Ushauri wangu ndugu, Usiishie kusikiliza upande huo pekee yake, Bali jitahidi kuwasikiliza na wanao kataza sherehe za mawlid wanatumia hoja zipi na zina nguvu kiasi gani. Ni ushauri tu ndugu, Utanisamehe kama nitakua nime kukwaza.
Masha Allah masha Allah kwa hakika umetupa muangaza mkubwa maana saiv tumeparaganyika kwa kweli hata dua miskitini hazisomwi tena watu wakiswali wanatoka bila ya kujua umuhim wa dua yan hatar kwa kweli mm nipo pamoja Na ww sheikh wetu najua wapo wanaokuchukia lkn waache sisi tupo tunao kupenda kuliko hao wanaokuchukia ila hakuna anaekuweza kwa maneno ya hekima Na busara ww Ni no moja nahisi wangelilizungumzia wao hili basi sjui ingekuwaje maana wanataman wakuchape ila ww umeelimisha kwa maneno ya hekim Na busara Na kufahamika kbs. Nakupenda sheikh wetu Allah akulinde.
Mashaallah Shekhe wangu,Role Model wangu Shekhe Othman Maalim... Mola akulipe kheri na Ulinganiaji mwema... Lkn Allah Atupe Uwezo na Moyo wa kuandaa Zifa za Kumsifu Mtume S.a.w ... Tujtokeze kwa wingi sana ktk Hizi Maulid za Rasuulilah inshaallah tutapata fadhwila Kubwa sana Kwa kuonesha Mahaba yetu kwa Rasulluulullah
znzzzvvzvzvnzzzvnvnvvzzznvznznznnnzvzvvnzvnzvnnzzznvznvnzzzvzznnznznnzznznzzvzjvznvznzvzzbvzzznzzzzvznzzzz:zvznzzvnvnzzzzzvznzznzzzzzvznznnzznzzzvzznzznzvvnvvzvznbzvnzvzvvznnzzvvvnzzzzzzznzvnzzznzzzzzvzznvzzznzzvznzvzznznzzvznvzzzzzzzzzvzvznzvnzzzvzzzznzvznvnzzvzvnzzvvznzzvzzznnvznzzbzvznzvzzvznzvznzzvzznznnvzbnvnzvznvzzvvvnvnzbbnznzznvnznzznznnzvzvznzzvzvzvzzzznvznznzvznzvzvzvzznvzzbzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzlz tut were uow5
ustadhi nimekuerewa vizuri ira kwa mtazamo ware wapingaji wote si wasomi wa kutafakkuri KwAiyo tuwaaachetyu allah awahidi mana so kwa kupingakwao n.a. d alili zikowazi allah akufanyie wepesi uzidi kutoa irmu
Nilidhani nitasikia Sheikh akitoa hukumu kama kichwa cha mada ilivyo hudhurishwa Mash Allah nilichokisikia nitofauti namuomba Allah au hifadhi ulimi wako umetoa somo kubwa kwa mwenye kumpenda mtume Muhammad(s.a.w) na azingatie maulid c BIDAA
Asalam alaikum shekh othumani maalimu mimi niko Nairobi katika maisha yako ujue kuna mtu anaitwa musa Ramadhani mngazija nakupenda sana shekh wangu kwa tz wewe kwakweli elimu yako iko juu sana na hekima
Mashaaalah,naridhika na mawaidha yako shekhe Othman maalim,nakuamini sana na Allah azidi kukuongoza ktk khair sema kweli japo chungu na maulid tutayasoma mpk vizazi vyetu wenye chupi wajinyonge,Mashaaalah elimu yko naikubali sana na mimi ndo msikilizaji mkuu wa Mawaidha yko,Jazak Allah khair
Àssalam Aleikum Sheikh Othman. Mmungu akuzidishie Umri tawiilu na wingi wa elimu. Raha iiliyoje jinsi ulivyo weka sawa hii topic kuhusu Maulid Nabii, na Upingaji wake Zaidi Laiti tungelipata na tafsiri ya milango ya Barzanji ingawa ziko nyingi ingeliwatoa Watu katika mawazo yasiyo na misingi. Shukran.
