'HABARI NZITO'! VITUKO VYA HUJAJI ALIYEPOTEA KWA SIKU TATU MAKKA, ATOA SOMO ZITO KWA WENGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • HILI NI SOMO ZITO KUTOKA KWA MZEE WA KIGOMA JUMA KAMOLI, HUJAJI WA TAWHEED MWAKA 2024/1445H BAADA YA KUPOTEZANA NA MAHUJAJI WENZAKE KWA SIKU TATU NA KUJIKUTA AKIISHI MAISHA ASIYOYATEGEMEA KATIKA MJI WA MAKKA, JE ALIKUWA ANAKULA NINI? ALIKUWA ANALALA WAPI? NINI KIMEMKUTA? ILIKUWAJE AKAPOTEA?....GUSA LINK HAPO JUU KUTAZAMA MKASA WOTE...

КОМЕНТАРІ • 57

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 3 місяці тому +11

    MASHAALLAH MM MKENYA LAKINI MWAKANI KWA UWEZO WA ALLAH NITAWAUNGA IN SHAA ALLAH

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 місяці тому +1

    Lakini wanatoka hawana namba za simu jina la hotel namba za hotel wasimamizi wanafanya sio ivo watu wanatakiwa wapewe full information na watebee nazo kadi zao wakipotea wanapigiawa simu marjent au wanajina na namba ya hotel wanafikishwa hotel ingekuwa kazi rahisi sana

  • @aliimanitujitibukwatibazahalal
    @aliimanitujitibukwatibazahalal 3 місяці тому +3

    Allah amkubalie ibada yake na wengine,Mzee wetu huyu tuliagana Masjdi kabla safsri kwa kweli amefurahi sana kwa hilo.ukitaka ujue mengi muulize ilikuaje mpaka umefanikiwa hijja utacheka kwa mazingatio!.

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому +2

    Hahaha mie sitaki kucheka et ningesem ni wazanziba ningesemeshwa kiarabu duuh

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 місяці тому +8

    Jaman wakat wa hajj hakuna ujuzi wala lugha mtu yoyote anaweza kupotea ukijua kiarab au english au lugha yoyote

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 3 місяці тому +3

    Allah akufanyie wepesi Mzee wangu juma kalamtana uwe HIJA njema

  • @CHAMNAJIM
    @CHAMNAJIM 3 місяці тому +1

    Mashaallah.. Allah mkubwa inshaallah hajj yako iwe kubul..
    Hakika uislam ndio dining ya haki isiyo na ubaguzi na ni msingi wa mfumo mzuri wa maisha ya binadamu..

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 місяці тому

    Pole sana baby yangu

  • @makamohd406
    @makamohd406 2 місяці тому

    Allah akutakabalie hijja yako. Ammin

  • @zaliafakilavire5689
    @zaliafakilavire5689 3 місяці тому +1

    Mashaallah ila babu yetu mjanja sanaa nimependa alivyo jielezea Allah awatakabalie HIJJAH nasi tuombeeni dua siku moja tuende makka ❤❤🎉

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww 3 місяці тому +3

    Mwenyezi.mungu.atufuungulie.rizk.nasi.tùkahiji

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому +1

    Mzee wapo wanaongea kingereza na kiarabu pia tunajuw

  • @halimarashid6878
    @halimarashid6878 3 місяці тому +2

    Alhamdulillah .Allah akupe hajji mabroor. Viongozi ni lazima kuwaelekeza mahujjaji namna ya kujisaidia wanavopotea. Kwa mfano no ya mlango munaoutumia sana kuingia msikitini. Au hata vyoo vya msikitini pia vina no basi mukawa munanakuwa munawafatilia kwa humo.

    • @safianamani1375
      @safianamani1375 3 місяці тому

      Kila mahala polisi wapo... Kusaidiya... Wahujaji... Wapo tayari

  • @HarunaFursana
    @HarunaFursana 3 місяці тому +1

    Maskin. Babu. Nakuomba uniombee sababu umeongea nimecheka nanisiku sichek

  • @nuhuabdil7073
    @nuhuabdil7073 3 місяці тому +1

    Namumba mola wangu wahaki ajotole tajiri Alie ruzukiwa namola na Mimi nikahiji mwaka 2025 kwani riziki anatowa mola nitakacho jaliwa

    • @sumaiyasaid2356
      @sumaiyasaid2356 2 місяці тому

      Allahumma Ameena . Mola akupokelee maombi yako.

