Namsikiliza spiker na waziri, lakini inakuwaje NRFA I hifadhi sukari na hata kama viwanda vyetu vina zalisha sukari ya kutosha, je hiyo sukari inaagizwa wapi, na kwa pesa za aina gani na kwa nini viwanda visipewe jukumu la kuzalisha ziada ya Ku reserve.?
Ki ukweli tuache kuzungushana na kutetea vibali kwa hawa mafusidi, juzi tu nimesikia kiwanda kimoja hapa nchini kwa siku 20 tu tena mwezi huu kimezalisha tani elfu kumi. Je viwanda vyetu vyote saba vikipewa projection za uzalishaji ili kujua kama kuna haja ya kuagiza nje.
Mhe. Bashe, hiyo Wizara imekushinda kwanini usiachie ngazi? Wewe nitatizo sana. Tunamuomba mpendwa wetu mama akupumzishe Uwaziri ujanja ujanja mwingi sana
Serikali za kifisadi ndivyo zilivyo. Mnakumbuka walivyokuwa wanafucha mafuta ( Petrol and diseal?)