hapaana siO kweLi ManenO yaakO ,, ALLah aLishaseMa nDani ya Qur'an ,, ( BaLiL insaanu aLaa nafsihii baswiira )... ukifata ManenO ya ALLah na MafunDishO ya MtuMe utakua katika twaa/rehMa za ALLah ,, Lakini ukifata MataManiyO ya nafsi na uzushi basi MtuMe aLishaseMa kiLa #BiDaa ni upOtOfu ,,, ALLah atuOnGOzeeni waisLaMu wOOte kwa JuMLa
Mashaallh barakallah nashukur saaaaaan shekhe wetu unatufunza mengi na kumucha Alla kutokana na mawaidha Yako na natamani saaaaaan kukuona laivu inshaallh taaala
Kiboko yao ameshafariki almarhum Mohamed Bakari wa shamsi maarif Allah Amuhifadhi sheikh wetu aliesoma sanaaa na akatuelewesha vizuri swala LA maulidi kama anavyotufafanulia sheikh wetu Othman Maalim uko vizuri na Allah Azidi kukupa Afya na umri mrefu ili tujekusoma huko ulipo In Shaa Allah
Mashallah tutaendelea kusoma maulid milele mpaka mwisho wetu na vizazi vyetu Umetukuzwa sana Nabi Muhammad na Allah akubaarik sh Othman hata mimi naendelea kuleta nasheed nzury kuhusu tumwa Muhammad SAW
Masha Allah sheikh Maalim Allah akulipe kheri mimi binafs nayasoma vizuri sana maulid.wanayoyapinga na wapinge kwa chuki zao binafsi. kila mtu ana akili zake atayesoma asome ataye acha na aache.tushawazoea wakanushaji. ni kuwaangalia tuu.Allah ni mjuzi zaidi. na uliyoyaongea hujaongea kwa kuyatunga mwenyewe umetoa dalili. kwa hiyo tutayasoma kwa sana! wala hatuogopi binaadamu hata sekunde moja. anayehukumu ni Allah tuu peke yake .hawa viumbe woote wanasubiria malipo mbele ya Mmoja tuu.
Sheikh uthman maalim napenda Sana mawaidha yako,,apo kw maulidi siko kbx ,,km wakati wa mtume s.a.w ,wkti wamaswaaba na ndani ya karne 3 bora halikufnyka ,,si ni bidh'aa iliyo wazi sheikh iyo
Aa huoni ana makosa kumanisha mtume SAW ameish miaka 23 hajui kuna milad yake nahajakamlisha dini ndugu iko wazi alipanda juu yamlima mtume SAW akisema kabla hajfariki leo nimekamilisha dini leo tuko wapi almuhm nimekufikishia salam
Shekh Othman uko vzr sana,mungu ndiye mjuzi zaid lkn si wanaadam,pia watu wajue kuwa kumtusi ulamaa ni sawa na kumtusi mtume s a w ,na kumtusi mtume s a w ,ni sawa na kumtusi Allah sw.lindeni ndimi zenu waislamu mjue mungu anawaona
mashaallah mungu akubarik shekhe ulie kubaliwa na mawahabi na wengineo ambae anatosha kuwa ni hojja kubwa kwa wa tz wote wanao pinga maulid kwamaana walikukubali sikuzote leo wame hakikisha kuwa ni mtu wa maulid wame kutowa katika alhidaayya yote ni chuki ..yuizzu man yashaau wa yudhillu man yashaaau..
Kama hukubaliani naasemacho shekh basi we baki kutokuamini lkn tusitumie maneno ambayo yatatupelekea kupata dhambi bila ya 7bu, tena mwengine hana amfikiacho chochote shekh othman lkn watoa maneno kama vile wamsemea mlevi asie na mana popote
Nathani waislamu wezangu tusiwe na jazba wala tusigombane uislamu ni mmoja tu na muhamaad ni mjumbe wetu waislamu wote dunia lazima tuelewane waislamu tusigombane kwa suala LA maulid na mengineyo ucha mungu ndio muhimu zaid
hili Suala halina mashiko hata kidogo na halikufanywa na mtume katika dini na siyo ktk mambo ya kidunia je aweza funga swaumu ya ramadhani mfungo sita kisha useme unamuenzi mtume?
Ndugu Mukanda uko sawa! Sheikh Othman Maallm ni Sheikh mkubwa lakini ktk suala la Maulid kachemka! Ikiwa watu wa karibu sana na mtume kama Ally bin Abi Twaalib, Othman bin Affaan, Abuu Bakar Swidiiq na taabii na taabiin hawakufanya Maulid watu waliokuja baada ya hao wametoa wapi habari ya Maulid? Ushahidi wote aliotoa hauthibitishi uhalali wa Maulid!!! Ina maana Waislam wa leo wanaujua Uislam zaidi kuliko masahaba walioishi na Mtume Mohammad (SAW)?
