Othman Maalim - Mada ya 1. Kutafuta Furaha - Mada ya 2. Idhilali Njema.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 264

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 2 роки тому +2

    Nimejikuta zaidi Nina amani kwa aya mawaidha Allah htpe subira na htufungulie kheri tuliokuwa ktka mitihani in shaallah Allah akuifadhi in shaallah na Allah hatujaalie tuwe miongoni mwa waja wke wema in shaallah 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @allykibaja1164
    @allykibaja1164 2 роки тому +3

    ALLAHA akuzidishie umri na akulinde nyotemabaya yasikufike uzidi kutoa mawaidha kwa wanawake Amiin Ishaalla

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 4 роки тому +11

    MASHAALLAH khutba imenigusa kwakweli namuomba Allah atujalie mapenzi ya kweli Yarabbi

  • @NeylaJuma-k2x
    @NeylaJuma-k2x Місяць тому

    Mungu akuzidishie umli mlefu apa duniani uzid kutupa elimu iliyo kuwa bola🤝

  • @hasanrashid1244
    @hasanrashid1244 3 роки тому +1

    Shehe mm nakuombea umri mrefu .kwa akika unatoa mawaidha bora kabisa .mungu akupe pepo na akusamee pia akujuaalia mwisho mwema

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 4 роки тому +2

    Allah akupe afya shk wetu. Akupe riziq uitakayo. Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @khaledrashid2825
    @khaledrashid2825 5 років тому +7

    Allah akulipe kher zadunia Na akhera Allah atukutanishe peponi pamoja sote amin amin nakukubali sheikh othman ninafuraha kukusikikiza simalizi hamu yangu Masha Allah

  • @hadijamwalimuhamisi6714
    @hadijamwalimuhamisi6714 2 роки тому +3

    Allah akupe umri mrefu shekhe wetu

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 2 роки тому +6

    Shukrani sana shekhe Othman Maalim kwa darsa zenye manufaa Allah akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha jazakallah kheri. Wale tunaoelimika mwaka huu 2022 tujuane hakika elimu haina mwisho.

  • @OmanOm-wy5wj
    @OmanOm-wy5wj 9 місяців тому

    Mungu akupe umri mrefu shehe wetu❤

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 6 років тому +6

    Shukran sheikh wetu tunamshukuru Allah kwa kutupa masheikh wanaotuelisha mengi tusiyoyajua

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 років тому +2

    nakubaliana na ww moja kwa moja hasa katika suala la kushuka imani nchi za magharibi.imani ni km mali pia inahitaji kinga.mazingira yanachangia sana kushuka kw imani.mifano ipo mingi.waumini tujitahid kuwa na imani thabit hasa tukienda kwny miji ya watu.

  • @sirmackenz736
    @sirmackenz736 6 років тому +8

    Allah akujaalie umrii mrefuu uweze kutupatia sadakaa ulyojaaliwa InshaAllah

    • @salimalsinawi8946
      @salimalsinawi8946 4 роки тому

      òòòòppopòooooppòòoooooòooooooooooooopoòoòòoòoòòooooòooòpooo8ooòooopoooòòòòòòo

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 3 роки тому +3

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh shukuran Allah akulipe uliye jitolea kuonganisha mawadha haya plz twakuomba kwajili ya Allah onganisha istoria ya Ommar radhi'Allahu tahallah hanihu utakuwa umefanya jambo laman biman tuko bahadhi atuja wez kuimaliza yote 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sofiamatano695
    @sofiamatano695 3 роки тому +2

    Allah akupe umri InshaAllah watufaa sana..

