Umenielimisha saana binafsi na imani yangu inasimama kwakiasi nikusikizapo huwa natulia kwa yakini kabisa nayananiingia sawasawa allah tabarq akujalie kherya dunia wafil akhera amiiiina nawishi kuja kuonana na ww
SubhanaAllah lailaha illa Allah mohammad rasulullah. . shukran mufti kwa khutba zenye kugusa mioyo twafarijika sana uwepo wako.. Allah atakulipa fil dunia wal akhera. .. Yaa Rabbi tujaalie mwisho mwema🙏🙏🙏 ummati Mohammad swalla llahu aleihi wassallam
ameen ukitaka ufarijike fuatilia mawaidha ya sheikh Othman maalimu mwenyezi mungu ampe maisha marefu yenye heri mpaka siku ya mwisho amzidishie elimu zaid na zaid
Allah Akbar Allah Akbar...Allah,,atuongoze mema atujalie miongo mwawaja wako wema na kizazi changu na wazazi wangu na jamaa zangu na waja wake wema wa...Allahhumma Ameen Ameen ya rabbi Allah Ameen Ameen...Allah,,muzidishie umbri wamema shekhe wetu othman maalim na jama zake na kizazi chake...Ameen Ameen ya rabbi Allah Ameen Ameen
Masha Allah,sheikh Othuman unajuwa kituliza mioyo ya waja wa Allha maana ukisikiliza mawaidha yako haki unapata vingi hakika Allah azid kukuweka sheikh wetu
Allahu Akibaru mwenyeezimungu ni mkubwa Alla tujaaliye khery na mwisho mwema tuwe miyongoni mwa kukujuwa ww ni nani unataka tukufanyie nn ili ufulahi ww ni Raufu lhakim ww ni Ratwifu ss ni wanyonge tunagemeya ww muweza wa yote
shukran kwa mawaidha hakika tumepata manufaa m.mungu akuhifadhi inshaAllah uzidi kutunufaisha jazaa yako kwa Allah mawaidha ya shekhe othman maalim mshllh mazri sana yenye kugusa nyoyo
Asante sana mungu akupe kher sku zote
Yaan acha nikupe sif zako napenda unavyo ongea yaan unavutia mvuto unao masha laa
Umenielimisha saana binafsi na imani yangu inasimama kwakiasi nikusikizapo huwa natulia kwa yakini kabisa nayananiingia sawasawa allah tabarq akujalie kherya dunia wafil akhera amiiiina nawishi kuja kuonana na ww
Allah atujaalie tuwemiongoni mwawatakao pewa vitabu vyao ktk mikono yao yakulia Ameen Yarabby Ameen
Amiin🙏🙏🙏
Ewe Mola nijaaliye mimi pamoja na umati Muhammad iyo siku tuwe kwenye kundi la kulia.Amin
MUNGU akujaalie maisha marefu shekh Othman Maalim nakufuatilia sana na najifunza sana kupitia ww
Mashaallah nakupenda saan shekh wetu allah akujaalie maisha marefu na ya baraka
Nakuunga mkono
Yaa Allah tusamehee yarabii na utupe mwisho nwema 😭
Mashallah ahsante kwa mawadha mazuri na ukumbusho muhmu kupata kwani sie wanadamu ni wenye kung'afilika allah akupe umri mrefu uzidi kufundisha umma
Sawa kabisa.tuko pamoja..Juma lipei hapa toka mikocheni
Allah akuzidishie umri murefu uzidi tupa darsa kila mara na akupe janat firdawus Allahumma ameen
Hongera Sana othman maalim mungu akubariki wew na atubariki sote waja wake aaaamin
Sheheh nakupenda kwaajiili ya Allah akubarki pya afya tele ukitafsri Qur'an na ukisoma napenda sana natakamani niwe kaama wewe
Mashaallah Allah akjaalie umri mrefu sheikh wetu uzidi ktupatia chakula cha nafsi nakpenda kwaajil ya Allah
QqàaààààaàaaaaAàÀ
A
Masha Allah Sheck wetu ALLAH akujalie umri mrefu ya kutubasilisha Amiin Amiin RABIL ALAMIN
Mashallah mawaidha mazuri napata funzo ,Allah atuwezeshe kuyatendea kazi ibada zake,ameen
SubhanaAllah lailaha illa Allah mohammad rasulullah. . shukran mufti kwa khutba zenye kugusa mioyo twafarijika sana uwepo wako.. Allah atakulipa fil dunia wal akhera. .. Yaa Rabbi tujaalie mwisho mwema🙏🙏🙏 ummati Mohammad swalla llahu aleihi wassallam
amen😇
llah
ameen ukitaka ufarijike fuatilia mawaidha ya sheikh Othman maalimu mwenyezi mungu ampe maisha marefu yenye heri mpaka siku ya mwisho amzidishie elimu zaid na zaid
Allahuma amiin ya rabbi
❤❤❤❤❤
subhana llah...binadamu wana nyoyo za kusahauuu jamaniii....nn tena Zaid ya hayaaa...mashallah ukumbusho mzur
xhekhe umeendelea kutufundisha kùujuwa uwislamu ukoje mungu akujaalie yote ya.hery
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
