Anyone listening to this song in 2023 some likes here. Wow just wow such a great composition and great vocals! Tuombee miito mitakatifu🙏 tusikilize sauti Yake, tufanye kazi yake upesi! Tuishi naye milele thawabu yetu milele🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana Wimbo umenigusa kweli kweli. Hizi ndio nyimbo zenye tafakari takatifu. Yaani wimbo umetulia vizuri. Naye Mwenyezi Mungu apende kuwabariki nyote. Amina.
Hakika hauna budi kumshukuru yeye akaaye Patakatifu pake,kwa kutuwezesha kufikia siku hii ya leo ambayo tunafanya uzinduzi wa album yetu ya 13 yenye cd na dvd.Ni upendo wake tu utoshao,endelea kutulinda na kutuimarisha,tukidumu kukuabudu na kukusifu kwa nyimbo EE MUNGU WETU
Nashukuru wimbo mzuri sauti zinasikika hongera mama paulo/eliza/mama rozi/mama mariam na wote wana igombe ila mwanga wa jua mkali sn production waangalie kwa zile zinazokuja god is good
Sina la kuongea zaidi ya kusema Mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi;HOLY TRINITY Mungu abariki kazi ya mikono yenu nadhani ninyi ni chuo cha mafunzo kwa maproducer wengine.
Naipenda sana hii nyimbo "Njoo Mwanangu" inanifariji sana nawapongeza wanakwaya mmetoa vzr sana sauti zimepangika vzr mmetuliaaa mnayoimba mnajiamini safi sana Mungu awabariki
Tumsifu Yesu kristu, hii ni kati ya kwaya ambazo muda wote nasikiliza, natafuta album y wimbo, kiukweli ni uingilishaji mzuri, hongereni kwa kazi nzuri sana.
Anyone listening to this song in 2023 some likes here.
Wow just wow such a great composition and great vocals! Tuombee miito mitakatifu🙏 tusikilize sauti Yake, tufanye kazi yake upesi! Tuishi naye milele thawabu yetu milele🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen 🙏🙏
My dady venant mabula mtunzi thank my father umetueshimish like zenu💕
sure
Ni kweli ni baba yako
Wimbo naupenda Sana haipiti siku bila kuusikiliza na unanibariki sana
Tumsifu yesu kiristo kweli wimbo mzuri unaujumbe wakutosha ukiusikiliza kwa makini tafakari Tosha mungu awabariki mwapendeza sana
Euspina noma sana weweee
nikisikia nyimbo kama hizi huwa najivunia ku mkatoriki jamani mungu awabariki sana
Tunaendelea kupata madini 2024
Wimbo huu ni wa ipokee unanitafakarisha sana niitamani kwenda mbinguni unajua moyo Ee Yesu utusaidie tufike kwako
Amina watumishi wa Mungu,hii albamu inaitwaje na nitaipaitaje
mwalimu MABULA hujawahi kukosea. Lo, amazing Song . Very reflective na umeimbwa kikatoliki including mneso wa adabu . Mungu atukuzwe
Hongeren sana ❤❤❤
Nyimbo nzuri sana namuona kama despina humo au namfanananisha namkubali sana
Asante sana
Wimbo umenigusa kweli kweli. Hizi ndio nyimbo zenye tafakari takatifu.
Yaani wimbo umetulia vizuri.
Naye Mwenyezi Mungu apende kuwabariki nyote. Amina.
MUNGU awabariki sana wote walio imba wimbo huu
Naupenda sana huu wimbo Mungu awabiriki muendelee na vipaji vyenu daima❤
Ujumbe mzuri sana, hongera kwa mtunzi, hongera kwa kwanya ya mt. Theresia wa mtoto Yesu kila la kheri
Wimbo mzuri saana, na maneno tamu. Mungu awazidishie nguvu katika utume
Mungu ni mwema, nawafata kila siku pamoja na jamaa yangu ...shukwani kwa kazi nzuri
Wimbo mzuri sana barikiweni ktk utumishi wa kuimba
Ukiwa ndani ya yesu kuna raha sana
Sauti nyororo zapedeza-Mungu apewa sifa!
