Allah akulipe kila laher shk kwa dawa zako asante hatuko afrika lakin tunasoma mengi kupitiya dawa zenu nyiye ma shk zetu othman maalim mungu akuzidishe ilim amiin na sis tupate faida inshaalah
Ma Shaa'ALLAAH, Tabaarak'ALLAAH, Hafiidullaah. HANGOOJI MWENYE KIBRI KUNYANYULIIWA HANGOOJI MWENJE JEEURI KUNYANYULIIWA MTU YOYOTE MWENYE KIBRI/JEEUURI/KUJI INUWA/KUJISIKIA, ni mtu Mjinga, hatakama amemaliza universities zooooote za Dhunia. Baarak ALLAAHU Feekum for sharing.
shukran sana kwa ku uploads na InshALLAH upload na nyengine na malipo yako utayapata kwa ALLAH, na InshALLAH ALLAH atampa afya sheikh othman maalim azidi ku2elimisha.
jazakallahu kheiran for the new uploads..asante sana,i enjoy listening to othman maalim..may Allah help him, and if there is anything wrong may ALLAh help him correct himself . amin
MnyeziMungu akulipeni (Akasha Daawa) kheri nyingi za hapa duniani pamoja na za akhera. Sisi tulio nje tuna deni kubwa sana kwenu lakini ni MwenyeziMungu tu ndie anaeweza kutulipia. Ewe MnyeziMungu tunakuomba pia mjaalie Sheik wetu Othman, pepo ya Fildous pamoja na bwana mtume.
Mashalaa na penda sana dasisa zako mim mungu akupe umri mrefu na afiya Amenee
mashaAllah napenda sannna darsa zako Allah akujazi kheri akupe pepo ya firdaus ameen
MashiAllah Skh Othman yapokuwa ya muda lakini si shibi kuiskiliza Mola atuepushe na Kibri na arehemu wazazi wetu na walio tutangulia mbele ya Haqi
Mashaallah Mashaallah Allah akujalie heri umri mlefu wenye afya njema na mwisho mwema
shekh mawaidha haya yamenifundisha mengi sana ambayo nilikuwa sijui kuwa ni makosa shukran sana mungu atupe khatma njema ishaaallah
Jazaka Allah Kheir....I love you brother in the name of Allah.
Nakupenda sana tena sana sheikh Othuman ALLAH akujalie pepo firdaus yaaniUwe pembeni na MUTUME (s.a)
Allahumma Amiiin
Kwasote tuwepembeni
Ya Rasululallah Amiiin
Allah akupe afya shekhee wetu
Jazakallah kher
Amiiin yarabii
nimefaidika na darsa yko walahy MashaAllah mungu akuzidishiye kwaza ya Omar ibin abdiaziz big lesson
Mashallah
Allah akulipe kila laher shk kwa dawa zako asante hatuko afrika lakin tunasoma mengi kupitiya dawa zenu nyiye ma shk zetu othman maalim mungu akuzidishe ilim amiin na sis tupate faida inshaalah
Mungu amjalie mwisho mwema
Ashkur Habiba Allahu zidnaa ilman waljanatul Firdausi in shaa Allah
Ma Shaa'ALLAAH, Tabaarak'ALLAAH, Hafiidullaah.
HANGOOJI MWENYE KIBRI KUNYANYULIIWA
HANGOOJI MWENJE JEEURI KUNYANYULIIWA
MTU YOYOTE MWENYE KIBRI/JEEUURI/KUJI INUWA/KUJISIKIA, ni mtu Mjinga, hatakama amemaliza universities zooooote za Dhunia.
Baarak ALLAAHU Feekum for sharing.
Mashallah mawaidha mazuri Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha
Allah atuepushe na tabia ya kibri
JazakAllah, Aksante sana Sheikh
shukran sana kwa ku uploads na InshALLAH upload na nyengine na malipo yako utayapata kwa ALLAH, na InshALLAH ALLAH atampa afya sheikh othman maalim azidi ku2elimisha.
Allah atatuongoza njia ilionyoka.
Allah atuepushie kibri kisitutawale.
Allah atujalie tuwe waja wema.
Allah atujalie mwisho mwema.
Amiin
Mungu atuepushe na kibri
Alhamdulila 🙏🙏🙏
Allah akupe mwisho mwema
Mungu Akujaalie Kher Inshaallah Dunia Na Akher
jazakallahu kheiran for the new uploads..asante sana,i enjoy listening to othman maalim..may Allah help him, and if there is anything wrong may ALLAh help him correct himself . amin
Mwenyezimungu akujarie
a.alkm...mungu akujaze kheri. ..je humwaka 2016...ramadani nitakuwa meziwangapu
7 mwezi wa sita biindhinllah
Mashaalla Allah Azidi kukupa afya njema
asante xn othman maalim napenda xn staili yako ya dawa mungu azidi kukuweka
Allah atuhifadhi na kibri
MnyeziMungu akulipeni (Akasha Daawa) kheri nyingi za hapa duniani pamoja na za akhera. Sisi tulio nje tuna deni kubwa sana kwenu lakini ni MwenyeziMungu tu ndie anaeweza kutulipia. Ewe MnyeziMungu tunakuomba pia mjaalie Sheik wetu Othman, pepo ya Fildous pamoja na bwana mtume.
Asante kwa mawaidha
Mwenyezi Mungu atuepushe na kibri ameen
Allahum barq shkh othmn maalm
ALLAH atuepushe na Kibri
Manshaallah Natamani Niwe Kama Ww
mashallah
Manaan Othmaan mamBo
Mashallah
Jazakallah kheri
Tumtegemee Allah
Allah Ibarik
mungu Atuongoze Inshaallah
Maashaallah
YOU ARE MOST WELCOME
Wapi na mimi nije munifundishe kumtumikia Allah subhanahu wataala
barakallahufeek
mashaalh
Hii ndo elim yenye manufaa
KARIM ATHUMAN India
jazakallah kheir
Aminah
Masha Allah
Watu wenye sifa izo niniao huku si wote baazi yao jambo dogo wanakua wakali tupe dawa shekh wetu ndo tiba yetu iyoo.
Maashaalah
Mashallah napenda San Shah huyo anamawaidha mazuri allah
umri mrefu ili tupate
Imani zaidi
nimefaidika na darsa yko walahy MashaAllah mungu akuzidishiye kwaza ya Omar ibin abdiaziz big lesson