Asaf sulayman wew unatak kusem aya na hadith anazo tusonea zinamfurahisha nan? Na je ni swahihi hizo hadith ama ni vp?uislam haukuja kwa rai ya mtu acha kuwakyfirisha watu una coment tu na wewe tupe elim
ndugu yangu na kuusia soma dini yako vizuri Haya utayaelewa tuIPO wazi utaiona tu Kama ilivyo mtu aweza fuatia upande wapili kisha uswazishe haki utaiona tu
Asalam aleikum, kuna sheikh anaemfikia Sheikh Abdullah Saleh Farsy,ni mtu wa mwanzo aliyeutafsiri msahafu kwa kiswahili,na akatuasa makosa mengi yaliyokuwemo ndani ya kitabu cha maulidi ya barzanje,tena kwa ufupi aliyapinga,kwa haya maneno mazuri ya kupanga na kuvutia, hayatohalalisha barzanje, kwa kuwa kimeandikwa kiarabu,na yeye anajaribu kuleta ufasaha wa kiarabu kwa hawaa zake, mfano mdogo tu,maulamaa wa makkah muharram na madina munawari, hawakubaliani ma maulidi na ni marufuku,ni Bora kama ana ufahamu huo ,angekwenda huko kuwafundisha yale aliyoyaona yeye yanafaa,tuone itakuaje, lakini hilo hathubutu na wala hatothubutu,ataishia humu humu vijiweni,na yeye anajua hilo,huko ikiwa kiarabu basi huko atatolewa ngozi walizokuwa masahaba wa mtume wakiandika,asalam aleikum
Kama watu wanapinga bad maulid. ..ni ukosefu wa elm shekhe umeongea kwa dalili zote mada umeweka wazi tumeelewa sana jazaka llaah khyra. Allah azidi kukuwepesishia uzid kutuelimisha inshallah
Juzi nilikwenda Paje Nimeshangazawa sana na mskiti ambao nilisali Ijumaa . Khutba yote ya ijumaa inasema kuwa Maulid ni kharam kubwa sana . Nilishangaa zaidi kuona maziko yao . Wakati wa kurudi huko mazikoni nilishangazwa zaidi kuona uchafu wa ulevi na zinaa ulivyoenea mabaa madanguro yaliyo zagaa mjini pao pote . Nimeshangaa tena kujuwa kuwa hawa walimu wameshindwa kukemea machafu haya na wengi wao wanategemea kipato chao kutokana na harakati hizo za watalii .
Kumsifu mtume si vibaya lakini kuna vitu vina katazwa ndio ina sababisha hili jambo linaleta utata. Tusipinge maulidi alafu kwenye harusi zetu tunaleta taarab hilo ndio jambo lakufanyia kazi ndipo turudi kwa maulidi
Salaam aleikum ndugu zangu waislamu wote.... Napenda tuwe na adabu kwa namna ya kuandika comment zetu...... Sheikh Othman Maalim ni Sheikh sawasawa bila kumpinga kabisa.. ama kuhusu mawlid ni Olamaa wamektalifiana bas, pia kila anachoongea sheikh Othman anakupa na sababu zake.
Hino ndio shida ya wanao pinga hawana hikma ya kuwaeleza watu bila ya kukosowa watu kwa njia ya kukubalika,wewe kama hukubaliani nayo hiyo ni Haki yako na wanao soma wacha waendele kila mtu atakwenda peke yake.kila mukipinga ndio yanazidi mwenyezimungu atuongoze na atusameh
Kikubwa tusiangalie kwakua kasema othman maalim mka yaaplishet kuna ibada nyingi tuna ziacha maulidi ni uzushi tu ajatoa dalili hata moja yenye mashiko
❤Mimi napenda maulid mpaka kesho Alhamdulilah kifua changu hujaa huba zaidi nikisoma au kusikiliza maulid. Ndugu zangu tumsifu Mtume wetu Muhammad swallahu aleihim wasalam (Allahu huma swaleh wasalem aleih)
Ustadhi nimependa hiyo himdi ❤ irudiwe tena
Rabi zidna elima waruzukuna afah'ma
Mimi sikua nnaamini maulidi lakini hii khutba imenifanya nimeelewa maana ya maulidi na umuhimu wake. Shukran Sheikh Othman
Ushauri wangu ndugu,
Usiishie kusikiliza upande huo pekee yake,
Bali jitahidi kuwasikiliza na wanao kataza sherehe za mawlid wanatumia hoja zipi na zina nguvu kiasi gani.
Ni ushauri tu ndugu,
Utanisamehe kama nitakua nime kukwaza.
Masha Allah masha Allah kwa hakika umetupa muangaza mkubwa maana saiv tumeparaganyika kwa kweli hata dua miskitini hazisomwi tena watu wakiswali wanatoka bila ya kujua umuhim wa dua yan hatar kwa kweli mm nipo pamoja Na ww sheikh wetu najua wapo wanaokuchukia lkn waache sisi tupo tunao kupenda kuliko hao wanaokuchukia ila hakuna anaekuweza kwa maneno ya hekima Na busara ww Ni no moja nahisi wangelilizungumzia wao hili basi sjui ingekuwaje maana wanataman wakuchape ila ww umeelimisha kwa maneno ya hekim Na busara Na kufahamika kbs.
Nakupenda sheikh wetu Allah akulinde.
Mashaallah Shekhe wangu,Role Model wangu Shekhe Othman Maalim... Mola akulipe kheri na Ulinganiaji mwema...