Mungu azidi kuwabariki.
wimbo mzuri mmeimba vizuri, hamruki viduku barikiwa sana, mungu awalinde
Ee bwana njoo hima🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎉
Hakika hauna budi kumshukuru yeye akaaye Patakatifu pake,kwa kutuwezesha kufikia siku hii ya leo ambayo tunafanya uzinduzi wa album yetu ya 13 yenye cd na dvd.Ni upendo wake tu utoshao,endelea kutulinda na kutuimarisha,tukidumu kukuabudu na kukusifu kwa nyimbo EE MUNGU WETU
Hongereni sana jamani nawapenda sana
i can not stop listening to this tune kudos .Proudly catholic.
Kwaya yangu pendwa tr tall abd😘😘😘
Parokia yangu mbarikiwe sana🙏🙏
Proudly Catholic rhythms i love catholic choirs
Amina
When you are uncapable to provide something useful to humanity, you are singing religious songs.
Salute kwako Mwl Mabula Una utunzi wa kiwango cha juu . Help kwako
Warm voices. ..again SIMPLICITY. HONGERA!
Asante mumgu kwa kuzidi kutuinjirisha kupia wanakwaya hawa tunajifunza mengi kupitia kwenu wanakwaya mungu na awabariki
Mungu bariki kazi ya watumishi wako.
Nawashukuru tu saaaana kwa uimbaji wenu mzuri, sauti mnayo .waoh
Asante Yesu, kazi yenu IPO vizuri sana Mbarikiwe na Bwana daima katika uinjilishaji wenu
Hongereni kwaya ya mtakatifu Theresia wa mtoto Yesu.... Naweza pata vipi mkanda huo wenu....nko Kenya
Wimbo mzuri Wenye tafakari nzur mungu awabariki sana
The organist is awesome, the choir is awesome, all is 100/100
Onesmo Matei thanks much
Hongereni wimbo mnzuri
soprano mko juu💯
kwa kweli kazi nzuri sana, umeutendea haki wimbo. HONGERA SANA HT
kazi nzuri sana,wimbo mmeutendea haki,....mungu awabariki
ooh safi sana my best friend goodluck uko vzr kwenye saut barikiwa sana ...wimbo.mzr sana
vizuri despina mdende ,kazi yako ulotumwa unaitendea haki
🎉nawapenda sana
Uimbaji mzuri. Mungu awabariki Sana
Mlijipanga vizuri Sana. Hongera zenu.
Heavenly praises. Done very well. Hongera
kazi nzuri sauti zinasikika vizuri, video na production kwa ujumla
Nashukuru wimbo mzuri sauti zinasikika hongera mama paulo/eliza/mama rozi/mama mariam na wote wana igombe ila mwanga wa jua mkali sn production waangalie kwa zile zinazokuja god is good
Mungu awabariki kwa kazinzuri,wimbo mmeutendea haki
Mmbalikiwe sana
Amazing! ! ! ! Oh, Angelic voices
Wimbo safi sana ktk pendo lako waniita mwanangu
KAZI NZURI SANA HII JAMANI, PENDO LA MUNGU KWETU SISI NI LA MILELE NA MILELE
Nzuri sana
That melody thou.......................... Venant Mabula mtaalamu saana
Utunzi na uimbaji mahiri safi saana kwa kazi hii nzr nimebarikiwa sana @hongera v.mabula
I proud to be catholic thanks for the message
Frederick mtei I know you well
Iam fr.Gabriel
Wimbo mtamu Sana uliotungwa kitaratibu
Hii video sichoki kuiangalia,barikiweni sana wanakwaya
Hongera sana
HESHIMA KWENU
Sina la kuongea zaidi ya kusema Mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi;HOLY TRINITY Mungu abariki kazi ya mikono yenu nadhani ninyi ni chuo cha mafunzo kwa maproducer wengine.
