Othman Maalim - Alama za watu wapeponi & Nani Mhadi Mutadhar.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 218

  • @fahadlauni5854
    @fahadlauni5854 5 років тому +6

    Mashaallah mwenyezi mungu akulinde na husda mbaya na akupe umri mrefu ili uzidi kutukumbusha mambo ya Allah kiukweli nimebadilika kutokana na mawaidha yako na napenda saana unavyo soma kuruani mungu akuweke na akupe mwisho ulio mwema shekhe wetu

  • @skeneali6125
    @skeneali6125 4 роки тому +1

    Mashaa allah maalim othaman allah akupe uzima na afya njema .nafurahi sanaaa kuskia mawaidha yako

  • @ukhtys8275
    @ukhtys8275 8 років тому +11

    Jazaka allahul khayr ya ustadh allah akulipe mema dunian na akhera in shaa allah.

  • @Jnrsoweto
    @Jnrsoweto 9 років тому +5

    jazakalah qeyr sheikh niko uholanzi na napenda kusikiliza mawaidha yako shukran.

  • @mohamedyadamu888
    @mohamedyadamu888 2 роки тому

    jazakhaalah shekhe mwenyezi mungu hakupe umri mrefu ili undelee kutupa dawar

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 9 років тому +7

    Masha Allah sheikh Maalim .unayaweza kuyaelezea mawaidha kwa mpangilio sana. Allah akulipe kheri. nimejifunza mengi sana kutokana na mawaidha yako. hasa historia za maswahaba. na vita vyote alivyipigana Mtume s.a.w) pamoja na historia ya Makhalifa wakubwa. Mashaa Allah Allah akuandalie makazi mema peponi.
    shukran sana akasha daawa Allah akulipe kher.

  • @lolooman9170
    @lolooman9170 5 років тому +1

    Hongera Shekh Othman Wewe ndo mshindi wa kwanza Allah Akubarik.

  • @omarjama7555
    @omarjama7555 5 років тому +2

    ALLAH akupe afya na umri kwa elimu unayo tupatia jazakallah sheikh othman maalim..

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 років тому +7

    Allah akuzidishie.manufaha in shaa Allah 🙏🏻tuzidi kupat mafundisho kutok kwako❤️🌹

    • @tausimohammed1070
      @tausimohammed1070 4 роки тому

      Allah akujaalie kila la kheri kwa kutujuza, mashaallah,Amiina,

  • @حسنيهاحمد-ل5ه
    @حسنيهاحمد-ل5ه 4 роки тому +1

    MashaaAllah nampenda Othman maalim kwa mawaidha yake

  • @rehemaramadhani200
    @rehemaramadhani200 8 років тому +14

    mashallah moyowangu hutulia ninapo sikia mawaidha yako jazakallah kher Allah akuzidishie umri mrefu .....

  • @wardaLashku
    @wardaLashku 6 років тому +2

    MashaAllah Allah akulipe kher sheikh wetu.Amiin

  • @halimaali6103
    @halimaali6103 3 роки тому

    Mashallah mungu akupe umri mrefu akuhifadhi na kila husdaa

  • @mwajumamtumweni2675
    @mwajumamtumweni2675 6 років тому +4

    Ma sha Allah mawaidha mazur sana fi mizan hasanatik In sha Allah

  • @hilalakida7016
    @hilalakida7016 4 роки тому +1

    Mashaallah shekh othman Allah atuongoze ktk kher inshaAllah

  • @fuadadam6857
    @fuadadam6857 8 років тому +20

    maa shaa allah sheikh wetu mungu akujaalie umri mrefu wenye manufaa kwako na kwa waislamu wote

    • @zainabuomary3957
      @zainabuomary3957 5 років тому +1

      Maashallaah Allah akujaalie umri mrefu wenye baraka tele shekhe wetu kipenzi chetu

    • @ahmedhamisi328
      @ahmedhamisi328 4 роки тому +1

      amiina rabbi alamiin

    • @ahmedhamisi328
      @ahmedhamisi328 4 роки тому

      masha Allah mwenyezi mungu akulinde kila baya amiina rabbi alamiin ....shukuran sana kwa kutupa nasaa za kutuilimisha ?