Lkn Allah Atupe Uwezo na Moyo wa kuandaa Zifa za Kumsifu Mtume S.a.w ... Tujtokeze kwa wingi sana ktk Hizi Maulid za Rasuulilah inshaallah tutapata fadhwila Kubwa sana Kwa kuonesha Mahaba yetu kwa Rasulluulullah
znzzzvvzvzvnzzzvnvnvvzzznvznznznnnzvzvvnzvnzvnnzzznvznvnzzzvzznnznznnzznznzzvzjvznvznzvzzbvzzznzzzzvznzzzz:zvznzzvnvnzzzzzvznzznzzzzzvznznnzznzzzvzznzznzvvnvvzvznbzvnzvzvvznnzzvvvnzzzzzzznzvnzzznzzzzzvzznvzzznzzvznzvzznznzzvznvzzzzzzzzzvzvznzvnzzzvzzzznzvznvnzzvzvnzzvvznzzvzzznnvznzzbzvznzvzzvznzvznzzvzznznnvzbnvnzvznvzzvvvnvnzbbnznzznvnznzznznnzvzvznzzvzvzvzzzznvznznzvznzvzvzvzznvzzbzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzlz tut were uow5
Maa shaa allah Tabaarakarrahmaan. Nimeilimika. Jazaakallahu khairan
Wale wapinga maulid haya semeni tena ukwel ndo huo nakupenda sheikh odhuman mwalim kwa kuliweka waz hili Allah akupe Afya jema Alihamndulillah
Wallah shekh unabusara unaelimu na unajua kuelimisha nakupend ujigambi baraka llah fiika nakupenda sana ktk njia y mwenyezmung
Mashaallah,M/mungu akulinde na husda za watu na akupe nguvu ya kutulingania
Allah akuhifadhi Sheik Uthman kwa elimu hii, tumefaidika
Msikilizeni shekhe kwa umakini na utulivu sana atanielewa vzr mm wallah nilikua mpinga maulid lkn shekh alhamdulilah umeniamsha salu ala nnaby...
Maashaallaaah
Allah ampe maisha marefu sheikh wangu othmn maalim
Aamiin. Mola amhifadhi.
Sheikh Othman ahsante sana kwa mawaidha kwakeli napata mafunzo makubwa sana
Shukran jazakallah khayran tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu
Sasa leo kuna watu wanatupa vitabu vya maulid subhanallah
ustadhi nimekuerewa vizuri ira kwa mtazamo ware wapingaji wote si wasomi wa kutafakkuri KwAiyo tuwaaachetyu allah awahidi mana so kwa kupingakwao n.a. d alili zikowazi allah akufanyie wepesi uzidi kutoa irmu
kwani ninani anaekataa kumsalia mtume lakin kwamfumo upi
Urongo
Nilidhani nitasikia Sheikh akitoa hukumu kama kichwa cha mada ilivyo hudhurishwa Mash Allah nilichokisikia nitofauti namuomba Allah au hifadhi ulimi wako umetoa somo kubwa kwa mwenye kumpenda mtume Muhammad(s.a.w) na azingatie maulid c BIDAA
Asalam alaikum shekh othumani maalimu mimi niko Nairobi katika maisha yako ujue kuna mtu anaitwa musa Ramadhani mngazija nakupenda sana shekh wangu kwa tz wewe kwakweli elimu yako iko juu sana na hekima
Llllpllllklpppklkkkpko9kokkooooœ
Mashaaalah,naridhika na mawaidha yako shekhe Othman maalim,nakuamini sana na Allah azidi kukuongoza ktk khair sema kweli japo chungu na maulid tutayasoma mpk vizazi vyetu wenye chupi wajinyonge,Mashaaalah elimu yko naikubali sana na mimi ndo msikilizaji mkuu wa Mawaidha yko,Jazak Allah khair
Mashalwah
Nakupenda sana
smallpox da don
Allahuma amn inshaallh taaala yarabi
Jazaakallahu khairan Imam/sheikh/Ustad/ndugu. Mola akuhifadhi. Mola akupe umri mrefu pamoja na afya, ikhlaas na imaani
Shukran wape kweli allah akulinde
Àssalam Aleikum Sheikh Othman. Mmungu akuzidishie Umri tawiilu na wingi wa elimu. Raha iiliyoje jinsi ulivyo weka sawa hii topic kuhusu Maulid Nabii, na Upingaji wake
Zaidi Laiti tungelipata na tafsiri ya milango ya Barzanji ingawa ziko nyingi ingeliwatoa Watu katika mawazo yasiyo na misingi. Shukran.