Zawadi Mbilinyi
Asante sana Zawadi. Ubarikiwe sana.
hongereni sana kwa kazi nzuri
i keep listening to this song. nice vocals
mh ktk pendo atuita wanae kweli mungu anatupenda katupa kilakitu bure tunamkosea bado anatuita ktk pendo lake mbarikiwe kwaujumbe mzuri saut zenu tamu
nyimbo naipenda sana kazi ya venant mabula kazi nzuri inatu injilisha sana , ila HT video kidogo inachelewa na audio zinapishana kidgo frequence
Hongereni sana. Mmelitangaza neno kwa sauti nzuri sana na zenye ujazo wakutosha .
wimbo uko poa na mafunzo mwema
Naipenda sana hii nyimbo "Njoo Mwanangu" inanifariji sana nawapongeza wanakwaya mmetoa vzr sana sauti zimepangika vzr mmetuliaaa mnayoimba mnajiamini safi sana Mungu awabariki
Joyce Shomari asante sana
Huwa nabarikiwa sana na huu wimbo mungu awabariki wote walioshiriki kuandaa hii kazi.
Petronila massae asante sana
HT hamjawahi kukosea,,kaz zenu zote nzuri Mungu awabariki waimbaji kwa saut nzuri
kazi nzuri sana mungu awabarik wapendwa
Nyimbo zenye mafundizo
Hongereni kwa uinjilishaji wa wimbo wenu mzuri mbarikiwe sana
Kitu kizuri kabisa
mungu ni mwema awazidishie baraka zake
Avery nice song
I like the messages and sound
Safiii
I m proud to be a member of Catholic love it!
Sauti ya pili jamanii daah mnanifurahisha sana sauti yangu 👏👏👏
Joyce Shomari asanteee sauti ya pili ni shidaaahhhh
Tumsifu Yesu kristu, hii ni kati ya kwaya ambazo muda wote nasikiliza, natafuta album y wimbo, kiukweli ni uingilishaji mzuri, hongereni kwa kazi nzuri sana.
Chrisant Imani asante sana karibu sana
Favoured one
Kwaya nzuri nitapataje nota
NICE SONG
Amina barikiwen saana waimbaji
Kazi nzuri sana. Mungu awazidishie baraka
Woooow hongereni sana nakuona mkurugenzi wangu mnajua kuimba mbarikiwe
Hongera sana ninawapenda sana tena zaidi y'a sana...kanda tenu ni nzuri naya kuburudisha
KISINA ERGIE asante sana
Kwa kweli mbarikiwe sana wapendwa wimbo mzuri, uimbaji mzuri video nzuri.
Hongereni sana
Sichoki kuusikiliza
Naisikia sauti ya pili mkurugenzi
A lot of Blessings.. Kaz nzuriii huchok kuisikiliza pure catholic ladha
Kazi nzuri sana....Mungu awabariki!!!
Ujumbe mzuri,sauti zimepangiliwa.Barikiweni sana.
Wimbo mzuri sana... mbarikiwe sana Kwaya na mtunzi...
Kanda safi sana. Be blessed
Great Great Great. Audio nzuri, Video nzuri. Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Mungu azidi kuwabariki waimbaji.
Hongereni sana HT kwa Kazi nzuri mnoo.
asante sana mkuu kututia Moyo
HONGERA SANA HT KWA KUTUTENDEA HAYA,HAKIKA TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU ALIYEKUJALIA HAYA
RAJO PRODUCTIONS sauti ya kikatoliki...hakika inavutia na kupendeza.
Kazi nzuri kabisa
Hongereni HT kwa kazi nzuri
kwaya
Kazi nzr sana
A great thanks