  • @kamikazigenerose7882
    @kamikazigenerose7882 4 роки тому +2

    Shukran Sheh unatukumbusha mengi sana Mwenyezi Mungu akulipe kila la heri apa duniani na kesho ahera insha Allah

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 5 років тому +3

    Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin

  • @saeedmasanga4722
    @saeedmasanga4722 3 роки тому +2

    MashaAllah Allah akupe kher nyingi kwa elimu unayotupatia

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 11 місяців тому

    Mwezimugu akujazi kheri ameen ❤❤❤❤❤❤

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w Місяць тому

    May Allah protect sheikh weto i like him mash Allah ❤❤❤❤ may bless him

  • @MahMoud-nl9rm
    @MahMoud-nl9rm 3 роки тому +6

    Subbuhana Allah,,,Allah,,akupe umbri wamema shkhe wetu Osthman maalim tuwe waja wakusikiliza chakula charoho na wenye kuongoka na vizazi vyetu....filli dhunia walli Akhera...Amiin Amiin ya rabbi Allah Amin Amiin

  • @apangumombasa5265
    @apangumombasa5265 5 років тому +9

    Jazakallahu kheir ya sheik othman Malim Allah akulindi kwa la kheir na Shari (ALLAHUMAH AMIN YA RABI )

  • @omarykikambaa8221
    @omarykikambaa8221 7 років тому +4

    Allah akuongoze katika kher mwalimu othuman

  • @nisbaahajaja9200
    @nisbaahajaja9200 Рік тому +1

    Mnyezi Mngu atujailie tue wakazi wa Pepo Yake. Amina Ya Ghafuru Ya Arhama Arrahimeen !

  • @adam5ramadhan154
    @adam5ramadhan154 4 роки тому +1

    Ahsnte shekh Othman maalim Allah akujaalie kila la kheir

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 роки тому +2

    MASHALLAH MASHALLAH SHEIKH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 7 місяців тому +2

    Allah akupe pepo ya fridaus❤❤❤❤❤atuogoze umati muhammed❤❤❤amini amini❤❤❤❤❤

  • @hadijawere2789
    @hadijawere2789 6 років тому +4

    Swadaqta Sheikh Othman

  • @mwanaidikiyegezo2146
    @mwanaidikiyegezo2146 2 роки тому +3

    Allah akujaalie umri mrefu shekhe wetu !mashallah

  • @omanhsj6073
    @omanhsj6073 3 роки тому +5

    Yarahman tujaalie tuwe miongoni mwa vipenzi vya mtume muhammad swa na maswahaba wake katika siku hiyo ya furaha na upendo tupendane kwa ajili ya Allah 💖😘

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Рік тому +2

    Ameen ya rabb

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 2 місяці тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @sadickwaziri3579
    @sadickwaziri3579 3 роки тому +2

    Allah akuzidishie Afya njema

  • @neylatyjuma5087
    @neylatyjuma5087 10 місяців тому

    Sheikh Shukran sana Kwa Mawaidha haya
    Nimependa jinsi ulivyo elezea mapenzi ya majnun Kwa Leila
    Allah atujaalie tuwe na mapenzi Hayo kwake na Kwa Mtume wake
    Na tupate radhi zake

  • @Faizamideva-bv6oo
    @Faizamideva-bv6oo Рік тому

    Mungu tujaliya mapezi

  • @issangullo804
    @issangullo804 8 років тому +10

    Allah akujalie Afya njema na umri mrefu ili tupate kuijua na kuifaham dini yetu ya kiislam na kesho Qiyama tuwe sote na Mtume Mohamad (S.A.W) Peponi Inshaallah

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 4 роки тому +2

    Yaa Rabbi, tujalie pepo yako

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 3 роки тому +3

    Allah YAHFIDHAK FI DUNIA WAL AKHIRA SHEIKH MSELEM

  • @kazungukakiyo8560
    @kazungukakiyo8560 4 роки тому +2

    Shukran sheikh Othman.

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 6 років тому +5

    MASHAA ALLAH ... ALLAH akulipe kila la kheir In Shaa ALLAH

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 Рік тому

    Shekhe Allah ajizi kheri

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому

    Maashaallah sheikh wetu Allah akubariki Sana naakujaalie kila la kher uzidi kutukumbusha sheikh wetu Allah akujaalie pepo Aamiin

  • @nafesamohamed7553
    @nafesamohamed7553 6 років тому +4

    mashaallah allah akuzidishie kheri inshaallah

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому +3

    Mashallah Mashallah M.mungu akupe Uzima na Afya njema na baraka zote ktk Maisha yako yote Ameen

  • @omarmbaga3496
    @omarmbaga3496 8 років тому +34

    Allah akujalie Afya njema na umri mrefu ili tupate kuijua na kkuifaham dini yetu Inshaallah