mashallah tabarak llah sauti yako inanifanya niendelee kusikiliza kwa makini zaidi m.mungu akuweke sheikh wetu OTHMAN Maalim
Hapa kila mmoja hajui ataenda peponi ama motoni tunaomba Allah utujaalie tuijue hakki na batli insha Allah
hapaana siO kweLi ManenO yaakO ,, ALLah aLishaseMa nDani ya Qur'an ,,
( BaLiL insaanu aLaa nafsihii baswiira )...
ukifata ManenO ya ALLah na MafunDishO ya MtuMe utakua katika twaa/rehMa za ALLah ,,
Lakini ukifata MataManiyO ya nafsi na uzushi basi MtuMe aLishaseMa kiLa #BiDaa ni upOtOfu ,,,
ALLah atuOnGOzeeni waisLaMu wOOte kwa JuMLa
Mashaallh barakallah nashukur saaaaaan shekhe wetu unatufunza mengi na kumucha Alla kutokana na mawaidha Yako na natamani saaaaaan kukuona laivu inshaallh taaala
Kiboko yao ameshafariki almarhum Mohamed Bakari wa shamsi maarif Allah Amuhifadhi sheikh wetu aliesoma sanaaa na akatuelewesha vizuri swala LA maulidi kama anavyotufafanulia sheikh wetu Othman Maalim uko vizuri na Allah Azidi kukupa Afya na umri mrefu ili tujekusoma huko ulipo In Shaa Allah
Allah akubariki shekh wangu ktk maisha yako ya dunia na akhera inshaaalah
Mashallah tutaendelea kusoma maulid milele mpaka mwisho wetu na vizazi vyetu Umetukuzwa sana Nabi Muhammad na Allah akubaarik sh Othman hata mimi naendelea kuleta nasheed nzury kuhusu tumwa Muhammad SAW
Swala tano ipo lakin??
Mungu akupe afya anjema.na waisilamu wote duniani tupendane
Yarabb mpe umri mrefu wenye barka sheikh wetu uthman
rufayda baskut :dada yangu ktk imaani fatilia upande wapili. kisha uswazishe haki utaiona
rufayda baskut Aamiin
moHamed Hassan Upande wa pili wa kushoto au???
rufayda baskut
Maulid bida'a hamuna mashiko
Asante sheikh Mungu Akujaalie umri mrefu uendelee kutufundisha
Mashaallah mungu akuzidishie kher na barka in shaallah mungu akujaalie kila lakher in shaallah
Aslm alkm ww..... Masha Allah 🌹❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Shukran sana sheikh, Jazakallah kheir 🙏♥️❤️❤️. Allah akulinde 🙏
Naam sahih sheikh wetu umetufahamisha kwa undani zaid, watakao ona maulid hayafai waache watakao ona yanafaa wafanye na Allah ni mjuzi zaid
5zéme
Tumsifuni mtume tusichoke Allah anakubali kilakitu na nia yetu ndiodirayetu maadam tunafanya kwaajiliya Allah anakubali kilakitu na nia alllah atukubali inshallah
Aslm nimesoma maulidi alhamdulliha rabil alamin
Masha Allah sheikh Maalim Allah akulipe kheri mimi binafs nayasoma vizuri sana maulid.wanayoyapinga na wapinge kwa chuki zao binafsi. kila mtu ana akili zake atayesoma asome ataye acha na aache.tushawazoea wakanushaji. ni kuwaangalia tuu.Allah ni mjuzi zaidi. na uliyoyaongea hujaongea kwa kuyatunga mwenyewe umetoa dalili. kwa hiyo tutayasoma kwa sana! wala hatuogopi binaadamu hata sekunde moja. anayehukumu ni Allah tuu peke yake .hawa viumbe woote wanasubiria malipo mbele ya Mmoja tuu.
Rahma Shaban dini sio akil za mtu au chuki za watu dini imekamilika na kama kuna kitu tunapishana turud katika kuran na sunnah
Sheikh uthman maalim napenda Sana mawaidha yako,,apo kw maulidi siko kbx ,,km wakati wa mtume s.a.w ,wkti wamaswaaba na ndani ya karne 3 bora halikufnyka ,,si ni bidh'aa iliyo wazi sheikh iyo
Mashaallah allah azidi kukupa umri mrefu uzidi kutupa darsa
Allah akuhfadh
Sheikh Othuman maalim Allah akujaze kher ameena, na akupe umuri mrefu isha-allah na akupe mwisho mwema
MAASHAALAH ALLAH akubariki shekh letu kwa kuzidi kutuelimisha shukran jaazilan
mashallah shekhe allah akuweke allah yaafiq Othman Maalim jazakallah kheir
Mashallah umenifurahisha USTADH mi napenda Sana mlango wa tatu
hahahaaaaa
mie ndo haswaa nimeukariri na tafsiri napenda maulid km jina langu
Wewe hujielewi angetakiwa akupe dalili ya maulidi
Sasa hajatoa
Uislaam ni dalili sio maneno ya mtu
@@jumangodu2402 Toa wewe dalili tuone usheikh wako ndugu dini sio kukaa kukaririshwa soma kwanza..
