Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Mosese43
    @Mosese43 5 місяців тому +326

    Wakenya wenye twapenda taarabu mko wapi nipeni likes jameni

  • @floradii1964
    @floradii1964 4 місяці тому +66

    Hata kama hupendi taarab sikwa hii nyimbo🥰

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 3 місяці тому

      Hiyo sio taarab mjui, waulizeni wa Zanzibar tarabu nini hoyo mgoma unaotwa kumbwaya ya Pwani ya Tanganyika hasa Tanga.

    • @angelapella30
      @angelapella30 Місяць тому

      ​@@MwanaishaShattrymdumange

    • @alicedickson5538
      @alicedickson5538 5 днів тому

      Hakika

  • @Sharli22
    @Sharli22 4 місяці тому +85

    Wa tanzania 🇹🇿 tuliopo USA 🇺🇸 tujuane kwa comment and like wimbo wa moto uhu 💋🥰🙌

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 2 місяці тому +13

    nimemkubali huyu dada kweli hirizi mzigo mpe likes jamani ameweza huyu

  • @rockeakara112
    @rockeakara112 4 місяці тому +31

    Wamalawi wapenda taarab tujuane hapa au niko peke yangu

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 5 місяців тому +42

    Sipendaki nyimbo za naina izi but this song nayipenda 🎉🎉🎉 mrembo wewe unaimba kabisa from Rwanda

  • @paulmsaky2515
    @paulmsaky2515 4 місяці тому +103

    Tulio rudia kuiangalia zaidi ya mara moja tujuane

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 місяців тому +36

    Wimbo wangu pendwa,video kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii big up.

  • @bravo_man
    @bravo_man 4 місяці тому +15

    Wallahi huyu dada ni mzhri saba jamani

  • @dullacityboy232
    @dullacityboy232 5 місяців тому +18

    Bonge moja la video nipeni mau ya iyo ngoma

  • @omarmusa9633
    @omarmusa9633 3 місяці тому +8

    Mm nakupenda Sana tu natokeya Kenya plz I Love you

  • @billkillmusic
    @billkillmusic 2 місяці тому +5

    Kiboko ya taraab mupeni dada maua yake yani ni motoo yakuwekaa mbaliiiii🔥🔥🔥🔥💥

  • @vincentomondi5415
    @vincentomondi5415 5 місяців тому +22

    ❤😂😂😂 wimbo wenye nimeufurahia mno....nyimbo zako chonjo sana

  • @musagau-dy9dl
    @musagau-dy9dl 5 місяців тому +23

    ❤from Kenya nimeisikiza mara kumi . weee tamu

  • @merrymboya1784
    @merrymboya1784 4 місяці тому +7

    Dada lizurii sana

  • @alicedickson5538
    @alicedickson5538 5 днів тому

    Ni master piece kwa kweli sichoki kusikiliza am grateful kwamba tumefika 1m ❤❤

  • @TheresiaWambura
    @TheresiaWambura 4 місяці тому +23

    Isha you are fire,sipendag taarab lakin Kwa hii nipo tayar kulipa kiingilio Kwa GHARAMA yoyote

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 4 місяці тому +1

      Huyu si mkurya mwenzio 😂😂😂

  • @maggiem8869
    @maggiem8869 4 місяці тому +9

    Napenda hii❤❤anapendeza kweli na maneno matamu kweli❤

  • @yusufsuwi5350
    @yusufsuwi5350 4 місяці тому +7

    Watz wa tuliopo Dubai like hapa

  • @rahema1992
    @rahema1992 5 місяців тому +9

    Asanteeeeee mamaaaaaa

  • @SwabahaFaridi
    @SwabahaFaridi 3 місяці тому +5

    Mahasidi wangu mko wapiii?! Penda hii song ❤❤❤

  • @wardakhalid292
    @wardakhalid292 Місяць тому +5

    Nyimbo tamu hasa👌😍

  • @chunahbeivy3761
    @chunahbeivy3761 4 місяці тому +27

    Jirani ywakoma n hii nyimbooo 😂😂😂😂maaana n mara ya nne hii

  • @astasaida7487
    @astasaida7487 Місяць тому +6

    Here from London, UK. Your voice has reached the UK, and we all love you. Don’t worry about the haters; most of these people are just envious of your talent. Keep being yourself and share that gifted voice! ..