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 4 роки тому

      Amiin yarabi

    • @issaabdallah2417
      @issaabdallah2417 4 роки тому +1

      Shehe tuombeane duwa kwamakubur yenu japo nasis tunajiombea ila ww umejaaliwa ukimuombea yoyote yule atafankiwa naitwa leila nipo dodoma

    • @mamoulovecherry5121
      @mamoulovecherry5121 3 роки тому

      Amiin ya Rabby

  • @leilaabdi9369
    @leilaabdi9369 11 років тому +9

    Asc,mashaallaah sheikh wangu wa nguvu,na kupenda kwa sababu ya mwenyezi mungu,mungu akuweke na na akupe afya njema nmwishi poa in shaa Allaah ameen ya rabb..............jazaka aallaah kheyr wsc...

    • @babaabdull7485
      @babaabdull7485 2 роки тому

      Ameen

    • @dokasimwamlima3550
      @dokasimwamlima3550 2 роки тому

      @@babaabdull7485 eweteww we Western was a k20 wawewrwrrrqrr we are you e so I can you be here when you get what d so I can see the retreat with the world rtwrwr t so we are gtg to twxarttsrtswtsxxxzwtwsfssvsszsdttyesssssxssazsratwsrftttstfdctztfrd dzxgtatdwszsdwsrttdsttsttdvdfssttstz dtsststctwtsttrtsssxrwtststdtdtwtttssdtttsarsatttrttsctttttttsstttarztcsssdtssdssststttttddsassssssrttfrztrtdrttsrstazsxsssrtxsssssrdsstststtawtdsssttsssrsaw ttttsteaxexsssssaxsssrztrdratattzxsststdadss aarrtasrastswssassszazzrttzxatgcrcsa zatssaatxa zcatzaaxs stzatarz at tvtsttaszzazttassssa ttrtatfrrdrztdssaftrtxaxwrsstftssfrtxdrtrrrrrrrrrrr drsrdraaaaaz aaaaa Aaaaaaaaaaaaaaaasaaaaaacazaaazaaaaaaaaagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazaxaaaaaafaaaaaaax AaaaaaaAzAaaaaxaZAAaaaAaAAaaaaaaaaaAgaagaaaaaZAzZZacatxaaaAAZAAxfAaaaaaaaaaaztzsaaaaaAAAASAASAaaaaAaaZaaaaaaazaaaaaAaaataaaaaaaaAaaaaAAAaaaaaaaaaaAa AaaAAAAAAAAAAAAASAAaaaacazaaazaaaaaaAaagaaaaaaaAaaaaAAAAAAaaaaAaaazaxaaaAAAFAAAAAA azaaaxaaaaaazaaaazaaaazaaat azaasdgzaazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazaa AaaaaaaAzAaaaaxaZAAaaaAaAAaaaaaaaaaAgaagaaaaaZAzZZacatxaaaAAZAAxfAaaaaaaaaaaztzsaaaaaAAAASAASAaaaaAaaZaaaaaaazaaaaaAaaa aaazaataaazaxaaawaaaaxaaaaaaaaaaaaaazaaataaaaaaraxaaaataazaaaaatasaaaaaaaaaaaaaagataaaaaaaasaaazaaaaaaaaaaaazaaaaaataaaaaaazaaaaaaaaaatfaataaaaaaagaaaaaaaazaaaaaaaaaaataaaazaasaaa aAAAazaaaaaAaaAAAaazAaaaAsaaaaaaaaaaAaAzaaaaaaaazAaAAAAAZzZxaaZAAAazaataazaaata AaaAAAAAAAAAAAAASAAaaaacazaaazaaaaaaAaagaaaaaaaAaaaaAAAAAAaaaaAaaazaxaaaAAAFAAAAAA zatssaatxa FaazaatazataaZa aAXAAAAAataaaaaa aaaZaatAaazaXaaawaaaaxaaAaaaaaAAAaaazaaataaaaaARAxaaaataazaaaaATasaaaaAaaaaaAaaagataaAaAaaasaaazaaaAAaaaaaaazaaaaaataaa AAS aaaaa azzaaftaadaaaaaartaaraaaaaattra Aaazzasaaaaafaaataazaaaaa aafrar ataarataaaa atzaaaaaaaaaataaaad so tasty aaaaasazartadaaa AAAA aaaaataat tatat SAATTT FaazaatazataaZa astttaaaa Saaaaatata dstaaaaaaaasaaaaattaatastdtta ataarataaaa ATTT zaataAAtaaZTttatasaaAasaaAatatzzTDDt@5√££%^£@5#£

  • @naemaomar9282
    @naemaomar9282 2 роки тому +1

    Mashaallak Allah akubariki amin.

