangu kipenzi Mungu azidi kukutunzaaa milele. Huu wimbo naupenda Sana maana una ujumbe muhimu Sana kuhusu mama zetu 💗❣️💗💗🌹🙏

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 років тому +10

    Nan kama mama hakunaaa

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 роки тому +10

    Still watch my sister Isha 2020 Aug 8. Nakupenda mama ungu❤️.

    • @salmambwambo7733
      @salmambwambo7733 3 роки тому

      Nakupenda sana mama yangu kipenzi bi asia mndeme miaka 100 nakutakia

    • @rogatimushi689
      @rogatimushi689 2 роки тому

      Nzuri sana hii nyimbo

  • @salumuhafidhimtabe420
    @salumuhafidhimtabe420 3 роки тому +10

    2021 here watching this hit song ever

  • @salimusaidi2424
    @salimusaidi2424 3 роки тому +3

    Mapenzi ayana fomla

  • @salimaomalishaibu6001
    @salimaomalishaibu6001 3 роки тому +1

    Nani kama mama mama ni mama

  • @helenMageta-pw8qs
    @helenMageta-pw8qs 6 місяців тому

    2024 bado fire

  • @saadboss5783
    @saadboss5783 3 роки тому +5

    Rest easy my mom😭

  • @nimendasanakomodohiinajmaa9416
    @nimendasanakomodohiinajmaa9416 7 років тому +5

    ongera xna dda isha

  • @magorifrancis831
    @magorifrancis831 3 роки тому +2

    My mother.. a woman like no other

    • @farahaibeahim3901
      @farahaibeahim3901 3 роки тому

      Nikiskia hii nyimbo huumkumbuka mamaangu mungu amrehemu

  • @amisamwanyanje9065
    @amisamwanyanje9065 3 роки тому +1

    Nakubali xan kazi zako