  • @mickeyshaka
    @mickeyshaka Місяць тому +2

    Oya isha hili dude sio powaaaa ❤

  • @AnnastaziaJonh
    @AnnastaziaJonh 3 місяці тому +4

    nakupenda bure dada🎉🎉🎉🎉

  • @FatumaRajabu-x3c
    @FatumaRajabu-x3c Місяць тому +1

    Kwa kweli kasimu anajua na huu
    ndo aina ya mziki anaoupatia

  • @elizabethmahinya7965
    @elizabethmahinya7965 4 місяці тому +3

    Unajua sana dada

  • @IssaMomadeJuabo
    @IssaMomadeJuabo 4 місяці тому +4

    Naipenda nyimbo zk isha

  • @AminaSendekwa
    @AminaSendekwa 3 місяці тому +2

    Hakika nairudiarudia hii nyimbo kwa kwakwel🎉🎉🎉 kwa Isha

  • @AtojaBoy
    @AtojaBoy 7 днів тому

    Sanatu ❤🎉zawad apewe mauwayake

  • @rosemarytheresia6885
    @rosemarytheresia6885 8 днів тому

    ❤❤❤my favorite song hii taarabu imenikosha

  • @mohammed789hassan6
    @mohammed789hassan6 День тому

    Good video sema scene nyingi sana

  • @AujeniaAizack
    @AujeniaAizack Місяць тому +2

    Mm penda aisha Acha to naijoy mie ❤

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 3 місяці тому +1

    Asant was jinaaa wapee naipenda hiyoooo

  • @Kulekule-r5u
    @Kulekule-r5u 4 місяці тому +4

    Hasidi WA roho yangu namjua mwenyeweeeee! Hapo umemalizaaa na melody Kali sana

  • @AbdulKareem-nd3mb
    @AbdulKareem-nd3mb 3 місяці тому +1

    Mama Mashauzi mwenyewe. Kuna nyimbo moja tu yenye nimeitafuta sana CHAUBATI

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 5 місяців тому +4

    Sipendagi tarabu Ila nyimbo hii imenikosha saana

  • @rahmarahmaramadhani
    @rahmarahmaramadhani 4 місяці тому +4

    Nakupenda toka mtoto ngaa😂 mpaka sasa ❤❤

  • @MwanaHamis-y1t
    @MwanaHamis-y1t 3 місяці тому +1

    Wazanzibatr tujuane wapenda tarabu

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 4 місяці тому +4

    Isha wetu. Hapo ! Waambie daa

  • @yunusaminah2203
    @yunusaminah2203 5 місяців тому +14

    Ukweli ,hi nahipa dedication kwa hasidi wa roho yangu😂😂😂

  • @suzannemugugu
    @suzannemugugu 4 місяці тому +3

    Yani napenda sana iyinyimbo yanisichoki kuiyangaliya,karibu Burundi dada tunakupenda sana❤

  • @HaidarJuma-ip7of
    @HaidarJuma-ip7of 4 місяці тому +4

    hii nyimb naikubal snaaaaa

  • @kimchowakabata9023
    @kimchowakabata9023 3 місяці тому +4

    🙌🏿🙌🏿 base line+sauti =Mashauzi Galore 🔥🔥

  • @26chancelor
    @26chancelor 4 місяці тому +2

    Love From DRCongo, na penda mziki wa Tanzania 🇹🇿

  • @FaniaHassani
    @FaniaHassani 5 місяців тому +5

    Maashallaah KAZI imeenda hiyoooooo❤❤❤❤

  • @ngayasimonje
    @ngayasimonje 4 місяці тому +4

    Daaaaaah nikiwa mkubwa ntakuw km ww My dada❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IbrahimMzaza
    @IbrahimMzaza 4 місяці тому +3

