MAHUJAJI WA TAWHEED WALIVYOTEMBELEA SEHEMU ALIPOJIFICHA MTUME MAKKA, WAPEWA HISTORIA YA TUKIO ZIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • TAWHEED TUPO MAKKA SAUDI ARABIA, fuatana nasi katika Ibada ya Hija Mwaka huu 2024.
    Anza malipo kidogokidogo kwa ajili ya Ibada ya Hija Mwaka 2025, wasiliana nasi kwa namba zilizopo kwenye video hii tukupe utaratibu.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @user-cu8dm6eh3g
    @user-cu8dm6eh3g 3 місяці тому +2

    Dua zenu na sisi tujaaliwe tufike uko

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 місяці тому +3

    Allah tunawaombea dua wezetu waliyoko huko maka Allah awafanyie wepesi wamalize salama aaaamiiiii

  • @SuleimanmussaNatty-mr2fj
    @SuleimanmussaNatty-mr2fj 3 місяці тому +1

    Maashallah, hongereni Tawheed.

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 3 місяці тому

    MashaAllah ❤❤❤

  • @MazikuKahawa
    @MazikuKahawa 2 місяці тому

    mungu aiweke mahalapema sheikhe wetu inalilai wainalilajuun

  • @alikibwana4657
    @alikibwana4657 3 місяці тому

    Basi pia Allah atupe uwezo wakuhiji inshaAllah

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 місяці тому +1

    Nasisi Allah utujaliye tujetuhiji kabla haujatuchukuwa aaamiiiinaaaa

  • @waheeda5138
    @waheeda5138 3 місяці тому

    MashaAllah🥰

  • @mtavusuleiman752
    @mtavusuleiman752 3 місяці тому

    Mpo vzr Masha Allah

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 місяці тому

    ingekua vizur kama ingekua unapata nafas yakuingia hilo pango

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 3 місяці тому

    Makkah sasa ishakuwa ni sehemu ya kwenda kula sikukuu tu basi.

    • @shamsijuma5050
      @shamsijuma5050 3 місяці тому

      Sahihi kabisa hata hija haifai tena et ndugu yangu

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 3 місяці тому

    😂😂😂