    • @hamiidaali6237
      @hamiidaali6237 2 роки тому

      Mashaallh nikweli lakini umasikini nifanyeje

  • @AminaRashidi-u9k
    @AminaRashidi-u9k Рік тому +2

    Mungu akulipe kher shekh wangu

  • @hassanramadhan8978
    @hassanramadhan8978 4 роки тому +1

    Allah akubariki sheikh wetu

  • @KabulaMalimi-es1jm
    @KabulaMalimi-es1jm Рік тому +2

    MaashaAllah

  • @mustaffamakame9261
    @mustaffamakame9261 3 роки тому +1

    Allah atupe hatma njema

  • @mavuraamiri8767
    @mavuraamiri8767 2 роки тому

    Viongozi mashehe mnatuchanganya maamuma

  • @habibahmatano1815
    @habibahmatano1815 4 роки тому +1

    Ma sha Allah mungu akujaze kheri

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 6 років тому +2

    Mungu akuzidishie kila la kheri sheikh Othman

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 Рік тому +6

    Mashaa -ALLAH !

  • @zulfazulfa2065
    @zulfazulfa2065 4 роки тому +2

    Masha Allah. Allah akulinde shekh

  • @amirahabdulrahman3676
    @amirahabdulrahman3676 4 роки тому +1

    Mashalha Alaha akuhifadi

  • @kazungukakiyo8560
    @kazungukakiyo8560 4 роки тому +2

    Nyumba hiyo haina mufano wake hapa ulimwenguni.Hakika AllAH ni mujuzi

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +1

    Sgukran ya sheykh

  • @hasanipazia8876
    @hasanipazia8876 3 роки тому +3

    Hakika mawaidha ni ukumbusho kwa walighafilikaAllah atuwezeshe tuwe wenyekuwaidhika amin.

  • @AbduellHiyesa-wk8dl
    @AbduellHiyesa-wk8dl Рік тому +2

    Interesting manshaallah

  • @omargbabagbaba4231
    @omargbabagbaba4231 8 років тому +4

    MashaAllah sheikh othman

  • @khalidrashidbape1161
    @khalidrashidbape1161 4 роки тому

    Allah akupe kila lenye kher na weye

  • @lahadsm
    @lahadsm 3 роки тому

    Mola akupe elmu zaidi uzidi kutuelemisha

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 5 років тому +5

    Love you for the sake of Allaah...Allah akuweke my sheikhe Niko nawe kila kona

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 4 роки тому +1

    Subhanallah, mola.tunusuru na asadi

  • @altafabdulla7742
    @altafabdulla7742 5 років тому +4

    Mashaallah jazakallahlkher

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 4 роки тому +1

    Ya Rabbi lakal hamdhu washukuru alhamdhulilah Rabbi alamin

  • @adandahirmuxumed2506
    @adandahirmuxumed2506 5 років тому +1

    Sheq wetu Masha Allah Adam kutoka Kenya wajir

  • @yusufbaishe3527
    @yusufbaishe3527 4 роки тому +1

    Akujalie upate umri na afya

  • @alisuleiman6919
    @alisuleiman6919 5 років тому +1

    MashaAllah..shaikhunaa

  • @derlegende1
    @derlegende1 12 років тому +5

    jazaka llah kheyr, nashukuru sana kwa faida ya mawaidha haya hasa 2:29:30--2:51:10

  • @mohammedhassan1836
    @mohammedhassan1836 9 місяців тому

    MashaaAllah

  • @haidarali6839
    @haidarali6839 6 років тому +10

    Mashaallah may Allah bless you inshaallah 🙏🏼

    • @abasiomary6877
      @abasiomary6877 5 років тому

      Mungu akupe alio taka ishall

    • @hamadialiidris5184
      @hamadialiidris5184 2 роки тому

      wallahibillahi iwapo ni tapata matako yangu basi lakini ni namba nimuhim lakini maisha isiwe ni na familia na mm nitakushitaki kwamungu nina watoto na jina lako laukeli mm jina nihilo hilo bin abitAlib

    • @fatmasaidjuma5644
      @fatmasaidjuma5644 2 роки тому

      ?