    • @fatumaramadhanmashaallahal9966
      @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 роки тому +1

      @@ahmedhamisi328 amin yarabi

    • @ahmendabdulla8831
      @ahmendabdulla8831 4 роки тому

      Iovely for saike of Allah

  • @saadathman7475
    @saadathman7475 4 роки тому

    Ma shaa allah mungu akujaalie ilimu zaidi na akuruzuku fahamu

  • @mansourabuubakri5171
    @mansourabuubakri5171 6 років тому +5

    جزاك الله ونسأالله أن يحفظك وأن يجعلك عافية

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 2 роки тому

    Masha Allah!! Allah akuhfadh Shekh wetu

  • @mussajangwa9106
    @mussajangwa9106 5 років тому +2

    Masha Allah
    Hakika tunapata faida sana
    Kwa mawaidha yako

  • @yazidathumani6596
    @yazidathumani6596 3 роки тому

    Mashaallah Allah akupe afya shehe othuman maalim

  • @ashaali5773
    @ashaali5773 6 років тому +2

    mashall ujumbe unafudish shekh wetu jazakhlakher👏👏👏👏

  • @jemamrisho80
    @jemamrisho80 10 років тому +6

    mashallah... mungu atupe wepesi katika dini yetu

  • @massjasscard8217
    @massjasscard8217 5 років тому

    Mwenyezi mungu akujaalie elim zaidi naakupe umri mrefu

  • @mukiwamoussa2632
    @mukiwamoussa2632 8 років тому +4

    mungu akujalie kila lakheri nasiku ya kiama atujalie tuwe wote peponi

  • @zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653
    @zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653 9 років тому +12

    mashaa ALLAH napenda unavyosoma quran ALLAHUBARIK mawaidha mazuri

  • @laithballeith7045
    @laithballeith7045 7 років тому +7

    Masha Allah tabarakallah mawaidha mazur sana jazakallahu khairan katheeran.

    • @haji352
      @haji352 6 років тому

      Masha Allah

    • @abdallahokundi3968
      @abdallahokundi3968 5 років тому

      JazakaAllah ,sheikh Allah akupe ukujaze iman saidi ,na akujalie peponi nasisi wote inshaAllah

    • @hamil7895
      @hamil7895 4 роки тому

      @@abdallahokundi3968 Amin

  • @zainabusingirankabo7487
    @zainabusingirankabo7487 3 роки тому

    Ma sha Allah Allah akupe kheri duniani na akhera na si atujaaliye kuelewa na Ku fuata kwa huruma wake

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 5 місяців тому

    Allahu akbar allah stujaalia tuwe ni miongoni mwao❤❤

  • @yasmingadie2259
    @yasmingadie2259 2 роки тому

    Mashallah hakika mawaidha nimeyapenda Sana Allah akupe umri mrefu😢

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 7 років тому +8

    assalam alaiukum huyu sheikh ana elimu kubwa sana marshaalla Mmungu amzidishie

    • @fatmabowa739
      @fatmabowa739 7 років тому

      nassor subah ....Ameen yaraby

  • @murunguasuman4918
    @murunguasuman4918 4 роки тому

    Mungu Akuzidishie Elm

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 роки тому

    Mashallah Shekh tutengezee mashekh wengine kama wewe ukiondoka tuendelee kufaidika

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 роки тому

    Mashaalla alla akubariki akupe mwisho mwema 🙏

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 4 роки тому

    Mashallah Mashallah M.mungu atuwekee Shekh akupe kila la kheri

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Amiin amiin amiin
    Shukran ya sheykh allah akuzidishie nuur zaidi

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 роки тому

    Mashallah Allah akulipe kila la kheri inshallah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому

    Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzur Allah akujaalie kila la kher naakujaalie jannat firdaus Aamiin tunakupenda sheikh wetu kwaajili ya Allah Aamiin jazaka Allahu khair

  • @aliynaheka2284
    @aliynaheka2284 7 років тому +6

    Allah akujaalie shekhe

  • @hhhh9656
    @hhhh9656 4 роки тому

    Mashaallaah mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha lnshaallaah

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 4 роки тому

    MashaaAllah baraka ALLAH ALLAH tunusuru na mabaya ktk dunia na akher pia

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 роки тому +1

    Mawaidha mazuri shukran sheikh

  • @hosobify
    @hosobify 12 років тому +5

    MASHALLAH
    this sheikh is good.....jazakallah kheyr

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 4 роки тому

    Allah akujazi kheri maalim

  • @aishamaulidy8923
    @aishamaulidy8923 7 років тому +3

    Jazzakala kheira malipo yako kwa Allah

    • @habibumkuki4723
      @habibumkuki4723 5 років тому +1

      Jazaka llah kheiry ya Sheikhuna Othman maalim

  • @ayubikunga5597
    @ayubikunga5597 4 роки тому

    Allah azidi kukupa afya shekh tufaidike na mawaidha yako ya kheir.