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 3 місяці тому

    Yalio nikuta mimi yasiwakute wajukuu hi nimeipenda 😂😂😂 Allaah azidi kutuongoza kwakweli

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 3 місяці тому

    Baba angu wa kigoma nimecheka sana 😂😂😂halafu kuhusu watz hajui kingereza sio wote babu bhn 😂😂😂😂ht cha kuombea maji baadhi yetu twakijua 😂😂😂

  • @MohamediSaidi-g4h
    @MohamediSaidi-g4h 2 місяці тому

    Sasa kama hotel ilikua karibu na mskiti kwann ulipotea?

  • @RAMLATU-i3y
    @RAMLATU-i3y 3 місяці тому +1

    Pole sana Na Allihamdulilah umeonekana

  • @salimawishenga7588
    @salimawishenga7588 3 місяці тому

    Mashaa Allah tabaraka Allah Alhamdulillah, Allah akubaliye dua zako Aamiin yaaarrab 🤲

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂chai nilikunywa.

  • @CHAMNAJIM
    @CHAMNAJIM 3 місяці тому

    Alhamdulilah umeweza kutekeleza ibada yako hukubabaika..

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 3 місяці тому +1

    Umati Muhammad umejaa siyo rahisi

  • @manasstaMuhammad
    @manasstaMuhammad 3 місяці тому

    Pole sana babu ila ungesema hiyo zanjibar angekuelewa mapema Allah aifanye hija yako iwe niyenye kujibiwa

  • @SalmaIbrahim-ns6wy
    @SalmaIbrahim-ns6wy 3 місяці тому

    Pole Sana mweyezi mungu akupe ukitaka cho Amini yarambi 🤲

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 місяці тому

    Huyu Mzee nampenda sana anastori sana tuko naye hapa Kigoma.

  • @zakiamohamed7611
    @zakiamohamed7611 3 місяці тому

    Muhimu kusoma jamani tunakwama baadhi ya mambo mengine kutofahamu faida yakusoma

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 3 місяці тому +1

    Babu yangu umenichekesha sana,
    Hotel ipo karibu lkn hukujua kurudi, unaisifu hatua mbali tu na msikiti.
    Allah akulipe kila l kheri n hija mabruur

  • @NayratDarwesh
    @NayratDarwesh 3 місяці тому

    Pole mzee wangu lakini umeshahiji

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 3 місяці тому

    Pole saaaana Babu kikubwa umefanya ibada yako tumuombe Allah apokee salaa na duwa zako wewe na Mahujaji wengine woooooote Ameeeeeen

  • @hamilhashir4452
    @hamilhashir4452 3 місяці тому

    Masha Allah hahahahaaaa

  • @zakiamohamed7611
    @zakiamohamed7611 3 місяці тому

    Babu mtihani umemkuta kutofahamu kusoma alama zasehemu

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 3 місяці тому

    Hakuna hilo bus wala halija undwa

  • @SaidSaid-wh4ky
    @SaidSaid-wh4ky 3 місяці тому

    Basi la watu 260 duuhh

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx 3 місяці тому

    MASHAAALLAH ❤❤❤❤😅

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 3 місяці тому

    Pole sn babu

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 3 місяці тому

    Amina yaayaab

  • @lutfiakassimjuma2933
    @lutfiakassimjuma2933 3 місяці тому

    Zanzibar warabu😂😂😂😂

  • @aziza9093
    @aziza9093 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @lutfiakassimjuma2933
    @lutfiakassimjuma2933 3 місяці тому

    Mashaallah

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww 3 місяці тому

    Mashalaaa

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 3 місяці тому

    Pole saaana mzeee

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 3 місяці тому +1

    Wazembe wasimamiz

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg 3 місяці тому

      HAPAN MAMY KILA SIKU WATU HUPOTEA NI KAWAIDA MADAM WANGU NAE ALIPOTEAGA KUANZIA ASUBH MPAKA JION NA SIO MZEE

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 3 місяці тому

      Kupotea kawaida tu kwa hijja

  • @imanimussa6256
    @imanimussa6256 3 місяці тому

    Bc wazembe wacmamiz