  • @hamadialiidris5184
    @hamadialiidris5184 2 роки тому

    Jiandae vizuri

  • @bintsaidi9600
    @bintsaidi9600 9 років тому +21

    Jazaka llahu khaira,ALLAH akupe furaha apa duniani na kesho Akhera

    • @allysaid7841
      @allysaid7841 3 роки тому

      788887888888888888⁸8⁸7788⁸8ìììius

    • @allysaid7841
      @allysaid7841 3 роки тому

      Eeeerrrrerŕŕèŕŕŕŕèŕrŕrŕrèŕrrŕŕèrŕrèerèŕŕŕŕŕŕŕŕèŕŕèŕŕ

    • @hamiduramadhani5436
      @hamiduramadhani5436 3 роки тому

      Hongera shekh alha amulipe

  • @leodavid5714
    @leodavid5714 7 років тому +11

    Mashaallah Allah bless you for everything inshallah

  • @hassansingano8816
    @hassansingano8816 Рік тому

    She mungu akuzidishe maana mm akuelewa sana

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 роки тому +1

    MashaAllah Allah Akubariki

  • @sakinahasani3108
    @sakinahasani3108 3 роки тому +1

    Amina rabi mungu akuzidishie eliim 🙏

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Рік тому

    Ameen🤲🤲🤲🤲🥰

  • @خفوشالعلوي
    @خفوشالعلوي 9 років тому +2

    mashallah allah akubarik kwa hili

  • @hamzamsangi6790
    @hamzamsangi6790 5 років тому +3

    Ma Sha Allah

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 12 років тому +2

    mashaallah,m;mungu akuhifadhi.

  • @aishaothman4418
    @aishaothman4418 6 років тому +3

    mashaallah Allah akupeumri mrefu

  • @alwyalsaggaf8260
    @alwyalsaggaf8260 11 років тому +6

    Ramadhaaaaan Mubaarak Waislaam Woote!!!!!!!!

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 6 років тому +4

    JazaakAllah shiekh

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 4 роки тому +1

    Amiin yarabi

  • @eddymohamad7871
    @eddymohamad7871 5 років тому +3

    Mash Allah

  • @halimalibani8473
    @halimalibani8473 5 днів тому

    mashaallah🤩🤩🤩🥰🥰

  • @hamadialiidris5184
    @hamadialiidris5184 2 роки тому +1

    InshaallAh

  • @thefarati9977
    @thefarati9977 8 років тому +6

    Masha Allah

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق 3 роки тому

    Allah Akbar

  • @davidosward9894
    @davidosward9894 11 років тому +3

    mungu akulipe kila la kher

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 4 роки тому

    Allah akajualie janat firdaus

  • @mussamc641
    @mussamc641 3 роки тому

    Asante kiongozi

  • @muhamedjaffar8148
    @muhamedjaffar8148 4 роки тому

    Mashallah ujumbe wako mzur Sheikh othman maalim,Allah akupe maisha maref na akujalie kila la kheyr

    • @hamiidaali6237
      @hamiidaali6237 2 роки тому

      Mashaallh shkhusiudhike nyumbaninimekosaamanisababummuasikininawaombamunisamehemmniatani nienre baharini nitafutemaisha yawatoto

  • @rahmahassan3235
    @rahmahassan3235 5 років тому +1

    Jazaka Allah kheir

  • @hasanrashid1244
    @hasanrashid1244 3 роки тому

    Allah akbar

  • @MwanahamisiKuwunza
    @MwanahamisiKuwunza 9 місяців тому

    Inshallah

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 6 років тому +7

    Shukran jazakallah khayran yaa sheikh Othman Maalim