Mashallh
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
Allah Akbar Allah Akbar...Allah,,atuongoze mema atujalie miongo mwawaja wako wema na kizazi changu na wazazi wangu na jamaa zangu na waja wake wema wa...Allahhumma Ameen Ameen ya rabbi Allah Ameen Ameen...Allah,,muzidishie umbri wamema shekhe wetu othman maalim na jama zake na kizazi chake...Ameen Ameen ya rabbi Allah Ameen Ameen
Maashallah Allah akupeumrimrefu ulijaa neema uzidi kutuzindua na hii dunia nakupenda sana shekhe
Alhamdulilah kwa mawaidha yalio niweka imani nakuwacha yte na kurudi kufanya mema
Ameen
Yarabbi ...atujalie shaada mwisho wamauti ...Amin Amin ya rabbi Allah Amin Amin
Shukuran san Allah akuzidishie kila KHERI lnshaAllah 🤲🤲❤️
Allah akupe umri mrefu sheikh othman maalim Allah akulinde na mabaya yarrabi
Mwnyz mungu akuweke shehe wetu kipenz chetu Kwan twakupenda kwa ajili ya allhw mafunzo unayotupa yanasisimua sana
Alhamdoulillah nimepata faida nyingi sanaaa kupitia wewe mungu akupe kheri nyingi duniani na akhera
Mashaaallah mwenyezi mungu aniwezeshe niwe miongoni mwawatakao pewa vitabu nyao na mkono wakulia
Masha Allah,sheikh Othuman unajuwa kituliza mioyo ya waja wa Allha maana ukisikiliza mawaidha yako haki unapata vingi hakika Allah azid kukuweka sheikh wetu
WANAUDH BILLAH MIN DHALIKA YAA RABIY 🤲🤲🤲
Masha Allah mungu akupe umri mrefu uwaongozo
Naitwa juma lipei toka mikocheni A..ninajifunza vitu vingi sana toka kwako ostaz...Asante kwa mafundisho yako
Masha Allah Allah atakupa uzima na Afya shekhe letu Uzidi kutupa Nasahaaa
Mungu akupe kheiry Sheikh Othman Maalim
Sheikh ALLAH ajaalie umri mrefu kwako so siri mawaidha yako yanatutia faraja sana katika nyoyo zetu katika huu ulimwengu wa fitina.
Mungu atujaalie tuwe ni wenye kusikia na kuyafanyia kazi
Mashallah
Allah akuwezeshe kutuelimisha na kuinadi dini ya allah s.w
Mwenyezi mungu atuifadhi shekh othumani maalimu
Mashaallah may Allah almighty accept all Muslim in the day hisaab
Othman Maalim Mungu akupe umri uzidi kutunaswi
Mashaallah sheikh wetu allah akuzidishie umri tufaidi darsa zako
Mashaaa Allah tabaraka Allah ya sheikh Othman maalim nakupenda kwajili ya Allah Allah akuwekey wepesi kwakila jambo
MASHAALLAH, JAZZAKALLAH KHERI ALLAH AKUZIDISHIE ELMU WEWE NA WAUMINI WOTE AWAREMU NDUGU ZETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI NA SISI ATUPE MWISHO MWEMA
Mwenyezi mungu akuzidishie elimu sheikh wetu
Atujarie kwa sote
Mungu akupe maishamalefu uzid kutupatia dawa
umembadilisha watu kwa mawaida yako mola akulipe heri duniya na ahera ishaallah
Amin
Ameen
SubhaanAllah
Allah atujalie miongoni mwa watakaopewa kitabu kwa mkono wa kulia na kuepushiwa adhabu ya jahannam. Aamiyn
wa shukraan
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad Amiin ya Rabbi
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad
IshaAllah
Amiin amin
YA Rabi, Ameen thuma ameen
Mash Allah ..Ya Rabbi tujaalie tuwe miongoni wa waja wako wema. ..Amim
Ameen thuma ameen
Amiin
Wallahi machozi lazima yakububujike kama wewe nimcha mungu
Allah Atuafikishe Kufanya Mema Inshaallah 🙏
Inshallah mungu atupe mwisho mwema
maa sha Allah. yaallah tujaalie tuwe ni wenye kuaidhika
Mashaallah allah akupe umri mrefu shakhe nakupe kwa ajili ya Allah kwani unatukumbusha mengi saan heri nyingi ziwe juu yako
Allah hatupe mwisho mema
Maasha Allah Allah atujaalie ktk watakao pewa vitabu vyao na mkono wakulia Allah akupe umri mrefu shekhe wetu nakupenda kwaajili ya Allah aamin
Ameen rabil alaamin
Mashllh Allah akuzidishie ilmu ya zaidani na cc atujaalie
Mungu atupe mwisho mwema, shukran sheikh othmaan maalim kwa ukumbusho
Ameein yaa Rabbal alamiin
Beautiful quran recitation
Mashallah shekh othman
unakikosha mno ALLAH akuongoze
Japhet Kimbati b
Allah Naomba utupe mwisho mwema, allah anipe kitabu changu kwa mkono wangu wakulia.