    asikwambie mtu hii nyimbo iliweza hongera am your fun🥰🥰

  • @SalimAbdusalam-h7w
    @SalimAbdusalam-h7w 20 днів тому

    Hakuna msanii ninaemkubali na mkaliii kama huyo dada mob Love from Mombasa

  • @givengordon1
    @givengordon1 3 місяці тому +1

    Sipendagi taarabu...but huu wimbo naupenda hadi sio poa❤

  • @coolmindskenya1498
    @coolmindskenya1498 Місяць тому +1

    On God bro!!. Her voice is simply divine. First time listening to taarabu and I'm in love.

  • @Husna-i3h
    @Husna-i3h 2 місяці тому +1

    Assalam sity aisha mashallah nakupenda sana wewe na vyimbo zako zote nzuri sana mola akuhifadhi na sauti yako akupe umri mrefu ameen

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 4 місяці тому +3

    Yeah hii ngoma kali. Naona ulivyokua ukiimba iliashiria kuna kitu kilitakiwa kufanywa kwenye kucheza ila umeryonesha kwa hisia. Hongera dir.

  • @AminaMwalim-c4q
    @AminaMwalim-c4q Місяць тому +1

    Wapi wa Aisha Mashauzi ❤❤❤❤ twa kupenda Aisha Mashauzi❤❤❤

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 4 місяці тому +8

    Wimbo mkubwa Sana 🎉🎉🎉

  • @AsmaniMatiro
    @AsmaniMatiro 13 годин тому

    Nipeni nulewe nawatakuya song hi ndani ya 2025 enjoy

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 4 місяці тому +4

    Sahib nafsi, Isha! Hiki chombo ni matata mbaya! 🔥 🔥 🔥

  • @twalibumohamedi
    @twalibumohamedi 5 місяців тому +5

    Isha utaniua mie maana ni🔥🔥🔥

  • @AbubakaryMohamedy-s9e
    @AbubakaryMohamedy-s9e 3 місяці тому +1

    Mashallah mtoto wa pwani umeimba

  • @missmannydxb
    @missmannydxb 5 місяців тому +6

    Isha kwa uzuri wake mashallah ♥️this has become one of my favourite song by you

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 5 місяців тому +2

    Onger san nyimbo nzur sana

  • @DulcanOg
    @DulcanOg 5 місяців тому +8

    Video kali more blessing director

  • @AliciousMontero-l7g
    @AliciousMontero-l7g Місяць тому

    Sipendi Taarab Ila hii nyimbo wueeeeeeh 🥵 iko sawa 🎉

  • @Vanessa-x4g1d
    @Vanessa-x4g1d 2 місяці тому

    Woooooh kristo.jmn hongeren kwa atua mnazo piga parokia ya mtakatifu padre pio mwenge kwel Father martin mtai anafuraa iliyoje kuona waumini wake kwanya ya padre pio inavyo upiga mwing. hongereni sana parokia yangu mungu awabariki na kuwaongoza.

  • @DottoIddi
    @DottoIddi 5 місяців тому +2

    Isha mashuzzi wakuache tuu awakuwezi

  • @hassanupovizuriwaziri8780
    @hassanupovizuriwaziri8780 4 місяці тому +3

    Tam nzuri inaburudisha

  • @AliKarafu
    @AliKarafu 27 днів тому

    Esha mashauzi hoyeeee,twende naloooooo

  • @MwakaHajji
    @MwakaHajji 4 місяці тому +3

    Nakukubali dd hongera dn❤❤❤

  • @MariaClement-z7m
    @MariaClement-z7m 2 місяці тому +1

    Hii nyimbo nzuriiiiii ❤😍

  • @PatrickOgada-rd2jk
    @PatrickOgada-rd2jk 2 місяці тому

    Taarabu juu juu Tena, tuko hapa visiwani Seseli. Naam lugha sanifu kweli.