@@jumangodu2402ulivo tolewa dalili hukusikia ama ww ni yule Allah anasema una macho huoni na masikio husikii pole hasidi wa mtume
ما شاءالله شكراً واااجد معليم . جزاكالله خيراً
Mimi sioni makosa yoyote kwa sheikhe wetu........ Allah akubariki ..
اللهم اهد المسلمين في أنحاء العالم .....
Aa huoni ana makosa kumanisha mtume SAW ameish miaka 23 hajui kuna milad yake nahajakamlisha dini ndugu iko wazi alipanda juu yamlima mtume SAW akisema kabla hajfariki leo nimekamilisha dini leo tuko wapi almuhm nimekufikishia salam
Shekh Othman uko vzr sana,mungu ndiye mjuzi zaid lkn si wanaadam,pia watu wajue kuwa kumtusi ulamaa ni sawa na kumtusi mtume s a w ,na kumtusi mtume s a w ,ni sawa na kumtusi Allah sw.lindeni ndimi zenu waislamu mjue mungu anawaona
Alla atujaalie waislam tuwe wamoja ishalla
Allah tusamehe makosayetu kama ulivowasamehe masahaba raziyallah anhu
Swalu ala Muhammad, Allah maswaleh ala muhamad waali Muhammad( s.w.a)
Shekh Allah akupe ujasil wa kuenderea kufanya daawa
Jazaaka LLAAHU Khayrah Shkh
mungu akujalie nakupenda sana ww nakuelewa sana huba zako
mashaallah mungu akubarik shekhe ulie kubaliwa na mawahabi na wengineo ambae anatosha kuwa ni hojja kubwa kwa wa tz wote wanao pinga maulid kwamaana walikukubali sikuzote leo wame hakikisha kuwa ni mtu wa maulid wame kutowa katika alhidaayya yote ni chuki ..yuizzu man yashaau wa yudhillu man yashaaau..
Shekh nimekuelew vzr san
huyu ni mzushi tangia zamani nilikuwa nasema othumani ni MTU Wa bidaa
Jaman tusiwe na chuki za kijinga waislam sote tunatafta radhi za Allah anoona maul haram bas awe mstaarab kukoment ujinga
Ibin kathiri ndio katunga maulid
Ww kumbe waongea uongo na unawadhalilisha maulamaa walio mbali na fikra za bidaa ya maulid
ManshaAllah
Tuelimishe shekh letu na ALLAH akubariki fiii dunia wal akhera
kuna baadhi ya mashekhe kwao kilakitu bidaaa,zote chuki wanataka kukuharibia jina lkn kwa uwezo wa Allah Inshaalah utazidi kuwa juu kuliko mwanzo
smallpox da don. ndugu yangu na kuusia soma dini yako vizuri Haya utayaelewa tu vizuri na haki IPO wazi utaiona
Masha Allah kila la kheri Maalim Outhman nime faidika na kuelewa Allah akuzidishie ilmu yenye manufaa Allahumma ameen
Shukrani Shekhe, kwa somo. Masha Allah
barakallah fiikum sheikh othman
Maashallah, hikma ndompango mzima allah amdumishe ktk kutufunzamengimazuri yatutatizayo.
Leonatoasiriyanoyowangu yakwamba Nakupendasana sheikh othman maalim lillahi.
mashallah ya shekh .jazaka wallah kheir
الله يحفظك شيخنا ويرحم والديك بحق محمد وال محمد
Wewe hii dua gani
Nani amekufundisha kuomba dua kwa haki ya mtume
Nimekuelewa sana shekh wangu kwa hoja Allah akulipe na Allah nimjuz zaidi
Allah akulipe kheri zote na akuongezee ktk elimu
Kama hukubaliani naasemacho shekh basi we baki kutokuamini lkn tusitumie maneno ambayo yatatupelekea kupata dhambi bila ya 7bu, tena mwengine hana amfikiacho chochote shekh othman lkn watoa maneno kama vile wamsemea mlevi asie na mana popote
Nathani waislamu wezangu tusiwe na jazba wala tusigombane uislamu ni mmoja tu na muhamaad ni mjumbe wetu waislamu wote dunia lazima tuelewane waislamu tusigombane kwa suala LA maulid na mengineyo ucha mungu ndio muhimu zaid
nivizur
Mashaallah umesema ustadh 🥰sisi na maulid
sheikh Athman maalim wewe ni sheikh wangu tena napenda sana mawaidha yako ila kwa hili utanisamehe...
Mwambie Allaah akusamehe
hili Suala halina mashiko hata kidogo na halikufanywa na mtume katika dini na siyo ktk mambo ya kidunia je aweza funga swaumu ya ramadhani mfungo sita kisha useme unamuenzi mtume?