  • @rajabedween5533
    @rajabedween5533 9 років тому +4

    JazakhAllah kheyr ya Sheikh... Just love your khutba

  • @sabrinayounisaden6413
    @sabrinayounisaden6413 8 років тому +2

    JazaakaAllah khair sheikh Othman

  • @murunguasuman4918
    @murunguasuman4918 4 роки тому

    Mungu Akuzishie Elm

  • @khadijamgambo6874
    @khadijamgambo6874 3 роки тому

    M/Mungu akupe afya akuepushe na mahasid na Akupe umri mrefu

  • @mikaelvicent8201
    @mikaelvicent8201 8 років тому +3

    mungu akuzidishie

  • @kultychuu
    @kultychuu 13 років тому +7

    Ahsante Almas, InshaAllah ukipata mawaidha mengine mapya naomba uweke ili tupate kufidika na sisi!!!

  • @kenyakenya5646
    @kenyakenya5646 4 роки тому

    ماشاء الله شيخ عثمان مالم

  • @mwammiebukulu285
    @mwammiebukulu285 4 роки тому

    Mashallah....napenda mawaidha yako.

  • @shukriajama7050
    @shukriajama7050 7 років тому +2

    mashaAlah sheikh wetu alah akuzidishie elimu

  • @hawampelepele1733
    @hawampelepele1733 4 роки тому

    Ahsante nimeelewa somo

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 5 років тому +6

    JazaakAllahu khair shiekh othman, love your lecture, i live in europe and you said nothing but facts may Allah Almaighty protect us and our children.

  • @K2dawilla
    @K2dawilla 11 років тому +9

    Mashaa-Allah.

  • @ashaali4881
    @ashaali4881 9 років тому +5

    ABDI SORA ; sheikh othman maalim allah akujaze kila la kheri amin

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 роки тому

    MaashaAllah sheikh njan🤲🤲🇴🇲🇴🇲

  • @habibushekh7244
    @habibushekh7244 6 років тому +1

    Shukran sana ya sheikh

  • @halimanarcis6745
    @halimanarcis6745 10 років тому +22


    Napenda sana kusikiza mawaidha yako Jazakalkheir

    • @hajiissa9200
      @hajiissa9200 6 років тому

      You are beutifull mashallah

    • @seifmohamed836
      @seifmohamed836 4 роки тому

      Halima unapenda mawaidha lakn kichwa wazi na matendo je unayo yafanya yanaendana na haya mawaidha ????😭

  • @khayratsuleiman5346
    @khayratsuleiman5346 3 роки тому +1

    Allaahumma Yaa Muqallibalquluubu Thabbit Qalbiy Alaa Diynika
    Allaahumma Rzuqniy Husnil Khaatmah
    Allaahumma J'alniy Tawbatan Nasuuhaa Qabla lMauti

  • @LaylaSaid-v3m
    @LaylaSaid-v3m Рік тому

    Allah akujaalie umri wenye afya uweze kuendelea na dawaa...
    Ameen.

  • @nasriitahussein1081
    @nasriitahussein1081 7 років тому +4

    Masha Allah sheikh napenda sanaaa mawaidha yako

  • @TheRuky07
    @TheRuky07 12 років тому +2

    jazakaAllahul kheir..twashkuru insh aAllah uzidi kutuelimisha

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +1

    Aaallah atupe mwisho mwwema yarab

  • @ashooraashoora5415
    @ashooraashoora5415 6 років тому +1

    Jazzakumullah khery

  • @SaniyasuhelAHMEDABDURHMNyasala
    @SaniyasuhelAHMEDABDURHMNyasala 9 років тому +1

    mungu akulipe kwa imaniyako ya sadaka

  • @kassimkhamis7581
    @kassimkhamis7581 8 років тому +2

    جزاك الله خيرا ياشيخ

  • @mustiimustafe6738
    @mustiimustafe6738 6 років тому +3

    Masha Allah

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Mashallah yaarabbi tujaalie nasie tuwemo katika watu wa peponi kama huyo kijana alobashiriwa pepo