Allah akupe umli mrefu unatupa dalasa sana
Mashaallah allah akulipe kher leo nakesho akhera
MAASHAALLAH MAASHAALLAH MAASHAALLAH BARAKALLAH FIIKIY YAA SHEKHE WETU OTHUMAN MAALIM
Masha Allah shekh othumani maalim
M/mungu akulipe ujira mkubwa
Allah akulipe pepo
Subhanallah mungu atupe mwisho mwema
Amiin Yaarab.Shukran Sheikh, ashikae ndie mwenyewe aachae ni ujinga wake 🙏🙏🙏🇰🇪
Allah akulip kher Othman maalim nakupend sana
asante otadhi wangu kwa mawaidha hakika umeni fundisha mengi allah akujalie
Mashaallah sheikh Allah akujalie umri tawiilah inshaallah uzidi kutuelimisha na darsa ....
Mashaallah jazakaahu khayra Allah atuongozee
Mashallah... Mashallah... Mashallah.... TabarakAllah sheikh Othman maalim
Allahu Akibaru mwenyeezimungu ni mkubwa Alla tujaaliye khery na mwisho mwema tuwe miyongoni mwa kukujuwa ww ni nani unataka tukufanyie nn ili ufulahi ww ni Raufu lhakim ww ni Ratwifu ss ni wanyonge tunagemeya ww muweza wa yote
subhannallah........Allah atujaalie mwisho mwema inshaallah amin
Allah akujarie maalim
Allah Akbar Allah Akbar ....Allah,,atujalie maisha mwema na vzazi vyetu ....Amin Amin ya rabbi Allah Amin Amin
uko juu maalim
Mwenyez mungu atujalie mwisho mwema
Amini
Mashaalla Allah atujaliye waja WApeponi
Napenda unavyo soma mtu akisikiliza inamgusa ndani Ana feel
Ishallah allah akujalie kwa elim bora tunayo ipata
Allhamdulillah inshallah Allah akuhifadhi shekh tunapata faida kubwa sana kutoka kwako.
J’aimerais un jour assister dans un de vos darassa j’aime 🥰 beaucoup écouter maa challah 🇰🇲🇫🇷
In Sha Allah t'inquiète
Mashallah tabarak rahman
Wallah hi we'll do something about it
MashAllah
Namuomba allah anipe qiraa km chako
SUBHANAALLAH MAWAIDHA MAZITO SHUKRAN
mashallah ya sheikh jazaka llah akheir ninapo sikiliza mawaider yako machozi unitoka mwenezi mungu akupe umri uzidi kutujulisha ya dunia na akhera
Allah azidi kumuhifadhi sheikh othaman maalim na kila la kheri na amuepushe na kila la bala
Subuhana lla mungu tuepushe na waleambao watajuta siku ya kiama na. Majuto hayatamsaidi mtu.
shukran it's so touching may Allah preserve this in our ears n heart Aameen...
Ameen yaa rabb Al alaameen!
سبحان الله
شقرا
وجزاك الله خيرا
Thnx my maalim we love you forever
Allah akupe umri mrefu shekh
shukran kwa mawaidha hakika tumepata manufaa m.mungu akuhifadhi inshaAllah uzidi kutunufaisha jazaa yako kwa Allah mawaidha ya shekhe othman maalim mshllh mazri sana yenye kugusa nyoyo
shukrani sheikh wetu mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema insha' Allah.
ALLAH atujaaliye kheir... Ameen thuma ameen..
Allah akubariki
Mashllah jazakallahu kheer
Mashallah 🙏🙏
Masha Allah 🥺🥺❤️
Masha Allah Allah akulipe kwa ukumbusho