Hata mimi pia
Co lazm kumfata jaman il wacha cc tufrah na tusome maulid
Ndugu Mukanda uko sawa! Sheikh Othman Maallm ni Sheikh mkubwa lakini ktk suala la Maulid kachemka! Ikiwa watu wa karibu sana na mtume kama Ally bin Abi Twaalib, Othman bin Affaan, Abuu Bakar Swidiiq na taabii na taabiin hawakufanya Maulid watu waliokuja baada ya hao wametoa wapi habari ya Maulid? Ushahidi wote aliotoa hauthibitishi uhalali wa Maulid!!! Ina maana Waislam wa leo wanaujua Uislam zaidi kuliko masahaba walioishi na Mtume Mohammad (SAW)?
I love you 4reva sheikh othman maalim
Mawahabi ndio makhabihdhitu
waislamu waliokamilika ki iiman hawawezi kukoment maneno kama haya
Kasome ww
Hasa we umekamilika...
Allahmdhullilah kwa ALLAH kunijahalia wislam allahmdhullilah.
Shukrani Allah akupe miaka mingii
Shekh maulid ni maneno y mungu kwail nisamee tu
Sheikh wetu Othman maalim, itak-Lah. Usifurahishe viongozi na watu kwa ujumla , Zaid angalia Sana utafakar usitumia lafzi yako mzuri kupotosha maksudi utakwenda jibu unakokwenda sio mbali, acha uzushi njoo katika Sunna. Wala usijisikie vibaya wala haya. Unajuwa makini maulidi sikatika mafundisha ya Mtume wetu. Acha uzushi fuata sunna wala usione hayya.
Wew una elimu kuliko yeye shekh
Toa Darsa yako na dalili zako
Asaf nakupa pongez shekh huyu mzur lakin ameteleza hapa wajua maneno darham
Asaf sulayman wew unatak kusem aya na hadith anazo tusonea zinamfurahisha nan? Na je ni swahihi hizo hadith ama ni vp?uislam haukuja kwa rai ya mtu acha kuwakyfirisha watu una coment tu na wewe tupe elim
Kama we unjua zaid muache akaingie motoni
MAASHAALLAH , JAZAKALLAHU KHAIRAN .
Huu ndio ubora wakuwa na watu wanaojuwa dini vizuri wasio juwa wajuwe sasa.
Ahsnte barska LWAAA Wafundishike tuliokua jayujui ili tupatr gafhila zs bwana MTIME SAW
هذا اسميه امام الشيوخ في تنزانيا، قد ءامنت اليوم.
Shukran wajazaka llahu heri
M/Mungu akupe kila la kheir, tunakusoma vizur.
Kawaaida ya Wenye kuhalalisha maulidi mnapenda Kufanya taawil baadhi za aya Allah awaongoze
ali moalim taawil ni muh wew aya nyng bla taawil hutoki
Huyu ndio mana Allah amemtia pigo huyo amemtimua nchini kwetu bola akawaambie watu wa kwao mombasa
Ramadhani Joho yaan kuna watu mizigo kabisa hlo sio pigo kam unafkria wew kwan hujui mithan hupew san wanazuon hujui kuw wat mtume alipw mithan ndgu
ali moalim na wanao pinga hutumia aya na hadith au hutumia nini?
Wanaopinga mbona wafanya birthday za watoto wao?? Tena na manyimbo na mavazi machafu
We need this to keep faith of God in our life
Mashalla mungu akubarike shekh wetu
Aa.. Maulid Yalifanywa Na Yatafanywa Na Yanafanywa.. Shukran
Kabisa
ndugu yangu na kuusia soma dini yako vizuri Haya utayaelewa tuIPO wazi utaiona tu Kama ilivyo mtu aweza fuatia upande wapili kisha uswazishe haki utaiona tu
Na tutafanyaaaaa. Swallu 3alla Nabiiii
Asalam aleikum, kuna sheikh anaemfikia Sheikh Abdullah Saleh Farsy,ni mtu wa mwanzo aliyeutafsiri msahafu kwa kiswahili,na akatuasa makosa mengi yaliyokuwemo ndani ya kitabu cha maulidi ya barzanje,tena kwa ufupi aliyapinga,kwa haya maneno mazuri ya kupanga na kuvutia, hayatohalalisha barzanje, kwa kuwa kimeandikwa kiarabu,na yeye anajaribu kuleta ufasaha wa kiarabu kwa hawaa zake, mfano mdogo tu,maulamaa wa makkah muharram na madina munawari, hawakubaliani ma maulidi na ni marufuku,ni Bora kama ana ufahamu huo ,angekwenda huko kuwafundisha yale aliyoyaona yeye yanafaa,tuone itakuaje, lakini hilo hathubutu na wala hatothubutu,ataishia humu humu vijiweni,na yeye anajua hilo,huko ikiwa kiarabu basi huko atatolewa ngozi walizokuwa masahaba wa mtume wakiandika,asalam aleikum
Kama kigezo n makka hebu tuambie dua wanayopiga mwezi wa ramadhan chungu 27, kwenye taraweh wamepata wapi dalili
Mashallaha
masha Allah jazaka Allah kheyr sheikh
Farida114 MAANA :kaka yangu ktk imaani fatilia upande wapili kisha uswazishe haki utaiona tu
Kama watu wanapinga bad maulid. ..ni ukosefu wa elm shekhe umeongea kwa dalili zote mada umeweka wazi tumeelewa sana jazaka llaah khyra. Allah azidi kukuwepesishia uzid kutuelimisha inshallah
allah anajua zaidi..