  • @amiirrashid6624
    @amiirrashid6624 4 роки тому +1

    Mashaa Allah

  • @Presenterramjtz
    @Presenterramjtz 5 років тому

    Allah azidi kukupa umuriii uzidi kutujuza mengi ktk khairatii ikhwaaan fi llah

  • @mustafaabdi6674
    @mustafaabdi6674 8 років тому +19

    I love you for the sake of Allah

  • @khalidmanyara8298
    @khalidmanyara8298 10 років тому +10

    Daawa ni chakula ya roho ALLAH ampe umri sheikh

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 роки тому

    Subhanallah mashallah wajazaka Allah kheir

  • @zawadiosman9527
    @zawadiosman9527 7 років тому +1

    mashallah allah ikharic maalim

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 4 роки тому

    Jazakallah sheikh, Hawajakupa kwa sababu wanajuwa sheikh mkubwa ndomaana hwajakupa visa

    • @ashasalim4518
      @ashasalim4518 4 роки тому

      Acha fitna God tolarets all Evil for the Good

    • @khalifa_wayy1979
      @khalifa_wayy1979 4 роки тому

      @@ashasalim4518 nasema kwa kujuwa hajapewa visa ya UK kwasababu ya dawaa, hata zakir Naik walimkatalia, Kwani fitna mie nyapata nini, just my opinion

    • @ashasalim4518
      @ashasalim4518 4 роки тому

      @@khalifa_wayy1979 I got you no worries nimekuelewa

  • @mohammedmuhaji3374
    @mohammedmuhaji3374 5 років тому +1

    Allah barik

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 роки тому

    MashaAllah Allah barik

  • @hajiissa9200
    @hajiissa9200 6 років тому +1

    Masha Allah. Sheikh .

  • @maulidinchasi6401
    @maulidinchasi6401 Рік тому

    Allah akuhfadh

  • @hamiskengwa5869
    @hamiskengwa5869 4 роки тому

    Hakika maalim wetu unatupaga chakula ambacho nikitamu mno tunajifunza mengi sanaa , Allah Azidi kukupa afya njema

  • @erickjavan8825
    @erickjavan8825 4 роки тому +2

    Mashallah❤

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 роки тому

    MashaAllahu mashaAllahu mashaAllahu.jazzakh Allahu kheir

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 років тому

    Shukran wajazaka Allahu heri

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 Рік тому

    Jazakalah

  • @semenimtoka1121
    @semenimtoka1121 4 роки тому

    Wallah wallah nakupenda kwa ajil ya allah

  • @jumadingo3248
    @jumadingo3248 5 років тому +1

    Nampenda Sana huyu sheikh

  • @enterenter7798
    @enterenter7798 Рік тому

    Maa shaa Allah 😢😢🤲🤲

  • @aminafesaliaminafesali8105
    @aminafesaliaminafesali8105 3 роки тому +1

    Allah akbar subhan allah

  • @sandrasandra96
    @sandrasandra96 6 років тому +1

    Jazakallah kher

  • @paziramadhani8331
    @paziramadhani8331 9 років тому +3

    ALLAH AKUPE KHEIR NYINGI UZIDI KUTUKUMBUSHA MENGI NA KUJIFUNZA MENGI INSHA ALLAH

  • @mohammedmashaka2188
    @mohammedmashaka2188 7 років тому +3

    mashaallah jazakallahu Khaira

  • @hassankhamis7977
    @hassankhamis7977 9 років тому

    Mashaallah mungu akujaze kheri sheikh othman maalim

  • @jumaahmed2493
    @jumaahmed2493 8 років тому +3

    Mashallah

  • @bahatishaomar8069
    @bahatishaomar8069 10 років тому +3

    Napenda sana kusikiza mawaidha yako mola akulipe kheir kwani nimejifunza mengi mno

  • @issabonelo9838
    @issabonelo9838 5 років тому +1

    Mashaallah dalsazako zina utukufu ndani yake

  • @husnangoma387
    @husnangoma387 3 роки тому

    Maashalla