  •  4 місяці тому +1

    Sio shabiki wa taarabu lakin hii salute

  • @sihabasihaba8511
    @sihabasihaba8511 Місяць тому

    Mungu yupo pamoja naye zuchu usisikilize ya watu fanya kazi

  • @SalumTumbo-s7o
    @SalumTumbo-s7o 2 місяці тому

    Mwanamuziki wangu namba moja ameludi kazini mungu mkubwa sana❤❤

  • @sadikilumumba1370
    @sadikilumumba1370 5 місяців тому +18

    From Nashville Tennessee USA 🇺🇸 🎉🎉🎉❤

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s 3 місяці тому +1

    Ila dada unajua sana

  • @CarlitacelestinoLimas
    @CarlitacelestinoLimas Місяць тому +2

    Malkia wa tarabu
    🇲🇿❤️❤️❤️

  • @HypebeastCentralzone-qs1es
    @HypebeastCentralzone-qs1es 4 місяці тому +12

    Ngoma kali sana big up sister . Alafu director umeumiza . Producer kaumiza sana pia . inshort kazi imekamilika

  • @McMkombozi
    @McMkombozi 5 місяців тому +14

    Mashauzi modern taarab oyee😂😂

  • @anthonykaruiru9519
    @anthonykaruiru9519 4 місяці тому +4

    Asanta mashauzi. Mahasidi watakoma

  • @aliharoon134
    @aliharoon134 3 місяці тому +1

    Huwo wimbo NI Moto sana❤❤❤❤

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 5 місяців тому +1

    Mbona kama shilole bdo anamwiimbia Esha, hamani...

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 2 місяці тому

    Sasafisana lsha mashauzi nakukubali ukoju wakukushusha hakuna ❤❤❤❤

  • @SwabahaFaridi
    @SwabahaFaridi 4 місяці тому +3

    Santha mama mieee! ❤😊

  • @WardaAzel
    @WardaAzel 4 місяці тому

    Hii nyimbo nilikuwa natamani sana video yake daa isha mashauzi nakubali sana hii song naipenda sana walai ❤

  • @KelvinBarwani
    @KelvinBarwani 5 місяців тому +3

    Kama stahili ya kongo ambayo inaitwa mutwachi kwakweli Isha wewe nibala

  • @loiceerambo1905
    @loiceerambo1905 24 дні тому +1

    What a track!!!! 🇰🇪

  • @MwajumaJumanne-j7e
    @MwajumaJumanne-j7e 16 днів тому

    ❤❤❤ dada angu nakupenda bure

  • @hassanyussuph4407
    @hassanyussuph4407 18 днів тому

    Kitu hichoo cha maana kabisa

  • @suleimanabdullahi3190
    @suleimanabdullahi3190 Місяць тому

    I think i will have to invite @Isha Mashauzi to my wedding inshaalah.

  • @nanadahal4740
    @nanadahal4740 25 днів тому

    HABIBTY ALLAH AKUHIFADHI YARAAB

  • @ZainabuShabani-u7p
    @ZainabuShabani-u7p 5 місяців тому +3

    Nakupenda sana dada agu❤❤❤❤

  • @EliseeKizyala
    @EliseeKizyala 3 дні тому

    Una juwa❤

  • @BimkubwaKirobo
    @BimkubwaKirobo Місяць тому

    Nimeikubali sana

  • @konayaukakasi2314
    @konayaukakasi2314 3 місяці тому

    Isha we ni mkali wallah

  • @vee4296
    @vee4296 4 місяці тому +1

    Naupenda wimbo huu dah

  • @hamidawamba
    @hamidawamba 4 місяці тому +5

    Producer shkamoo

  • @dijahmbinyo7301
    @dijahmbinyo7301 4 місяці тому +4

    Her confidence ate 🎉🎉❤❤❤❤

  • @khalfanikanga
    @khalfanikanga 4 місяці тому +3

    Ishaaa video umetupa ya offical sana hebu tupe ya kiswahili kidogo

  • @shuukuchy6350
    @shuukuchy6350 4 місяці тому

    Queen wa masauti...utadhan watu 2 waimbao...❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