Juzi nilikwenda Paje Nimeshangazawa sana na mskiti ambao nilisali Ijumaa .
Khutba yote ya ijumaa inasema kuwa Maulid ni kharam kubwa sana .
Nilishangaa zaidi kuona maziko yao .
Wakati wa kurudi huko mazikoni nilishangazwa zaidi kuona uchafu wa ulevi na zinaa ulivyoenea mabaa madanguro yaliyo zagaa mjini pao pote .
Nimeshangaa tena kujuwa kuwa hawa walimu wameshindwa kukemea machafu haya na wengi wao wanategemea kipato chao kutokana na harakati hizo za watalii .
Hio ni misikiti ya washenzi na ukiibaini usiende
Cheikh nakukubali sana cheik wangu, ila cheikh mlango wa maulidi muutazame kwajicho la pili mana ni mlango wenye madhara makubwa katika dini.
Hiyo Aya unaeitegemea kuwa ni dalili ya Maulidi imeshuka kwa mtume na. maswahaba waliifanyia Kazi je walisherehekea hayo Maulidi?
Mashallaahh mungu akubark shekh otham maalim
Sikupingi, ila mimi ni bora niachane na maulidi, nitamswalia mtume (s.a.w), bila ya kusoma maulid
Ni sawa tu wauslaam msosoma maulidi ni waiislamu na wasomao pia sio makafiri, kwani kwa kumsifu mtume Mohammed salallah allahy wasalaam.pia sio vbaya
Mungu akupe mahaba y mtume s.a.w
Shami Witnessy kwani we nani kati watu bora anaowatambua mwenyez mungu hata mtaa wako naona hawakutambui
Kishik
Kumsifu mtume si vibaya lakini kuna vitu vina katazwa ndio ina sababisha hili jambo linaleta utata. Tusipinge maulidi alafu kwenye harusi zetu tunaleta taarab hilo ndio jambo lakufanyia kazi ndipo turudi kwa maulidi
Shukran mungu akupe kheri
Namchukia kwa ajili ya Allah na hawa inafaa kuwakufurisha kwasababu anajua maulidi haifai na analazimisha ifae
Mashekhe wako chini ya matajiri hawana dalili watak kuwardhisha matajir na wamwudh Allah na mtume SAW
Kasomen wazee acheni ligi
Sheikh mungu akupe umri mrefu uzidi kuwailimisha hao wanapinga Kwa chuki tu nawala sio Kwa dalili
Salaam aleikum ndugu zangu waislamu wote....
Napenda tuwe na adabu kwa namna ya kuandika comment zetu......
Sheikh Othman Maalim ni Sheikh sawasawa bila kumpinga kabisa..
ama kuhusu mawlid ni Olamaa wamektalifiana bas, pia kila anachoongea sheikh Othman anakupa na sababu zake.
Wewe ndo uwe na adabu kuwakemea waliojuu y'ako kiufahamu bal wewe ni kibaraka tu jaahil murakabb
Mazoon Alriyadh Est.
Hino ndio shida ya wanao pinga hawana hikma ya kuwaeleza watu bila ya kukosowa watu kwa njia ya kukubalika,wewe kama hukubaliani nayo hiyo ni Haki yako na wanao soma wacha waendele kila mtu atakwenda peke yake.kila mukipinga ndio yanazidi mwenyezimungu atuongoze na atusameh
Swadakta
Anaepnga maulidi kma hayafai aache anaehic yanafaa aendelee kufata
mashaallah mashaallah sheikh swadakta in inshallah
Kikubwa tusiangalie kwakua kasema othman maalim mka yaaplishet kuna ibada nyingi tuna ziacha maulidi ni uzushi tu ajatoa dalili hata moja yenye mashiko
@@abdallahsaid1968ww kaa kando sisi maulid tutasoma na tutamsifu mtume s a w
Hujatowa huja kufaa maulid
Allah akuhifadh
waalekeze shekhe jazaka lwahu khaira
Sio tu kuhusu Maulid pia nimejifunza na mengineyo mengi tu katika Mada hii.... Jazakallah